Upload
others
View
7
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
FOOTER 1
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
VYAKULA
VINYWAJI
Alice Temu, PhD, RD
VYA KAWAIDA
VYEPESI SANA
LAINI NA UKUBWA WA TONGE LA KUNG’ATA
VILIVYOSAGWA NA VITEPE
VYEPESI
VIZITO KIDOGO
VIZITO KIASI
VIZITO SANA
VYA MAJIMAJI
VILIVYOPONDWA
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 2 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Complete IDDSI Framework
and Descriptors
FOOTER 1
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
UTANGULIZI
Mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza “The International Dysphagia Diet Standardisation Initiative (IDDSI)” ulizinduliwa mwaka 2013 kwa madhumuni ya kuanzisha istilahi na ufafanuzi mpya wa kimataifa kuelezea urekebishaji wa uepesi wa vyakula na uzito wa vinywaji vinavyotumiwa na watu walio na matatizo ya kumeza wa umri wowote, katika mpangilio wa huduma yeyote, na utamaduni wowote.
Miaka mitatu mfululizo ya kazi iliyofanywa na kamati ya kimataifa ya viwango vya vyakula kwa watu wenye matatizo ya kumeza, imetoa nakala ya mwisho ya mfumo wa viwango vya vyakula kwa watu wenye matatizo ya kumeza ambao una hatua za viwango 8, kuanzia hatua ya chini mpaka juu (0-7). Viwango hivyo vinatambulika kwa kutumia namba, maandishi na rangi.
Nakala hii inatoa maelekezo ya viwango vyote vya IDDSI kwa undani zaidi. Vielelezi vinadhihirishwa na njia rahisi za vipimo ambazo zinaweza kutumiwa na watu wenye matatizo ya kumeza, wahudumu, madaktari, wataalamu wa huduma za chakula, ama viwanda kuthibitisha viwango vya vyakula vinavyofaa.
Nakala hii inabidi isomwe pamoja na nakala za njia za upimaji wa IDDSI, uthibitishaji wa IDDSI, na nakala za maswali yanayoulizwa mara kwa mara (http://iddsi.org/framework/).
Kamati ya IDDSI inapenda kutambua hamu na ushirikiano wa jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na wagonjwa, wahudumu, wataalam wa afya, viwanda, vyama vya wataalam na watafiti. Pia tunapenda kuwashukuru wadhamini wetu kwa msaada wao wa hali na mali.
Tafadhali tembelea tovuti hii www.iddsi.org kwa maelezo zaidi
Kamati ya IDDSI:
Wenyeviti: Peter Lam (Kanada) na Julie Cichero (Australia);
Wanakamati: Jianshe Chen (China), Roberto Dantas (Brazili), Janice Duivestein (Kanada), Ben Hanson (Uingereza), Jun
Kayashita (Japani), Caroline Lecko (Uingereza), Mershen Pillay (ZAF), Luis Riquelme (Marekani), Soenke Stanschus
(Ujerumani), Catriona Steele (Kanada).
Wanakamati wa zamani: Joe Murray (Marekani)
Mpango wa kimataifa wa viwango vya chakula kwa wenye matatizo ya kumeza (IDDSI) ni chombo kinachojitegemea
na si kwa ajili ya kupata faida. IDDSI inashukuru idadi kubwa ya mashirika na viwanda kwa msaada wa kifedha na
kadhalika. Wadhamini hawajashirikishwa katika kubuni wala kutengeneza mfumo huu wa IDDSI.
Utengenezaji wa IDDSI (2012-‐2015)
IDDSI inapenda kutambua na kushukuru wadhamini wafuatao kwa msaada wao wa hali na mali kuwezesha
utengenezaji wa mfumo wa IDDSI:
Nestlé Nutrition Institute (2012-‐2015)
Nutricia Advanced Medical Nutrition (2013-‐2014)
Hormel Thick & Easy (2014-‐2015)
Campbell’s Food Service (2013-‐2015)
apetito (2013-‐2015)
Trisco (2013-‐2015)
Food Care Co. Ltd. Japan (2015)
Flavour Creations (2013-‐2015)
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 2 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Simply Thick (2015)
Lyons (2015)
Utekelezaji wa mfumo wa IDDSI unaendelea. IDDSI inashukuru sana wadhamini wote wanaosaidia utekelezaji. http://iddsi.org/about-‐us/sponsors/
FOOTER 3
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
INTRODUCTION
The International Dysphagia Diet Standardisation Initiative (IDDSI) was founded in 2013 with the goal of developing new global standardised terminology and definitions to describe texture modified foods and thickened liquids used for individuals with dysphagia of all ages, in all care settings, and all cultures.
Three years of ongoing work by the International Dysphagia Diet Standardisation Committee has culminated in a final dysphagia diet framework consisting of a continuum of 8 levels (0-‐7). Levels are identified by numbers, text labels and colour codes.
This document provides detailed descriptors for all levels of the IDDSI Framework. Descriptors are supported by simple measurement methods that can be used by people with dysphagia or by caregivers, clinicians, food service professionals or industry to confirm the level a food fits into.
This document is to be read in conjunction with IDDSI Testing Methods, IDDSI Evidence and IDDSI Frequently Asked Questions (FAQs) documents (http://iddsi.org/framework/).
The IDDSI Committee would like to acknowledge the interest and participation of the global community including patients, caregivers, health professionals, industry, professional associations and researchers. We would also like to thank our sponsors for their generous support.
Please visit the www.iddsi.org for further information
The IDDSI Committee:
Co-‐Chairs: Peter Lam (CAN) & Julie Cichero (AUS);
Committee Members: Jianshe Chen (CHN), Roberto Dantas (BRA), Janice Duivestein (CAN), Ben Hanson (UK), Jun
Kayashita (JPN), Caroline Lecko (UK), Mershen Pillay (ZAF), Luis Riquelme (USA), Soenke Stanschus (GER), Catriona
Steele (CAN).
