10

Click here to load reader

Prelimstatementfinalswahili En

Embed Size (px)

DESCRIPTION

prelimstatementfinalswahili_en

Citation preview

Page 1: Prelimstatementfinalswahili En

UMOJA!WA!ULAYA!!UJUMBE!WA!WAANGALIZI!WA!UCHAGUZI!–!TANZANIA!2015!UCHAGUZI!MKUU!

TAMKO!LA!AWALI!

Uchaguzi!uliyokuwa!na!ushindani!mkubwa,!uliyopangwa!vyema!kwa!kiasi!kikubwa,!lakini!ambao!haukuwa!na!jitihada!za!kutosha!za!uwazi!toka!kwa!watendaji!wa!uchaguzi!

Dar!es!Salaam,!27!Oktoba!2015!

MUHTASARI!WA!UTENDAJI!

• Kwa!uchaguzi!wa!Muungano,!upigaji!kura!ulifanyika!kwa!mpangilio!mzuri!na!kwa!kiasi!kikubwakatika! hali! ya! utulivu.!Waangalizi! wa! EU!wameona! upigaji! kura! kuwa! chanya.!Wawakilishi! wavyama! vya! siasa! walikuwepo! kwenye! takriban! vituo! vyote! vya! kupiga! kura! vilivyoangaliwa.Taratibu!za!upigaji!kura!zilifuatwa!wakati!wote!kwenye!vituo!vya!kupiga!kura!vilivyotembelewa,na! kuweza! kutoa! usalama! wa! kutosha! ili! kuhakiki! uhalali! wa! kura! na! uwazi! wa! mchakato.Kulikuwa,! hata! hivyo,! baadhi! ya! vituo! vya! kupiga! kura! Tanzania! bara! na! Zanzibar,! ambapouchaguzi!wa!Muungano!ilibidi!uahirishwe!kutokana!na!kutokuwepo!au!kuharibiwa!kwa!karatasiza!kupiga!kura.!Zoezi! la!kuhesabu! lilianza!mara!moja!baada!ya!vituo!kufungwa!na! liliendeshwambele!ya!mawakala!wa!vyama!vya!siasa!ambao!walipokea!nakala!za!fomu!za!matokeo.!Uhalaliwa!mchakato!wa!kuhesabu!ulilindwa!vya!kutosha!katika!vituo!vya!kupiga!kura!vilivyoangaliwa!naEU!EOM.

• Huko!Zanzibar,!karibia!vituo!vyote!vilivyoangaliwa!vilifunguliwa!muda!uliyopangwa!na!taratibu!zaufunguzi! kwa! kiasi! kikubwa! zilifuatwa.! Upigaji! kura! ulionekana! kwenda! vizuri! katika! vituo! vyakupiga!kura!vilivyoangaliwa.!Upigaji!kura!ulifanyika!kwa!kiasi!kikubwa!katika!mazingira!ya!utulivu,kukiwa!na!matukio!machache!ya!shughuli!za!kampeni!kwenye!maeneo!ya!vituo!vya!kupiga!kura.Wawakilishi! wa! vyama! vya! siasa! walikuwepo! kwenye! takriban! vituo! vyote! vya! kupiga! kuravilivyoangaliwa.!Utendaji!wa!wafanyakazi!wa!ZEC!ulionekana!kwa!kiasi!kikubwa!kuwa!mzuri!namzuri!sana.!Zoezi! la!kuhesabu!kura! lilianza!mara!moja!baada!ya!kufunga!katika!vituo!vyote!vyakupiga!kura!vilivyotembelewa.

• Tume!ya!Taifa!ya!Uchaguzi!(NEC)!na!Tume!ya!Uchaguzi!Zanzibar!(ZEC)!zote!zilionyesha!viwangovya! kutosha! vya! utayari! kwa! ajili! ya! uendeshaji! wa! mchakato! wa! uchaguzi! na! uwezo! wakuendesha!maswala!muhimu!ya!kiutendaji!kama!vile!uchapishaji!wa!karatasi!za!kupiga!kura!nausambazaji!wa!nyenzo!za!upigaji!kura.!Pamoja!na!kutokuwepo!kwa!muundo!wa!kudumu!wa!NEChasa! kwenye! ngazi! za! chini,! waangalizi! wa! EU!wameona! utendaji! wake! kuwa! uliyopangwa! nakujiandaa!vyema.!Katika!uendeshaji!wa!wa!hatua!tofauti!za!mchakato!wa!uchaguzi,!NEC!na!ZEChazikuonyesha! uwazi! kamilifu! juu! ya! taratibu! zao! za! kufanya! maamuzi,! na! uwezo! wa! wadaukuchunguza!utendaji!wao!haukuruhusiwa!mara!zote.!Japokuwa!NEC!ilitoa!maelezo!ya!mara!kwamara! kuhusu! maandalizi! ya! uchaguzi! kupitia! mikutano! na! waandishi! wa! habari,! hatua! hizihazikutosheleza! kujenga!uaminifu!miongoni!mwa!vyama!vya! siasa! juu! ya!uwazi!wa!NEC.!HukoZanzibar,! vyama! vya! siasa! kutopata!maelezo! kuhusu! daftari! la!wapiga! kura! pamoja!mipaka! yamajimbo!pia!viliathiri!uaminifu!wa!vyama!vya!siasa!juu!ya!ZEC!na!mchakato!wa!uchaguzi.

• Mfumo!wa!kisheria!juu!ya!uchaguzi!kwenye!Muungano!na!Zanzibar!unaruhusu!kwa!kiasi!kikubwamsingi! wa! uendeshaji! wa! chaguzi! za! kidemokrasia.! Hata! hivyo,! kuna! mapungufu! kadhaa! yakikatiba! kuhusu! haki! za! kisiasa! na! uhuru! wa! kukusanyika,! na,! kwa! Zanzibar,! kuhusu! haki! yakuandikishwa!kama!mpiga!kura,!ambayo!hayajafanyiwa!kazi!toka!uchaguzi!uliyopita!na!ambayohayazingatii!misimamo!ya!kimatifa!ya!chaguzi!za!kidemokrasia.!Haya!ni!pamoja!na!kutoruhusiwa

Page 2: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa&2&kati&ya&10!

kikatiba!kwa!wagombea!binafsi! kugombea,! kutokuweza!kupinga!matokeo!ya!uchaguzi!wa! rais,!na!kutokuwepo!kwa!taratibu!za!kisheria!kuunda!na!kusajili!umoja!wa!vyama!vya!siasa.!!

• Hakuna!masharti!magumu! kupindukia! katika! kujiandikisha! kama!mpiga! kura! kwa! uchaguzi!waMuungano.!Hata!hivyo,!kwa!uchaguzi!wa!Zanzibar,!masharti!ya!ukazi!ili!kujiandikisha!kama!mpigakura,!na!mamlaka!tete!husika!waliyopewa!masheha&kuhakiki!ukazi!wa!miezi!36!wa!mpiga!kurakatika!jimbo!husika,!yanaonekana!kuwa!magumu!kupita!kiasi.!Madaftari!yote!mawili!ya!wapigakura!yalitolewa!siku!10!kabla!ya!siku!ya!uchaguzi,!na!kuwahi!sharti!la!kutolewa!siku!nane!kabla.Kutolewa!mapema! zaidi! kwa!madaftari! ya! wapiga! kura! kungeruhusu! kwa! uhakiki! wa! kina! nakungeongeza! imani! juu! ya! usahihi!wake! na! pia! kuviwezesha! vyama! vya! siasa! kuwa!na! uelewazaidi! wa! idadi! ya! wapiga! kura! kwa! ajili! ya! kampeni,! hasa! kwa! kuzingatia! mabadiliko! ya! hivikaribuni!ya!mipaka!ya!majimbo.

