12
OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA Kumb. Na. SPSS/ADMN/Vol II/01/ ___/____/_______ Ndugu_____________________________ _____ _____________________________ _____ _________________________________ YAH: TAARIFA YA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO-2017 Ninayo furaha kukufahamisha kuwa umechaguliwa kuingia kidato cha TANO katika Tahasusi ya_______ katika mwaka wa Masomo wa 2017/2018; Hongera sana. Unatakiwa kufika hapa shuleni tarehe ___/___/______. Nafasi yako atapewa mtu mwingine iwapo utashindwa kuripoti baada ya tarehe___/___/______ MAHALI SHULE ILIPO Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli ipo Mkoa wa Ruvuma, katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa. Ukiwa Songea, utapanda magari yanayoenda moja kwa moja Liuli kupitia Mbinga na Mbamba-bay. Tumia mabasi ya Kampuni ya Kisumapai Express au Sadi Extra. Umbali kutoka Songea Mjini hadi Liuli ni Kilometa 192. Shule imejengwa karibu na ufukwe wa Ziwa Nyasa na hali ya hewa ni nzuri. Pamoja na taarifa hii, naambatisha vitu vifuatavyo:- (i) Fomu na 1: Mambo ya kuzingatia na mahitaji. (ii) Fomu na 2: Sheria za Shule. (iii) Fomu na 3: Kukubali au kukataa kujiunga na shule. (iv) Fomu na 4: Taarifa Binafsi za mwanafunzi. (v) Fomu na 5: Special Request for Medical Examination (vi) Fomu na 6: Important Essential References NB;Fika na fomu zote shuleni Natanguliza shukrani zangu, Wako katika ujenzi wa Taifa, ……………… Ndunguru, M.E Kaimu Mkuu wa Shule

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA · OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule

Embed Size (px)

Citation preview

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

Kumb. Na. SPSS/ADMN/Vol II/01/ ___/____/_______

Ndugu _____________________________ _____

_____________________________ _____

_________________________________

YAH: TAARIFA YA KUCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO-2017

Ninayo furaha kukufahamisha kuwa umechaguliwa kuingia kidato cha TANO katika Tahasusi

ya_______ katika mwaka wa Masomo wa 2017/2018; Hongera sana.

Unatakiwa kufika hapa shuleni tarehe ___/___/______. Nafasi yako atapewa mtu mwingine

iwapo utashindwa kuripoti baada ya tarehe___/___/______

MAHALI SHULE ILIPO

Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli ipo Mkoa wa Ruvuma, katika Halmashauri ya Wilaya ya

Nyasa. Ukiwa Songea, utapanda magari yanayoenda moja kwa moja Liuli kupitia Mbinga na

Mbamba-bay. Tumia mabasi ya Kampuni ya Kisumapai Express au Sadi Extra. Umbali kutoka

Songea Mjini hadi Liuli ni Kilometa 192. Shule imejengwa karibu na ufukwe wa Ziwa Nyasa na

hali ya hewa ni nzuri.

Pamoja na taarifa hii, naambatisha vitu vifuatavyo:-

(i) Fomu na 1: Mambo ya kuzingatia na mahitaji.

(ii) Fomu na 2: Sheria za Shule.

(iii) Fomu na 3: Kukubali au kukataa kujiunga na shule.

(iv) Fomu na 4: Taarifa Binafsi za mwanafunzi.

(v) Fomu na 5: Special Request for Medical Examination

(vi) Fomu na 6: Important Essential References

NB;Fika na fomu zote shuleni

Natanguliza shukrani zangu,

Wako katika ujenzi wa Taifa,

………………

Ndunguru, M.E

Kaimu Mkuu wa Shule

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

FOMU NAMBA 1: MAMBO YA KUZINGATIA NA MAHITAJI

(i) Ripoti shuleni tarehe ya kufungua shule bila kukosa

(ii) Fika shuleni ukiwa na cheti cha kuzaliwa.

(iii) Fika na nakala ya cheti cha IV (Result slip) na Leaving Certificate.

(iv) Fika na Fomu ya kupimwa afya ikiwa imejazwa na Daktari wa Serikali.

(v) Fika na mahitaji yote uliyoagizwa kuja nayo.

(vi) Fika kabla au katika tarehe iliyotajwa hapo juu.

(vii) Malipo ya ada na michango mingine yalipwe kupitia Benki ya NMB jina la Akaunti ni

St. Paul’s Secondary School; nambari ya Akaunti ni 6171200083. Fika shuleni na hati

zote za malipo uliyolipia Benki, hatupokei fedha taslimu mkononi

(viii) Mchango wa matibabu utakabidhi fedha taslimu kwa muhasibu wa shule-fedha hiyo ni

kwa ajili ya huduma ya kwanza tu.

