108
“Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida; EPISODE 5 “Kwanini Mayai huwa magumu na Viazi kuwa laini vinapopikwa”? Mwandhishi: Lydia Heller Mwelekezi : Maja Dreyer Tafsiri : Eric Ponda Wahusika: Mtangazaji Jenny Msichana (14) Jack Mvulana (15) Mamake Jack Bi. Mulokozi Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack Hatua zikitokomea kwa haraka Mlango ukibishwa ; ukifunguliwa Sufuria zikigongana Mfereji ukifunguliwa Maji yakichotwa kwenye sufuria Maji yakichemka Sufuria mayai vikianguka sakafuni Sauti ya kufagia na kupangusa Sauti ya Redio kwa mbali Mayai yaliyochemshwa na kuambuliwa. Watu wakipiga miguu sakafuni,wakicheka, kuangukia kadhalika INTRO (Mtangazaji) Hujambo msikilizaji na karibu katika kisa kingine cha “Kujifunza kwa Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu elimu ya kawaida ya mambo ya kila siku. Leo tutasikiliza kile kinachotokea wakati mayai na viazi vinapopikwa. Unaweza kuchukulia kuwa ni jambo la kawaida lakini mambo haya ni kuhusu sayansi, yaani fisikia, baiolojia na kemia. Hivi sasa Jenny haweza hata kupika kimanda bila ya kufikiria kisayansi. Hali hiyo ni tangu

“Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

  • Upload
    others

  • View
    2

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

“Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida; EPISODE 5 “Kwanini Mayai huwa magumu na Viazi kuwa laini vinapopikwa”? Mwandhishi: Lydia Heller Mwelekezi : Maja Dreyer Tafsiri : Eric Ponda Wahusika: Mtangazaji Jenny Msichana (14) Jack Mvulana (15) Mamake Jack Bi. Mulokozi Wengine 3-5 Watoto na watu wazima

Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack Hatua zikitokomea kwa haraka Mlango ukibishwa ; ukifunguliwa Sufuria zikigongana Mfereji ukifunguliwa Maji yakichotwa kwenye sufuria Maji yakichemka Sufuria mayai vikianguka sakafuni Sauti ya kufagia na kupangusa Sauti ya Redio kwa mbali Mayai yaliyochemshwa na kuambuliwa. Watu wakipiga miguu sakafuni,wakicheka, kuangukia kadhalika

INTRO (Mtangazaji)

Hujambo msikilizaji na karibu katika kisa kingine cha “Kujifunza kwa

Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu elimu ya kawaida ya mambo

ya kila siku. Leo tutasikiliza kile kinachotokea wakati mayai na viazi

vinapopikwa. Unaweza kuchukulia kuwa ni jambo la kawaida lakini mambo

haya ni kuhusu sayansi, yaani fisikia, baiolojia na kemia. Hivi sasa Jenny

haweza hata kupika kimanda bila ya kufikiria kisayansi. Hali hiyo ni tangu

Page 2: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

alipomwalika Jack kwa chakula cha mchana na akaibadilisha familia nzima

ya Jenny kuwa moleculi za proteini. Alikuwa akijaribu kuwaonyesha

ufahamu wake kuhusu ni kwa nini mayai hugeuka kuwa magumu

yanapopikwa na viazi kuwa laini. Na hayo yote ni katika kumfariji Jenny

kwa kusahau mwaliko wake.

1. Scene

(Simu ya mkono inalia, Jack anajibu)

Jack: “Jack hapa, halo? Ala Jenny, vipi? (akigutuka kidogo,kana kwamba

kafumaniwa) Mkutano wetu? Ah, um, ndio, ndio, ni sawa. Oh, leo? Hapana

sikuwa nimesahau, la hasha. Tayari ulikuwa ukinisubiri? Tayari nusu saausu

saa? (akiguguna) Niko njiani. Nitafika wakati wowote sasa…Bye.

Hatua za haraha-haraka

Mlango unabishwa, mlango unafunguliwa.

