23
MIFUGOUVUVI Toleo Maalum la Sabasaba, 2020 WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI SABASABA SPECIAL 2020 DAR ES SALAAM KAULI MBIU: “Uchumi wa Viwanda kwa Ajira na Biashara endelevu”

Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

  • Upload
    others

  • View
    6

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

Toleo Maalum la Sabasaba, 2020

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVISABASABA SPECIAL 2020

DAR ES SALAAMKAULI MBIU:

“Uchumi wa Viwanda kwa Ajira na Biashara endelevu”

Page 2: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

1

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega, akielekeza jambo kwa wadau wa sekta ya uvuvi kwenye banda la kampuni ya Big Fish alipotembelea maonesho ya 44 ya kimataifa ya Biashara kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 3, 2020.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega, akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la wadau wa sekta ya uvuvi, Abajuko Enterprises Limited alipotembelea maonesho ya 44 ya kimataifa ya Biashara kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, Julai 3, 2020.

Page 3: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

2

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akipewa maelezo na Mfanyakazi wa Kampuni ya Abajuko, Mbarouk Masoud kuhusu Samaki aina ya Kambakochi katika banda la Kampuni ya Abajuko alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiwa na Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu (wa pili kushoto) wakiongea na watumishi na wadau wa sekta ya Uvuvi katika banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 3, 2020.

Page 4: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

3

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akipokea Zawadi kutoka kwa

yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Page 5: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

4

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akipata maelezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanyika kwenye banda la SUMA JKT wakati alipotembelea Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Page 6: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

5

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah akitoa ushauri kuhusu ufugaji wa Samaki kwa kutumia matanki wakati alipotembelea banda la SUMA JKT kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Makatibu Wakuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakisalimiana punde walipokutana katika Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya biashara (Sabasaba) yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel na Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Dkt. Rashid Tamatamah.

Page 7: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

6

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel akisaini kitabu cha Wageni alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 5, 2020. Kushoto anayeshuhudia ni Mratibu wa Maonesho wa Wizara hiyo, Mary Yongolo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akiangalia malisho ya

na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mwl. Nyerere,

Page 8: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

7

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel akiwa katika banda la Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijiji Dar es Salaam Julai, 2020. Kushoto ni Mhandisi wa FETA, Bwana Goodluck Rulagora.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo), Prof. Elisante Ole Gabriel akiangalia mashine maalumu zinazotakiwa kutumika kwenye mabucha kukatia nyama badala ya magogo, katika banda la bodi ya Nyama Tanzania (TMB) alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijiji Dar es Salaam Julai 5, 2020.

Page 9: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

8

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Kamishna Uhamiaji, Zanzibar, Gharib Suleiman alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dkt. Furaha Mramba (kulia) akiwafafanulia jambo wanafunzi wa taaluma ya Mifugo waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Page 10: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

9

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi Julai 3, 2020 katika Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es

Anthony Dadu. Kulia ni Watumishi wa Wizara hiyo, wa kwanza ni Nyanzala Lupeja na wa pili ni Sebastian Shilangalila.

katika banda la Kampuni hiyo alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya Kimataifa ya 44 ya Biashara yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Page 11: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

10

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.Viwwanja vya Mwwalimu Nyerere Barabara ya KKilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Kaimu Meneja wa Shamba la Malisho Vikuge, Ally Karia (kulia) akitoa maelezo kuhusu malisho ya mifugo kwa wadau wa mifugo waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

akiongea na wadau wa ufugaji wa Kuku alipokutana nao katika banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya kutetea na kuunganisha wafugaji (TABROFA), Alloyce Makoye, katikati ni Mwenyekiti, Costa Mrema na wa tatu kulia ni Katibu (TABROFA), Fatuma Amanzi.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Msalaba Mwekundu - Dar es Salaam, Dollar Rajab Kujonge (kulia) akieleza jambo kuhusu kazi za taasisi hiyo alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam

Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Bw. Stanslaus Mchonde na

Page 12: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

11

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

(Kulia) akimsikiliza mmoja wa wadau wa ufugaji wa Ng’ombe aliyetembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere jijini Dar es Salaaam Julai, 2020.

kuhusu kazi za maabara hiyo kwa Wadau wa uvuvi waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020. Kulia kwake ni Mchunguzi wa Vimelea, Maabara ya Taifa ya Uvuvi (Mwanza), Zebedayo Baniga.

