6
CH 27 [FINAL].indd 18 13/04/2012 11:20

27.c – Maria Kim sio fore

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 27– Maria Kim: Life Ya

Citation preview

Page 1: 27.c – Maria Kim sio fore

CH 27 [FINAL].indd 18 13/04/2012 11:20

Page 2: 27.c – Maria Kim sio fore

sasa chuxx!umeona...

janet!unatafutwa!

unafanya nini na huyu chuxx?

mbona huji

shule?

nywele yako ni

orange siku hizi?!

oh, puulizz!natafutwa

kwani nime-win lottery?

mtakoma kunifuata-fuata na kuniuliza maswali nyingi kama clinic!

eh... maria kim, si

unajua ni wewe tu? huyu janet sikuwa serious na yeye...

wameanza machozi. mimi nime-bounce!

aki maria kim, mimi ni bure sana! hakuna kitu

naeza-do! hata kusoma imenishinda. hata in future

sijui nita-do nini.

none of your

business!

familia yetu ni masikini... umeona mamangu? kwani life

yangu pia itakuwa hivo? kuosha manguo na kuzaa watoto tu?

afadhali nikule raha saa hizi!

eh, usiongee hivyo. kuacha masomo juu ya raha si poa. kuna vitu mob sana unaeza

achieve.

najua hauniamini, lakini i can prove it!

haiya, nimewaita hapa leo juu kuna mtu

ningependa abonge nanyi. stori yake ni kali

sana...

siku kadhaa baadaye...

CH 27 [FINAL].indd 19 13/04/2012 11:20

Page 3: 27.c – Maria Kim sio fore

CH 27 [FINAL].indd 20 13/04/2012 11:20

Page 4: 27.c – Maria Kim sio fore

CH 27 [FINAL].indd 21 13/04/2012 11:20

Page 5: 27.c – Maria Kim sio fore

CH 27 [FINAL].indd 22 13/04/2012 11:20

Page 6: 27.c – Maria Kim sio fore

CH 27 [FINAL].indd 23 13/04/2012 11:20