Jenny:(kwa hasira) “Hatimaye! Namekualika kwa chakula cha mchana,

wajua natatizika kwa wiki kadhaa sijui nipike nini, nimekwenda dukani

kununua chakula na bado nahangaika jikoni! Na wewe ni kumelala tu! .

Jack: (akimbembeleza) Ah Jenny, pole sana, (akinusanusa) Kwani

tunakula nini?

Jenny: (bayana) “Mayai ya kuchemsha.”

Jack: “Mayai ya kuchemsha?”

Jenny: ( akiona haya) “Kwa kweli huo ndio upishi niujuao. Na hata

hayajakuwa tayari.”

Jack: ( akiwa amechanganyikiwa, na kuona aibu kwa kusahau mwaliko

huo, hakutaka kumudhi Jenny)“Ooh, usijali. Nitakusaidia. Wataka nifanye

nini?”

Page 3: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

Jenny: (akirejelea hali yake ya furaha)“Basi hapa kuna sufuria na maji

yako pale’

Sufuria zikigongana, mifereji ikifunguliwa na sufuria ikitiwa maji.

Jack: “Sasa tayari nimetia maji sufuriani, kuiweka jikoni na kuliwasha jiko.

Sasa tusubiri…

(Maji yakichemka)

Jenny: “Sasa maji tayari. Tutie mayai.”

Jack: ( akipaza sauti kwa hasira) “Ngoja kwanza Jenny!”

(Jenny ameshtuka. Sufuria mayai yanaanguka sakafuni kwa sauti kubw)

Jack:(akiongea kama mtaalamu wa sayansi kana kwamba kila mtu

anaelewa anasema nini)“Ikiwa utatia mayai kwenye maji ya moto,

unaharibu mpangilio wa molecule za protein kwenye mayai. Maji moto

huvunja molecule hizo za protein, na kuzifanya kushikana na protein

nyingine. Katika hali hiyo zinaskuma maji ambayo huzunguka kila molecule

wakati yai lingali maji-maji. Hiyo ndiyo sababu yai hugeuka na kuwa gumu.

Na yai hilo haliwezi kugeuzwa tena kuwa maji-maji, asilani.”

(sauti ya vitu kuanguka).

Jenny: (ashtuka…haelewi) “Nini?’

Jack: (hana haraka)“Nimesema kuwa mayai hayo yatakuwa magumu na

yatabakia vivyo hivyo”

( apumua kidogo halafu kwa hasira kubwa)

Jenny: (akiwa ameudhika) “SIKILIZA!, WEWE MWENDA WAZIMU

NINI? Angalia balaa yote hii. Ikiwa hutanisaidia kufagia, basi urafiki wetu

kwisha na nitatafuta rafiki mwengine thabiti”.

Page 4: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

(akifagia na kupangusa)

Jenny: (akivuta pumzi ndefu) “ Sasa niambie,kwa nini mayai yanakuwa

magumu yanapopikwa?

MUZIKI…..

SURA YA PILI

(Yai likivunjwa huku sauti ya redio chini kwa chini)

Jenny:( akiwa amefundira na, akitafuna) “Sasa profesa? Nasubiri! Kwa

nini mayai huwa magumu yanapopikwa?”

Jack: (anabugia yai kanwani, atafuna na kumiza) Ni kwa sababu

yametengezwa kwa protein, ….molecule za protein!.

Jenny; “Ohhh, hapana. Usianze tena, tafadhali. Unahakika? Wewe

ummesikia tu na huna uhakikika wa chochote, na sasa wajifanya

mtaalamu.

Jack:(anamkatiza, kwa uhakika) “La, na uhakika wa ninachosema.

Nilikuwa nikitazama kipindi kwenye Televisheni kuhusu sehemu nyeupe

ya mayai na protein.

Jenny: “nimesema mimi!. Umesikia tu habari hizo mahali lakini huna

uhakika.”

