Upload
jonas-msigala
View
252
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
8/16/2019 Ripoti Ya Kamishna Mkuu
1/6
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
IDARA YA UHAMIAJI
OFISI YA UHAMIAJI
S.L.P 369
MUSOMA
TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WILAYA YA BUNDA KWA KAMISHNA MKUU
WA UHAMIAJI
1.0 Utanguliz
Afande kamishna mkuuNichukuwe fursa hii kukupongeza kuteuliwa kwako kuongoza Idara ya
UhamiajiOsi ya uhamiaji wilaya ya Bunda ilifunguliwa rasmi mwaka 2! ikiwa
na maasa uhamiaji wawili "2#$ %akati huo tulipata chum&a kimoja
katika jengo la moja ya majengo ya 'almashauri ya %ilaya$ Baada ya
maaasa hao kuanza kazi na kuelimisha jamii juu ya shughuli za
uhamiaji( wananchi walianza kujitokeza kupata huduma za uhamiaji
hapa hapa wilayani Bunda na kusa&a&isha osi hiyo kuwa ndogo na
am&ayo haikuwa na hadhi$ Baada ya hapo osi imekuwa inahamia
katika majengo tofauti tofauti hadi mwezi fe&ruari 2)) tulipopanga
katika jengo hili$ Osi ya uhamiaji %ilaya ya Bunda inahudumia jumla
ya *arafa nne "!#( +ata thelathini na moja",)# na -ijijimia moja na nne
+ati ya hi-yo &aadhi ya -ijiji ni -isiwa ndani ya ziwa -ictria am&a-yo
inatuwia -igumu kuka kutokana na kutokuwa na &oti$ Osi hii pia
inahudumia mahoteli yaliyoko katika eneo la maghari&i la hifadhi ya
*aifa ya m&uga ya .erengeti ".erengeti National /ark %estern zone#$
/amoja na hayo kuna shule za &inafsi "0nglish 1edium /rimary
.chools#$ iwanda -ya mafuta( masham&a ya kilimo na wahamiaji
haramu am&ao huingia kinyemela na kuishi -ijijini kwa ucho$ 3otehayo yanahitaji huduma ya osi ya %ilaya tu kwani hatuna kituo cha
kuingilia na kutoka nchini kutokana na jiograa ya %ilaya ya Bunda
kutokuwa kwenye mpaka na nchi yoyote$
)
Anuani ya Simu: “UHAMIAJI”
NUKUSHI:
SIMU: +255 282622426
KUMB .NA.BND/INV/VO!!!/2!/""
O#ISI $A UHAMIAJI %IA$A
S..& 4!'
BUNDAM(n)ay* !6 #,-ua-y 2!5
8/16/2019 Ripoti Ya Kamishna Mkuu
2/6
!.0 Watu"i#$i+wa sasa osi ya uhamiaji %ilaya ya Bunda ina jumla ya watumishi
tisa "4# kati ya hao nane "5# ni maaskari wa uhamiaji na mmoja ni
askari wa magereza am&aye tulimuom&a atusaidie kuendesha gari la
osi$ 1iongoni mwetu wako maaskari wawili "2# am&ao wako shule
katika -yuo -ya .AU* 1wanza na chuo cha uhamiaji Arusha$ +wa
kulinganisha na uku&wa wa %ilaya na kazi zilizomo &ado tunamahiaji
wa askari wa uhamiaji na zaidi sana askari wa kike kwani hapa tuko
askari wa kiume tu$Inatuwia -igumu kumsindikiza mtuhumiwa wa kike$ 1asa waliopo na
-yeo -yao ni kama ifuata-yo67
)$ 89I.$ 0lizeus 1ushongi Asa uhamiaji %ilaya2$ ..1 Oswald Nswima 1saidizi wa AU%,$ .:*$ ;uma .uleiman ;uma!$ .:*$ Nuru /$ 1wasulama$ 1wajasho 7 yuko shule .AU*?$ 9ON.*$Benedict N$ .anga5$ 9ON.*$%alter @ema 7 yuko shule Arusha4$ A
8/16/2019 Ripoti Ya Kamishna Mkuu
3/6
kutokana na watu wa mkoa kuwa na asili ya ufugaji wanaanza kuleta
raia wa >wanda na Burundi ili waweze kuwafanyia kazi kwa &ei nafuu$
"cheap @a&our#$
).0 Ma*#a "+ali"+ali &a *iu$a"ia'i na $atua ziliz,*i-a1ajukumu ya kusimamia mashauri yote mahakamani yanafanywa na
wanasheria toka mkoani kwani hapa %ilayani hakuna mwanasheria$