MAHITAJI MBAMBALI

1.1 Sare ya Shule

(a) Mwanafunzi anatakiwa awe na Suruali mbili bluu iliyoiva (dark blue), zenye

marinda madogo mawili upande wa mbele na mfuko moja nyuma, pana na

zinazofunika viatu, ziwe na pindo la chini (turn-up)

(b) Mkanda wa ngozi mweusi wa suruali wenye “buckle” ndogo.

(c) Viatu vya ngozi vyeusi jozi mbili, visivyochongoka wala kuinuka kwa mbele na

vyenye visigino vilivyoinuka kidogo. Ndala au sandals haziruhusiwi kuvaliwa na

sare.

(d) Soksi nyeupe (fupi) jozi mbili, sizizo na mapambo yoyote.

(e) Shati mbili nyeupe mikono mirefu, vishikizo vya kawaida (siyo chuma)

(f) Sare za michezo ni bukta nyeusi, raba nyeupe na fulana nyeusi yenye michirizi

myeupe pamoja na track suit nyeusi mbili (2)

(g) Aje na nguo za kazi ambazo ni suruali mbili (2) za khaki zenye marinda madogo

mawili upande wa mbele na mfuko moja nyuma, pana na zinazofunika viatu, ziwe

na pindo la chini (turn-up)na fulana mbili (2) za kola (maarufu kama form six)

rangi ya bluu iliyoiva (dark blue)

(h) Aje na sweta rangi ya bluu iliyoiva (dark blue) yenye shingo ya herufi V.

(i) Tai mbili fupi za bluu iliyoiva (rangi sawa na ya suruali)

(j) Vesti nyeupe mbili au zaidi.

1.2 Ada na michango ya shule:

(i) Tshs. 70,000/= kwa ajili ya ada kwa mwaka au Tshs. 35,000/= kwa muhula.

(ii) Tshs. 5,000/= kwa ajili ya tahadhari (caution money).

(iii)

(iv) Tshs. 6,000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha.

(v) Tshs. 20,000/= kwa ajili ya mtihani wa mock na majaribio.

(vi) Tshs. 20,000/= kwa ajili ya gharama za taaluma kwa mwaka.

(vii) Tshs. 2,000/= kwa ajili ya nembo ya shule.

(viii) Tshs. 30,000/= kwa ajili ya mchango wa wapishi na vibarua wengine kwa

mwaka

(ix) Tshs. 15,000/= kwa ajili ya ukarabati wa majengo.

(x) Tshs. 10,000/= kwa ajili ya matibabu kwa mwaka (huduma ya kwanza pekee).

Gharama nyingine za matibabu nje ya huduma ya kwanza zitagharimiwa na

mzazi/mlezi wa mwanafunzi.

(xi) Karatasi bunda 1 size A4 kwa mwaka (siyo fedha).

1.3 Mahitaji ya Bwenini

(i) Godoro moja la ukubwa wa futi 2 ½ kwa sita.

(ii) Mto moja na foronya ya bluu bahari.

(iii) Shuka mbili rangi ya bluu bahari.

(iv) Branketi moja.

(v) Sanduku la chuma (trunker) na kufuli imara.

(vi) Chandarua kimoja.

(vii) Ndoo mbili (2) za ujazo wa lita 10. Moja kwa ajili ya matumizi binafsi na ya pili

kwa matumizi ya shule.

(viii) Taa moja inayotumia nguvu ya jua (solata) kwa ajili ya dharura ya umeme.

(ix) Mswaki 1, dawa ya meno kubwa na taulo.

(x) Kandambili (slippers).

1.4 Mahitaji ya mesini, madarasani, na usafi.

(i) Fika na sahani 1, bakuli 1 na kikombe 1.

(ii) Fika na madaftari makubwa 15 (counter books, quire 3).

(iii) Fika ukiwa na mfagio laini 1, mfagio mgumu (hard broom) 1 na mfagio wa

kupigia deki (rubber squeezer) na fagio za chelewa 2.

(iv) Fika na jembe moja (1) lenye mpini na kwanja (slasher) moja (1)

(v) Fika na scientific calculator (silent non-programmable with functions

) na mkebe 1 wanafunzi wanaosoma somo la Jiografia.

TANBIHI:

Mwanafunzi asifike na nguo nyingine yeyote au kitu kingine chochote

zaidi ya vilivyoagizwa kwenye fomu hii.