Jack: “Oh Jenny, wacha utundu, si umwite kakako mdogo, dadako na

nyanyako na majirani huku jikoni…. Yaani yeyote yule anayeweza

kuja….”

Jenny: “Mama, Nyanya! Freddy! Hebu njooni hapa kidogo”

Page 5: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

(Sauti za watoto na watu wazima zasikika)

Jack: “Mumekuja haraka. Hamjambo? Habari Bibi Mulokozi!

Nawaahidi kwamba nilichowaitia hakitachukua muda mrefu, tutaigiza

jinsi molecule za protein zinavyokuwa katika hali tofauti-tofauti, na kwa

sasa ni vile zinavyokuwa kwenye mazingira ya joto.”

Jenny: (akiwa ameudhika huku akionya) “Wacha mambo mengi

Ja..a..cck.”

Jack: “Sawa, sawa. Hakuna shida. Nataka muchukulie hiki chumba ni

mfano tu wa yai bichi, na sisi ni ile sehemu nyeupe ya yai…na ikiwa

mwataka kujua sehemu hiyo nyeupe kisayansi inaitwa albumen. Kila

mmoja wetu ni molecule moja ya protein…chembe-chembe ndogo ya ule

wepe wa yai. Chembe chembe zote zimeungana. Kwa mfano, fikiria

kwamba kidole chako kinamgusa jirani yako. (Awaagiza)Mguse jirani

yako kwa kidole chako kidogo.”

( Sauti za watu na vicheko…..”Sawa”)

Jack: “Sawa, sasa sisi ni mchnganyiko kama vile molecule za protein

katika yai bichi, na tayari tumeanza kutokwa jasho na maji

yametuzunguka. Weupe wa yai ni mchnganyiko mzito kwa sababu

chembe chembe za protein zake hazikushakamana. Lakini sasa fikiria

kwamba sakafu inaanza kupata moto.Kwa mfano kama tungetupwa ndani

a maji moto kama vile weupe wa yai, tungekuwaje? Si tutaanza

kutapatapa, kugeuka-kuruka-ruka,(akionyesha mfano) kukimbia, haraka-

haraka.

(Milio ya watu kupiga miguu sakafuni, wakiongea, wakipiga kelele,

wakicheka) “Aaah siwezi kuhimili zaidi!!” “Nitaanguka” “Niwache” Mimi

pia naanguka” Kuwa mwangalifu” na kdahalika

Jack: (Sauti haimtoki vizuri, amelaliwa na wengine.) “Mnafikiri nini

kitatokea? Sasa sio kugusana tena, tumebanwa pamoja sakafuni kama

ugali.(anajikwamua kutokana na miili ya watu) Jenny, hivyo ndivyo

inavyotendeka wakati yai likipikwa”

MUZIKI……

Page 6: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

(Sauti za watu, kicheko, kulalamika, viti vinasukumwa, nguo zalainishwa.

Walioko wanajaribu kuelewa kilichotendeka)

Jenny: (akiwa na wasi wasi na woga) “Mama, wacha nikusaidie.

Umeumia mahali popote. Pole sana, sikujua huyu Jack mtundu

angefanya hivi.”

Mama Jenny: (akinung’unika,na kumkatiza Jenny) “Niko salama

salimini. (akijinyoosha) Sikuvunjika mahali. Kwa kweli haikuwa mbaya

sana.—si kila siku mtu hunambia kuwa mimi ni molecule ya protein.

Lakini Jack?”

Jack: (akiwa na woga)Naam, Bibi Mulokozi.”

Mama Jenny: “Sielewi ni kwanini, pia viazi vina protein, lakini haviwi

vigumu vikipikwa, na badala yake vinakuwa laini!... ni kwanini.?”

Jack: (Woga ukiwa umemtoka) Aaha… najua pia! Tunaweza

kufanya zoezi lingine….”

(Hatua za haraka, viti vikisukumwa,watu wanatoka, wakizungumza).

