8
Hali ya Elimu ya Tanzania mwaka 2015 na kuendelea JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA ? 127 Barabara ya Mafinga, ikipakana na Barabara ya Kinondoni S.L.P 38342, Dar es Salaam. t: +255 22 266 4301-3 e: [email protected] | www.twaweza.org | www.uwezo.net ‘Uwezo’ ni jihada inayotekelezwa na shirika la Twaweza Afrika ya Masahriki. Twaweza inafanya kazi kuwawezesha watoto kujifunza, wananchi kuchukua hatua kuleta mabadiliko na kuifanya serikali kuwa wazi na sikivu kaka kutoa huduma bora kaka nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Uwezo ni tathmini kubwa zaidi barani Afrika inayofanyika nchini kupima ujuzi wa watoto kaka kusoma na kufanya hesabu. Tathmini ya Uwezo ya 2014 ni ya awamu ya tano ya kupima watoto wa miaka 7 hadi 16 ili kubaini uwezo wao kaka kusoma na kufanya hesabu. Ili kufanikisha tathmini hii, Uwezo Tanzania ilishirikisha wadau ambao ni mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) kurabu shughuli za tathmini kaka wilaya zao na kuwezesha wahojaji wa kujitolea kutembelea vijiji/mitaa ya sampuli, shule na kaya kwa ajili ya kukusanya data. Kuanzia Septemba hadi Novemba mwaka 2014, wahojaji wa kujitolea waliwapima watoto 32,694 kaka kaya takriban 16, 013. Aidha, watafi wa kujitolea walitembelea shule za msingi za serikali 1,309 na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi shuleni, upakanaji wa rasilimali na vifaa ya kufundishia na kujifunzia.

JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

  • Upload
    others

  • View
    14

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Hali ya Elimu ya Tanzania mwaka 2015 na kuendelea

JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?

127 Barabara ya Mafi nga, ikipakana na Barabara ya KinondoniS.L.P 38342, Dar es Salaam. t: +255 22 266 4301-3 e: [email protected] | www.twaweza.org | www.uwezo.net

‘Uwezo’ ni jiti hada inayotekelezwa na shirika la Twaweza Afrika ya Masahriki. Twaweza inafanya kazi kuwawezesha watoto kujifunza, wananchi kuchukua hatua kuleta mabadiliko na kuifanya serikali kuwa wazi na sikivu kati ka kutoa huduma bora kati ka nchi za Tanzania, Kenya na Uganda. Uwezo ni tathmini kubwa zaidi barani Afrika inayofanyika nchini kupima ujuzi wa watoto kati ka kusoma na kufanya hesabu.

Tathmini ya Uwezo ya 2014 ni ya awamu ya tano ya kupima watoto wa miaka 7 hadi 16 ili kubaini uwezo wao kati ka kusoma na kufanya hesabu.

Ili kufanikisha tathmini hii, Uwezo Tanzania ilishirikisha wadau ambao ni mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) kurati bu shughuli za tathmini kati ka wilaya zao na kuwezesha wahojaji wa kujitolea kutembelea vijiji/mitaa ya sampuli, shule na kaya kwa ajili ya kukusanya data. Kuanzia Septemba hadi Novemba mwaka 2014, wahojaji wa kujitolea waliwapima watoto 32,694 kati ka kaya takriban 16, 013. Aidha, watafi ti wa kujitolea walitembelea shule za msingi za serikali 1,309 na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi shuleni, upati kanaji wa rasilimali na vifaa ya kufundishia na kujifunzia.

Page 2: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Watoto wengi hawapati elimu ya awali (chekechea)

Wanafunzi walioandikishwa shule za awali, 62% wanatoka kwenye kaya tajiri (Tajiri na tajiri sana) ukilinganisha na 23% kutoka kaya masikini (masikini sana na masikini)

Asilimia ya mgawanyo wa wanafunzi wenye miaka 5-6 ambao wanasoma darasa la awali kulingana na hali ya kijamii na kiuchumi ya kaya, 2014

Moja kati ya shule tano za msingi za serikali (20%) zilizofanyiwa utafiti wakati wa tathmini hazikuwa na darasa la awali.

