Ratiba Pac Agosti 2013 _rasimu

Embed Size (px)

Citation preview

  • 7/27/2019 Ratiba Pac Agosti 2013 _rasimu

    1/2

    1

    KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

    RASIMU YA RATIBA YA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA SERIKALI KUU NA

    MASHIRIKA YA UMMA KUANZIA TAREHE 19/08/2013 HADI TAREHE 24/08/2013

    UKUMBI NAMBA 126 OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM

    ____________________________________

    SIKU/TAREHE SHUGHULI MHUSIKA

    KUNDI LA KWANZA - UKUMBI WA JUMA JAMALDIN AKUKWETI (126)

    Jumatatu

    19 Agosti 2013

    Fungu 46 - Wizara ya Elimu na Mafunzo

    ya Ufundi

    Fungu 21 Hazina

    Wajumbe wa Kamati Mdhibiti na Mkaguzi

    Mkuu wa Hesabu za

    Serikali (CAG)

    Mhasibu Mkuu waSerikali (AcGen)

    Maafisa Masuuli waWizara, Idara, Wakala

    na Tawala za Mikoa

    Mkurugenzi wa Idaraya Usimamizi wa Mali

    za Serikali (DGAM)

    Jumanne

    20 Agosti 2013

    Fungu 48 - Wizara ya Ardhi, Nyumba na

    Maendeleo ya Makazi

    Fungu 34 - Wizara ya Mambo ya Nje na

    Ushirikiano wa Kimataifa

    Jumatano

    21 Agosti 2013

    Fungu 69 - Wizara ya Maliasili na Utalii

    Fungu 41 Wizara ya Katiba na Sheria

    Alhamisi

    22 Agosti 2013

    Fungu 98 - Wizara ya Ujenzi

    Ijumaa

    23 Agosti 2013

    Fungu 22 Deni la Taifa na huduma za

    ujumla

    Jumamosi na

    Jumapili

    24-25 Agosti 2013

    Wajumbe kuelekea Dodoma Katibu wa Bunge

  • 7/27/2019 Ratiba Pac Agosti 2013 _rasimu

    2/2

    2

    KUNDI LA PILI - UKUMBI KUTANGAZWA BAADAYE

    Jumatatu

    19 Agosti 2013

    Benki ya Twiga

    Shirika Hodhi la Rasilimali za Mashirika

    ya Umma (CHC)

    Wajumbe wa Kamati Mdhibiti na Mkaguzi

    Mkuu wa Hesabu za

    Serikali (CAG)

    Msajili wa Hazina (TR) Wenyeviti wa Bodi na

    Menejimenti za

    Mashirika ya Umma

    Jumanne

    20 Agosti 2013

    Shirika la Hifadhi ya Bahari Tanzania

    Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Madawa

    (TPRI)

    Jumatano

    21 Agosti 2013

    Mfuko wa Mafao ya Watumishi wa

    Umma (PSPF)

    Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

    Alhamisi

    22 Agosti 2013

    Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM)

    Tume ya Sayansi na Teknolojia

    (COSTECH)

    Ijumaa

    23 Agosti 2013

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)

    Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Jumamosi na

    Jumapili

    24-25 Agosti 2013

    Wajumbe kuelekea Dodoma

    TANBIHI:

    Vifupisho: PAC = Public Accounts Committee; CAG = Controller and Auditor General;AcGen = Accountant General; DGAM = Director of Government Asset Management.