• EU! EOM! iliangalia! shughuli! 139! za! kampeni.! Pamoja! na! misingi! chanya! kwa! kiasi! kikubwa! yaushindani! wa! uchaguzi! kwa! Tanzania! bara,! baadhi! ya! matokeo! ya! kutokuelewana! kati! yamashabiki! wa! vyama! vinavyopingana! yaliishia! kwa! vurugu.! Pamoja! na! kuwa! matukio! hayahayakupelekea! vurugu! mbaya,! yaliathiri! kiwango! cha! ubora! wa! kampeni.! CCM! imeendeleakunufaika!na!urithi!wake!wa!kihistoria!kama!chama!tawala.!Utumiaji!na!unufaikaji!wa!chama!warasilimali!na!mali!ambazo!hapo!zamani!zilikuwa!za!umma,!kama!vile!viwanja!vya!umma!na!vyamichezo,!ambvyo!EU!EOM!imeona!Mikoa!ya!Arusha,!Dodoma,!Katavi!na!Kigoma,!vimeipa!CCMfaida! juu! ya! vyama! vingine,! na! kuchangia! kwa! kutokuwa! na! uwiano! katika! uwanja!wa! kisiasa.Uzinduzi!wa!baadhi!ya!miradi!mikubwa!katika!wiki!za!mwisho!za!kampeni!ulizidi!kufuta!mipakakati!ya!dola!na!chama!tawala,!na!kuimarisha!kunufaika!kwa!CCM!katika!kampeni.

• Huko! Zanzibar,!migogoro! iliyopo! kati! ya! CCM!na! CUF,! ilipelekea! kuwepo! kwa! kampeni! kali! nagawanyishi! zaidi! kuliko! ilivyokuwa! bara.! Kauli! za! shari! zilizotumika! na! baadhi! ya! viongozi! wavyama!zilichangia!wakati!mwingine!hali!ya!kuonekana!kukosa!uvumilivu!katika!sauti!ya!kampeni,na!kuongezeka!kwa!mitafaruku!ya!kijamii.!Kulikuwa!na!upungufu!wa!uaminifu!juu!ya!utendaji!wapolisi!katika!kampeni!miongoni!mwa!baadhi!ya!wadau!wa!uchaguzi,!na!matukio!ya!hapa!na!paleya! vitisho! dhidi! ya!wapiga! kura! yaliyochochewa! na! vyombo! vya! usalama! yameandikwa! na! EUEOM.!Hata!hivyo,!pamoja!na!matukio!haya,!na!ukali!wa!ushindani,!kampeni!huko!Zanzibar!kwakiasi!kikubwa!zilikuwa!za!amani.

• Vyombo!vya!habari!vya!dola!vilishindwa!kutoa!nafasi!sawa!na!za!haki!za!utangazaji!wa!kampeni.TBC! televisheni! na! redio! pamoja! na! ZBC! televisheni! na! redio!waliipa! kwa! kiasi! kikubwa!mudamwingi!zaidi!wa!hewani!CCM!kuliko!vyama!vingine!vyote!vya!siasa!kwa!pamoja.!Magazeti!ya!dolaya!Zanzibar&Leo!pamoja!na!Daily&News!pia!yalionyesha!kuipendelea!CCM.!Kwa!mtazamo!chanya,baadhi!ya!vyombo!vya!habari!binafsi!vilionyesha!kwa!kiasi!kikubwa!utoaji!habari!za!kampeni!kwauwiano,!hususan!TV!Azam!2,!Radio!One!na!ITV,!pamoja!na!magazeti!ya!kila!siku!ya!Mwananchina!Nipashe.

• Tamko!hili!linatolewa!wakati!ukusanyaji!wa!matokeo!ukiendelea.!EU!EOM!inawashauri!watendajiwa! uchaguzi! kuendeshe! hatua! zijazo! za! mchakato! kwa! uwazi.! Vyama! vyote! vya! siasa! nawagombea!waendelee!kushiriki!katika!mchakato!kulingana!na!mipaka!ya!mfumo!wa!kisheria.

EU& EOM& itabakia& nchini& kuangalia& uorodheshwaji& wa& matokeo& pamoja& malalmiko& yoyote& na&rufaa,& na& itatoa& ripoti& kamili,& yenye& mapendekezo& ya& kina,& ndani& ya& miezi& miwili& baada& ya&kukamilika&kwa&mchakato&wa&uchaguzi.!

Ujumbe&wa&Waangalizi&wa&Uchaguzi&wa&Umoja&wa&Ulaya&(EU&EOM)&umekuwepo&nchini&toka&tarehe&11&Septemba&2015&baada&ya&kupokea&mualiko&toka&Serikali&ya&Jamhuri&ya&Muungano&wa&Tanzania,&Tume& ya& Taifa& ya& Uchaguzi& na& Tume& ya& Uchaguzi& Zanzibar.& Ujumbe& unaongozwa& na& Muangalizi&

Page 3: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa&3&kati&ya&10!

Mkuu&Judith&Sargentini,&Mbunge&wa&Bunge&la&Ulaya.&Kwa&ujumla,&EU&EOM&imetuma&waangalizi&141&nchini&kote&watokao&kwenye&nchi&28&wanachama&wa&Umoja&wa&Ulaya,&pamoja&na&Norway,&Uswisi&na&Canada& ili& kutathmini&mchakato&mzima&wa& uchaguzi& kulingana& na&makubaliano& ya& kimataifa& kwa&chaguzi&halisi&na&wazi&na&pia&sheria&za&Tanzania.&Wawakilishi&toka&Bunge&la&Ulaya,&wanaoongozwa&na& Inés& Ayala& Sender,& Mbunge& wa& Bunge& la& Ulaya,& wamejiunga& pia& na& ujumbe& kabla& ya& siku& ya&uchaguzi& na& wanaunga& mkono& kikamilifu& tamko& hili.& EU& EOM& inatoa& tathmini& pamoja& na&wanayoyaona& kwa& uhuru& na& inazingatia& Tamko& la& Kimataifa& la& Kanuni& za&Uangaliaji&wa&Uchaguzi&lililopitishwa& huko& Umoja& wa&Mataifa& mwaka& 2005.& EU& EOM& inapenda& kutoa& shukrani& zake& kwa&Serikali& ya& Jamhuri& ya& Muungano& wa& Tanzania,& Tume& ya& Taifa& ya& Uchaguzi,& Tume& ya& Uchaguzi&Zanzibar,& vyama& vya& siasa,& asasi& za& kiraia,& vyombo& vya& habari,& pamoja& na&wananchi&wa& Tanzania&kwa&ushirikiano&na&msaada&wao&katika&mchakato&wa&uangalizi.&EU&EOM&inashukuru&pia&Ubalozi&wa&Umoja&wa&Ulaya&Tanzania&na&balozi&za&Nchi&Wanachama&wa&Umoja&wa&Ulaya&nchini&kwa&ushirikiano&wao&kwa&kipindi&chote.&&

MAONI&YA&AWALI&

HISTORIA!

Tarehe!25!Oktoba!2015,!Jamhuri!ya!Muungano!wa!Tanzania! imefanya!uchaguzi!wa!tano!wa!vyama!vingi! tangu! kufutwa! kwa! mfumo! wa! chama! kimoja! mwaka! 1992.! Uchaguzi! wa! rais,! wabunge! na!madiwani! umefanyika! kwa! wakati! mmoja! kwa! Muungano! na! Zanzibar,! ambako! wana! rais! wao!wenyewe,! baraza! la! wawakilishi! na! halmashauri! za! mitaa.! Rais! wa! Muungano,! Jakaya! Kikwete,!anamaliza!kipindi!chake!cha!pili!na!cha!mwisho.!Uchaguzi!wa!2015!umekuwa!na!ushindani!mkubwa,!na! umeshuhudia! chama! tawala! cha! CCM! kikikabiliwa,! kwa! mara! ya! kwanza,! na! umoja! mkubwa!kabisa! wa! vyama! vya! upinzani! vyenye! wabunge! vikimsimamisha! mgombea! mmoja! kwa! nafasi! ya!urais!wa!Muungano.!Pamoja!na!wagombea!toka!CCM!na!Umoja!wa!Katiba!ya!Wananchi! (UKAWA),!ambao! unahusisha! Chama! cha! Demokrasia! na! Maendeleo! (CHADEMA),! Civic! United! Front! (CUF),!National! Convention! for! Construction! and! Reform! (NCCRRMageuzi)! na! National! League! for!Democracy! (NLD),! vyama! vingine! sita! viligombania! urais! wa! Muungano,! ambapo! mgombea! wa!Alliance! for! Change! and! Transparency! (ACT)! alikuwa! mwanamke! pekee.! Kulikuwa! na! wagombea!1,218!waliogombania! viti! 265! vya! Bunge! vya! kuchaguliwa!moja! kwa!moja,! pamoja! na!wagombea!10,879!wa!udiwani.!Kutokana!na!vifo!vya!wagombea,!chaguzi!za!ubunge!na!udiwani!katika!majimbo!sita! (Lushoto,! Ulanga!Mashariki,! Arusha!Mjini,!Masasi,! Ludewa! na! Handeni)! pamoja! na! baadhi! ya!kata,!ziliahirishwa.!

