New Bulletin 21

Embed Size (px)

DESCRIPTION

WIZARA YA NISHATI NA MADINI NI MFANO WA WIZARA BORA

Citation preview

  • Gesi yazidi kugundulika Uk4 Bomba la gesi baharini lakamilika!!Uk10

    Toleo No.21 Limesambazwa kwa Taasisi na Idara zote MEM Tarehe Juni 20-26, 2014

    BulletinNews

    Ofisi ya Mawasiliano Serikalini inapokea habari za matukio mbalimbali kwa ajili ya News Bullettin hii na Jarida la Wizara ya Nishati na Madini

    Wasiliana nasi Kitengo cha Mawasiliano kwa simu Namba +255 22 2110490 Fax 2110389 Mob: +255 732 999263 au Fika Ofisi ya Mawasiliano Ghorofa ya Tano (MEM) Barua pepe: [email protected]

    http://www.mem.go.tz

    HABARI ZA NISHATI &MADINI

    Si kikwazo utafiti wa mafuta, gesi

    Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo

    Kwa mfano kuna haya maeneo ya mipaka ambayo kuna rasilimali za gesi, mafuta na madini yanahitaji kasi na umakini mkubwa katika kufanya maamuzi ili kutokwamisha shughuli za utafiti wa mafuta, gesi na madini.