Past Committee Members: Joe Murray (USA)
The International Dysphagia Diet Standardisation Initiative Inc. (IDDSI) is an independent, not-‐for-‐profit entity.
IDDSI is grateful to a large number of agencies, organizations and industry partners for financial and other support.
Sponsors have not been involved with the design or development of the IDDSI framework.
Development of the IDDSI framework (2012-‐2015)
IDDSI would like to thank and acknowledge the following sponsors for their generous support in the development
of the IDDSI framework:
Nestlé Nutrition Institute (2012-‐2015)
Nutricia Advanced Medical Nutrition (2013-‐2014)
Hormel Thick & Easy (2014-‐2015)
Campbell’s Food Service (2013-‐2015)
apetito (2013-‐2015)
Trisco (2013-‐2015)
Food Care Co. Ltd. Japan (2015)
Flavour Creations (2013-‐2015)
Simply Thick (2015)
Lyons (2015)
Implementation of the IDDSI framework is in progress. IDDSI is extremely grateful to all sponsors
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 4 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
supporting implementation http://iddsi.org/about-‐us/sponsors/
FOOTER 5
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Maelezo / Tabia
Kinatiririka kama maji
Mtiririko wa haraka
Unaweza kunywa kwa njia ya aina yeyote ya chuchu, kikombe, au mrija ipasavyo kulingana na umri na uwezo
Mantiki ya mumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha wororo
Uwezo wa kumudu vimiminika vya aina zote kwa usalama
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/
IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI
Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 ndani ya sekunde 10 bila kuacha mabaki (angalia maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*).
0 VYEPESI SANA
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 6 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Description / Characteristics
Flows like water
Fast flow
Can drink through any type of teat/nipple, cup or straw as appropriate for age and skills
Physiological rationale for this level of thickness
Functional ability to safely manage liquids of all types
Testing method
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/
IDDSI Flow Test*
Test liquid flows through a 10 mL slip tip syringe completely within 10 seconds, leaving no residue (see IDDSI Flow Test instructions*).
0 THIN
FOOTER 7
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Maelezo / Tabia
Kizito kuliko maji
Kinahitaji juhudi kidogo kunywa kuliko kimiminika chepesi sana
Kinatiririka kwenye mrija, ncha ya bomba la sindano, chuchu
Sawa na uzito wa maziwa ya chupa ya watoto wachanga
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Zaidi sana kinatumika kwa watoto wodogo kama kinywaji kinachomiminika taratibu lakini kinapita kwenye chuchu. Kutiririka kwenye chuchu kuzingatiwe kulingana na kesi na kesi
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/
IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI
Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 na kuacha kiasi cha mililita 1 – 4 ndani ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*).
1 VYEPESI
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 8 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Description / Characteristics
Thicker than water
Requires a little more effort to drink than thin liquids
Flows through a straw, syringe, teat/nipple
Similar to the thickness of commercially available ‘Anti-‐‐regurgitation’ (AR) infant formula
Physiological rationale for this level of thickness
Predominantly used in the paediatric population as a thickened drink that reduces speed of flow yet is still able to flow through an infant teat/nipple. Consideration to flow through a teat/nipple should be determined on a case-by-case basis.
Testing method
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/
IDDSI Flow Test*
Test liquid flows through a 10 mL slip tip syringe leaving 1-4mL in the syringe 10 seconds, leaving no residue (see IDDSI Flow Test instructions*).
1 SLIGHTLY THICK
FOOTER 9
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Maelezo / Tabia
Kinatiririka kutoka kwenye kijiko
Kinanyweka, kinamiminika haraka kutoka kwenye kijiko, lakini taratibu kuliko kinywaji chembamba
Juhudi inahitajika kunywa kinywaji cha uzito huu kwa kutumia mrija wa kawaida (mrija wa kawaida wenye mzingo wa inchi 0.209 au milimeta 5.3)
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Kama vinywaji vyepesi vitatiririka kwa haraka vidhibitiwe kwa usalama, vinywaji vizito kidogo sana vinatiririka kwa mwendo mdogo kidogo
Inafaa ikiwa uwezo wa kuzungusha ulimi umepungua kidogo
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/
IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI
Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 na kuacha kiasi cha mililita 4 – 8 ndani ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*).
2 VIZITO KIDOGO
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 10 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Description / Characteristics
Flows off a spoon
Sippable, pours quickly from a spoon, but slower than thin drinks
Effort is required to drink this thickness through standard bore straw (standard bore straw = 0.209 inch or 5.3 mm diameter)
Physiological rationale for this level of thickness
If thin drinks flow too fast to be controlled safely, these Mildly Thick liquids will flow at a slightly slower rate
May be suitable if tongue control is slightly reduced.
Testing method
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/
IDDSI Flow Test*
Test liquid flows through a 10 mL slip tip syringe leaving 4 to 8 ml in the syringe after 10 seconds (see IDDSI Flow Test instructions*)
2 MILDLY THICK
FOOTER 11
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Maelezo / Tabia
Vinaweza kunywewa kutoka kwenye kikombe
Juhudi inahitajika kunyonya kutoka kwenye bomba la mrija wa kawaida au mrija mpana (mrija mpana = inchi 0.275 au milimeta 6.9)
Haviwezi kunyonywa, kupangwa wala kufinyangwa kwenye sahani
Haviwezi kuliwa kwa kutumia uma kwa sababu kitadondoka kupitia mianya kati ya meno ya uma
Vinaweza kuliwa kwa kutumia kijiko
Havihitaji mchakato wa mdomo wala kutafunwa - vinaweza kumezwa moja kwa moja
Vyepesi bila ‘vipande’ (mabonge, nyuzinyuzi, vipande vya maganda au ngozi, chembe chembe za mifupa mwororo au mfupa migumu)
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Kama ulimi hauwezi kumudu vinywaji vizito kidogo (Kiwango cha 2), Kiwango hiki cha Vya Majimaji/Vizito Kiasi kinaweza kufaa
Kinachukuwa muda zaidi mdomoni Kinahitaji juhudi kuzungusha ulimi
Wenye maumivu wakati wa kumeza
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ and
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI
Kimiminika kinatiririka kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 na kuacha kiasi cha zaidi ya mililita 8 ndani ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*).