Utafiti unaonesha kuwa 84% ya watoto wenye umri wa kwenda shule za awali (miaka 5-6) ambao hawajaandikishwa wanaishi maeneo ya vijijini. Uandikishaji wa watoto kwenye shule za awali katika maeneo ya mijini (54%) ulikuwa mkubwa zaidi ukilinganisha na maeneo ya vijijini (46%)

Kuna tofauti kubwa ya upatikanaji wa elimu ya awali kulingana na maeneo (mijini na vijijini) na hali za kiuchumi.

Kitaifa, wavulana na wasichana wana fursa sawa ya kupata elimu ya awali

Watoto 6 kati ya 10 (64.7%) wenye umri wa kwenda shule za awali (miaka 5-6) hawajaandikishwa. Miongoni mwa watoto wenye umri wa kwenda shule za awali (miaka 5-6) 35.3% wameandikishwa.

Kiwango kikubwa cha watoto bado wako nje ya shule1 2

48.6% 51.4% 51.3% 48.7% 62% 38%

WAMEANDIKISHWA

Asilim

ia y

a w

atot

o kw

a uw

iano

wa

kijin

sia

HAWAJAWAHI KUANDIKISHWA WAMEACHA

Watoto ambao waliacha shule, 62% ni wavulana na 38% ni wasichana.

Watoto 2 kati ya 10 (19.2%) wenye miaka kati 7 na 16, hawakuwahi kuandikishwa ama waliacha shule.

Masikini14.9%

Masikini Sana8.3%

Maisha ya kati 14.7%

Tajiri sana40.5%

Tajiri21.6%

Kati ya watoto ambao wako nje ya shule, takriban watoto 8 kati ya 10 (81.7%) hawajawahi kuandikishwa, na wawili kati ya kumi (18.3%) waliacha shule.

Mambo Matano Kuhusu Elimu

2

Page 3: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Watoto wengi hawapati elimu ya awali (chekechea)

Wanafunzi walioandikishwa shule za awali, 62% wanatoka kwenye kaya tajiri (Tajiri na tajiri sana) ukilinganisha na 23% kutoka kaya masikini (masikini sana na masikini)

Asilimia ya mgawanyo wa wanafunzi wenye miaka 5-6 ambao wanasoma darasa la awali kulingana na hali ya kijamii na kiuchumi ya kaya, 2014

Moja kati ya shule tano za msingi za serikali (20%) zilizofanyiwa utafiti wakati wa tathmini hazikuwa na darasa la awali.

Utafiti unaonesha kuwa 84% ya watoto wenye umri wa kwenda shule za awali (miaka 5-6) ambao hawajaandikishwa wanaishi maeneo ya vijijini. Uandikishaji wa watoto kwenye shule za awali katika maeneo ya mijini (54%) ulikuwa mkubwa zaidi ukilinganisha na maeneo ya vijijini (46%)

Kuna tofauti kubwa ya upatikanaji wa elimu ya awali kulingana na maeneo (mijini na vijijini) na hali za kiuchumi.

Kitaifa, wavulana na wasichana wana fursa sawa ya kupata elimu ya awali

Watoto 6 kati ya 10 (64.7%) wenye umri wa kwenda shule za awali (miaka 5-6) hawajaandikishwa. Miongoni mwa watoto wenye umri wa kwenda shule za awali (miaka 5-6) 35.3% wameandikishwa.

Kiwango kikubwa cha watoto bado wako nje ya shule1 2

48.6% 51.4% 51.3% 48.7% 62% 38%

WAMEANDIKISHWA

Asilim

ia y

a w

atot

o kw

a uw

iano

wa

kijin

sia

HAWAJAWAHI KUANDIKISHWA WAMEACHA

Watoto ambao waliacha shule, 62% ni wavulana na 38% ni wasichana.