“Inanibidi niende” “Sina wakati zaidi” “Tuonane baadaye Jack” na

kadhalika.

Jack: (kwa mshangao) “Lakini Bibi Mulokozi, mbona wameondoka

ghafla hivyo?

Jenny: “Labda wana kikao kingine chambilecho mchezo wa kuigiza wa

chembe chembe za tembe ya dawa ya kichwa.(akiwa ameudhika) Wewe

Jack unaweza kuibisha Mtu!”

Jack: ( pia akiwa ameudhika) “Hata hivyo mama yako ameuliza kuhusu

viazi. Si afadhali nikueleze wewe, au huna haja ya kujua?”

Page 7: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

Jenny: (kwa uchovu) “Ikiwa ni lazima, endelea, lakini safari hii hakuna

zoezi”

Jack: “Kwa kweli mama yako hakukosea, kuna protein kwenye viazi

lakini wanga ndio mwingi zaidi na wakati mwanga ukipikwa,viazi hivyo

hunyonya maji zaidi na hivyo kuwa laini. Viazi vikipikwa kwa muda

mrefu zaidi vinapogeuka kuwa kama ugali.”

Jenny: “Kwa sababu vina wanga mwingi?”

Jack: “”Kabisa! (akisitasita) Sasa umeacha kunikasirikia, sio? Kesho

njoo kwetu kwa chakula cha mchana lakini si cha mayai ya kuchemsha.

Mwisho….

Mlango unabishwa,kasha unafunguliwa.

Jack: (akijifanya mtu mzima) “Nilidhani hutakuja!. Mbona

imekuchukua muda mrefu hivyo? Nimekuwa nikingangana jikoni peke

yangu kwa muda mrefu”

Jenny: Aah Jack, pole sana. (Ananusa hewa,) Kwani unapika nini?

Kinanukia vizuri”

Jack: Ammm… ni viazi vya kuchemsha. Huo ndio upishi niliouzoea tu,

na hata havijakuwa tayari.”

OUTRO..

(Mtangazaji):

Kwa kweli tangu hapo, hakuna mtu ambaye amemtaka Jack au Jenny

kupika. Makala ya leo imeandikwa na Lydia Heller. Asante kwa

kusikiliza na uwe mwangalifu ikiwa utataka kulijaribu zoezi hilo. Na

iwapo unataka kusikiliza tena makala kwa mara myimgine kutaka

kujifunza zaidi kuhusu masuala ya Sayansi, unaweza kufanya hivyo

Page 8: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu

kupitia mtandao wetu wa www.dw.de/kiswahili. Ni hayo tu tuliyoweza

kukuandalia kwa hadi wakati mwingine-Kwaheri.

.

Page 9: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 10: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 11: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 12: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 13: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 14: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 15: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 16: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 17: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 18: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 19: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 20: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 21: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 22: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 23: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 24: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 25: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 26: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 27: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 28: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 29: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 30: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 31: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 32: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 33: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 34: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 35: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 36: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 37: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 38: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 39: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 40: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 41: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 42: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 43: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 44: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 45: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 46: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 47: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 48: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 49: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 50: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 51: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 52: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 53: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 54: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 55: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 56: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 57: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 58: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 59: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 60: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 61: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 62: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 63: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 64: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 65: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 66: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 67: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 68: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 69: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 70: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 71: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 72: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 73: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 74: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 75: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 76: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 77: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 78: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 79: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 80: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 81: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 82: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 83: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 84: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 85: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 86: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 87: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 88: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 89: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 90: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 91: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 92: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 93: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 94: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 95: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 96: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 97: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 98: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 99: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 100: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 101: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 102: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 103: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 104: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 105: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 106: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 107: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu
Page 108: “Tega sikio ujifunze” Elimu ya Kawaida;€¦ · Wengine 3-5 Watoto na watu wazima Sauti Simu ikilia na kupokelewa na Jack ... Kusikiliza” katika mfululizo wa vipindi kuhusu