34
JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 AZIMIO LA KIMATAIFA JUU YA HAKI ZA KIBINADAMU: MASIMULIZI YALIYOFASIRIWA KWA URAHISI NA KUFUPISHWA The Human Rights Centre Uganda

JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

  • Upload
    others

  • View
    13

  • Download
    1

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

The Human Rights Centre Uganda

Page 2: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

UTANGULIZI:Tarehe 10th Desemba 1948, mataifa ya dunia yaliidhinisa Azimio la kimataifa la haki za Kibinadamu, kwa lengo la kulinda heshima, haki sawa na uhuru wa watu wote.

Azimio hilo, linabainisha haki zote za kimsingi na uhuru unaowastahili binadamu wote. Hizo ni haki za kimsingi kwa walimwengu wote, zikiwa za umuhimu kwa usawa na uwiano. Kijitabu hiki, ni cha pili, kwa mifuatano(matoleo) ya Kituo cha Shirika la Haki za kibinadamu la Uganda, (kitabu) ambacho kimefasiriwa kwa lugha za kienyeji zinazozungumzwa sana nchini Uganda. Lugha hizo ni: Acholi, Ateso, Kiswahili, Lango, Luganda, Runyankore, Rukiga, Runyoro na Rutooro. Kituo hiki, kina madhumuni ya kuwapa taarifa wananchi kuhusu haki zao za kimsingi na uhuru wa kimsingi; na tunakuhimiza usambaze taarifa hii, kwa watu wengi kama unavyoweza.

Pongezi maalumu zifikie Ubalozi wa Ufalme wa Norway, na shirika la “Irish Aid” kwa misaada ya kifedha, iliyowezesha uzalishaji wa kijitabu hiki.

Page 3: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda

Copyright © 2011

Page 4: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

1

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

JUA HAKI ZAKO1. Watu sote tumezaliwa huru na sawa kwenye haki zote na heshima, tumezaliwa na elimu ya kujua

mabaya na mzuri kwa hiyo tuwe na utu baina yetu.

Page 5: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

2 The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

2. Unastahili haki za Binadamu na uhuru. Watu wote ni sawa licha ya tofauti za kidini, jinsia na rangi ya mwili.

Page 6: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

3

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

3. Una haki ya kuishi, haki ya uhuru na haki ya ulinzi.

Page 7: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

4 The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

4. Hakuna mtu anayestahili kukufanya mtumwa na wewe hustahili kumfanya mtu yoyote mtumwa.

Page 8: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

5

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

5. Hakuna mtu aliye na haki ya kukunyanyasa na kukuumiza.

Page 9: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

6

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

6. Nina haki ya kulindwa na sheria popote niendapo.

Page 10: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

7

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

7. Sheria ni sawa kwa kila mtu, Itumike sawa kwa kila mtu.

Page 11: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

8

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

8. Unastahili haki sawa pale haki zako zinapokiukwa.

Page 12: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

9

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

9. Hakuna mtu yoyote anaye haki kukufanya mfungwa na kukufukuza kwenye nchi yako bila usawa na sheria kutendeka.

Page 13: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

10

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

10. Wote tuna haki mahakamani na kusikilizwa kwa usawa.

Page 14: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

11

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

11. Kila mtu hana hatia hadi anapoingia hatiani.

Page 15: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

12

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua barua zako, kukukera wewe na familia yako bila sababu maalum na, lazima sheria ikulinde na matatizo hayo.

Page 16: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

13

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

13. Kila mtu ana haki ya kuuishi na kwenda atakapo.

Page 17: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

14

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

14. Kila mtu ana haki ya kwenda kwenye nchi yoyote na kuomba ulinzi akiwa yuko kwenye hatari au ananyanyaswa.

Page 18: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

15

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

15. Kila mtu ana haki ya kuwa raia wa nchi yoyote anayoitaka. Hakuna mtu ana uwezo wa kukukataza kubadili uraia wa nchi unayoitaka.

Page 19: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

16

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

16. Wanamme na wanawake wana haki ya kuoa na kuolewa na kuanzisha familia na haki ya kutemgana kwa talaka.

Page 20: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

17

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

17. Watu wote wana haki ya kumiliki mali na vitu kwa binafsi au kwa kushirikiana na watu wengine.

Page 21: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

18

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

18. Kila mtu ana uhuru wa kuwaza na uhuru wa diini na uhuru wa kubadili diini watakavyo.

Page 22: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

19

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

19. Kila mtu ana uhuru wa maoni na uhuru wa kujieleza na uhuru wa kutoa na kuchukua mawazo na habari atakavyo.

Page 23: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

20

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

20. Una haki ya kukusanyika na kukutana na watu wengine kwa amani na chini ya sheria.

Page 24: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

21

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

21. Kila mtu ana haki ya kuchagua serikali anayoitaka na kushiriki kwenye mipango ya jamii ya serikali.

Page 25: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

22

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

22. Una haki ya kupata usaidizi na kupata msaada wa kujiendeleza kielimu.

Page 26: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

23

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

23. Kila mtu ana haki ya kufanya kazi kwenye mazingira mazuri, kuchagua aina ya kazi, kulipwa mshahara mzuri na kujiunga kwa mashirika ya kufanya biashara.

Page 27: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

24

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

24. Kila mtu ana haki ya likizo ya kulipwa anapofanya kazi.

Page 28: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

25

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

25. Kila mtu ana haki ya chakula kizuri, matibabu, mahali pa kuishi na huduma bora.

Page 29: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

26

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

26. Kila mtu ana haki ya kwenda shule na shule ya msingi itakuwa lazima kwa wote.

Page 30: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

27

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

27. Kila mtu ana haki ya kushiriki kwenye mila za jamii yake.

Page 31: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

28

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

28. Kila mtu ana haki ya kuwa kwenye dunia huru inayoheshimu haki za Binadamu na uhuru kamili.

Page 32: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

29

A Z I M I O L A K I M A T A I F A J U U Y A H A K I Z A K I B I N A D A M U : M A S I M U L I Z I Y A L I Y O F A S I R I W A K W A U R A H I S I N A K U F U P I S H W A

K I S W A H I L I The Human Rights Centre Uganda

29. Una jukumu la kulinda na kuheshimu haki za wenzako.

Page 33: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

K N O W Y O U R R I G H T S S E R I E S 2

30

J U A H A K I Z A K OS E H E M U Y A 2

The Human Rights Centre Uganda J U A H A K I Z A K O , S E H E M U Y A 2

30. Hakuna mtu yoyote anayeruhusiwa kutoa haki za binadamu bila kutumia sheria na bila lengo la kulinda haki za watu wengine.

Page 34: JUA HAKI ZAKO SEHEMU YA 2 - Kiswahili Translation.pdfSEHEMU YA 2 The Human Rights Centre Uganda JUA HAKI ZAKO, SEHEMU YA 2 12. Hakuna anayeruhusiwa kuingia nyumbani kwako, kufungua

The Human Rights Centre Uganda,P. O. Box 25638, Kampala,Uganda.

Telephone: +256 414 266186E-mail: [email protected]: www.hrcug.org