Jaribio la kudondosha matone ya mtiririko wa vyakula kwa uma
Kinadondoka taratibu kupitia mianya kati ya meno ya uma Meno ya uma hayaachi alama safi Kinasambaa kama kikimwagwa kwenye eneo lililo sawasawa
Jaribio la kugeuza kijiko juu chini
Kinamwagika kwa urahisi kutoka kwenye kijiko wakati kimegeuzwa juu chini, hakinganganii kwenye kijiko
Jaribio la vijiti vya kulia
Vijiti vya kulia havifai kwa wororo huu
Jaribio la kidole Haiwezekani kushika sampuli ya chakula hiki kwa kutumia vidole.
Hata hivyo, ukikishika chakula hiki kinapenya kiurahisi kati ya kidole gumba na vidole vingine na kuacha alama za mabaki au
3 VYA MAJIMAJI VIZITO KIASI
KIZITO KIASI
3
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 12 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
mnato kwenye vidole ulivyotumia kukishika.
FOOTER 13
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Description / Characteristics
Can be drunk from a cup
Some effort is required to suck through a standard bore or wide bore straw (wide bore straw = 0.275 inch or 6.9 mm)
Cannot be piped, layered or moulded on a plate
Cannot be eaten with a fork because it drips slowly in dollops through the prongs
Can be eaten with a spoon
No oral processing or chewing required – can be swallowed directly
Smooth texture with no ‘bits’ (lumps, fibers, bits of shell or skin, husk, particles of gristle or bone)
Physiological rationale for this level of thickness
If tongue control is insufficient to manage Mildly Thick drinks (Level 2), this Liquidised/Moderately thick level may be suitable
Allows more time for oral control Needs some tongue propulsion effort Pain on swallowing
Testing method
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ and
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
IDDSI Flow Test*
Test liquid flows through a 10 ml slip tip syringe leaving > 8 ml in the syringe after 10 seconds (see Syringe Test Guide*).
Fork Drip Test
Drips slowly in dollops through the prongs of a fork Tines/prongs of a fork do not leave a clear pattern on the surface Spreads out if spilled onto a flat surface
Spoon Tilt Test Easily pours from spoon when tilted; does not stick to spoon
Chopstick Test Chopsticks are not suitable for this texture
Finger Test It is not possible to hold a sample of this food texture using fingers.
However, this texture slides smoothly and easily between the thumb and fingers, leaving a coating.
3 LIQUIDISED
MODERATELY THICK
3
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 14 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Aina ya vyakula maalum au mifano mingine
(Orodha hii haina kikomo)
Orodha ya vyakula vifuatavyo inaweza kufaa katika kiwango cha 3 cha Upimaji wa IDDSI:
Chakula cha kwanza cha mtoto mchanga (uji wa mchele ama matunda yaliyosagwa)
Mchuzi Maji matamu ya matunda
Jaribio la uma kupima mtiririko wa IDDSI:
Kinadondoka taratibu kwa matone kupitia mianya kati ya meno ya uma
MAJIMAJI VIZITO KIASI
FOOTER 15
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Food specific or Other examples
(NB. this list is not exhaustive)
The following items may fit into IDDSI Level 3: Infant “first foods” (runny rice cereal or runny pureed fruit) Sauces and gravies Fruit syrup
IDDSI Fork Drip Test:
Drips slowly in dollops through the prongs of a fork
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 16 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Maelezo / Tabia
Kwa kawaida huliwa kwa kijiko (kwa uma inawezekana pia)
Haviwezi kunywewa kwa kikombe
Haviwezi kunyonywa kwa mrija
Havihitaji kutafuna
Vinaweza kuvutwa, kupangwa au kusongwa
Vinatiririka taratibu kwenda chini lakini hakiwezi kumwagika
Vinaanguka kutoka kwenye kijiko kikiinamishwa chini na kinaendelea kushikilia sura yake kwenye sahani
Hakuna mabonge
Havinati
Sehemu ya maji haitengani na sehemu ngumu ya chakula
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Kama udhibiti wa ulimi umepungua kwa kiasi kikubwa, kiwango hiki kinaweza kuwa rahisi kumudu
Kinahitaji nguvu kidogo ya kuinua ulimi kuliko kwa vyakula Vilichosagwa na Vitepe (kiwango cha 5), Laini na Ukubwa wa Tonge la Kung’ata (kiwango cha 6) na Vya Kawaida (kiwango cha 7), lakini zaidi kuliko Vya Majimaji/Vizito Kiasi (kiwango cha 3)
Hakihitaji kung’ata wala kutafuna Kuongezeka kwa mabaki ni hatari kama kinanata Chakula chochote kinachohitaji kutafunwa, kukusanywa na
kutengeneza tonge hakifai Wenye maumivu wakati wa kutafuna au kumeza Wenye mapengo, meno bandia yasiyotosha vizuri
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ and
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
IDDSI Flow Test* Upimaji wa mtiririko wa IDDSI
Hakuna mtiririko au matone kupitia ncha ya bomba la sindano la mililita 10 baada ya sekunde 10 (rejea maelekezo ya upimaji wa mtiririko wa IDDSI*).
