Upload
rajabmumbee
View
28
Download
0
Embed Size (px)
DESCRIPTION
stone
Citation preview
Walivyosema ya kale dhahabu, kweli pale nimepata jawabu,Lile neno uzima wa milele, dhawabu,Ipe roho chakula chake ile, kila kitu mgharo wa dhahabu,Onyesha nguvu yako iwe neno, chanzo cha yote kila kilichomo,Nipe busara kama ya solomoni,Yalo mema yatoke mdomoni,Vishindo vimtoe nyoka pangoni,Buradani iwe mpaka shingoni,