Kwa! urais! wa! Zanzibar,! vyama! 14,! vikiwemo! CCM! na! CUF,! walisimamisha! wagombea.! Rais! wa!Zanzibar,! Ali!Mohamed! Shein!wa! CCM,! amegombea! kipindi! cha! pili.! Serikali! ya! Umoja!wa! Kitaifa,!ambayo! iliwezeshwa! katika!Marekebisho! ya! Katiba! ya! Zanzibar! ya!Agosti! 2010,! iliundwa!baada! ya!uchaguzi!mkuu!wa! Oktoba! 2010,! ambapo! chama! kilichoshika! nafasi! ya! pili! kilimteua!makamu!wa!kwanza!wa!rais!kufanya!kazi!pamoja!na!rais!aliyechaguliwa.!Utaratibu!wa!Serikali!ya!Umoja!wa!Taifa,!sehemu! ya! Katiba! ya! Zanzibar,! utaendelea! kuwepo! baada! ya! uchaguzi! wa! 2015.! Kulikuwa! na!wagombea!180,!wanaowakilisha!vyama!14,!waliyogombea!viti! 54!vya!kuchaguliwa!moja!kwa!moja!vya!Baraza!la!Wawakilishi!Zanzibar.!Viti!vya!udiwani!viligombaniwa!na!wagombea!353.!

MFUMO!WA!KISHERIA!

Mfumo!wa!kisheria!wa!Muungano!na!Zanzibar!unatoa!misingi!toshelezi!ya!uendeshwaji!wa!chaguzi!za! kidemokrasia! ambazo! kwa! kiasi! kikubwa! zinazingatia! misimamo! ya! kimataifa! na! kikanda!iliyoridhiwa!na!Jamhuri!ya!Muungano!wa!Tanzania.!Katiba!zote!mbili,!pamoja!na!sheria!zinazohusu!uchaguzi,!zinahakikisha!haki!za!kisiasa!na!uhuru!wa!msingi.!Hata!hivyo,!kuna!baadhi!ya!mapungufu!ya!kikatiba! kuhusu! haki! za! kisiasa! na! uhuru! wa! kukusanyika,! na! kwa! Zanzaibar,! kuhusu! haki! ya!kujiandikisha! kama! mpiga! kura,! ambayo! hayajafanyiwa! kazi! tangu! uchaguzi! uliyopita! na! ambayo!hayaendani!na!kanuni!za!kimataifa!za!chaguzi!za!kidemokrasia.!Hayo!ni!pamoja!na!kutokuruhuswiwa!

Page 4: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa&4&kati&ya&10!

kwa!wagombea!binafsi! katika!ngazi! zote! za!uchaguzi! ambayo! inakiuka!haki! ya! kushiriki! kwa!uhuru!katika! serikali! ya! nchi,! uhuru! wa! kukusanyika,! pamoja! na! kutokusanyika1,! kutokuweza! kupinga!matokeo!ya!uchaguzi!wa! rais,! kutokuwepo!kwa!marekebisho! stahili! kwa!uteuzi!wa!ugombea!urais!uliyokataliwa!kinyume!cha!sheria,!kutokuwepo!kwa!auni!za!kisheria!kuunda!na!kusajili!umoja!wa!wa!vyama! vya! siasa,! na! kwa! Zanzibar,!masharti!makali! ya! ukazi! kwa! ajili! ya! uandikishwaji! wa!wapiga!kura.! Tofauti! kati! ya! mfumo! wa! kisheria! wa! Tanzania! na! ahadi! zake! za! kimataifa! zinaweza! tu!kufanyiwa!kazi!kwa!marekebisho!ya!Katiba!ya!Jamhuri!ya!Muungano!na!Katiba!ya!Zanzibar.!!!

UENDESHAJI!WA!UCHAGUZI!

Tume!ya!Taifa!ya!Uchaguzi!(NEC)!na!Tume!ya!Uchaguzi!Zanzibar!(ZEC)!zote!zilionyesha!viwango!vya!kutosha! vya! utayari! kwa! ajili! ya! uendeshaji! wa! mchakato! wa! uchaguzi! na! uwezo! wa! kuendesha!maswala!muhimu!ya!kiutendaji!kama!vile!uchapishaji!wa!karatasi!za!kupiga!kura!na!usambazaji!wa!nyenzo!za!upigaji!kura.!NEC!iliweka!mchakato!shirikishi!wa!wa!uandikishwaji!wa!wapiga!kura!ambao!kwa! kiasi! kikubwa! ulihakikisha! wapiga! kura! halali! kupata! haki! yao.! Pamoja! na! kutokuwepo! kwa!muundo!wa!kudumu!wa!NEC!kwenye!ngazi!za!chini,!waangalizi!wa!EU!wameona!utendaji!wake!kuwa!uliyopangwa!na!wa!kujiandaa!vyema.!Waangalizi!wa!EU!kwa!Tanzania!bara!wameripoti!pia,! katika!takriban!mikoa!yote,!mikutano!kati!maafisa!uchaguzi!na!vyama!vya!siasa!ilifanyika!mara!kwa!mara.!Ndani!ya!ZEC,!kulikuwa!na!upungufu!wa!mawasiliano!kati!ya!ZEC!yenyewe!na!maafisa!wilaya,!hasa!huko!Pemba,!ambao!mara!nyingi!hawakuwa!na!maelezo!kuhusu!hali!ya!maandalizi!ya!uchaguzi.!Kwa!Tanzania!bara,!mawasiliano!kati!ya!NEC!na!ngazi!zake!za!chini!yalionekana!kuwa!madhubuti!zaidi.!

Vyama!vya!siasa!vilikuwa!na!maoni!tofauti!kuhusu!uhuru!na!uwazi!wa!NEC!na!ZEC.!Ambapo!baadhi!ya! vyama! vilonyesha! kuwa! na! uaminifu! juu! ya! utendaji! na! uwezo! wa! kufanya! kazi! ipasavyo! ya!watendaji!wa!uchaguzi,!vingine!vilitilia!shaka!zaidi!kutokuwa!na!upendeleo!kwa!NEC!na!ZEC.!!Katika!uendeshaji!wa!wa!hatua!tofauti!za!mchakato!wa!uchaguzi,!NEC!na!ZEC!hazikuonyesha!uwazi!kamilifu!juu! ya! taratibu! zao! za! kufanya! maamuzi,! na! uwezo! wa! wadau! kuchunguza! utendaji! wao!haukuruhusiwa!mara!zote.!Matatizo!yaliyojitokeza!katika!ukamilishaji!wa!madaftari!ya!wapiga!kura!na! uwekaji! mipaka! kwa! Muungano! na! Zanzibar,! pamoja! na! maelezo! ya! kina! kuhusu! mfumo! wa!usimamizi!wa!matokeo! kwa!uchaguzi!wa!Muungano!hayakuelezewa!kikamilifu!na! kwa!wakati! kwa!vyama! vya! siasa! na! umma.! Japokuwa!NEC! ilitoa!maelezo! kwa! vyama! vya! siasa! kuhusu!mfumo!wa!usimamizi! wa! matokeo,! hikuweza! kuondoa! mashaka! yaliyotolewa! na! baadhi! ya! vyama! vya! siasa!kuhusu!maswala!ya!kitaalam!na!teknolojia! iliyotumika!kurusha!matokeo.!NEC!pia! ilitoa!maelezo!ya!mara!kwa!mara!kuhusu!maandalizi!ya!uchaguzi!kupitia!mikutano!ya!mara!kwa!mara!na!waandishi!wa!habari.! Hata! hivyo,! hatua! hizi! hazikutosheleza! kujenga! uaminifu! miongoni! mwa! vyama! vya! siasa!kuhusu!uwazi!wa!NEC.!!!