+wa ujumla osi ya uhamiaji %ilaya kuanzia mwezi ;an7 8esem&a 2),
imepeleka mahakamani mashauri 2 mashauri hayo yote yako katika
hatua ya kusikilizwa kwa hatua za awali "/reliminary hearing#
wahusika ni raia wa 0thiopia na +enya waliofukuzwa nchini ni ? wote
wakiwa raia wa 0thiopia hawa walirudishwa kwao kwa kutokuwa na
hati za kusaria pia ilishindikana kuwakisha mahakamani kwa kukosa
mkalimani kwani wao wanaongea kiha&eshi$ +atika kipindi hicho jumla
ya waethiopia )) walikamatwa na kukishwa katika osi ya uhamiaji
mkoa kwa hatua zaidi -ile-ile katika kipindi hicho hicho raia 4 wa Afrikamashariki waliondoshwa nchini na kurejeshwa kwao hao ni pamoja na
+enya =( Burundi )( >wanda )( na Uganda )$+utokana na kutokuwa na
kituo cha kuingia na kutoka nchini hakuna watu waliozuiliwa kuingia
nchini$ /ia hakuna mtanzania aliyeshtakiwa katika kipindi tajwa$
.0 Ma'/ng &a ,#i.1 Afande(jengo linalotumiwa na osi ni la kukodi mali ya mtu
&inafsi am&alo limekuwa linachukua gharama ku&wa mpaka
januari 2)! gharama ya kukodi ilikuwa shilingi 2(( kwa
mwaka( lakini tuliletewa taarifa ya kupanda kwa gharama yakukodi jengo hilo kukia shs 2(?($ ;engo hili halina maji
ina&idi yachotwe nje ya osi$ +wa idadi yetu jengo halitoshi
kwani lina -yum&a -ichache ukilinganisha na idadi yetu na
shughuli zetu$ 'akuna sehemu ya faragha kwa ajili ya mahojiano
na watuhumiwa$
.! Ki-an'a $a ,#iAfande Osi ya Uhamiaji %ilaya iliom&a na kupewa kiwanja
nam&a 2=4 Block C toka 'almashauri ya %ilaya kilichoko kari&u
na osi ya mkuu wa %ilaya ya Bunda$ +iwanja hicho tayari
kimesashwa na trip 2 za mawe zimewekwa na wahisani
wanaopenda maendeleo$ /ia msaada mku&wa umetoka kwa
Asa Uhamiaji mkoa am&aye tayari amelipia huduma ya maji ili
ujenzi utakapoanza wajenzi wasipate taa&u$ +wa namna ya
pekee nimshukuru mkuu wa %ilaya ya Bunda am&aye ameku&ali
ku&e&a mzigo wa kutafuta wafadhili na kusimamia ujenzi huo
,
8/16/2019 Ripoti Ya Kamishna Mkuu
4/6
kwa kushirikiana na osi yetu$ Naom&a kwako Afande kamishna
mkuu wa Uhamiaji msaada wa hali na mali katika azma yetu ya
kujenga osi$
.% Ki-an'a $a U'/nzi -a n&u"+a za Watu"i#$i/ia tulipeleka maom&i yetu ya kupatiwa kiwanja cha ujenzi wa
nyum&a za watumishi kwa maelekezo yako kwenye &arua na
;B$2)?2
8/16/2019 Ripoti Ya Kamishna Mkuu
5/6
Afande kamishna mkuu wa Uhamiaji changamoto ni nyingi lakini kwa
kifupi tuna changamoto zifuatazo67
4.1 %ananchi hawako tayari kutoa taarifa za wahamiaji haramu kwa
kuwa wengine ndio wanaowatunza lakini wanataka fedha ili
watoe taarifa$4.! 0limu zaidi inatakiwa kwa wananchi kuhusu athari za Uhamiaji
haramu kwani wananchi wengi hawaelewi$4.% %ilaya haina &ajeti ya kufanya kazi tunapokuwa na watu wa
kusindikiza ni lazima kufanya mawasiliano mkoani na kama hela
haipo tunawaji&ika kukaa na mtuhumiwa na wakati tunatoa hela
zetu mfukoni ingawaje &aadae tunarudishiwa ila kuna maelekezo
ya kutofanya hi-yo$4.) Upungufu wa mafuta ya kufanyia kazi$4. Uchaka-u wa gari la osi am&alo linatakiwa kureke&ishwa mara
mkwa mara$4.4 Osi haina samani za kutosha hata zilizopo ni chaka-u$ /ia kuna
