Upload
others
View
10
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
c
Jimbo Katoliki Moshi Maendeleo ya Kituo cha
Uzalishaji na Mafunzo Kilacha
2012 -2014 Ni masimulizi kwa njia ya picha zinazoonyesha hatua za maendeleo kwa kipindi cha miaka miwili ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya Mpango Mkakati wa Jimbo Katoliki Moshi, unaoelekeza kuwa na uchumi imara wa Jimbo na kuanzisha miradi ya uzalishaji na kuboresha viwango na uwezo wa vyuo Jimboni.
2014
USER [Type the company name]
10/21/2014
1. CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO:
1.1. Madarasa 3 na ofisi
Kabla ya ujenzi
Eneo la madarasa mapya lilivyokuwa kabla ya ujenzi
Baada ya Ujenzi
Wanafunzi wa Kilimo na Mifugo wakiwa ndani ya moja ya madarasa mapya
1.2. Bwalo la chakula
1.3. Bio gas
Sehemu yenye miamba ilichimbwa chini ya ardhi ili kujenga mitungi sita ya kuchakata gesi
Pea moja ya mitungi kati ya tatu iliyojengwa
Eneo la mitambo ya gesi na sehemu ya kukorogea kinyesi cha wanyama, malighafi kuu ya kutengeneza gesi, linavyoonekena baada ya mitungi yote kufukiwa chini ya ardhi
Ufungaji na usambazaji wa mabomba ya gesi kutoka mtamboni hadi jikoni
1.4. Kilimo
Shamba la mahindi la chuo pamoja na shamba la mbaazi kwa ajili ya utafiti kwa kushirikiana na Kituo cha utafiti cha Selia, Arusha
Kilimo cha umwagiliaji. Shamba la mahindi 21 Oktoba 2014
1.5. Kisima kirefu cha maji
Uchimbaji wa maji ya kina kirefu (bore hole) umefanyika na hatimaye maji yalipatikana
1.6. Maabara ya mifugo
1.7. Mtambo wa kuchemsha maji kwa
nguvu za jua
1.8. Ongezeko la idadi ya wanafunzi kutoka
400 hadi 620(2012 -2014)
Wanafunzi wakifanya mitihani ya kujiunga na chuo mwaka 2014
Wanafunzi 161 wa kozi ya CGA wamehitimu 2014
1.9. Kuanza kwa kozi ya Hotel Management
na Tour Guide and Tourism
Somo la ‘human nutrition’ ni sehemu ya kozi ya ‘Hotel Management’
Wahitimu wa kwanza wa Hotel Management 2013
Wazazi wakishiriki pamoja na wanafunzi na walimu katika mahafali
2. UZALISHAJI
2.1. Ongezeko la uzalishaji wa vifaranga,
nguruwe na maziwa
Mashine za kuatamia na kuangulia vifaranga zilizopo hazikidhi ongezeko la mayai ya kuku wa mayai na wa nyama
Makasha ya vifaranga tayari kusafirishwa kwa
wateja
Chakula cha mifugo huchanganywa na
kutengenezwa hapa
2.2. Upanuzi wa banda
Ongezeko la uzalishaji wa vifaranga limesababisha upanuzi wa banda namba 2
2.3. Kilimo cha mahindi
Shamba la kumwagilia kama lilivyokuwa
21/10/2014
2.4. Uwanja wa kukaushia nafaka
Mahindi yaliyokauka huhifadhiwa salama katika silo bila kuweka madawa
2.5. Bwawa la samaki
2.6. Uzalishaji kokoto na utengenezaji
matofali
Matofali imara ya saruji
Uzalishaji wa Kokoto za ¼ , ½ na ¾ inchi
3. SOCIAL CENTRE
3.1. Ilivyokuwa kabla ya ukarabati
Baada ya ukarabati
3.2. Kumbi za mikutano
Ukumbi wa mikutano/semina kwa watu 100 -300
Ukumbi wa mikutano/semina kwa watu 20-40
Ukumbi kwa watu 500 na zaidi
4. OFISI KUU
4.1. Ukarabati wa jengo la ofisi za Kituo cha
Uzalishaji na Mafunzo Kilacha
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi Kuu
5. Mafunzo kwa wafanyakazi
Meneja Mkuu akiwa na wafanyakazi wapya mara tu baada ya semina elekezi mapema 2013
Wafanyakazi wa Kilacha wakishiriki semina kandokando ya ziwa Chala
Wakuu wa idara na vitengo wakishiriki semina juu ya uongozi na hamasa ya kazi
6. UTUNZAJI WA MAZINGIRA
7. ZIARA ZA MAFUNZO
Wanafunzi 29 wa shule ya msingi Mekaela , Mombasa Kenya, walifanya ziara ya mafunzo kuhusu kilimo, ufugaji na gesi
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Walsh, Marekani pia walifika kwa ziara ya mafunzo
Wakuu wa Vitengo na Idara za Kilacha walitembelea St. James Seminary kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na uzalishaji wa 'Bio gas'
Werner Schumaker kutoka Aachen, Germany na ujumbe wake walitembelea mtambo wa kupasua kokoto
Wakuu wa shule, wahasibu na boharia wa shule za sekondari za Jimbo walishiriki semina juu ya utunzaji mahesabu na mali ya asasi hizo
8. Mengineyo
Huduma ya chakula kantini ya Kilacha
Wanafunzi wakijaza nafaka katika silo
Wafanyakazi bora wa mwaka 2014 (wa pili na wa tatu kutoka kushoto walioshika vyeti)
Upande wa nyuma wa Kanisa Mt. Martin Kilacha
Mawasiliano:
Meneja Mkuu,Kilacha Production and Training
Center, P.O.Box 3041, Moshi. Simu: +255
2756219, Mob. +255 754883061, email:
[email protected] , Website:
www.kilacha.co.tz
Photographed and produced by:
Melkiades Msimbe (2014)
mailto:[email protected]:[email protected]://www.kilacha.co.tz/