4 VILIVYOPONDWAPONDWA
VIZITO SANA
4
FOOTER 17
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Description / Characteristics
Usually eaten with a spoon (a fork is possible)
Cannot be drunk from a cup
Cannot be sucked through a straw
Does not require chewing
Can be piped, layered or molded
Shows some very slow movement under gravity but cannot be poured
Falls off spoon in a single spoonful when tilted and continues to hold shape on a plate
No lumps
Not sticky
Liquid must not separate from solid
Physiological rationale for this level of thickness
If tongue control is significantly reduced, this category may be easiest to manage
Requires less propulsion effort than Minced & Minced (level 5), Soft & Bite-‐‐Sized (Level 6) and Regular (Level 7) but more than Liquidised/Moderately thick (Level 3)
No biting or chewing is required Increased residue is a risk if too sticky Any food that requires chewing, controlled manipulation or bolus
formation are not suitable
Pain on chewing or swallowing Missing teeth, poorly fitting dentures
Testing method
http://iddsi.org/framework/drink-testing-methods/ and
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
IDDSI Flow Test*
No flow or drip through a slip tip syringe after 10 sec (refer to IDDSI Flow test instructions)*
4 PUREED
EXTREMELY THICK 4
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 18 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Jaribio la mgandamizo wa uma
Meno ya uma yanaweza kuacha alama ya michirizi ya umbo la uma juu ya uso wa chakula na/au kubaki na alama ya mgandamizo kutoka kwenye uma
Hakuna mabonge
Jaribio la kudondosha matone kwa uma
Sampuli inakaa kama mlima/rundo juu ya uma, kiasi kidogo kinaweza kupita kati ya mianya ya meno ya uma na kuunda kitu kama mkia, lakini hakiwezi kupita kati ya mianya ya meno ya uma au kuendelea kudondoka
Jaribio la kugeuza kijiko juu chini
Kinadondoka kwa urahisi kutoka kwenye kijiko kikigeuzwa juu chini, hakigandi kwenye kijiko
Jaribio la vijiti vya kulia
Vijiti vya kulia havifai kwa wororo huu
Jaribio la vidole Haiwezekani kushika sampuli ya vyakula hivi kwa vidole. Hata
hivyo, wororo huu unateleza kwa urahisi kati ya kidole gumba na vidole vingine na kuacha alama ya mabaki ya chakula
Viashiria kuwa sampuli ni nzito sana
Hakidondoki kutoka kwenye kijiko kikigeuzwa juu chini
Vyakula maalumu au mifano mingine
Aina zifuatazo zinaweza kuwa zinafaa kwa kiwango cha 4 cha IDDSI: Vilichopondwapondwa vinafaa kwa watoto wachanga (kwa mfano,
nyama ya kusaga, uji mzito)
IDDSI Jaribio la kuangusha matone kwa uma:
Jaribio la kugeuza kijiko juu chini: Chakula kinabaki na umbo lake kwenye kijiko; sio imara na hakinati; chakula kidogo kinabaki kwenye kijiko
Kiasi kidogo kinaweza kupita na kuunda kitu kama mkia chini ya uma Hakiundi donge, hakipiti, hakitiririki wala kuendelea kudondoka
kupitia mianya ya meno ya uma
Kinakaa kama mlima au lundo juu ya uma
FOOTER 19
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Fork Pressure Test The tines/prongs of a fork can make a clear pattern on the surface,
and/or the food retains the indentation from the fork
No lumps
Fork Drip Test Sample sits in a mound/pile above the fork; a small amount may
flow through and form a tail below the fork tines/prongs, but it does not flow or drop continuously through the prongs of a fork
Spoon Tilt Test Easily pours from spoon when tilted; does not stick to spoon
Chopstick Test Chopsticks are not suitable for this texture
Finger Test It is not possible to hold a sample of this food texture using fingers.
However, this texture slides smoothly and easily between the thumb and fingers, leaving a coating.
Indicators that a sample is too thick
Does not fall off the spoon when tilted Sticks to spoon
Specific Food or other examples
The following items may be suitable for IDDSI Level 4: Purees suitable for infants (e.g., pureed meat, thick cereal)
IDDSI Fork Drip Test:
Sits in a mound or
pile above the fork
A small amount may flow through and form a tail below the fork Does not dollop, flow or drip continuously through the fork prongs
Spoon Tilt Test: Holds shape on spoon; not firm and sticky; little food left on spoon
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 20 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Maelezo / Tabia
Vinaweza kuliwa kwa kijiko
Mara nyingine vinaweza kuliwa na vijiti vya kulia, ikiwa mtu anaweza kumudu kutumia mikono
Vinaweza kuchotwa na kuumbwa (mfano wa umbo la mpira) kwenye sahani
Laini na vitepe bila majimaji pembeni
Mabonge madogo dogo yanayoonekana kwenye chakula (ukubwa wa milimeta 2-4 kwa watoto; milimeta 4 kwa watu wazima)
Ni rahisi kusaga mabonge kwa ulimi
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Havihitaji kung’ata Vinahitaji kutafunwa kidogo Nguvu ya ulimi peke yake inaweza kutumika kuvunja vipande
vidogo laini vya wororo huu Nguvu ya ulimi inahitajika kusukuma tonge Wenye maumivu au uchovu wakati wa kutafuna
Wenye mapengo au meno bandia yasiyotosha vizuri
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Jaribio la mgandamizo wa uma
Vikigandamizwa na uma vipande vinapita kwa urahisi katikati ya mianya ya meno ya uma
Vinaweza kusagwa kwa urahisi na mgandamizo mdogo wa uma (shinikizo halitakiwi kufanya ukucha wa dole gumba kupauka kuwa mweupe)
Jaribio la kudondosha matone kwa uma
Sampuli iliyochotwa inakaa kama bonge au mlima kwenye uma na haiwezi kupita kwa urahisi au kuendelea kutiririka kati ya mianya ya meno ya uma
Jaribio la kugeuza kijiko juu chini
Kina mshikamano wa kutosha kushikilia sura yake kwenye kijiko
Kijiko kilichojaa lazima kidondoke kama kikigeuzwa juu chini, kikigeuzwa kwa upande, ama kikitingishwa kidogo; sampuli lazima iteremke kwa urahisi na kuacha chakula kidogo sana kwenye kijiko, yaani sampuli haipaswi kunata
Kiasi kilichochotwa kinaweza kusambaa ama kushuka kidogo sana kwenye sahani
Jaribio la vijiti vya kulia
Vijiti vya kulia vinaweza kutumika kuchotea au kushikilia wororo huu ikiwa sampuli ina unyevu na imeshikamana na mtu anaweza kumudu kutumia vijiti vya kulia
5 VILIVYOSAGWA NA VITEPE
FOOTER 21
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Jaribio la vidole
Ni rahisi kushika sampuli ya wororo huu kwa kutumia vidole; ndogo laini, chembe za mviringo zinaweza kusagwa kwa urahisi kwa vidole. Chakula hiki kitapelekea hisia ya unyevu na alama ya majimaji kwenye vidole.
