NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON

Preview:

DESCRIPTION

NAMNA YA KUTEGA MTEGO WA NDOROBO AINA YA EPSILON. 1. 2. Kwanza: Chagua sehemu ya kutega mtego sehemu ilivyo na uwazi ili mtego uonekane kwa urahisi. Safisha eneo la kutega mtego wako kwa kuondoa vichaka na nyasi ili mtego uonekana kwa urahisi. 3. 4. Fungua mtego taratibu, - PowerPoint PPT Presentation

Citation preview

Recommended