Vyama!vya!siasa!kutopewa!maelezo!kuhusu!daftari!la!wapiga!kura!na!mipaka!ya!majimbo!pia!iliathiri!uaminfu!juu!ya!ZEC!na!mchakato!wauchaguzi!katika!kuelekea!siku!ya!uchaguzi.!ZEC!ilichelewa!sana!katika!kipindi!cha!mchakato!kutoa!ramani!za!mipaka!ya!majimbo!jambo!ambalo! liliathiri!uwezo!wa!vyama!vya! siasa!kujua!vyema! idadi! ya!wapiga!kura!wao!kwa!ajili! ya!kampeni,!hasa!kwa!kuzingatia!marekebisho!ya!hivi!karibuni!ya!mipaka!ya!majimbo!pamoja!na!ya!utendaji!wa!mitaa!(shehia).!

NEC! ilikuwa! na! jukumu! la! kuratibu! na! kusimamia! shughuli! zilizoendeshwa! na! asasi! za! kiraia! na!vikundi!vya!kijamii!ambavyo!viliruhusiwa!kuendesha!mazoezi!ya!uelimishaji!wapiga!kura.!Pamoja!na!ushirikiano! na! vituo! 49! vya! redio! ambavyo! vilirusha! jumbe! za! uelimishaji! wa! wapiga! kura,! NEC!ilitumia! pia!mitandao! ya! kijamii! na! ilichapisha! vitabu! vya!muongozo! kwa!wapiga! kura,! vyama! vya!siasa!na!kijitabu!cha!maswali!yanayoulizwa!mara!kwa!mara.!Huko!Zanzibar,!elimu!kwa!wapiga!kura!ilifanyika! kwa! kiasi! kikubwa! kupitia! matangazo! ya! mara! kwa! mara! ya! ZEC! yaliyorushwa! na! ZBC!televisheni! na! redio! na! pia! vituo! vya! redio! vya! kijamii.! Makaratasi! ya! matangazo! pamoja! na!

1!African!Court!of!Human!and!Peoples’!Rights,!Judgment&Application&009W011W2011,!Rev&Christopher&Mtikila&v&Tanzania.!

Page 5: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa&5&kati&ya&10!

vipeperushi! vilisambazwa!kwa!asasi! za! kiraia,! ambazo! zilipewa! jukumu! la! kutoa!elimu!kwa!wapiga!kura,!na!madereva!wa!mabasi!ili!watu!waweze!kuona.!!

Waangalizi!wa!EU!waliripoti!kutokuwepo!kwa!elimu!kwa!wapiga!kura!kwa!kiasi!kikubwa!katika!mikoa!iliyo! mingi,! hususan! maeneo! ya! vijijini! na! miongoni! mwa! jamii! za! wafugaji! kama! vile! Wamasai.!Baadhi!ya!mashirika!yasiyo!ya!kiserikali!yaliendeshaji!miradi!midogo!katika!ngazi!ya!mitaa,!iliyolenga!wanawake,! vijana! na! walemavu.! Kwa! kutokuwepo! kwa! elimu! kwa! wapiga! kura! isiyo! ya! kichama,!wapiga!kura!walitegemea!vyama!vya!siasa!kupata!maelezo!ya!msingi!ya!wapiga!kura.!Kutokana!na!mapungufu! katika! jitihada! za! kutoa! elimu! kwa! wapiga! kura! za! NEC,! wapiga! kura! hawakupata!maelezo! kuhusu! taratibu! za! upigaji! kura,! usiri! wa! kura! na! umuhimu! wa! uchaguzi! na! taasisi! za!kidemokrasia.!

UANDIKISHAJI!WA!WAPIGA!KURA!!

Hakuna!masharti!magumu!sana!ya!kujiandikisha!kama!mpiga!kura!kwa!uchaguzi!wa!Muungano.!Kwa!uchaguzi! wa! Muungano! wa! 2015,! Tume! ya! Taifa! ya! Uchaguzi! iliendesha! mchakato! mpya! wa!uandikishaji! wapiga! kura! unaotumia! teknolojia! ya! bayometriki.! Mchakato! sambamba! wa! uchoraji!mipaka! ya! kata,! unaofanywa! na! Ofisi! ya! Waziri! Mkuu,! ulileta! changamoto! kwa! NEC! wakati! wa!Uandikishaji!Wa!Wapiga!Kura!kwa!Njia!ya!Bayometriki!(BVR).!NEC!ilibidi!kupitia!data!za!uandikishaji!wakati!zoezi!la!BVR!likiendelea,!na!kusababisha!kwa!kucheleweshwa!kwa!mchakato!wa!uandikishaji!na!kuhitaji!utoaji!wa! ramani! ilizorekebishwa!na! zinazoonyesha!mabadiliko!ya!mipaka!ya!kata.!Kwa!uchaguzi!wa!Muungano!wa!2015,!jumla!ya!wapiga!kura!22,751,292!waliandikishwa.!!Katika!kendesha!zoezi!la!BVR,!NEC!iliweza!kunasa!asilimia!96!ya!wapiga!kura!halali!waliokadiriwa!na!Ofisi!ya!Taifa!ya!Takwimu.!Mashaka!kuhusu!daftari!kamili!la!wapiga!kura!yalipelekea!NEC!kutoa!muongozo!wa!ziada!kwa!kutarajia!matukio,!ambapo!mpiga!kura!ataruhusiwa!kupiga!kura,!ikiwa!ni!nyongeza!au!mbadala!ya!masharti!ya! jina! la!mpiga!kura!kuwa!kwenye!orodha!na!mpiga!kura!kuwa!na!kitambulisho!halali!cha!kupiga!kura.!Masharti!haya!yalionekana!kuwa!ya!kukubalika!na!shirikishi.!!

Kwa! uchaguzi!wa! Zanzibar,!masharti! ya! ukazi! ili! kujiandikisha! kama!mpiga! kura,! na!mamlaka! tete!husika!waliyopewa!masheha&(maafisa&walioteuliwa&ngazi&ya&mtaa)&&kuhakiki!ukazi!endelevu!wa!miezi!36! wa! mpiga! kura! katika! jimbo! husika,! yanaonekana! kuwa! magumu! kupita! kiasi! na! kupelekea!uwezekano!wa!Wazanzibari!waliyo!wapiga!kura!halali!kukosa!haki!yao.!ZEC!ilifanya!marekebisho!ya!Daftari!la!Kudumu!la!Wapiga!Kura.!Fursa!ya!wapiga!kura!halali!kujiandikisha!ilikuwa!ndogo!kwa!kuwa!walikuwa! wana! siku! mbili! tu! ya! kufanya! hivyo! katika! kituo! kilichopangwa.! Jumla! ya! wapiga! kura!503,860!waliandikishwa.!Mchakato!haukuwa!bila!utata,!huku!CUF! ikidai!kuwa!masheha&hawakutoa!nyaraka!stahili!kwa!wafuasi!wao!kuthibitisha!ama!ustahili!wao!wa!Uzanzibari!au!ukazi!wao.!EU!EOM!iliona!kwa!moja!kwa!moja!kuwa!sharti!la!kuonyesha!kitambulisho!cha!Kizanzibari!au!stakabadhi!yay!a!uandikishaji!wa!mpiga!kura!ili!kuweza!kuchukuwa!kadi!ya!mpiga!kura,!halikufuatwa!wakati!wote!na!maafisa!wa!ZEC.!!

Madaftari! yote! mawili! ya! wapiga! kura! yalichelewa! kutolewa! katika! kipindi! cha! mchakato.! Iwapo!yangetolewa!mapema!zaidi!ingesaidia!kuongeza!imani!ya!usahihi!ya!madaftari!ya!wapiga!kura.!!

UTEUZI!WA!WAGOMBEA!

Masharti! ya! usajili! wa! vyama! vya! siasa! yanaonekana! kuwa! yana! kubalika! na! yanaendana! na!misimamo!ya! kimataifa! na! kikanda! yanayohusu!uhuru!wa! kukusanyika.!Hata!hivyo,! haki! ya! vyama!vya! siasa! kuunda! umoja! haipo! kwenye! sheria.! Kiutendaji,! vyama! vya! siasa! viliweza! kusimamisha!mgombea!wa!pamoja!kwa!uchaguzi!wa!rais!lakini!jina!la!umoja!halikuweza!kutumika!kwenye!karatasi!za!kupiga!kura.!

Masharti! ya! kugombea! urais,! ubunge! na! udiwani,! kama! yalivyo! kwenye! Katiba! za! Muungano! na!Zanzibar! pamoja! na! sheria! husika! za! uchaguzi,! zinakubalika,! isipokuwa! tu! kutokuruhusiwa! kwa!

