Upload
jonas-msigala
View
227
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
8/16/2019 Taarifa Ya Kata
1/2
TAARIFA YA KATA.
Kata zilizotembelewa ni sita ambazo ni;
1. Kabasa
2. Guta
3. Balili4. Bunda
5. Kunzugu
6. Bunda stoo
Kata hizi zilitembelewa na Afisa kata wake Bw !oses ". !utash# na ifuata$o ni taa%ifa $a
$ali$o&itokeza katika kila kata.
KABASA.
Afisa alitembelea kata hii ta%ehe '()'2)2'12 lakini hakufanikiwa kuonana na mtenda&i wa kata
wala kiongozi $e$ote wa kata hii.*akini alifan$a &uhudi na ku+ata namba $a simu $a mkononi $a
mtenda&i wa kata, -2556(335535/ na kuongea nae kumweleza nia $a kufika ha+o na kuomba
ushi%ikiano wake katika 0ita $a ku+ambana na wimbi la wahamia&i ha%amu. Kwa wakati huo
mtenda&i hu$o hakua na taa%ifa $o$ote $a wahamia&i ha%amu ila aliahidi kutoa ushi%ikiano wa
dhati katika 0ita hii.
GUTA.
Kata hii ilitembelewa ta%ehe '()'2)2'12# na Afisa alifanikiwa kuonana na !tenda&i wa kata hii
Bw. !a&in&i,-255(45555(/ na ku&adili kwa kina masuala $a wahamia&i ha%amu lakini
mtenda&i hakuwa na taa%ifa $o$ote $a wahamia&i hawa# ila aliahidi kutoa taa%ifa kwa ha%aka +indi tu ataka+o +ata taa%ifa $o$ote &uu $a suala hili.
BALILI.
Afisa alionana na mtenda&i wa kata hii Bi sthe% ,-255(463((/ ta%ehe '()'2)2'12 na
ku&adili masuala $a u%aia na wahamia&i ha%amu. !tenda&i aliona umuhimu wa masuala ha$a na
alimualika Afisa katika kikao ha wen$e0iti wa mitaa ili kutoa mada kwa wen$e0iti hao. Kikao
kilifan$ika ta%ehe 1')'2)2'12 na Afisa alihudhu%ia na kutoa mada $a u%aia na ma+ambano dhidi
$a wahamia&i ha%amu.a&umbe wote waliki%i ku+ata uelewa wa kina &uu $a masuala ha$o na
kuahidi kushi%ikiana kwa ka%ibu zaidi na da%a.
BUNDA.
Katika hii imetembelewa zaidi $a ma%a nne bila mafanikio $a kum+ata mtenda&i wa kata# na kwa
taa%ifa zilizo+atikana ni kwamba amesimamishwa kazi na bado Afisa ha&afanikiwa kuonana na
ali$ekahimishwa nafasi hi$o.
8/16/2019 Taarifa Ya Kata
2/2
KUNZUGU.
Kata hii +ia imetembelewa ma%a tatu bila mafaniko $o$ote $a kum+ata mtenda&i wa kata wala
kiongozi $o$ote.
BUNDA STOO.
Afisa alionana na mtenda&i wa kata ta%ehe 14)'2)2'12# mtenda&i hu$o alitoa taa%ifa kuwa katika
kata $ake hakuna wahamia&i ha%amu ila kuna familia mbili za Kiasia,ahindi/ ambao wanaishi
kwa 0ibali na kwa sasa wako katika mhakato wa kuomba u%aia.a kwa kumbukumbu za ofisi
$etu ni kwamba maombi ha$o $ako katika ofisi $a mkoa kwa hatua zaidi.
Kata hizi zote ni kata ambazo zinauzunguka m&i wa Bunda na zinafikika kwa u%ahisi
kwani haziko katika umbali m%efu.
atenda&i wa kata na 0iongozi wengine kwa sasa wana+atikana kwa shida kwa sababuwame&ikita zaidi katika shughuli za usimamizi wa u&enzi wa shule za sekonda%i.
"itihada zinaendelea kufan$ika hasa kwa kufan$a mawasiliano $a ma%a kwa ma%a na
kusambaza 0itabu maalum 0$a kuandikisha wageni.katika kila kata# &a+okuwa bado kuna
u+ungufu wa 0itabu hi0$o.