6
sawa, dj b, asante sana! ...ati mmeambiwa aje? ninangojea kuitwa kwa o.c.s... sasa taabu unainigia shida kama hizi juu ya msichana mwenye hata si wa kabila yetu??? Ama ni-give up? Msinisahau nikitupwa ndani! taabu usife moyo! dj b alini-show kila mtu yuko innocent hadi a-proviwe kuwa guilty! ji-defend na sheria! sawa, taabu, unaweza kuingia... hapo mbeleni... polisi anayeitwa matata, mwenye anampenda purity, alimpiga taabu juu ya kum-slice dem. taabu akaenda kujaza p-3 form za kumstaki matata... lakini kwa vile mshtakiwa alikuwa ofisa, kesi ikapelekwa kwa o.c.s.... 18 MATATA II

21.c - Charlie Pele

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 21– Charlie Pele: Matata Part 2

Citation preview

Page 1: 21.c - Charlie Pele

sawa, dj b,

asante sana!

...ati mmeambiwa

aje? ninangojea kuitwa kwa

o.c.s...

sasa taabu unainigia

shida kama hizi juu ya msichana

mwenye hata si wa kabila

yetu???

Ama ni-give up? Msinisahau nikitupwa

ndani!

taabu usife moyo!

dj b alini-show kila mtu yuko innocent hadi

a-proviwe kuwa guilty!

ji-defend na sheria!

sawa, taabu,

unaweza kuingia...

hapo mbeleni... polisi anayeitwa matata, mwenye anampenda purity,

alimpiga taabu juu ya kum-slice dem.

taabu akaenda kujaza p-3 form za kumstaki matata...

lakini kwa vile mshtakiwa alikuwa ofisa, kesi

ikapelekwa kwa o.c.s....

18

MATATA II

Page 2: 21.c - Charlie Pele

uhm... ninavyoelewa,

matata alimpiga huyu taabu juu ya msichana...

Sipendi kupata ripoti

ambazo zinaharibu

jina ya Polisi!

taabu, nipe ripoti

yako...

tulikuwa nyumbani

wakati matata aligonga mlango

akatutisha...

eh...er...em...

Bwana OCS, Kabla usikie

uongo za huyu kijana, wacha

nijitetee. Naona anajaribu

kunichafulia jina...

ala! hata

maneno anatumia zinanitoa

kama mnyama...

unajua, mimi ni polisi wa maana! nimetoka

pale nairobi! nilipatiwa

promotion lakini nikachagua kurudi huku,

home kwangu, ndio niwakilishe

hapa!

hii kazi ni maisha

yangu!

Huyu kijana ni suspect!

Usichukulie maneno

yake seriously...

ni mwongo, jambazi

tupu!

matata...

...kwanza, umpe muda wake wa

kuongea...

na kama hauna evidence ya

kumstaki, huwezi kumsumbua, hata

kama yeye ni suspect...

19

Page 3: 21.c - Charlie Pele

woi! akina taabu

wamekaa huku police station! Wamefungwa

ndani!!!

sasa tutawatoa aje? unajua hawa polisi

hawana muda wa kutuskiza?

hiyo sio

kweli!

Kazi ya polisi ni kusaidia

wananchi!

Kabisa! Hata mimi nimeskia hizo

story!

charlie, wacha

utoto...

hawa polisi wanatumia

sheria kuonea watu wa

kabila tofauti na yao!

Wanakamata vijana wetu

bure!

Afadhali tulipe hiyo

bond!

ehe! tuchange pesa

watuachie vijana wetu!

ah, baba charlie,

mahindi za hii season imemea mzuri!

sheria inatumiwa

kutunyanyasa!lakini sheria ikitusahau, tunaweza

kutumia pesa kurudisha utu wetu...

toa ndugu, toa

dada...

20

Page 4: 21.c - Charlie Pele

sasa, hii kesi haina muelekeo...

Testimony zenu

hazieleweki! Siwaamini...

Nimeamua nichukue hatua kali kwenu wote kwa

sababu mnaniharibia

wakati!

lakini, bwana o.c.s., tunaye

witness mwenye anaweza

kutuelezea yaliyotendeka...

nipe ruhusa ya kumuita...

...purity.

purity! mpenzi

wangu...

ambia hawa watu vile huyu

kijana anajaribu kututenganisha...

OCS

Page 5: 21.c - Charlie Pele

Kwa upande wangu...

ni kweli namjua

Matata. Lakini tuliachana

kitambo sana.

Sasa amekuja kwa kina Taabu,

mwenye ni boyfriend wangu akam-threaten. amempiga vibaya akampiga vibaya! Matata anataka Taabu aniache!

Aka-warn Taabu ati asikuje

kujaza P3 hapa!

purity! wacha

kudanganya OCS hivyo! Unadhani

atakuamini?!

MATATA!

nimeskia ya

kutosha...

matata, you are

suspended.

...snif...purity...

...mbona unanitupa

hivi......

na kwa nyinyi wawili,

mmefanya vizuri kutumia sheria

kuji-defend hata kama mlikuwa

mnasumbuliwa na huyu mrui

hapa...

sheria iko hapa

kuwalinda, muijue na muitumie...

22

Page 6: 21.c - Charlie Pele

...56 bob peke

yake?!?! 56 bob haiwezi saidia paka

kutoka jela!

56 bob si pesa yote mnayo! tuko wengi hapa! aki nyinyi

wa...

...wa... ...haiya, ni

taabu!

taabu, mlitoka

jela aje???

hatukuwa jela!

tulijaza forms na tukaenda

mbele ya o.c.s kumshtaki

yule matata...

Ni poa mjue kuwa sio polisi wote ni wabaya! Lazima

tujifunze sheria ndio tuweze kuji-defend!

Wacha ni-show DJ B vile advise yake imetu-help.

Kweli ukijua rights zako, sheria inakuchunga.

Bonga na wasee wa KITUO CHA SHERIA

upate info zaidijuu ya sheria vile

ina-work!

KITUO CHA SHERIAThe Centre for Legal Empowerment

P.O.BOX 7483-00300 NRBTEL:254-0203874191MOBILE:0734 874221/OR 0727 773991EMAIL:[email protected]

NILIJUA RIGHTS ZANGU

NIKAPATA JUSTICE!

Kuna time msee flani alinipiga vibaya. Mara hiyo hiyo nikaenda na witnesses na nikapeleka report kwa makarau. Kwa police station,

niliandika statement very clear, na wakanipa P3. Nilienda na P3 hosi na daktari akaijaza na

nika-treat-iwa.

Nilijua rights zangu na sikuchoka kufuatilia hadi

nika-get justice. Kumbuka, the truth always comes out.

Usiogope sheria. Sheria iko hapa kuku-protect!

Baada ya hiyo, nilirudi kwa police na huyo msee akashikwa na nikaamua ku-settle hiyo noma nje

ya court. Mwishowe, ilibidi hawa wasee wanilipe kwa damage yenye waliniletea.

sms3008p3

TUMA

SMS KWA 3008 NA VIEW

S ZAKO UKIANZA NA NENO P3

JINA: SIMON OSORO

aka ‘SYMO’

AGE: 27BASE: UGUNJA

23