Mwanafunzi anapokuja shuleni awe amevaa suruali ya bluu iliyoiva

(dark blue) na shati nyeupe mikono mirefu na tai ya bluu iliyoiva (dark

blue)

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

FOMU NA 3: KUKUBALI AU KUKATAA KUJIUNGA NA SHULE

3.1 MWANAFUNZI

(i) Majina Kamili (matatu)______________________________________________

(ii) Shule ya msingi aliyosoma____________________________________________

(iii) Shule ya O-Level aliyosoma__________________________________________

(iv) Namba ya mtihani (CSEE)____________________________________________

(v) Tarehe ya kuzaliwa ___/___/____

(vi) Nakubali/sikubali nafasi niliyopewa (kata lisilohusika)

(vii) Nakiri/nahaidi kutomiliki wala kutumia simu shuleni, kutoshiriki katika migomo,

fujo na makosa ya jinai kama ilivyoainishwa katika sheria za shule.

Sahihi ya mwanafunzi_______________________________________________

3.2 MZAZI/MLEZI WA WANAFUNZI

(a) Nakubali mwanangu apate elimu yake hapo shuleni St. Paul’s Liuli Sekondari.

(b) na kwamba atafuata sheria na maelekezo yote, vinginevyo aadhibiwe.

(c) na kwamba mwanangu nataka alelewe katika dini ya______________________

(d) na kwamba sitampa simu wala siafiki yeye kuwa na simu.

(e) na kwamba pia nitatekeleza masharti/mahitaji yote yaliyoainishwa.

(f) na kwamba sitomuhamisha mwanangu bila sababu ya msingi.

(g) na kwamba mahali atakakokwenda wakati wa likizo ni_____________________

jina la Mzazi/mlezi________________________________ Namba ya simu____________

Anuani__________________________________________ Kijiji/Mtaa____________________

Sahihi ya Mzazi/mlezi_______________________________________ Tarehe___/___/______

3.3 AFISA MTENDAJI KATA/KIJIJI/MTAA

Jina____________________________________________ Kijiji/kata_____________________

Wilaya_________________________________________ Mkoa________________________

Nathibitisha kuwa mwanafunzi_________________________________ ni wa Kijiji/mtaa huu na

raia wa Tanzania/si raia wa Tanzania

Sahihi____________________________________ Muhuri_____________________________

Tarehe: ___/___/_____

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

FOMU NA. 4: TAARIFA BINAFSI ZA MWANAFUNZI

(Ijazwe na mwanafunzi mwenyewe)

1. Jina kamili (kama lilivyo kwenye mtihani)_______________________________ _____

2. Tarehe ya kuzaliwa ___/___/______ Dini_____________ Dhehebu__________________

3. Mahali na wilaya ulipozaliwa___________________________ Jinsia_________________

4. Shule ya msingi uliyosoma_____________________________mwaka uliomaliza_______

5. Shule ya Sekondari _________________________________ mwaka uliomaliza________

Namba ya Mtihani________________

6. Kidato unachokuja kuingia hapa shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli_________________

7. Jina la baba/mlezi___________________________________(Uhusiano)______________

Kazi ya baba/mlezi_______________________________ Dini_______________________

Namba ya simu_________________ Email: ___________________________________

Anuani____________________________________________________________________

Kijiji/Mtaa___________________________ Na. ya Nyumba Kitongoji)_______ ______

Kata______________________ Tarafa___________________ Wilaya________________

Mkoa_____________________________________________________________________

Jina la mama/mlezi__________________________________(Uhusiano)______________

Kazi ya mama/mlezi_______________________________ Dini_______________________

Namba ya simu_________________ Email: ___________________________________

Anuani____________________________________________________________________

Kijiji/Mtaa___________________________ Na. ya Nyumba Kitongoji)_______ ______

Kata______________________ Tarafa___________________ Wilaya________________

Mkoa_____________________________________________________________________

8. Kazi yeyote ya uongozi uliyowahi kufanya.

MADARAKA/UONGOZI SHULE/MAHALI MWAKA

9. Ndugu wa karibu wa mwanafunzi (wa kiume/wa kike) kama mjomba, shangazi, mama

mdogo, baba mdogo, kaka, dada, n.k)

NA: JINA LA NDUGU KAZI

ANAYOFANYA UHUSIANO NA MWANAFUNZI

KIWANGO CHA ELIMU

NAMBA YA SIMU

1.

2.

3.

4.

5.

Nathibitisha kwamba habari zilizotolewa hapo juu ni sahihi. Nahaidi kuwa na tabia njema,

mchapa kazi na mwenye bidii ya masomo.