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 22 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Description / Characteristics
Can be eaten with a fork or spoon
Could be eaten with chopsticks in some cases, if the individual has very good hand control
Can be scooped and shaped (e.g. into a ball shape) on a plate
Soft and moist with no separate thin liquid
Small lumps visible within the food (Paediatric 2-4 mm; adult 4mm)
Lumps are easy to squash with tongue
Physiological rationale for this level of thickness
Biting is not required Minimal chewing is required Tongue force alone can be used to break soft small particles
inthis texture
Tongue force is required to move the bolus Pain or fatigue on chewing Missing teeth, poorly fitting dentures
Testing method
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Fork Pressure Test
When pressed with a fork the particles should easily be separated between and come through the tines/prongs of a fork
Can be easily mashed with little pressure from a fork [pressure should not make the thumb nail blanch to white]
Fork Drip Test A scooped sample sits in a pile or can mound on the fork and does
not easily or completely flow or fall through the tines/prongs of a fork
Spoon Tilt Test
Cohesive enough to hold its shape on the spoon A full spoonful must slide/pour off the spoon if the spoon is tilted
or turned sideways or shaken lightly; the sample should slide off easily with very little food left on the spoon; i.e. the sample should not be sticky
A scooped mound may spread or slump very slightly on a plate
Chopstick Test Chopsticks can be used to scoop or hold this texture if the sample
is moist and cohesive and the person has very good hand control to use chopsticks
Finger Test It is possible to easily hold a sample of this texture using fingers;
small soft, smooth, rounded particles can be easily squashed between fingers. The material will feel moist and leave fingers wet.
5 MINCED AND MOIST
FOOTER 23
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Vyakula maalumu au mifano mingine:
NYAMA
Iliyosagwa laini sana au kukatwa vipande vidogovidogo sana, msago laini
(vipande ukubwa wa milimeta 2-4)
Hutumika na mchuzi mzito sana, laini na ambao haumiminiki
Kama wororo huu hauwezi kusagwa na kuwa laini inatakiwa upondwepondwe
SAMAKI
Iliyopondwa kwenye sosi au mchuzi laini na mzito sana usiomiminika
TUNDA
Hudumia tunda lililopondwapondwa
Chuja majimaji ya matunda ya ziada
NAFAKA
Nzito sana na laini yenye mabonge laini (milimeta 2-4)
Wororo uliolainishwa kikamilifu
Maziwa ama maji yeyote yanatakiwa yasitengane na nafaka. Chuja maji ya
ziada kabla ya kuhudumia
MKATE
Mkate wenye jeli au ulioloana ambao una unyevu sana na umechovywa
kwenye jeli
Usitumie mkate wa kawaida wala mkate mkavu isipokuwa kwa ushauri wa
mtaalamu wa mambo ya matatizo ya kumeza
MCHELE
Sio wakunata au wa kuganda (hasa mchele mfupi) na usiwe na chembechembe
mojamoja ambazo zimetengana wakati ukipikwa na kupakuliwa (haswa mchele
mrefu)
Tumia nafasi kati ya mianya ya meno ya uma kuamua kama vipande vilivyosagwa ni sawa au si sawa na (kwa
watoto kiasi cha milimeta 2 hadi 4, milimeta 4 kwa watu wazima)
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 24 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Specific Foods or Other examples:
MEAT
Finely minced or chopped, tender mince (pieces 2-4 mm)
Serve in extremely thick, smooth, non-pouring sauce or gravy
If texture cannot be finely minced it should be pureed
FISH
Finely mashed in extremely thick smooth, non-pouring sauce or gravy
FRUIT
Serve mashed
Drain excess juice
CEREAL
Very thick and smooth with small (2-4 mm) soft lumps
Texture fully softened
Any milk/fluid must not separate away from cereal. Drain any excess fluid
before serving
BREAD
Pre-gelled or slurried breads that are very moist and gelled through the entire
thickness
No regular, dry bread unless recommended by a dysphagia specialist
RICE
Not sticky or glutinous (particularly short grain rice) and should not be
particulate or separate into individual grains when cooked and served
(particularly long grain rice)
Use slot between fork prongs to determine whether minced pieces are the correct or incorrect size (pediatric 2 to
4 mm; adult 4 mm).