Watoto 2 kati ya 10 (19.2%) wenye miaka kati 7 na 16, hawakuwahi kuandikishwa ama waliacha shule.

Masikini14.9%

Masikini Sana8.3%

Maisha ya kati 14.7%

Tajiri sana40.5%

Tajiri21.6%

Kati ya watoto ambao wako nje ya shule, takriban watoto 8 kati ya 10 (81.7%) hawajawahi kuandikishwa, na wawili kati ya kumi (18.3%) waliacha shule.

3

Page 4: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Uw

ezo

wa

wat

oto

Kiw

ango

cha

el

imu

cha

mam

aKiwango cha elimu ya mama kina ushusiano na uwezo wa watoto kujifunza

3 Matabaka kwenye elimu yameendelea kuwepo4

Kwa wastani, mama mwenye kiwango kikubwa cha elimu, watoto wake walikuwa na matokeo mazuri kwenye majaribio ya Uwezo ya kusoma na kuhesabu.

Watoto 8 kati ya 10 (81%) ambao mama zao wana elimu ya sekondari walifaulu jaribio la Kiswahili ukilinganisha na watoto 6 kati ya 10 (63%) ambao mama zaohawajapata elimu yoyote rasmi.

Watoto 5 kati ya 10 (54%) ambao mama zao wana elimu ya sekondari walifaulu jaribio la Kingereza ukilinganisha na watoto 2 tu kati ya 10 (22%) ambao mama zao hawakuwa na elimu yoyote rasmi.

Watoto 7 kati ya 10 (69%) ambao mama zao wana elimu ya sekondari walifaulu jaribio la hesabu ukilinganisha na wanafunzi 4 tu kati ya 10 (44%) ambao mama zao hawakuwa na elimu yoyote rasmi.

44% 22% 63% 55% 33% 72% 69% 54% 81% 67% 66% 86%

HAJASOMA ELIMU YA MSINGI ELIMU YA SEKONDARI CHUO

HISABATI KINGEREZA KISWAHILI

Kuna tofauti kubwa katika viwango vya kusoma na kuhesabu kimkoa. Kwa mfano, kiwango cha ufaulu miongoni mwa watoto wenye miaka 9-13 katika jaribio la Kiswahili vinaanzia kati ya 28% mkoa wa Mara hadi 81% mkoa wa Dar es Salaam.

Watoto (miaka 9-13) ambao wamefaulu jaribio la Kingereza, kimkoa, 2014

Asilimia ya watoto (miaka 7-16) waliofaulu majaribio ya Kiswahili, Kingereza na hesabu, kwa kigezo cha hali ya kijamii na kiuchumi ya kaya, 2014

Watoto (miaka 9-13) ambao walifaulu jaribio la hesabu, kimkoa, 2014

Lengo la 6 kimataifa la kutoa Elimu Bora kwa Wote halijafikiwa 5

46% hawawezi kusoma hadithi ya Kiswahili ya kiwango cha darasa la 2

81% hawawezi kusoma hadithi ya Kingereza ya kiwango cha darasa la 2

65% hawawezi kufanya hesabu za kuzidisha za kiwango cha darasa la 2

46%

Kiswahili81%

Kiingereza 65%

Ufaulu katika stadi za kusoma na kufanya hesabu bado upo chini kwenye madarasa yote. Kwa mfano, miongoni mwa watoto wa darasa la 3 mwaka 2014:

Masikini Sana Masikini Maisha ya kati Tajiri Tajiri Sana

KiswahiliHisabati

Kiingereza

71%

57%

44%42%

26%

50%

37%

23%

42%32%

18%

37%28%

15%

55%

Asilimia ya wanafunzi wa darasa la 3-7 waliofaulu majaribio ya Kiswahili, Kingereza na Hisabati kutokana na kiwango cha elimu cha mama, 2014