Page 6: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa& &kati&ya&10!

wagombea!binafsi.!Sharti!ya!kwamba!wagombea!ni!lazima!wawe!wanachama!na!wapendekezwa!na!chama!cha!siasa!linazuia!haki!na!fursa!ya!watu!binafsi!kugombea.!!!

KAMPENI!ZA!UCHAGUZI!!

Kampeni!za!uchaguzi!zilianza!Tanzania!bara!tarehe!22!Agosti!na!huko!Zanzibar!tarehe!7!Septemba.!Ratiba! za! kampeni! za! wagombea! urais! pamoja! na! wagombea! wenza! ziliafikiwa! baina! ya! vyama!vilivyokuwa! katika! ushindani,! na! kurekebishwa! kwa! maelewano! mazuri! kadiri! kampeni!zilivyoendelea.! Tanzania! bara,! kampeni! zilikuwa! za! kusisimua! na! ziliendeshwa! kwa! kiasi! kikubwa!katika!mazingira!ya!uwazi!na!amani.!EU!EOM!iliangalia!shughuli!139!nchini!kote,!ambapo!53!zilikuwa!za!CCM,!67!za!CHADEMA,!CUF,!NCCR,!NLD!na/au!UKAWA,!14!za!ACT!na!5!za!vyama!vingine!vidogo!zaidi.!Katika!shughuli!za!kampeni!zilizoangaliwa,!wagombea!na!vyama!vyao!walifanya!kampeni!kwa!ari,!na!kwa!kiasi!kikubwa!waliheshimu!taratibu!za!kampeni,!pamoja!na!kuepuka! lugha!chochezi!na!kuzingatia!muda!uliyopangwa!wa!kampeni.!Vyama!vingi!vya!siasa!kwa!kiasi!kikubwa!vimelisifu!Jeshi!la!Polisi!kwa!utendaji!wake!wakati!wa!shughuli!za!kampeni,! lakini!katika!baadhi!ya!maeneo,!vyama!vya!upinzani!vilieleza!kuwa!na!wasiwasi!kutokana!na!kukamatwa!na!kushikiliwa!kwa!kwa!wagombea!na!mashabiki!wao!kwa!ajili!ya!makosa!ya!kusababisha!kutokuwa!na!utulivu!hadharani.!

Pamoja! na! misingi! chanya! kwa! kiasi! kikubwa! ya! ushindani! wa! uchaguzi,! baadhi! ya! matokeo! ya!kutokuelewana!kati!ya!mashabiki!wa!vyama!vinavyopingana!viliishia!kwa!vurugu.!Mabishano!kati!ya!wahamasishaji!wa! CCM!na! CHADEMA,! pamoja! na! kati! ya!mashabiki!wa! CCM!na! CUF,! yalionekana!katika!baadhi!ya!maeneo!ya!nchi.!Pamoja!na!kuwa!matukio!haya!hayakupelekea!kuwepo!kwa!vuruhu!mbaya,!yaliathiri!kiwango!cha!ubora!wa!kampeni.!!

Pamoja! na! kwamba! uwepo! wa! umoja! wa! vyama! vya! upinzani! ulisaidia! ushindani! wa! kampeni! za!uchaguzi,! CCM! inaendelea! kunufaika! na! urithi! wake! wa! kihistoria! kama! chama! tawala,! na!kinaendelea!pia!kuwa!chama!kilichojipanga!vyema!zaidi!na!chenye!uchangiaji!mkubwa!zaidi!kifedha.!Utumiaji!na!unufaikaji!wa!chama!wa!rasilimali!na!mali!ambazo!hapo!zamani!zilikuwa!za!umma,!kama!vile!viwanja!vya!umma!na!vya!michezo,!ambvyo!EU!EOM!imeona!Mikoa!ya!Arusha,!Dodoma,!Katavi!na!Kigoma,!vimeipa!CCM!faida!juu!ya!vyama!vingine,!na!kuchangia!kwa!kutokuwa!na!uwiano!katika!uwanja!wa!kisiasa.!Watumishi!wa!serikali!walionekana!pia!mara!kwa!mara!wakihudhuria!mikutano!ya!siasa!kama!wanachama,!pamoja!na!Mkoani!Mwanza!na!Zanzibar.!Uzinduzi!wa!baadhi!ya!miradi!mikubwa!katika!wiki!za!mwisho!za!kampeni!ulizidi!kufuta!mipaka!kati!ya!dola!na!chama!tawala,!na!kuimarisha!faida!ya!CCM!katika!kampeni.!

Huko! Zanzibar,!migogoro! iliyopo! kati! ya! vyama!vinavyounda! Serikali! ya!Umoja!wa!Kitaifa,! CCM!na!CUF,!ilipelekea!kuwepo!kwa!kampeni!kali!na!gawanyishi!zaidi!kuliko!ilivyokuwa!bara.!Kauli!za!kishari!zilizotumika!na!baadhi!ya!viongozi!wa!vyama!zilichangia!wakati!mwingine!hali!ya!kuonekana!kukosa!uvumilivu! katika! sauti! ya! kampeni,! na! kuongezeka! kwa!mitafaruku! ya! kijamii.! Kuna! upungufu! wa!imani! juu! ya! utendaji! wa! polisi! katika! kampeni!miongoni!mwa! baadhi! ya! wadau!wa! uchaguzi,! na!matukio! ya!hapa!na!pale! ya! vitisho!dhidi! ya!wapiga! kura! yaliyochochewa!na! vyombo!vya!usalama!yameandikwa! na! EU! EOM.! Hata! hivyo,! pamoja! na!matukio! haya,! na! ukali! wa! ushindani,! kampeni!huko!Zanzibar!kwa!kiasi!kikubwa!zilikuwa!za!amani.!

Katika! siku! za!mwisho!za!kampeni,! vita!vya!maneno!kati! ya!vyama!vya!upinzani!na! serikali! kuhusu!uhalali! na!matakwa! ya! kuwataka!wapiga! kura! kubaki! kwenye!maeneo! ya! vituo! vya! kupiga! kura! ili!‘kulinda!kura’!baada!ya!kupiga!kura!vimechangia!kuwepo!kwa!hali!ya!mashaka!ya!kiusalama!katika!kuelekea!kwenye!upigaji!kura,!kwa!Tanzania!bara!na!Zanzibar.!!!

VYOMBO!VYA!HABARI!!

Uhuru!wa!kuongea!kwa!kiasi!kikubwa!uliheshimika,!na!waandishi!wa!habari!waliweza!kufanya!kazi!kwa! kiasi! kikubwa! katika!mazingira! huru,! hasa! kwa! kuzingatia! idadi! ya! sheria,! kama! vile! Sheria! ya!Makosa!ya!Kimtandao!ya!2015,!ambazo!zinaweza!kuzuia!haki!hii!ya!msingi!na!imepelekea!kwa!kiasi!

Page 7: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa& &kati&ya&10!

fulani! vyombo! kujidhibiti! vyenyewe.! Kwa!mara! ya! kwanza,!mamlaka! za! usimamizi! za! vyombo! vya!habari! zilizingatia! Kanuni! za!Huduma! za!Utangazaji! (Maudhui)! (Utangazaji!wa!Uchaguzi!wa!Vyama!vya!Siasa),!2015!kuhusu!habari!za!uchaguzi,!ambayo!inajazia!mfumo!pungufu!wa!kisheria.!Japokuwa!kanuni!hizi! zinalenga!kuzuia!kutokuwa!na!uwiano!wa!utangazaji,!baadhi!ya!sehemu!zake!ni!elekezi!mno!kwa!jinsi!ilivyo!kwa!sasa.!Kwa!mfano,!sharti!la!kuahirisha!kipindi!cha!mjadala!iwapo!mmoja!kati!ya!washiriki!wawili!asipohudhuria!inaonekana!kwa!washiriki!wa!mijadala!kuwa!ni!kuingilia!uhuru!wa!uhariri.!!!!&

