2
Shule inatangaza nafasi za masomo ya Pre-Form One ambayo yataendeshwa kuanzia tarehe 15/09/2014 hadi tarehe 12/12/2014 na masomo ya form one kwa mwaka 2015. Fomu zimeanza kutolewa katika maeneo yafuatayo:- Songwe Sunrise secondary school. Makao makuu ya kanisa la Uinjilisti Mbalizi Mbeya Tanzania. Chuo cha Sayansi za Jamii Ifisi. Pia unaweza kupata fomu za kujiunga na shule kwenye tovuti ya shule ambayo ni www.mec-tanzania.ch/songwe sunrise secondary school. KWA MAWASILIANO ZAIDI Mkuu wa shule Songwe Sunrise Secondary School P.O.Box 219 Mbeya, Tanzania Simu: +255755115278 [email protected] www.mec-tanzania.ch/songwe sunrise secondary school UMTUMIKIE MUNGU NA KUWAHUDUMIA WATU KARIBU Ukumbi mkubwa na wa kisasa Darasa la Kompyuta Maabara MABWENI NA CHAKULA Shule ina mabweni mazuri na ya kisasa kwa wavulana na wasichana na pia inatoa chakula bora kwa wanafunzi.

Shule inatangaza nafasi za masomo ya Pre-Form One ambayo ... · Mbozi, mkoa wa Mbeya, kilomita nane (8) kutoka ulipo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe (Songwe International Airport)

  • Upload
    others

  • View
    33

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Shule inatangaza nafasi za masomo ya Pre-Form One ambayo ... · Mbozi, mkoa wa Mbeya, kilomita nane (8) kutoka ulipo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe (Songwe International Airport)

Shule inatangaza nafasi za masomo ya Pre-Form One ambayo

yataendeshwa kuanzia tarehe 15/09/2014 hadi tarehe 12/12/2014 na

masomo ya form one kwa mwaka 2015. Fomu zimeanza kutolewa

katika maeneo yafuatayo:-

Songwe Sunrise secondary school.

Makao makuu ya kanisa la Uinjilisti Mbalizi Mbeya Tanzania.

Chuo cha Sayansi za Jamii Ifisi.

Pia unaweza kupata fomu za kujiunga na shule kwenye tovuti ya

shule ambayo ni www.mec-tanzania.ch/songwe sunrise

secondary school.

KWA MAWASILIANO

ZAIDI

Mkuu wa shule Songwe Sunrise Secondary School

P.O.Box 219 Mbeya, Tanzania Simu: +255755115278

[email protected] www.mec-tanzania.ch/songwe sunrise secondary school

UMTUMIKIE MUNGU NA KUWAHUDUMIA WATU

KARIBU

Ukumbi mkubwa na wa

kisasa

Darasa la Kompyuta

Maabara

MABWENI NA CHAKULA

Shule ina mabweni mazuri na ya kisasa kwa wavulana na wasichana na pia inatoa chakula bora kwa wanafunzi.

Page 2: Shule inatangaza nafasi za masomo ya Pre-Form One ambayo ... · Mbozi, mkoa wa Mbeya, kilomita nane (8) kutoka ulipo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe (Songwe International Airport)

Shule inamilikiwa na Kanisa la Uinjilisti Mbalizi chini ya

ujenzi na usimamizi wa Mch. Markus Lehner akishirikiana na

makamu wake Tito Nduka. Shule ina walimu wa kutosha

wenye sifa stahiki katika masomo yote wakiongozwa na mkuu

wa shule Mwl. John Mahali.

Mwl. John Mahali

Mkuu wa shule

Mch. Markus Lehner

Mkurugenzi wa maendeleo na msimamizi

wa ujenzi wa shule.

UONGOZI NA MASOMO

Masomo ya sayansi

Mathematics, Chemistry, Physics, Biology na Computer

MASOMO YANAYOFUNDISHWA

KARIBU SONGWE SUNRISE SECONDARY SCHOOL

Songwe Sunrise Secondary School ni shule ya bweni na

kutwa yenye kufundisha masomo ya kidato cha kwanza

hadi cha nne na cha tano hadi cha cha sita. Inamilikiwa na

Kanisa la Uinjilisti Mbalizi lenye makao yake makuu

Mbalizi Mbeya Tanzania. Shule imesajiliwa na Wizara ya

Elimu na Mafunzo ya Ufundi, namba ya usajili ni S4752 na

kituo cha mtihani cha Baraza la Mitihani Tanzania ni

namba S5236.

Shule inapatikana katika kijiji cha Songwe wilaya ya

Mbozi, mkoa wa Mbeya, kilomita nane (8) kutoka ulipo

uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe (Songwe

International Airport). Shule ipo kandokando ya barabara

kuu iendayo Tunduma.

Ili kufika shuleni unatakiwa kutumia magari yanayoelekea

Tunduma kutokea Mbeya. Kwenye barabara hiyo shule ipo

karibu na kituo cha mabasi cha Festoni hapo kipo kibao cha

shule yetu kitakachokuongoza mahali shule ilipo.

Madarasa mazuri na yenye nafasi ya kutosha

MAZINGIRA YAKUFUNDISHIA

Shule ina mazingira mazuri na majengo yakutosha kufundishia kama vile:-

Jengo la utawala

Tito Nduka Makamu mkurugenzi.

Masomo ya sanaa

Civics, English, Kiswahili Geography na Historia

Masomo ya biashara

Commerce na Book keeping

B. KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2015

A. PRE-FORM ONE MWAKA 2014

Masomo yanayofundishwa ni:

-Kiingereza

-Kiswahili

- Na masomo mengine kwa muundo wa baseline.