6
3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (1) Mtindo wa kibinadamu ni kujitetea wakati mambo hayaendi kama tulivyofikiria Mwa 3;12 Hata wakati imani haifanyi kazi kama ilivyokusudiwa tunapenda kujitetea Tunasema ”labda Mungu hakupenda”. Tunahitaji kutafiti kujua mapenzi ya Mungu kwanza, tuliomba kufuatana na mapenzi yake? Tunaambiwa tuombe kwa imani, na imani inafanya kazi pale ambapo mapenzi ya Mungu yanafahamika, ndiyo maana tunahitaji (tunalazimika) kufahamu mapenzi ya Mungu

Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

  • Upload
    others

  • View
    13

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (1)

• Mtindo wa kibinadamu ni kujitetea wakati mambo hayaendi kama tulivyofikiria

• Mwa 3;12

• Hata wakati imani haifanyi kazi kama ilivyokusudiwa tunapenda kujitetea

• Tunasema ”labda Mungu hakupenda”. Tunahitaji kutafiti kujua mapenzi ya Mungu kwanza, tuliomba kufuatana na mapenzi yake?

• Tunaambiwa tuombe kwa imani, na imani inafanya kazi pale ambapo mapenzi ya Mungu yanafahamika, ndiyo maana tunahitaji (tunalazimika) kufahamu mapenzi ya Mungu

Page 2: Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (2)

• MUNGU SI TATIZO – YEYE NI UFUMBUZI • Wakati mambo hayaendi tatizo liko kwetu

• Tunahitaji kubadilika kusudi imani iweze kuanza kufanya kazi kama ilivyokusudiwa

• Inawezekana lakini kuna mashariti kama itafanya kazi

• Yak 1;5-8 5 Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa. 6Ila na aombe kwa imani, pasipo shaka yo yote; maana mwenye shaka ni kama wimbi la bahari lililochukuliwa na upepo, na kupeperushwa huku na huku. 7Maana mtu kama yule asidhani ya kuwa atapokea kitu kwa Bwana. 8Mtu wa nia mbili husita-sita katika njia zake zote.

• Neno hii la Munugu lipo kwa kusudi nzuri kwetu.

• Ulipokea wokovu kwa imani, sasa unahitaji kuishi kwa imnai

• Rum 1;17

• Rum 14;23

• Mungu anapenda maisha yetu yote yawe ya kiimani

Page 3: Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (3)

• JIFUNZE JINSI MUNGU ALIVYO KWA KUPITIA NENO LAKE • Mungu anatenda kutokana na msingi wa upendo, tunapoanza kuelewa hivyo inakua rahisi zaidi

kutokusikia hukumu ya adhabu.

• Hisia ya hukumu ya adhabu inatokana na ufahamu mdogo au hasi katika neno la Mungu = Hatumjui Mungu.

• Pia sababu nyingine inawezekana kuwa tunamsikiliza shetani anayetushitaki bila haki wala msingi. Ufu 12:10c 10c kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu, yeye awashitakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku

• Shetani kawaida yake anapenda kupindisha ukweli, hata neno la Mungu. Kwa njia hiyo anajaribu kutumia neno la Mungu kwa kutushitaki na kutuhukumu. (ni Muhimu sana kukubuka kwamba shetani si hakimu halali).

• Unapomjua Mungu na neno lake, inakupa uwezo wa kusimama kinyume na shetani kwa sababu ufahamu wako wa neno ni mzuri.

• Yak 1:5-8 ni neno la kukusaidia.

• Mark 4:35-40 Yesu hapa anaonyesha nguvu ya imani inayotokea na kumwamini Mungu

• Mark 7:6-8 Katika sehemu hii Yesu anawaonya wasiyo na imani, wasiyomjua Mungu. Na sababu ya kufanya hivyo ni kwamba watu hao wamezingatia sheria zilizotungwa na wanadamu kuliko kujaribu kumfahamu Mungu na mafundisho yake.