Uchaguzi,!hasa!wa!urais,!ulichukuwa!nafasi!kubwa!katika!vituo!vya! redio!na! televisheni!pamoja!na!magazeti,! na! habari! za! kihariri! zikilenga! zaidi! kampeni! za! wagombea! wakubwa.! Wapiga! kura!waliweza!kupata!maoni!tofauti!kupitia!vyombo!vya!habari.!Hata!hivyo,!kulikuwa!na!kiasi!kidogo!cha!uandishi!wa!ukosoaji!na!mijadala!ya!misimamo!ya!kisiasa,!kwa!sehemu!kubwa!ya!vyombo!vya!habari!vikirudia! tu! jumbe! za! kampeni! za! vyama.! Vyama! vya! siasa! vilipewa!muda!wa! hewani/nafasi! bure!katika! vyombo! vya! habari! vya! dola,! pamoja! na! kuwa,! muda! wa! hewani! uliyotolewa! na! TBC! kwa!mikutano!ya!mwisho!ya!kampeni!za!wagombea!ziliinufaisha!zaidi!CCM!kwa!kiasi!na!kipaumbele!cha!habari,! huku! CUF! iliilalamikia! EOM! kuhusu! kutotendewa! haki! na! ZBC! inayomilikiwa! na! dola! huko!Zanzibar!ambayo!ilirusha!habari!zake!za!uchaguzi!nje!ya!muda!uliyopangwa.!CCM!ndiyo!ililipia!kiasi!kikubwa!cha!muda!wa!hewani!katika!vituo!vya!redio!na!televisheni,!ikifuatiwa!na!vyama!vinavyounda!UKAWA,!japokuwa!kwa!kiasi!kidogo!zaidi.!!

Katika! uangalizi! wa! vyombo! vya! habari1! EU! EOM! imeona! kuwa! vyombo! vya! habari! vya! dola!vimeshindwa!kutoa!nafasi!sawa!na!za!haki!za!utangazaji!za!kampeni!na!uwanja!wenye!uwiano!kwa!wachezaji!wote.!TBC!televisheni!na!redio!walitoa!asilimia!63!na!53,!ya!habari!za!mida!ya!utazamaji!na!usikilizaji!wa!juu!kwa!vyama!vya!siasa!na!wadau!wengine!wa!siasa!kwa!CCM,!wakati!vyama!vingine!vyote!kwa!pamoja!vilipewa!asilimia!19!na!18!tu.!Vivyo!hivyo,!ZBC!televisheni!na!redio!walitoa!asilimia!70!na!72,!ya!habari!kwa!CCM,!wakati!vyama!vingine!vya!siasa!kwa!pamoja!vilipata!asilimia!15!na!11.!Maafisa!wa!dola!–!marais,!makamu!wa!rais!na!watumishi!wa!serikali,!ambao!baadhi!yao!walikuwa!ni!wagombea,!walipata!pia!muda!wa!hewani!wa!shughuli! zao!rasmi.!TBC!televisheni!na!redio!walitoa!asilimia!18!na!29,!na!ZBC!televisheni!na!redio!asilimia!15!na!17,!ya!muda!wa!hewani!katika!vipindi!vya! habari! kwa! habari! za! namna! hii.! Vipindi! vingine! vya! vituo! vya! redio! na! televisheni! vya! dola!vilionyesha!mwenendo!kama!huu.!Upendeleo!huu!katika!utoaji!habari!umeendelea!bila!kupingwa!na!mamlaka!za!udhibiti!wa!vyombo!vya!habari.!!

Katika!matokeo! chanya,!baadhi! ya! vyombo!vya!habari! vinavyomilikiwa!na!watu!binafsi! vilionyesha!kwa!kiasi!kikubwa!uwiano!katika!utoaji!habari!za!kampeni,!hususan!TV!Azam!2,!lakini!pia!Radio!One!na!ITV,!vyote!ambavyo!vilitoa!karibia!muda!sawa!kwa!CCM!na!vyama!vya!upinzani.!TV!Azam!2!ilikuwa!pia!na!vipindi!maalum!vya!uchaguzi,!ambavyo!vilitoa!maelezo!kuhusu!kampeni!na!wagombea.!Star!TV,!Radio!Free!Africa!na!Channel!10!vilitoa!kipaumbele!zaidi!kwa!CCM.!!

Gazeti!la!kila!siku!linalomilikiwa!na!dola,!Zanzibar&Leo,!ilitoa!kiasi!kikubwa!cha!nafasi,!asilimia!74,!kwa!CCM,!na!vyama!vingine!vya!siasa!kwa!pamoja!vikipata!asilimia!12.!Gazeti!la!Daily!News,!ambalo!pia!linamilikiwa!na!dola,! lilitoa!kipaumbele!kwa!CCM,! japokuwa!utoaji!wake!nafasi!kwa!vyama!vingine!kwa!pamoja!ulionekana!kwa!zaidi,!asilimia!27.!Kwa!kulinganisha,!gazeti!binafsi!la!kila!siku!la!Nipashe!lilitoa!nafasi!karibia!sawa!kati!ya!CCM!na!vyama!vya!upinzani,!wakati!Mwananchi,!pia!gazeti!binafsi,!lilitoa!maelezo!tofauti!zaidi!ya!wagombea.!Gazeti!binafsi!la!kila!wiki!Raia&Mwema!pamoja!na!Mwana&Halisi&pia!yalitoa!kwa!kiasi!kikubwa!habari! tofauti!za!wachezaji!wakuu!wa!kisiasa,!na!Mwana&Halisi&ikionekana! wazi! kuiunga! mkono! CHADEMA.! Magazeti! yote! haya! mawili! ya! kila! wiki! yalionekana!kutoa!ripoti!zenye!tathmini!zaidi!kwa!kulinganisha!na!vyombo!vingine!vya!habari!vilivyoangaliwa.&!

1! EU!EOM! ilianza!uangalizi!wake!wa!vyombo!via!habari! tarehe!21!Septembe.!Vituo!vya!habari! 16!vilikuwa!ni!pamoja!na!vituo!vya!televisheni!vya!dola!TBC1!na!Television!Zanzibar,!na!vituo!binafsi!vya!ITV,!Channel!10,!Star!TV!na!TV!Azam!2;!vituo!vya!redio!vya!dola!TBC!Taifa!na!Radio!Zanzibar,!na!vituo!binafsi!vya!Radio!Free!Africa!na!Radio!One.!Magazeti!yalioangaliwa!yalikuwa! ni! yale! ya! dola!Daily& News& na! Zanzibar& Leo;! magazeti! binafsi! ya! kila! siku!Mwananchi! na!Nipashe,! pamoja! na!magazeti!binafsi!ya!kila!wiki!Mwana&Halisi!na!Raia&Mwema.!

Page 8: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa& &kati&ya&10!

HAKI!ZA!KIUCHAGUZI!

Tume! ya! Taifa! ya! Uchaguzi! (NEC)! na! Tume! ya! Uchaguzi! Zanzibar! (ZEC)! zina! jukumu! la! kutatua!malalamishi! na! rufaa! katika! ngazi! zote! za! utendaji! wa! uchaguzi! yanayohusu! maswala! ya! kiraia.!Maamuzi!ya!tume!zote!mbili!za!uchaguzi!yanachukuliwa!kuwa!ni!ya!mwisho.!Rufaa!juu!maamuzi!ya!NEC!na!ZEC!kuhusu!uteuzi!wa!wagombea!ubunge!zinaweza!tu!kukatwa!Mahakama!Kuu!husika!baada!ya!utangazaji!wa!matokeo!ya!uchaguzi.!Hii!haiwapi!wahusika!fursa!ya!utatuzi!kwa!wakati.!

Mfumo!wa!kisheria!wa!Muungano!na!wa!Zanzibar!hautoi!utaratibu!wa!kukata!rufaa!juu!ya!maamuzi!ya! NEC! na! ZEC! katika! kukataa! uteuzi! wa! wagombea! urais.! Zaidi! ya! hayo,! kutokuweza! kupinga!matokeo!ya!uchaguzi!wa!rais!ya!Muungano!na!Zanzibar!ni!kinyume!cha!misimamo!iliyomo!kwenye!Agano!la!Kimataifa!Kuhusu!Haki!za!Kiraia!na!za!Kisiasa!(ICCPR).!Matokeo!ya!uchaguzi!ya!wabunge!ya!Muungano! na! Zanzibar! yanaweza! kupingwa! kupitia!Mahakama! Kuu.! Kipindi! cha!miaka!miwili! cha!Mahakama!Kuu!ya!Zanzibar!kutoa!hukumu!ni!kirefu!ukilinganisha!na!mwaka!mmoja!kwa!Muungano.!