FOOTER 25
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Maelezo / Tabia
Vinaweza kuliwa kwa uma
Vinaweza kusagwa/kuvunjwavunjwa kwa mgandamizo wa uma, kijiko au vijiti vya kulia
Visu havihitajiki kukata vyakula hivi, lakini vinaweza kutumika kujazia uma au kijiko
Kutafuna kunahitajika kabla ya kumeza
Laini na vitepe bila kutofautisha sehemu ya majimaji na sehemu ngumu ya chakula
Vipande vya ukubwa wa kiwango cha tonge kufuatana na uwezo wa kutafuna
Watoto,
Watu wazima vipande ukubwa wa milimeta 15 = sentimeta 1.5
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Havihitaji kung'ata Vinahitaji kutafunwa Nguvu ya ulimi inahitajika kuzungusha chakula kwa ajili ya
kutafuna na kuweka chakula mdomoni wakati wa kutafuna Ulimi unahitajika kuzungusha tonge kwa ajili ya kumeza
Wenye maumivu au uchovu wa kutafuna Wenye mapengo au meno bandia yasiyoyotosha vizuri
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Jaribio la mgandamizo wa uma Mgandamizo kutoka kwenye uma ulioshikwa kwa upande unaweza kutumika kukata wororo huu vipande vidogo vidogo
Wakati sampuli ya chakula yenye ukubwa wa kidole gumba (kama sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5) inagandamizwa kwa kutumia mgongo wa uma kiasi kwamba kidole gumba kinapauka na kuwa cheupe, sampuli inasagika na kubalika umbo, na hairudii katika umbo lake la awali wakati uma umeondolewa
Jaribio la mgandamizo wa kijiko
Mgandamizo kutoka kwenye kijiko kilichoshikwa kwa upande kinaweza kutumika kukata wororo huu vipande vidogo vidogo
Wakati sampuli yenye ukubwa wa kidole gumba (kama sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5 cm) inagandamizwa na mgongo wa kijiko, sampuli inapondeka na kubadilika umbo, na hairudii katika umbo lake la awali wakati kijiko kimeondolewa
Jaribio la vijiti vya kulia
Vijiti vya kulia vinaweza kutuma kuvunja wororo huu katika vipande vidogo vidogo
LAINI NA UKUBWA WA TONGE LA KUNG’ATA
6
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 26 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Jaribio la vidole
Tumia sampuli yenye ukubwa wa kidole gumba (kama sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5). Inawezekana kusaga sampuli ya wororo huu kwa kutumia mgandamizo wa vidole kiasi kwamba kidole gumba na vidole vingine vinapauka kuwa vyeupe. Sampuli haitarudia umbo lake la awali wakati umeacha kugandamiza.
Vyakula maalumu au mifano mingine:
NYAMA
Nyama iliyopikwa, laini isiyozidi ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5
Kama haiwezi kuhudumiwa kwa wororo huu hauwezi katika ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa
sentimeta 1.5, hudumia iliyosagwa na yenye unyevunyevu
SAMAKI
Samaki iliyopikwa laini ya kutosha kuvunjwa vipande vidogo vidogo kwa uma, kijiko na vijiti vya kulia
Hakikisha hakuna mifupa
MSETO/MCHUZI/SOSI
Mchuzi lazima uwe mzito
Unaweza kuwa na nyama, samaki ama mbogamboga kama baada ya kupikwa ni laini vipande havizidi
ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5
Hakikisha hakuna mabonge makubwa
MATUNDA
Tumia yaliyosagwa
Sehemu ya kambakamba ya tunda haifai
Chuja juisi ya ziada
Tathmini uwezo wa mtu kula matunda yenye maji mengi (mfano tikiti maji) ambapo juisi inatengana
na sehemu ngumu ya tunda mdomoni wakati wa kutafuna
MBOGAMBOGA
Mbogamboga zilizopikwa kwa mvuke au kuchemshwa zenye ukubwa wa Sentimeta 1.5 kwa
sentimeta 1.5 baada ya kupikwa
Mbogamboga za kukaanga mara nyingi huwa ngumu na sio laini
NAFAKA
Nyororo na yenye mabonge laini yasiyozidi ukubwa wa sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5 inakubalika
wororo umelainishwa kikamilifu
Maji ya ziada lazima yakaushwe
MKATE
Hakuna kutumia mkate mpaka mtu amefanyiwa tathmini na mtaalamu wa matatizo ya kumeza kuona kwamba inafaa, kwa misingi ya mtu binafsi
MCHELE
Usiwe na chembechembe /chenga, wa kunata au wa kuganda
Ukucha wa kidole gumba unapauka kuwa mweupe
Sampuli inasagwa na hairudii sura yake ya awali wakati mgandamizo umeondolewa au wakati
umeacha kugandamiza
FOOTER 27
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 28 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Description / Characteristics
Can be eaten with a fork
Can be mashed/broken down with pressure from fork, spoon or
chopsticks
A knife is not required to cut this food, but may be used to help
loading a fork or spoon
Chewing is required before swallowing
Soft, tender and moist throughout but with no separate thin liquid
‘Bite sized’ pieces as appropriate for size and oral processing skills
Paediatric,
Adults, 15 mm = 1.5 cm pieces
Physiological rationale for this level of thickness
Biting is not required
Chewing is required Tongue force and control is required to move the food for
chewing and to keep it within the mouth during chewing
Tongue force is required to move the bolus for swallowing
Pain or fatigue on chewing Missing teeth, poorly fitting dentures
Testing method
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Fork Pressure Test
Pressure from a fork held on its side can be used to ‘cut’ or break this texture into smaller pieces
When a sample the size of a thumb nail (~1.5x1.5 cm) is pressed with the base of a fork to a pressure where the thumb nail blanches to white, the sample squashes and changes shape, and does not return to its original shape when the fork is removed
Spoon Pressure Test
Pressure from a spoon held on its side can be used to ‘cut’ or break this texture into smaller pieces.
When a sample the size of a thumb nail (~1.5 cm x1.5 cm) is pressed with the bowl of a spoon, the sample squashes and changes shape, and does not return to its original shape when the spoon is removed
Chopstick Test
Chopsticks can be used to break this texture into smaller pieces
SOFT AND BITE-SIZED
6
FOOTER 29
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Finger Test
Use a sample the size of the thumb nail (~1.5 cm x 1.5 cm). It is possible to squash a sample of this texture using finger pressure such that the thumb and index finger nails blanch to white. The sample will not return to its initial shape once pressure is released.
