2
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makutano ya Wauzaji na Wanunuzi wa Magari yapata Fursa Mpya Kwa mara ya kwanza Tanzania, Automart inawaletea mbadala sahihi wa kutimiza mahitaj yote ya magari. Gulio la Kila Jumapili ya mwisho wa mwezi wauzaji na wanunuzi wa ma watakutana katika mazingira rafiki. Makutano haya baina ya wateja kwa wateja na wanunuzi na watejayatafanyika katika !ya "ea #liff $otel, %ar es "alaam. Automart itafunguliwa tarehe 26 July 2015 kuanzia saa & asubuhi hadi saa '' Jioni. Makutano haya yameandaliwa kuwapa fursa wanunuzi na wauzaji wa magari binafsi na makampuni tofauti fursa ya kuwa na sehemu moja kwa mahitaji yote. (amoja na hayo tu huduma shirikishi zikijumlisha kampuni za bima, taasisi za fedha wanao toa mikopo y )ilainishi !ya magari na Kliniki za magari kutoa huduma. Kwa mtu yeyote anae hitaji kuuza gari lake ata*hangia "hilingi elfu + tu. -kiwa ni wakuweka gari lake katika !iwanja !ya Automart na kufaidika na kuwekwa katika mtand *heki.*o.tz to!uti namba ' ya magari Tanzania pamoja na mitandao ya jamii fa*ebo siku 0 baada ya Gulio. Automart imedhaminiwa na SMS WORX, CHEKI.CO.TZ, AUTOSPORT REPAIRS Kuhusu Vision Invst!nts i!ion In"e!tment! ni mo#a $a !ehemu am%a&o mawa'o $a mi(a(ati m%a)im%a)i na te(no)o#ia m&$a ina&ohita#i(a i)i (uwe(a %ia!hara (ati(a m!tari wa m%e)e. Ma)en*o $a i!ion ni (utam%ua, (uunda, (uende)e'a, (utoa na (uu'a ma!u)uhi!ho $ana$o+aa (u(idhi mahita#i $a mte#a i)i (uha(i(i!ha u+ani!i wa ha)i $a #uu, uwe'o na thamani. i!ion &ia ni wataa)amu wa mtandao, u!hauri wa Ma!o(o na u!imami'i wa matu(io. Kwa taari"a zai#i$ t!%&a' www."i!ion. o.t'

Automart Swahili Press LAUNCH JULY2015

Embed Size (px)

DESCRIPTION

AUTOMART UZINDUZI JULAI 26 2015

Citation preview

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMakutano ya Wauzaji na Wanunuzi wa Magari yapata Fursa MpyaKwa mara ya kwanza Tanzania, Automart inawaletea mbadala sahihi wa kutimiza mahitaji yako yote ya magari. Gulio la Kila Jumapili ya mwisho wa mwezi wauzaji na wanunuzi wa magari watakutana katika mazingira rafiki.

Makutano haya baina ya wateja kwa wateja na wanunuzi na wateja;yatafanyika katika viwanja vya Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam. Automart itafunguliwa tarehe 26 July 2015 kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 11 Jioni. Makutano haya yameandaliwa kuwapa fursa wanunuzi na wauzaji wa magari binafsi na makampuni tofauti fursa ya kuwa na sehemu moja kwa mahitaji yote. Pamoja na hayo tunaalika huduma shirikishi zikijumlisha kampuni za bima, taasisi za fedha wanao toa mikopo ya magari, Vilainishi vya magari na Kliniki za magari kutoa huduma.

Kwa mtu yeyote anae hitaji kuuza gari lake atachangia Shilingi elfu 50 tu. Ikiwa ni mchango wakuweka gari lake katika viwanja vya Automart na kufaidika na kuwekwa katika mtandao wa cheki.co.tz (tovuti namba 1 ya magari Tanzania pamoja na mitandao ya jamii (facebook) kwa siku 60 baada ya Gulio.Automart imedhaminiwa na SMS WORX, CHEKI.CO.TZ, AUTOSPORT REPAIRSKuhusu Vision Investments

Vision Investments ni moja ya sehemu ambapo mawazo ya mikakati mbalimbali na teknolojia mpya inapohitajika ili kuweka biashara katika mstari wa mbele. Malengo ya Vision ni kutambua, kuunda, kuendeleza, kutoa na kuuza masuluhisho yanayofaa kukidhi mahitaji ya mteja ili kuhakikisha ufanisi wa hali ya juu, uwezo na thamani. Vision pia ni wataalamu wa mtandao, ushauri wa Masoko na usimamizi wa matukio. Kwa taarifa zaidi, tembelea: www.vision.co.tz