Kama!ilivyokuwa!katika!chaguzi!zilizopita,!Kanuni!za!Maadili!kwa!Vyama!vya!Siasa!ili!ruhusu!kuundwa!kwa!Kamati!za!Maadili!katika!ngazi!za!taifa,!jimbo!na!kata!ili!kutoa!fursa!ya!utatuzi!wa!migogoro!ya!uchaguzi.!Waangalizi!waEU!waliripoti!kuwa!takriban!malalamishi!20!yaliwasilishwa!kwenye!Kamati!za!Maadili!nchini!kote,!kwa!kiasi!kikubwa!kuhusiana!na!maswala!kama!uharibifu!wa!nyenzo!za!kampeni,!kupitiliza!muda!wa!kampeni!na!utumiaji!wa!lugha!chafu!katika!shughuli!za!kampeni.!Katika!majimbo!yaliyo! mengi,! Kamati! za! Maadili! ziliundwa! na! kuonekana! kwa! vyama! vya! siasa! kuwa! utaratibu!madhubuti!wa!utatuzi!wa!migogoro!midogo!midogo.!Hata!hivyo,! katika! baadhi! ya!maeneo!nchini,!migogoro!inayohusiana!na!kampeni!ilitatuliwa!baina!ya!wahusika!wenyewe!na!maafisa!uchaguzi!bila!ya!kuhitajika!kuundwa!kwa!kamati!hizi,!au!kupitia!usuluhishi!wa!mamlaka!zingine!kama!vile!wakuu!wa!wilaya.!!

Makosa!yanayohusiana!na!uchaguzi!yanashughulikiwa!kwa!njia!za!kawaida!za!kisheria.!Takriban!kesi!29!ziliwasilishwa!katika!mahakama!za!wilaya!za!Muungano!kabla!ya!siku!ya!uchaguzi,!hasa!kuhusu!shutuma!za!utumiaji!wa!lugha!chafu,!kuandamana!kinyume!cha!sheria,!ushambulizi!na!uharibifu!wa!mali!za!umma.!!

USHIRIKI!WA!WANAWAKE!

Wanawake!wanaunda!asilimia!53!ya!wapiga!kura!waliyoandikishwa!Tanzania.!Mmoja!wa!wagombea!nane! wa! urais! wa! Muungano! ni! mwanamke,! aliyeteuliwa! na! ACT.! Kwa! mara! ya! kwanza! CCM!imemteuwa! mwanamke! kwa! nafasi! ya! makamu! wa! rais.! Japokuwa! Katiba! inatoa! fursa! kwa!wanawake!kuteuliwa!kuingia!Bungeni!kupitia!viti!maalum,!kwa!sasa!si!chini!ya!asilimia!40,!uwakilishi!wa! wanawake! katika! ushindani! wa! viti! vya! kuchaguliwa! moja! kwa! moja! ni! mdogo.! Kulikuwa! na!wanawake! 233! kati! ya! wagombea! 1,218! waliyokuwa! wakigombea! viti! 265! vya! Ubunge! wa!kuchaguliwa!moja! kwa!moja.! Asilimia! ya! wagombea! wanawake! kwa! viti! hivi! imeongezeka! kidogo!sana!toka!uchaguzi!uliyopita,!asilimia!18.4!hadi!19.1.!Hakukuwa!na!mgombea!urais!mwanamke!kwa!Zanzibar.!Wanawake!29! katika! jumla! ya!wagombea!180!waligombea! viti! 54! vya! kuchaguliwa!moja!kwa!moja!katika!Baraza!la!Wawakilishi.!Wanawake!wanateuliwa!pia!kwa!ajili!ya!viti!maalum!ndani!ya!Baraza!la!Wawakilishi.!!

WAANGALIZI!WA!KITAIFA!

Makundi! makuu! ya! kitaifa! yanayofanya! uangalizi! wa! uchaguzi! ni! Tanzania! Election! Monitoring!Committee!(TEMCO)!na!Tanzania!Civil!Society!Consortium!on!Election!Observation!(TACCEO).!!Kundi!la!Coalition!on!Election!Monitoring!and!Observation!in!Tanzania!(CEMOT)!ilizileta!TEMCO!na!TACCEO!pamoja.! TEMCO! na! TACCEO! kwa! pamoja! walituma! waangalizi! wa! muda! mrefu! 350,! pamoja! na!waangalizi! wa! muda! mfupi! 6,500! (TEMCO)! na! 3,000! (TACCEO).! TACCEO! na! TEMCO! walituma! pia!waangalizi!wa!muda!mrefu! Zanzibar.! Chini! ya!mwamvuli!wa!CEMOT,!walikuwa!na! japo!muangalizi!mmoja!wa!muda!mrefu!katika!kila!wilaya.!Zanzibar!Legal!Services!Centre!(ZLSC)! iliratibu!waangalizi!

Page 9: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa& &kati&ya&10!

waangalizi! wa! TACCEO,! ambao! wengi! wao! wana! uzoefu! wa! kisheria.! Pamoja! na! hayo,! Muslim!Leadership!Organisation!(MLO)!ilituma!waangalizi!wa!muda!mrefu.!

UPIGAJI!KURA!NA!KUHESABU!

Uchaguzi&wa&Muungano&Siku!ya!uchaguzi,!waangalizi!wa!EU!walifuatilia!taratibu!za!upigaji!kura!katika!vituo!vya!kupiga!kura!625! katika!mikoa! yote! ya! Tanzania.! Uendeshaji! wa! upigaji! kura! ulionekana! kwenda! vyema! katika!asilimia! 96! ya! vituo! vilivyoangaliwa! na! EU! EOM.! Vituo! vyote! vya! kupiga! kura! vilivyoangaliwa!vilifunguliwa!kwa!wakati.!Upigaji!kura!ulifanyika!katika!hali!ya!mpangilio!mzuri!na!kwa!kiasi!kikubwa!ya!utulivu!pamoja!na!kuwepo!kwa!taarifa!za!foelni!ndefu!siku!nzima.!Matukio!machache!ya!shughuli!za!kampeni!yalionekana!maeneo!ya!karibu!na!vituo!vya!kupiga!kura.!Wawakilishi!wa!vyama!vya!siasa!walikuwepo! kwenye! takriban! vituo! vyote! vya! kupiga! kura! vilivyoangaliwa! huku! japo! muangalizi!mmoja!wa! kitaifa! alikuwepo! katika! asilimia! 22! ya! vituo! hivi.!Waangalizi! wa! EU!waliripoti!matukio!machache! ya! wawakilishi! wa! vyama! vya! siasa! wakivuka! mipaka! ya! mamlaka! yao! na! pia! matukio!machache! ya! upungufu! wa! karatasi! za! kupiga! kura! katika! vituo! 11! vya! kupiga! kura! na! itifaki!kutokuwepo! katika! vituo! 13.! Kwa! kiasi! kikubwa,! taratibu! za! upigaji! kura! zilifuatwa! wakati! wote!kwenye!vituo!vya!kupiga!kura!vilivyotembelewa,!na!kuweza!kutoa!usalama!wa!kutosha! ili! kuhakiki!uhalali! wa! kura! na! uwazi! wa! mchakato.! Waangalizi! wa! EU! waliripoti! kutokuwepo! kwa! ulinzi! wa!kutosha!wa! usiri! wa! kura! katika! asilimia! 21! ya! vituo! vya! kupiga! kura! vilivyotembelewa,! kwa! kiasi!kikubwa!kutokana!na!mpangilio!usiyo!sahihi!wa!kituo.!Utendaji!wa!wafanyakazi!wa!vituo!ulionekana!kwa!kiasi!kikubwa!kuwa!mzuri!na!mzuri!sana.!

Kulikuwa! hata! hivyo,! baadhi! ya! vituo! vya! kupiga! kura! ambapo! uchaguzi! ilibidi! uahirishwe.! NEC!ilitangaza! kurudiwa! kwa! zoezi! la! upigaji! kura! kwa! urais! na! ubunge! litakalofanyika! katika! vituo! 35!vilivyopo! Kinondoni,! Dar! es! Salaam,! na! vituo! 15! vilivyopo! Sumbawanga,! Mkoa! wa! Rukwa.! Huko!Kinondoni,!wafanyakazi!wa!vituo!waliharibu!karatasi! za!kupiga!kura!kutokana!na!migogoro!na!NEC!kuhusu!malipo!ya!kazi!siku!ya!uchaguzi.!Katika!Kata!ya!Mitepa,!Sumbawanga,!wananchi!walichoma!moto!karatasi! za!kupiga!kura!kutokana!na! shutuma!za!kugunduliwa!kwa!karatasi!bandia! za!kupiga!kura.!Huko!Zanzibar,!chaguzi!mbili!za!kijimbo!za!Bunge!(Pangawe,!Kijito!Upele)!ilibidi!zisimamishwe!kwa!muda!kutokana!na!upungufu!wa!karatasi! za! kupiga! kura.! Kutokuwepo!kwa!karatasi! za! kupiga!kura!kuliripotiwa!pia!kutoka!majimbo!ya!Mombasa!na!Chukwani.!