Kiswahili Kiingereza Hisabati

Juu Zaidi

Chini Zaidi

Dar es Salaam 81%

Mara 28%

Arusha 55%

Rukwa 6%

Arusha 67%

Rukwa 20%

Watoto (miaka 9-13) ambao wamefaulu jaribio la Kiswahili, kimkoa, 2014

4

Page 5: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Uw

ezo

wa

wat

oto

Kiw

ango

cha

el

imu

cha

mam

a

Kiwango cha elimu ya mama kina ushusiano na uwezo wa watoto kujifunza

3 Matabaka kwenye elimu yameendelea kuwepo44

Kwa wastani, mama mwenye kiwango kikubwa cha elimu, watoto wake walikuwa na matokeo mazuri kwenye majaribio ya Uwezo ya kusoma na kuhesabu.

Watoto 8 kati ya 10 (81%) ambao mama zao wana elimu ya sekondari walifaulu jaribio la Kiswahili ukilinganisha na watoto 6 kati ya 10 (63%) ambao mama zaohawajapata elimu yoyote rasmi.

Watoto 5 kati ya 10 (54%) ambao mama zao wana elimu ya sekondari walifaulu jaribio la Kingereza ukilinganisha na watoto 2 tu kati ya 10 (22%) ambao mama zao hawakuwa na elimu yoyote rasmi.

Watoto 7 kati ya 10 (69%) ambao mama zao wana elimu ya sekondari walifaulu jaribio la hesabu ukilinganisha na wanafunzi 4 tu kati ya 10 (44%) ambao mama zao hawakuwa na elimu yoyote rasmi.

44% 22% 63% 55% 33% 72% 69% 54% 81% 67% 66% 86%

HAJASOMA ELIMU YA MSINGI ELIMU YA SEKONDARI CHUO

HISABATI KINGEREZA KISWAHILI

Kuna tofauti kubwa katika viwango vya kusoma na kuhesabu kimkoa. Kwa mfano, kiwango cha ufaulu miongoni mwa watoto wenye miaka 9-13 katika jaribio la Kiswahili vinaanzia kati ya 28% mkoa wa Mara hadi 81% mkoa wa Dar es Salaam.

Watoto (miaka 9-13) ambao wamefaulu jaribio la Kingereza, kimkoa, 2014

Asilimia ya watoto (miaka 7-16) waliofaulu majaribio ya Kiswahili, Kingereza na hesabu, kwa kigezo cha hali ya kijamii na kiuchumi ya kaya, 2014

Watoto (miaka 9-13) ambao walifaulu jaribio la hesabu, kimkoa, 2014

Lengo la 6 kimataifa la kutoa Elimu Bora kwa Wote halijafikiwa 5

46% hawawezi kusoma hadithi ya Kiswahili ya kiwango cha darasa la 2

81% hawawezi kusoma hadithi ya Kingereza ya kiwango cha darasa la 2

65% hawawezi kufanya hesabu za kuzidisha za kiwango cha darasa la 2

46%

Kiswahili81%

Kiingereza 65%

Ufaulu katika stadi za kusoma na kufanya hesabu bado upo chini kwenye madarasa yote. Kwa mfano, miongoni mwa watoto wa darasa la 3 mwaka 2014:

Masikini Sana Masikini Maisha ya kati Tajiri Tajiri Sana

KiswahiliHisabati

Kiingereza

71%

57%

44%42%

26%

50%

37%

23%

42%32%

18%

37%28%

15%

55%

Asilimia ya wanafunzi wa darasa la 3-7 waliofaulu majaribio ya Kiswahili, Kingereza na Hisabati kutokana na kiwango cha elimu cha mama, 2014