Specific Food or Other examples:
MEAT
Cooked, tender meat no bigger than 1.5 cm x 1.5 cm
If texture cannot be served soft and tender at 1.5 cm x 1.5 cm, serve minced and moist
FISH
Soft enough cooked fish to break into small pieces with fork, spoon or chopsticks
No bones
CASSEROLE/STEW/CURRY
Liquid portion must be thick
Can contain meat, fish or vegetables if final cooked pieces are nolarger than 1.5 cm x 1.5 cm and are
soft and tender
No hard lumps
FRUIT
Serve mashed
Fibrous parts of fruit are not suitable
Drain excess juice
Assess individual ability to manage fruit with high water content (e.g. watermelon) where juice
separates from solid in the mouth during chewing
VEGETABLES
Steamed or boiled vegetables with final cooked size of 1.5cmx1.5cm
Stir fried vegetables are often too firm and not soft or tender
CEREAL
Smooth with soft tender lumps no bigger than 1.5 cm acceptable
Texture fully softened
Any excess milk or fluid must drained
BREAD
No bread unless assessed as suitable by dysphagia specialist, on an individual basis RICE
Not particulate/grainy, sticky or glutinous
Thumb nail blanched to white
Sample squashes and does not return to its
original shape when pressure is released
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 30 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Maelezo / Tabia
Vyakula vya kawaida, vyakula vya kila siku vya mifumo mbalimbali ambayo vinafaa kimaendeleo na kwa umri sawia
Mbinu yeyote inaweza kutumika kwa kula vyakula hivi
Vyakula vinaweza kuwa vigumu, vya kutafunika ama laini kiasilia
Ukubwa wa sampuli ya ngazi ya 7 hauna vipingamizi, kwa hiyo vyakula vinaweza kuwa na ukubwa mbalimbali
Vipande vidogo au vikubwa kuliko milimeta 8 (Watoto)
Vipande vidogo au vikubwa kuliko milimeta 15 sawa na sentimeta 1.5 (Watu wazima)
Hakuna vikwazo vya wororo katika ngazi hii
Ni pamoja na vipande vigumu, vya kutafunika, vyenye nyuzinyuzi, vikavu, au vinavyomeguka
Ni pamoja na vyakula ambavyo vina mbegu, nyuzinyuzi ndani ya ngozi, magamba au mifupa
Ni pamoja na vyakula na vinywaji vya namna mbili ama namna ya mchanganyiko
Mantiki inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Uwezo wa kung'ata vyakula vigumu au laini na kutafuna kwa muda wa kutosha kiasi kwamba kuunda mshikamano laini kama tonge ambalo liko tayari kumezwa
Uwezo wa kutafuna vyakula vya mifumo yote bila kuchoka kiurahisi
Uwezo wa kuondoa mfupa au mifupa laini mdomoni ambayo haiwezi kumezwa kwa usalama
Njia ya upimaji
Haihusiani
VYA KAWAIDA
7
FOOTER 31
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Description / Characteristics
Normal, everyday foods of various textures that are developmentally and age appropriate
Any method may be used to eat these foods
Foods may be hard and crunchy or naturally soft
Sample size is not restricted at Level 7, therefore, foods may be of a range of sizes
Smaller or greater than 8mm pieces (Paediatric)
Smaller or greater than 15 mm = 1.5 cm pieces (Adults)
There are NO texture restrictions at this level
Includes hard, tough, chewy, fibrous, stringy, dry, crispy, crunchy, or crumbly bits
Includes food that contains pips, seeds, pith inside skin, husks or bones
Includes ‘dual consistency’ or ‘mixed consistency’ foods and liquids
Physiological rationale for this level of thickness
Ability to bite hard or soft foods and chew them for long enough that they form a soft cohesive ball/bolus that is ‘swallow ready’
An ability to chew all food textures without tiring easily An ability to remove bone or gristle that cannot be swallowing
safely from the mouth
Testing method
Not applicable
REGULAR
7
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 32 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Maelezo / Tabia
Vyakula ambavyo vinaanza kama wororo fulani (mfano kigumu) halafu vinabadilika kuwa wororo mwingine hasa wakati vina unyevu (mfano maji au mate yametumika), au wakati mabadiliko ya hali ya joto yametokea (mfano kupasha joto)
Mantiki ya maumbile inayofaa kwa kiwango hiki cha uzito
Havihitaji kung'ata Vinahitaji kutafunwa kidogo
Ulimi unaweza kutumika kuvunja vyakula hivi mara joto linapobadilika au kwa kuongeza unyevu/mate
Inaweza kutumika kwa ajili ya kufuatilia maendeleo au ujuzi wa kutafuna upya (mfano maendeleo ya kutafuna kwa watoto na walemavu , kujifunza tena kutafuna baada ya kiharusi
Njia ya upimaji
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Jaribio la mgandamizo wa uma Baada ya unyevu au joto kutumika, sampuli inaweza kuharibiwa sura kwa urahisi na bila kurudia sura yake ya awali wakati unapoacha kugandamiza na uma.
Tumia sampuli yenye ukubwa wa ukucha wa kidole gumba (makadirio ya sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5), Weka maji mililita 1 kwenye sampuli na kusubiri dakika moja. Gandamiza kwa kutumia mgongo wa uma mpaka kidole gumba kipauke na kuwa cheupe. Sampuli ni ya chakula cha mpito ikiwa baada ya kuondoa mgandamizo wa uma au ukiacha kugandamiza na uma:
Sampuli imepondwa na kusambaratika na haionekani katika sura yake ya awali.
Au imeyeyuka kwa kiasi kikubwa na haionekani tena katika sura yake ya awali (mfano vipande cha barafu).