Zoezi! la! kuhesabu! kura! lilianza! mara! moja! baada! ya! kufunga! katika! asilimia! 86! ya! vituo!vilivyotembelewa! na! lilifanyika!mbele! ya!mawakala!wa! vyama! vya! siasa! na!waangalizi.! Uhalali! wa!zoezi!la!kuhesabu!ulilindwa!vya!kutosha.!Nakala!za!fomu!za!matokeo!zilionyeshwa!hadharani!na!pia!kukabidhiwa! kwa!mawakala!wa! vyama.! Tathmini! ya! jumla! ya!mchakato!wa! kufunga! na! kuhesabu!ilikuwa! nzuri! au! nzuri! sana! katika! asilimia! 83! ya! vituo! vilivyoangaliwa! na! EU! EOM,! na! uwazi! wa!mchakato!kionekana!kuwa!mzuri!au!mzuri!sana!katika!asilimia!88!ya!vituo!vilivyoagngaliwa.!

Uchaguzi&wa&Zanzibar&Huko! Zanzibar,! EU! EOM! iliangalia! mchakato! katika! vituo! vya! kupiga! kura! 71.! Karibia! vituo! vyote!vilivyoangaliwa!vilifunguliwa!kwa!wakati!na!taratibu!za!ufunguzi!zilifuatwa! isipokuwa!kwenye!kituo!moja.! Uendeshaji! wa! upigaji! kura! ulionekana! kwenda! vyema! katika! asilimia! 96! ya! vituo!vilivyoangaliwa!na!EU!EOM.!!!

Upigaji! kura! ulionekana! kwenda! vizuri! katika! vituo! vya! kupiga! kura! vilivyoangaliwa.! Upigaji! kura!ulifanyika!kwa!kiasi!kikubwa!katika!mazingira!ya!utulivu,!kukiwa!na!matukio!machache!ya!shughuli!za!kampeni! kwenye!maeneo! ya! vituo! vya! kupiga! kura.!Wawakilishi! wa! vyama! vya! siasa! walikuwepo!kwenye! takriban! vituo! vyote! vya! kupiga! kura! vilivyoangaliwa.! Utendaji! wa! wafanyakazi! wa! ZEC!ulionekana!kwa!kiasi!kikubwa!kuwa!mzuri!na!mzuri!sana.!Zoezi!la!kuhesabu!kura!lilianza!mara!moja!baada!ya!kufunga!katika!vituo!vyote!vya!kupiga!kura!vilivyotembelewa.!Upigaji!kura!ulifanyika!katika!

Page 10: Prelimstatementfinalswahili En

Ujumbe!wa!Waangalizi!wa!EU!R!Tanzania!2015!Uchaguzi!Mkuu!

Tamko&la&awali!Ukurasa& &kati&ya&10!

hali! ya!mpangilio!mzuri! na! kwa! kiasi! kikubwa! ya! utulivu! pamoja! na! kuwepo! kwa! taarifa! za! foelni!ndefu!nyakati!za!asubuhi.!Matukio!machache!ya!shughuli!za!kampeni!yalionekana!maeneo!ya!karibu!na!vituo!vya!kupiga!kura.!Kwenye!kituo!cha!kuoiga!kura!cha!Sharifumsa!(Jimbo!la!Mtoni)!mgombea!mmoja! na!wapiga! kura!walijisikia! kutishiwa! kwa! uwepo!wa! askari!wa! idara!maalum!wenye! silaha!eneo! la! lango! la!kuingilia.!Wawakilishi!wa!vyama!vya!siasa!walikuwepo!kwenye!karibia!vituo!vyote!vya!kupiga!kura!vilivyoangaliwa.!Waangalizi!wa!EU!waliripoti!wawakilishi!wa!vyama!vya!siasa!kuvuka!mipaka! ya!mamlaka! yao! katika! kituo! kimoja! cha! kupiga! kura! pamoja! na! upungufu!wa! karatasi! za!kupiga!kura!katika!vituo!viwili.!Katika!matukio!machache,!waangalizi!wa!EU!waliona!majina!kuwepo!mara!mbili!kwenye!daftari!la!wapiga!kura!na!walielezwa!na!wawakilishi!wa!vyama!kuwa!ilikuwa!pia!kutokana! na!wapiga! kura!waliyofariki.! Taratibu! za! upigaji! kura! kwa! kiasi! kikubwa! zilifuatwa! katika!vituo!vilivyotembelewa!na!waangalizi!wa!EU!na!kutoa!ulinzi!wa!kutosha!kuhakikisha!uhalali!wa!kura.!Waangalizi!wa!EU!waliripoti!kutokuwepo!kwa!ulinzi!wa!kutosha!wa!usiri!wa!kura!katika!asilimia!8!ya!vituo!vya!kupiga!kura!vilivyotembelewa,! kwa!kiasi! kikubwa!kutokana!na!mpangilio!usiyo! sahihi!wa!kituo.!Utendaji!wa!wafanyakazi!wa!vituo!wa!ZEC!ulionekana!kwa!kiasi!kikubwa!kuwa!mzuri!na!mzuri!sana.!

Zoezi!la!kuhesabu!kura!lilianza!mara!moja!baada!ya!kufunga!katika!vituo!vyote!vilivyotembelewa!na!lilifanyika! mbele! ya! mawakala! wa! vyama! vya! siasa! na! waangalizi.! Uhalali! wa! zoezi! la! kuhesabu!ulilindwa!vya!kutosha!japokuwa!katika!matukio!mawili!polisi!na!maafisa!wengine!walikuwepo.!

Nakala! za! fomu! za!matokeo! zilionyeshwa! hadharani! na! pia! kukabidhiwa! kwa!mawakala! wote! wa!vyama.!Tathmini!ya! jumla!ya!mchakato!wa!kufunga!na!kuhesabu! ilikuwa!nzuri!au!nzuri!sana!katika!idadi!kubwa!ya!vituo!vilivyoangaliwa!na!EU!EOM.!

EU! EOM! inafahamu! kuhusu! barua! toka! chama! kimoja! cha! siasa! kwa! Inspekta! Jenerali! wa! Polisi!kuhusu! data,! kompyuta! na! vifaa! vingine! vilivyokamtwa! kwenye! vituo! vya!mawasiliano! vya! chama!hicho!pamoja!na!wafanyakazi!wake!191!pia!kukamatwa.!EU!EOM!inafuatilia!swala!hili!kwa!karibu.!Ni!muhimu!mamlaka! za! utendaji! za! uchaguzi! zitekeleze!hatua!muhimu! za!mwisho!wa!mchakato! kwa!uwazi!kabisa!na!kuwa!vyama!vya!siasa,!wagombea!na!asasi! za!kiraia!wote!waweze!kushiriki! katika!mchakato,! sawa! sawa! na! ilivyoainishwa! kwenye! mfumo! wa! kisheria! ili! kuimarisha! imani! juu! ya!mchakato.!

EU&EOM&inaendelea&kuangalia&ujumlishaji&wa&matokeo&na& itafuatilia&malalamiko&yoyote&pamoja&na&mchakato&wa&rufaa&kabla&ya&kufikia&hitimisho&lake&la&mwisho.&&

Tamko!la!awali!linapatikana!kwenye!tovuti!ya!EU!EOM!www.eueom.eu/tanzania2015!Kwa!maelezo!zaidi,!tafadhali!wasiliana!na:!Sarah! Fradgley,! Afisa! Habari! EU! EOM,! Simu! ya! mkononi:! +255! 786! 440768,! Barua! pepe:[email protected]!

Tamko!la!Awali!linapatikana!kwa!Kiingereza!na!Kiswahili!;!la!Kiingereza!pekee!ndilo!rasmi.!