Tarehe___/___/______ sahihi ya Mwanafunzi__________________

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

FORM NO. 5: SPECIAL REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION

(To be filled by the Government Medical Officer)

Name of the student_____________________________ Date____/___/_____ Term______

I shall be very grateful if you kindly examine the above named student and give us a report

regarding his/her fitness to undertake studies well in our school.

A. PRELIMINARY INFORMATION: MEDICAL INFORMATION

S/N DISEASE YES NO S/N DISEASE YES NO

1. Tuberculosis 8. Diabetes

2. Asthma 9. Nervous breakdown

3. Pneumonia 10. Ear/Nose/Throat trouble

4. Heart trouble 11. Skin disorder/disease

5. Recurrent indigestion 12. V.D

6. Jaundice 13. Disabled

7. Kidney trouble 14.

8. Anaemia 15.

9. Operation 16.

10. Eyes disorder 17.

B. VITAL STATISTICS

Age______________ Height________ Weight_______________ Blood Group____________

Blood Pressure_____________ Pulse rate______________________ Systolic______________

Diastolic______________________________________________________________________

C. MEDICAL EXAMINATION

REMARKS/TREATMENT

EAR RT LT

VISION RT EYE LT E

THROAT

CHEST EXAMINATION

ABDOMINAL EXAM. LIVER SPLEEN

OTHER COMMENTS

M. S SYSTEM UPPER LIMBS

LOWER LIMBS

SKIN

ANY OTHER FINDINGS

D. LABORATORY EXAMINATION/INVESTIGATION

1. STOOL: OVA___________________________ Leucocytes_______________________

2. URINALYSIS Protein______________________________________________________

Glucose_____________________________________________________

Sedment: OVA___________________ Leucocytes___________________

3. Hb_____________________________________________________________________

4. BS_____________________________________________________________________

5. VDRL__________________________________________________________________

6. WBC Total_______________________________________________________

Differential N___________________ L______________________

M________________ ____ E______________________

B___________________

7. X-ray chest (if any)

8. ANY OTHER INVESTIGATION

MEDICAL CERTIFICATE

We request the Medical Officer (M. O) to complete the following:

I have examined the above named student and considered that he or she is physically fit/unfit

for most activities taken at the school as my findings indicated above.

Date:___/___/______ Station______________________________________________ _____

Doctor’s Name:________________________________________ Signature_________ _____

Thank you in Advance;

………………..

Ndunguru, M.E

Ag. The Head of School

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

FORM NO. 6: IMPORTANT AND ESSENTIAL REFERENCES

1. HISTORY

Major Issues in African History- ICD

Major Events in African History- Mwaijage.

The Political Economy Imperialism- By Nabudere

Africa Since 1800, 4th

edition- By Roland Oliver Atmore

The Making of Modern Africa, Vol I

How Europe underdeveloped Africa- By Walter Rodney.

The 20th

Century- By Duff, M. N

Europe from 1815- By Pea Cock

2. GEOGRAPHY

Certificate of Geography (Oxford) By the following writers:

(a) Mary Mugo

(b) Robert Karuggah

(c) Paul Kibuuka

General Geography in Diagrams By R. B. Bunnet

Regional Geography By Nyangwine/Msabila.

Photography Interpretation and

Elementary Surveying for Secondary

Level, New Edition- By S. E. Dura/

Certificate of Human and Economic

Geography- By Morgans and Leong Chang.

Principles in Physical Geography- By Monk house.

Geography- An Integrate Approach- By David Waugh (2009)

3. ENGLISH LANGUAGE

PAPER ONE

(a) A Complete English Course for Form Six- By Michael Kadege

(b) English for Form V and VII- By Michael Kadege.

(c) Teaching English as a Foreign Language- By G. Broughton, et, al.

(d) Longman English Grammar- By L. G Alexander.

(e) Advanced Learner’s Dictionary- Oxford University Press.

PAPER TWO

NOVELS

(a) The beautiful Ones are Not Yet Born- By A. K. Amah.

The Grain of wheat-

(b) A Man of the People- By Chinua Achebe.

(c) Vanishing Shadows- By N. Kayombo.

(d) His Excellence the Head of State

PLAYS

(a) Betrayal in the City

(b) An Enemy of the People

(c) Lwanda Magere.

(d) I Will Mary When I Want.

POETRY

(a) Selected Poems-

(b) Growing up with Poetry-

(c) Summons- By Mabala, et, al.

4. KISWAHILI

TAMTHILIYA

(a) Morani.

(b) Kivuli Kinaishi

(c) Ukingo wa Thim.

(d) Nguzo Mama.