Jaribio la kugangamiza na kijiko
Kama hapo juu, tumia mgongo wa kijiko badala ya uma.
Jaribio la vijiti vya kulia
Tumia sampuli yenye ukubwa wa ukucha wa kidole gumba (makadirio ya sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5), weka maji mililita 1 kwenye sampuli na usubiri dakika moja. Sampuli inatakiwa ivunjike kwa urahisi kwa kutumia vijiti vya kulia kwa kugandamiza kidogo.
Jaribio la vidole
Tumia sampuli yenye ukubwa wa ukucha wa kidole gumba (makadirio ya sentimeta 1.5 kwa sentimeta 1.5), weka maji kwenye sampuli na usubiri dakika moja. Sampuli itasambaratika kabisa kwa kusugua sampuli kati ya kidole gumba na kidole cha kunyooshea. Sampuli haitarudia sura yake ya mwanzo.
VYAKULA VYA MPITO
FOOTER 33
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Description / Characteristics
Food that starts as one texture (e.g. firm solid) and changes into another texture specifically when moisture (e.g. water or saliva) is applied, or when a change in temperature occurs (e.g. heating)
Physiological rationale for this level of thickness
Biting not required Minimal chewing required Tongue can be used to break these foods once altered by
temperature or with addition of moisture/saliva May be used for developmental teaching or rehabilitation of chewing skills (e.g. development of chewing in the paediatric population and developmental disability population; rehabilitation of chewing function post stroke)
Testing method
http://iddsi.org/framework/food-testing-methods/
Fork Pressure Test
After moisture or temperature has been applied, the sample can be easily deformed and does not recover its shape when the force is lifted
Use a sample the size of the thumb nail (~1.5 cm x 1.5 cm), place 1 ml of water on the sample and wait one minute. Apply fork pressure using the base of the fork until the thumbnail blanches to white. The sample is a transitional food texture if after removing the fork pressure:
The sample has been squashed and disintegrated and no longer looks like its original state
Or it has melted significantly and no longer looks like its original state (e.g. ice chips).
Spoon Pressure Test As above, using the bowl of the spoon in place of the fork
Chopstick Test
Use a sample the size of the thumb nail (~1.5 cm x 1.5 cm), place 1 ml of water on the sample and wait one minute. The sample should be easily broken apart using chopsticks with minimal pressure
Finger Test
Use a sample the size of the thumb nail (~1.5 cm x 1.5 cm), place1 ml of water on the sample and wait one minute. The sample will break apart completely by rubbing the sample between the thumb and index finger. The sample will not return to its initial shape.
TRANSITIONAL FOODS
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 34 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Vyakula maalumu au mifano mingine:
Wororo huu ni pamoja na, na sio tu:
Vipande vya barafu
Barafu kama imefanyiwa tathmini na mtaalamu wa mambo ya kumeza na inafaa
Kipande cha jeli ya kijapani ya mafunzo ya kumeza ukubwa wa milimeta 1 kwa milimeta 15
Mkate (pia ni pamoja na mkate wa kushiriki wa kidini)
Mkate wa unaotumika kushikilia barafu
Baadhi ya biskuti
Chipsi za viazi – aina ya kusagika tu (mfano Pringles ambazo ni chipsi zilizotegenezwa kwa mchanganyiko wa
unga wa viazi na ngano)
Biskuti
Chipsi zenye ladha ya samaki kamba
Mifano maalumu inayotumika kwa watoto au watu wazima kudhibiti matatizo ya kumeza
Vyakula vinavyopatikana kibiashara ambavyo ni vya wororo wa mpito vimeonyeshwa katika picha hapa chini ni
pamoja na, na sio tu:
:
Veggie StixTM
Cheeto PuffsTM
Rice PuffsTM
Baby Mum MumsTM
Gerber Graduate PuffsTM
Mifano ya vyakula vya mpito
Cheese puffs
Wafers
Mifano ya vyakula vya mpito
Cheese puffs
Wafers
Kipande cha jeli ya kijapani ya mafunzo ya kumeza – tambua ukubwa umekatwa wa milimeta 1 kwa milimeta 15
http://image.rakuten.co.jp/iryosyoku/cabinet/03511530/03511532/img59981825.jpg
Ukucha wa kidole gumba umepauka kuwa mweupe
Sampuli imesagwa na kuvunjika, na hairudii sura yake ya awali mgandamizo ukiondolewa au unapoacha
kugandamiza
FOOTER 35
CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
10 Octobre, 2016
Specific Food or Other examples
This texture may include and is not limited to:
Ice chips
Ice cream/Sherbet if assessed as suitable by a Dysphagia specialist
Japanese Dysphagia Training Jelly sliced 1 mm x 15 mm
Wafers (also includes Religious Communion wafer)
Waffle cones used to hold ice cream
Some biscuits/ cookies/ crackers
Potato crisps – only the mashed type (e.g. Pringles)
Shortbread
Prawn crisps
Specific examples used in paediatric or adult disability dysphagia management
Commercially available foods that are transitional foods textures are shown in pictures below and include but are
not limited to:
Veggie StixTM
Cheeto PuffsTM
Rice PuffsTM
Baby Mum MumsTM
Gerber Graduate PuffsTM
Transitional food examples
Cheese puffs
Wafers
Transitional food examples
Cheese puffs
Wafers
Example of Japanese dysphagia training jelly - note size has been cut to 1mm x 15 mm
http://image.rakuten.co.jp/iryosyoku/cabinet/03511530/03511532/img59981825.jpg
The IDDSI Framework and Descriptors are licensed under the 36 CreativeCommons Attribution-‐Sharealike 4.0 International License
https://creativecommons.org/licenses/by-‐sa/4.0/
October 10, 2016
Thumb nail blanched to white
Sample squashes and fractures, and does not return to its original shape when pressure is released