Mkufunzi wa Wakala ya Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo

wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Page 13: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

12

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Wadau wa Mifugo na Uvuvi wakionesha kuvutiwa na Aquarium zilizopo katika banda la Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) walipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara katika viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 3, 2020.

Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Uwanja wa Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

Moja ya kivutio kikubwa katika banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam ni huyu Samaki anayejulikana kwa jina la Kisukuku (Silikanti). Watu wengi walimiminika kupiga picha na Samaki huyo. Ni aina ya Samaki ambaye inasemekana walipotea kwa muda mrefu kabla ya kuonekana tena katika miaka ya hivi karibuni katika maeneo ya pwani ya Tanga na Kilwa.

Page 14: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

13

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Bodi ya Maziwa kwenye maonyesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara. Kushoto ni watumishi wa Bodi ya Maziwa.

alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam Julai 9, 2020.

Page 15: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

14

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

ya Uvuvi (FETA) alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 9, 2020.

Angello Mwilawa (wa pili kushoto). Wa kwanza kushoto ni

Mchonde, wa pili kulia ni Kaimu Meneja wa Shamba la

Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai

Page 16: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

15

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.Viwanja vyya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jiijini Dar es Saalaam, Julai, 2020.

(kulia) wakiwahudumia wadau wa uvuvi waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar

Rahma Shahdadi na wa pili ni Fundi Sajifu, MPRU,

ufugaji aliyetembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya kimataifa ya biashara yaliyofanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai, 2020.

(Skauti) aliyetembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa jijiji Da es Salaam Julai, 2020

Page 17: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

16

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Katibu wa Chama cha Wasindikaji Maziwa Tanzania (TAMPA) Bi. Rose Lyimo akitoa maelezo ya namna bora ya kuongezea thamani kwenye zao la maziwa kwa mmoja wa wananchi waliotembelea banda hilo kwa ajili ya kupata elimu wakati wa Maonyesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Wadau wakiingia kwenye banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika maonesho ya 44 ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika katika viwanja vya Mwl. Nyerere Julai, 2020.

Page 18: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

17

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 12, 2020.

wa ufugaji wa samaki aliyetembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 12, 2020.

Page 19: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

18

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

wananchi vidani vilivyotengenezwa kwa madini ya Lulu walipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 12, 2020.

akitoa ufafanuzi kuhusu mbegu hizo kwa wadau wa mifugo waliotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya

Mchonde.

Page 20: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

19

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

maelezo kuhusu samaki aina ya Nguva anayeonekana pichani.

Mkuu wa Utawala JKT, Col. Julius Kadawi (kushoto) akieleza jambo alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara

Page 21: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

20

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Waziri wa Biashara na Viwanda, Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja

Julai 13, 2020. Wa kwanza kulia waliosimama ni Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari, Tanzania, ambaye pia alikuwa Mwakilishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Furaha Mramba.

Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari (TVLA), Dkt. Furaha Mramba akishiriki kuimba Wimbo

Salaam.

Page 22: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

21

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

kufunga Maonesho ya 44 ya Kimataifa ya biashara iliyofanyika Julai 13, 2020 kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Viwanja vya Mwl. Nyerere, barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Page 23: Sabasaba Special 2020 · 2020. 7. 28. · 7 MAONESHO YA SABASABA Viwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na

MIFUGOUVUVI

22

MAONESHO YA SABASABAViwanja vya Mwalimu Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Julai, 2020.

Jarida hili la Mtandaoni hutolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,

Wizara ya Mifugo na Uvuvi, S.L.P. 40487, Dodoma,Tanzania

Tovuti: www.mifugouvuvi.go.tz