9
Furaha kwa ulimwengu Nyimbo za Injili, no.153 by Peter E Ngowi

Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

  • Upload
    phamtu

  • View
    305

  • Download
    8

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Furaha kwa ulimwengu

•Nyimbo za Injili, no.153

by Peter E Ngowi

Page 2: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Furaha kwa ulimwengu!

Bwana amekuja,

Nyote mkaribisheni,

Mioyo yenu na mpeni;

by Peter E Ngowi

Page 3: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Wote wamshangilie, Wote wamshangilie,

Na wote na wote wamshangilie

by Peter E Ngowi

Page 4: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Furaha kwa ulimwengu!

Mwokozi ni Mfalme;

Bomde na mlima na

mwamba,

Maji mitoni na shamba,

by Peter E Ngowi

Page 5: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Rudisheni sauti, Rudisheni sauti,

Rudisheni, na rudisheni sauti.

by Peter E Ngowi

Page 6: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Dhambi zisiongezeke,

Wala wahalifu;

Yuaja kutubariki,

Atuletea ushindi;

by Peter E Ngowi

Page 7: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Kuharubu dhambi, Kuharibu dhambi,

Na kuharibu, na kuharibu dhambi.

by Peter E Ngowi

Page 8: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Atawala na neema

Kwao mataifa;

Utukufu na waone,

Haki yake itendeke;

by Peter E Ngowi

Page 9: Nyimbo za Injili, no kwa ulimwengu! Mwokozi ni Mfalme; Bomde na mlima na mwamba, Maji mitoni na shamba, by Peter E Ngowi

Kwa upendo wake, Kwa upendo wake,

Kwa upendo, na kwa upendo wake

by Peter E Ngowi