Kiswahili Kiingereza Hisabati

Juu Zaidi

Chini Zaidi

Dar es Salaam 81%

Mara 28%

Arusha 55%

Rukwa 6%

Arusha 67%

Rukwa 20%

Watoto (miaka 9-13) ambao wamefaulu jaribio la Kiswahili, kimkoa, 2014

5

Page 6: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Viwango vya utoro vya walimu vinatia mashaka1

Uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu ni mkubwa sana na umeendelea kuongezeka2

Uwiano wa wanafunzi kwa kitabu ni mkubwa lakini kuna maboresho.3

Kumeendelea kutokuwa na uwiano sawa kwenye mikoa katika idadi ya walimu, vifaa na rasilimali za shule.

5

Kuna upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo kwenye shule4

Walimu watatu kati ya kumi (31%) hakuwepo shule siku ya tathmini ya Uwezo mwaka 2014

Utoro wa walimu shuleni unatofautiana kimikoa kuanzia kiwango cha juu cha 58% mkoani Singida mpaka kiwango cha chini cha 17% katika mikoa ya Manyara na Ruvuma

Uta�ti wa Sauti za Wananchi (April/May 2014), asilimia ya wanafunzi walipoulizwa kuhusu mwalimu kuwepo darasani

Kitaifa, kwa wastani, mwalimu mmoja hufundisha wanafunzi 83 ukilinganisha na uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu wa 40:1 mwaka 2013 na 46:1 mwaka 2012.

Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 inapendekeza uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu wa 45:1.

Kwa wastani, wanafunzi nane wanatumia kitabu kimoja kwa masomo yote yaliyofanyiwa tathmini nchi nzima (Hesabu, Kingereza na Kiswahili) ukilinganisha na wastani wa wanafunzi kwa kitabu katika uwiano wa 30:1 kama ilivyooneshwa mwaka 2013.

Kwa wastani, wasichana 125 hutumia tundu moja la choo. Hii ni mara sita zaidi ya uwiano unaokubalika wa 20:1 na Sera ya Elimu na Ufundi (2014).

Kwa wastani, wavulana 130 wanatumia tundu moja la choo, mara tano zaidi ya uwiano unaokubalika wa 25:1 na Sera ya Elimu na Ufundi (2014).

58%17%

83 45

2013 2014

30

Kwa wastani, wanafunzi 126 mkoa wa Mara wanafundishwa na mwalimu mmoja ukilinganisha na wanafunzi 56 mkoa wa Pwani

Idadi ya wanafunzi ambao wanatumia kitabu kimoja

125 130

126:1

56:1

Mtwara, Njombe,Ruvuma, Katavi,Kilimanjaro

Tabora

28%mwalimu aliingia darasani lakini si kwa siku nzima

34%mwalimu alikuwa darasani kwa siku nzima

38%mwalimu hakuwa darasani kabisa

Mambo Matano Kuhusu Mazingira ya Shule Nchini Tanzania

6

Page 7: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Viwango vya utoro vya walimu vinatia mashaka1

Uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu ni mkubwa sana na umeendelea kuongezeka2

Uwiano wa wanafunzi kwa kitabu ni mkubwa lakini kuna maboresho.3

Kumeendelea kutokuwa na uwiano sawa kwenye mikoa katika idadi ya walimu, vifaa na rasilimali za shule.

5

Kuna upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo kwenye shule4

Walimu watatu kati ya kumi (31%) hakuwepo shule siku ya tathmini ya Uwezo mwaka 2014

Utoro wa walimu shuleni unatofautiana kimikoa kuanzia kiwango cha juu cha 58% mkoani Singida mpaka kiwango cha chini cha 17% katika mikoa ya Manyara na Ruvuma

Uta�ti wa Sauti za Wananchi (April/May 2014), asilimia ya wanafunzi walipoulizwa kuhusu mwalimu kuwepo darasani

Kitaifa, kwa wastani, mwalimu mmoja hufundisha wanafunzi 83 ukilinganisha na uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu wa 40:1 mwaka 2013 na 46:1 mwaka 2012.

Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 inapendekeza uwiano wa wanafunzi kwa mwalimu wa 45:1.

Kwa wastani, wanafunzi nane wanatumia kitabu kimoja kwa masomo yote yaliyofanyiwa tathmini nchi nzima (Hesabu, Kingereza na Kiswahili) ukilinganisha na wastani wa wanafunzi kwa kitabu katika uwiano wa 30:1 kama ilivyooneshwa mwaka 2013.

Kwa wastani, wasichana 125 hutumia tundu moja la choo. Hii ni mara sita zaidi ya uwiano unaokubalika wa 20:1 na Sera ya Elimu na Ufundi (2014).

Kwa wastani, wavulana 130 wanatumia tundu moja la choo, mara tano zaidi ya uwiano unaokubalika wa 25:1 na Sera ya Elimu na Ufundi (2014).

58%17%

83 45

2013 2014

30

Kwa wastani, wanafunzi 126 mkoa wa Mara wanafundishwa na mwalimu mmoja ukilinganisha na wanafunzi 56 mkoa wa Pwani

Idadi ya wanafunzi ambao wanatumia kitabu kimoja

125 130

ukilinganisha na

126:1

56:1

Mtwara, Njombe,Ruvuma, Katavi,Kilimanjaro

Tabora

28%mwalimu aliingia darasani lakini si kwa siku nzima

34%mwalimu alikuwa darasani kwa siku nzima

38%mwalimu hakuwa darasani kabisa

7

Page 8: JE, WATOTO WETU WANAJIFUNZA?na kukusanya takwimu za viashiria vya kishule vinavyoathiri matokeo ya kujifunza kama vile uwiano wa walimu na wanafunzi, mahudhurio ya walimu na wanafunzi

Jaribio la Kiswahili

Jaribio la Hesabu

Sampuli za Majaribio

2

2014

SETI 1Kiswahili

Damasi anaishi katika kijiji cha Amkeni. Anaishi na wazazi wake wote. Damasi anapenda kucheza mpira wa miguu. Anachezea timu yake ya Amkeni. Wakati wa jioni hufanya mazoezi uwanjani. Siku moja Amkeni ilishindana na Majuto. Amkeni iliishinda timu ya Majuto. Amkeni ilipewa zawadi ya mpira. Damasi alifurahi sana timu yake kuishinda Majuto.

Maswali1. Timu gani imepata ushindi?2. Washindi walipewa zawadi gani?

� Mtoto asome hadithi kwa usahihi na kujibu maswali yote mawili

Hadithi

6

2014

Shilingi 700 + Shilingi 100

Shilingi 450+ Shilingi 300

Shilingi 250- Shilingi 200

2 x 3 =

5 x 7 =

5 x 6 =

� Mtoto afanye maswali 3 ya kuzidisha angalu 2 yawe sahihi.

� Mtoto afanye maswali yote 3 angalau 2 yawe sahihi. � Je, mtoto ameweza kutaja jina sahihi la mmea katika picha hii?

SETI 1Hisabati

Kuzidisha Namba

Swali la Ziada

Kujumlisha

� Mtoto atoe mafungu 3 angalau 2 yawe sahihi.

72- 35

33- 25

81- 26

81- 26

90- 38

96- 17

65- 46

34- 17

Kutoa Namba

12 x 3 =

3 x 4 =

4 x 4 =

7 x 8 =

11 x 5 =

M1

M3

M2

Jaribio la Kiingereza

4

2014

SETI 1English

Anna is my elder sister. She wakes up early in the morning. She brushes her teeth and washes her face. She drinks tea and goes to school.

Anna is a clever girl. All the teachers like her. After class, she goes back home. She works on her homework. Then she helps our mother to cook food.

Questions

1. Who wakes up early in the morning?

2. What does Anna do after class?

� The Child to read the story fluently and answer both questions correctly.

Story

8