• 2 Tim 3:5 Katika sehemu hii Pulo anaongea juu ya jinsi watu watakaokuwa katika siku za mwisho, hasa ukianza kusoma kutoka mstari wa kwanza na kuendelea. Ingawa wanaishi kinyume na neno la Munugu linavyofundisha bado wanajidai kuwa wafusi wa Munugu. Laikini maisha yao hayaendani na kusudi la Mungu, nguvu yake wanaikataa.

• Mungu ni mvumilivu sana na imani iliyo ndogo, kama inapenda kukua.

• Ni muhimu sana kujifunza namna ya kukuza imani ndani ya maisha yetu.

Page 4: Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (4)

• SHETANI KILA WAKATI ANAJARIBU KUPINGA NENO LA MUNGU. • Rum 10:17

• Mwa 3:1ff Shetani anapenda sana kupanda mashaka juu ya yailonenwa katika neno la Munugu

• Kwa nini? Ni kwa sababu ndani ya neno la Mungu kuna ahadi nyingi kubwa sana! 2Petr 1:3-4

• Shetani hapendi umiliki hizo ahadi. Shetani anafahamu sana nguvu iliomo ndani ya neno inapoanza kutenda kazi ndani ya maisha ya watu wa Mungu.

• Matt 24:35 Neno la Mungu ni la kuaminiwa

• Yoh 4:24, 6:63 Neno lake ni uhai na ya kiroho

• Hes23:19 Maneno yake ni ya kweli

• Zab 89:35, Kut 2:24. Mungu ni mdhamini wa maneno yake

• Mwa 1:3 Neno la Mungu linaumba

• Yoh 14:23 Mungu – Neno lake – Yesu – Roho Mtakatifu hayawezi kutenganika

• 1Petr 1:23 Neno ni mbegu wa milele isiyo haribika na lenye kuleta mabadiliko

Page 5: Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (5)

• NENO NI MBEGU INAYOTOA MAZAO YA KIUJIZA • Katika Mk 4 tunaweza kusoma juu ya upandaji

• Mungu aliumba ulimwengu kwa matashi wake Mwa 1:3

• Yesu anashikilia, anategemeza ulimwengu kwa nguvu ya neno lake Hebr 1;3

• Ulimwengu wote unatawaliwa na kuongozwa kwa neno, neno hili Mungu amekupatia wewe – Neno lake

• Hayo maneno (kuamini neno la Mungu) ni mbegu inayoota na kuzaa

• Katika Mk 4:10-20 Yesu anafafanua mfano wa upandaji

• Matokeo ya uotaji ni jinsi ardhi ilivyo

• Pitia huo mfano wa upandaji na uangalie jinsi inavyotuhusu: Mk 4:1-20

• Unapoanza kuishi ”maisha ya kiimani” shetani atafanya kila atakachokiweza uanze kutiwa mashaka na kukata tamaa

• Atatumia kila aina ya mbinu hata waumini wengine….

• Kama tutaweza kusimama imara tunahitaji kuwa safi

Page 6: Imani katika Utendaji Imani itokayo ndani ya Neno la Mungu

3.IMANI ITOKAYO NDANI YA NENO LA MUNGU (6)

• IMANI NA KUSTAHIMILI INALETA ILIYOAHIDIWA • Hebr 6:12 12ili msiwe wavivu, bali mkawe wafuasi wa hao wazirithio ahadi kwa

imani na uvumilivu.

• Tukiwa na imani na tukiwa wavumilivu mwisho tutapewa urithi wetu • Tunatakiwa kupanda

• Tunatakiwa kusubiri • Mungu ndiye atimizaye ahadi

• Panda, panda, panda • Soma neno, panda subiri ifanye kazi ya kuota, mavuno yatakuja kwa wakati

wake

• Joh 14:21, 23 • 2Kor 5:7

• 2Kor 1:20 • Mungu ameahidi

• Mungu amebariki • Mungu ni mwaminifu kwa neno lake

• Mungu ana guvu ya kuumba ndani ya maneno yake