10
Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020

Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

  • Upload
    others

  • View
    3

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020

Page 2: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Ufunuo

Uvuvion

Hatua ya uandishi

Neno

Tafsiri

“Kwasababu hiyo sisi nasi twamshukuru Mungu bila kukoma, kwa kuwa, mlipopata lile neno la ujumbe la Mungu mlilolisikia kwetu, si kama neno la wanadamu, bali kama neno la Mungu; na ndivyo lilivo kweli kweli; litendalokazi pia ndani yenu ninyi mnaoamini.” (1 Wathethalonike 2:13)

Biblia iliandikwa na wanadamu. Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Nenola Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe?

Ni kwa namna gani Biblia iliandikwa? Tuitafasirije sasa?

Page 3: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Waandishi wa Biblia walidai kwamba waliandika “ambacho Rohoanasema”, na siyo mawazo yao wenyewe (Ufunuo 2:7).

Mungu aliwatumia wao kutuonyesha mipango Yake (Amos 3:7). Alijifunua mwenyewe kupitia wao.

Maelekezo na ushauri katika Bibliaulitolewa na Mungu, hivyo ni wakuaminika na wakweli.

Biblia “yafaa kwa mafundisho, na kwakuwaonya watu makosa yao, na kwakuwaongoza, na kwa kuwaadibishakatika haki” (2 Timotheo 3:16).

Kwa kujifunza Biblia, tunajifunza namnaMungu anavyotaka tuishi.

Page 4: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Kuna ulinganifu kamili kutoka Mwanzo hadi Ufunuo. Hiiimewezekana tu kwasababu Roho Mtakatifu aliwavuviawaandishi wote wa Biblia.

Hata hivyo, waandishi wote hawakuvuviwa kwa namna moja.

Hii ndiyo sababu Biblia ni kitabu cha tofauti sana. Kila mwandishi anauelezeaukweli wa Mungu kwa namna tofauti.

Page 5: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

“Maandiko yalitolewa kwa

wanadamu, siyo kwa matamko

ya mnyororo usiyokatika, lakini

fungu kwa fungu kupitia

mfuatano wa vizazi, kama riziki

ya Mungu ilivyoona fursa ifaayo

kumvutia mwanadamu mwenye

mfarakano na katika sehemu

mbalimbali. Wanadamu

waliandika kama walivyovuviwa

na Roho Mtakatifu.”E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp. 1, p. 19)

Page 6: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Kwanini Mungu alihitaji maneno Yakeyaandikwe? Ni nini faida za ujumbe wamaandishi?

Ni ngumu kusahau unachosoma

Unaweza kupitia na kukariri

Unaweza kuhifadhiwa

Unaweza kutolewa nakala mara nyingi

Watu wengi wanaweza kuusoma

Unaweza kusomwa katika sehemu za mbali

Unavumilia. Unaweza kusomwa hata na kizazikijacho

Hata wale wasioweza kusoma wanawezakuusikia kwa wengine wakiusoma kwasauti

Ahsante kwa ujumbe wa Munguwa maandishi, leo tunaweza kujuamapenzi Yake na kuyatii.

Page 7: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Yohana alimtambulisha Yesu kama Neno la Mungu aliyefanyika mwili. Kuna ulinganifukati Kristo na Biblia.

Pia ipo tofauti kati yake. Biblia siyo mwili waMungu, na haiwezi kuabudiwa. Inamshuhudia Yesu(Yohana 5:39).

Vyote vina asili isiyo ya kawaida

Vyote vinajumuisha uungu na ubinadamu

Kazi ya vyote imefunika ubinadamu wote

Vyote vilikuja kwa wakati na tamadunimaalumu, lakini kazi yake imeenda hadi njeya mipaka na mahali

Vyote vilikuja hadi katika kiwango cha binadamu ili tuelewe ujumbe wake

Page 8: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Biblia haifundishwi wala kutafsiriwa kama kitabu kinginechochote.

Kwa mfano, Wakosoaji Wakuu walijaribu kuitafsiri Bibliakwa kutumia muundo wa kisarufi na kupuuza vipengelevya asili isiyo ya kawaida.

Sasa tuitafsirije Biblia?

Zaidi ya yote, ni lazima tukumbuke kuwa ni Neno la Mungu, hivyo imani inahitajika (Waebrania 11:6).

Roho Mtakatifu aliwavuvia waandishiwa Biblia, nasi tunapaswa kumruhusuatuvuvie tunaposoma.

Kwahiyo, tunapaswa kuomba kablahatujaisoma Biblia, kuomba uongoziau uvuvio wa Roho Mtakatifu ilituielewe vyema.

Page 9: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

Maandiko Matakatifu, Agano la Kale na Jipya, ni Neno la Mungu lililoandikwa, limetolewa kwa pumzi ya Mungu. Waandishi waliovuviwa waliongea na kuandika kamawalivyovuviwa na Roho Mtakatifu. Katika Neno, Munguamedhamiria kuwapatia wanadamu maarifayanayotakiwa kwa ajili ya wokovu. Maandiko Matakatifuyana nguvu, mamlaka, na ufunuo usiyoanguka wa Mapenzi Yake. Ndiyo yenye kiwango cha tabia, jaribio la uzoefu, yana uhakika wa mfunua maandiko, na matendo ya historia ya kumbukumbu ya kuaminika ya Mungu. (Zab. 119:105;Mit. 30:5, 6; Isa. 8:20;Yoh 17:17; 1 Thes. 2:13; 2 Tim. 3:16, 17; Eb. 4:12; 2 Petro 1:20, 21.)

IMANI ZA MSINGI ZA WAADVENTISTA SABATO

Page 10: Somo la 2 kwa ajili ya April 11, 2020 Japo kuwa, mara kwa mara tunasema ni Neno la Mungu, Kwanini? Kwani Biblia inasemaje kuhusu yenyewe? ... E.G.W. (Selected Messages, vol. 1, cp

“Ufahamu wa Kweli

hautegemei sana juu ya nguvu

ya akili kama madhumuni safi,

unyenyekevu wa bidii,

hutegemea imani. Kwa wale

ambao kwa moyo wa

unyenyekevu hutafuta

uongozi wa kimbingu, malaika

wa Mungu hushuka karibu

yao. Roho Mtakatifu

huwafungulia utajiri wa

hazina ya kweli.”

E.G.W. (Christ’s Object Lessons, cp. 2, p. 39)