kelele nyingi za kupakia na kupakua soda$4.7 %atumishi hawana nyuma za kuishi wanapanga kitu am&acho
hata utendaji wetu wa kazi unakuwa wa mashaka kwa -ile
wageni wengine tunaishi nao akikamatwa anadai wewe jirani
ndiye uliyemtaja$4.8 Osi haina photocopy machine tunapotaka kutoa kopi lazima
twende mitaani kitu am&acho hatuna imani kama kopi hazi&aki
kwenye mashini zao$4.9 Uha&a wa watumishi nao ni tatizo hasa wa kike tunalazimika
ku-unja sheria wakati wa kusindikiza watumiwa wa kike$ 'ii
inasa&a&isha kutoanzishwa kwa uhamiaji kata am&ayo ndiyoingetusaidia zaidi kuwatam&ua wahamiaji walio katani$
4.10 +atika eneo hilio hakuna radio za jamii "comunify radio# kwa ajili
ya kusaidia kurusha -ipindi -ya uhamiaji$4.11 %atumishi wengi wamekaa hapa %ilayani na 1koa wa 1ara kwa
muda mrefu$4.1! *unaom&a ufanyike mpango Asa Uhamiaji awe na silaha ya kazi
hasa kwenye maeneo nyeti kama mkoa wa mara$
7.0 Mi:ang &/tu &a "+/l/ ;Wa& 5(-a(2<
7.1 +uimarisha utendaji kazi kwa kiwango cha hali ya juu kwawatumishi wa huduma zetu$7.! +uongeza ngu-u katika kufanya doria ili kuka&iliana na wahamiaji
haramu katika mahoteli nyum&a za kulala wageni( stand za
magari( mto >u&ana( -iwandani( mashuleni n$k nap engine pote
am&apo ni macho ya wahamiaji haramu7.% +uendelea kutoa 0limu kwa wananchi juu ya athari za Uhamiaji
haramu( sheria za uhamiaji na uraia kupitia uhamiaji shirikishi$
8/16/2019 Ripoti Ya Kamishna Mkuu
6/6
7.) 0ndapo tutapata uwezeshwaji na maosa wa kutosha tunatarajia
kuanzisha uhamiaji kata ili kuwa kari&u na wananchi waweze
kutoa taarifa za wahamiaji$7. +uendelea kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya
katika kutkeleza majukumu yake$7.4 +umfanya mwana Bunda kuwa askari nam&a moja wa uhamiaji
kwa kuwa tayari kushiriki katika kuwachua wahamiaji haramu
na wale wote wanao-unja sheria za uhamiaji$7.7 +umjenga mwana Bunda kuona uhamiaji ni mali yake$7.8 +uwezesha mawasiliano kati ya jamii na uhamiaji$
8.0 HITIMISHOsi ya uhamiaji wilaya inaahidi kwa dhati m&ele yako kuwa licha ya
changamoto tulizotaja tutaendelea kuchapa kazi kwa ari na kasi
ku&wa$ *unatarajia kuwa katika uongozi wako utafanya ma&adiliko
mengi ya maendeleo tuachane na kufanya kwa mazoea &ali kwa
u&unifu wa hali ya juu$ Afande( tuna imani sana na wewe na uongozi
wa idara kwa ujumla tunaom&a kuwepo na ma&adiliko maku&wa ya
utendaji kati ya watumishi walioko 8ar es salaam na 1ikoani$ +wa wale
walioko 1ikoani hasa wa chini na kati wanapata maneno ya kukatisha
tamaa toka kwa wale walioko 1akao 1akuu$ /ia &arua zinazotumiwa
huko huwa haziji&iwi kwa haraka$ Nichukue fursa hii kwa mara nyingine
katika wilaya ya Bunda na mkoa wa mara kuwakari&isha$
*unatarajia ujio wako utaongeza ngu-u katika utendaji kazi wetu namaelekezo utakayotoa tuko tayari kuyapokea( kutekeleza maelekezo
utakayotoa kwenye ziara yako am&ayo tumeifurahia$ *unakutakia
wewe &inafsi( -iongozi uliofuatana nao kiongozi wa mkoa afya njema$
Asanteni kwa kunisikiliza na naom&a kuwasilisha$
Imeandaliwa na
89I.( 0lizeus 1ushongi( Asa Uhamiaji %ilaya(
BUNDA$
=