RIWAYA

(a) Usiku Utakapokwisha

(b) Vuta N`kuvute

(c) Mfadhili.

MASHAIRI

(a) Fungate ya Uhuru.

(b) Mapenzi Bora.

(c) Chungu Tamu

OFISI YA RAIS-TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Simu Na. - 0757-38 52 40 HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA - 0755-40 20 34 Shule ya Sekondari St. Paul’s Liuli [email protected] S.L.P 07, LIULI-NYASA

FOMU NA. 2: SHERIA ZA SHULE

Shule inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Elimu namba 25 ya mwaka 1978. Aidha,

inazingatia miongozo yote inayotolewa na Wizara yenye dhamana ya Elimu nchini.

Hivyo unatakiwa kuzingatia mambo ya msingi yafuatayo ili kufanikisha azima yako ya kupata

elimu bora na hatimaye kuwa raia mwema katika jamii na nchi kwa ujumla. Zifuatazo ni

sheria za shule.

A: Sheria za Shule

1. Heshima kwa viongozi, wazazi, wafanyakazi wote, wanafunzi wengine na jamii kwa

ujumla ni jambo la lazima.

2. Mahudhurio mazuri na kwa wakati (kuwahi) darasani na katika shughuli nyingine za

kishule ndani na nje ya shule.

3. Kutimiza kwa umakini maandalio ya jioni (night preparation).

4. Kufahamu mipaka ya shule na kuzingatia kikamilifu maelekezo juu ya kuwepo ndani na nje

ya mipaka hiyo wakati wote wa uanafunzi wako katika shule hii.

5. Kutunza usafi wa mwili na mazingira ya shule. Mwanafunzi haruhusiwi kufuga nywele,

ndevu na kucha ndefu.

6. Mwanafunzi anatakiwa kuvaa sare ya shule wakati wote awapo ndani na nje ya shule.

7. Mwanafunzi anatakiwa kuzingatia ratiba ya shule wakati wote.

8. Lugha chafu, matusi, ugomvi, fitina, kupigana kwa wanafunzi ni mwiko kabisa.

9. Unywaji wa vileo, kuuza pombe na uvutaji wa aina yeyote ni mwiko kwa mwanafunzi.

10. Uharibifu na upotevu wa mali binafsi na za uma ni kosa kubwa.

11. Wageni wa wanafunzi wataruhusiwa kuonana nao baada ya kujitambulisha na

kupokelewa na mwalimu wa zamu, kwa siku ya Jumapili ya kwanza ya mwezi.

12. Mwanafunzi haruhusiwi kuoa wakati akiwa bado mwanafunzi, akibainika atafukuzwa

shule moja kwa moja. Aidha, na marufuku kuwa na uhusiano wa kimapenzi awapo

mwanafunzi. Ukibainika adhabu yake ni kufukuzwa shule.

13. Hairuhusiwi kwa mwanafunzi yeyote kwenda nyumba za walimu na wafanyakazi wasio

walimu bila ruhusa kutoka kwa mwalimu wa malezi na nidhamu.

14. Ni marufuku kwa mwanafunzi kumiliki na kutumia simu ya mkononi.

15. Kukataa adhabu ni kukataa malezi bora ya walezi wako wa shule yenye maana ya kukataa

kuwa mwanafunzi wa shule hii.

16. Mgomo wa aina yeyote shuleni ni marufuku na ni haramu.

17. Mwanafunzi atafuata maelekezo yanayotolewa mara kwa mara na uongozi wa shule.

18. Mwanafunzi atajisafirisha mwenyewe wakati wa likizo au pale atakaporudishwa

nyumbani/kufukuzwa shule.

B: MAKOSA YAFUATAYO YATASABABISHA MWANAFUNZI

KUFUKUZWA SHULE MOJA KWA MOJA.

1. Wizi.

2. Uasherati, ubakaji, ushoga, kusababisha mimba, Kupata mimba,

kutoa mimba.

3. Uvutaji wa sigara, matumizi ya madawa ya kulevya kama vile

cocaine, kubeli, bangi na ulevi wa aina yeyote.

4. Makosa ya jinai.

5. Kupigana, kupiga, na kuchochea ugomvi.

6. Kuoa au kuolewa.

7. Kuharibu makusudi mali ya umma.

8. Kudharau bendera ya Taifa.

9. Kugoma, kuchochea mgomo na kuvuruga amani na usalama

shuleni.

10. Kukataa adhabu kwa makusudi.

11. Kuwa na simu ya mkononi.

……………………….

Ndunguru, M.E

Kaimu Mkuu wa Shule