2
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA SimuyaUpepo : “N G O M E” MakaoMakuuyaJeshi, SimuyaMdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203, Telex : 41051 DAR ESSALAAM, 21Julai, 2015. Tele Fax : 2153426 Baruapepe : [email protected] Tovuti : www.tpdf.mil.tz Taarifa ya kifo kwa Vyombo vya Habari Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) kilichotokea tarehe19 Julai, 2015 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo Dar es Salaam. Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) alizaliwatarehe 24 September 1938 katika kijiji cha Mlolo, Kata ya Tanangozi, Wilaya ya Iringa Vijijini, Mkoani Iringa. Alijiunga na masomo ya Shule ya msingi na Sekondari na kuhitimu mwaka 1959. Marehemu Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 Julai 1975. Alistaafu utumishi Jeshini tarehe 23 September 1993. Marehemu Brigedia Dismas Stanslaus Msilu ameacha mke na watoto. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa rasmi tarehe 22 Julai 2015 kuanzia saa 1:30 hadi 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika Mkoani Iringa tarehe 23 Julai 2015. MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU

Taarifa Ya Kifo - Brig Gen Msilu

Embed Size (px)

DESCRIPTION

TAARIFA YA KIFO - BRIG GEN MSILU

Citation preview

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA

SimuyaUpepo : N G O M EMakaoMakuuyaJeshi,SimuyaMdomo : DSM 22150463Sanduku la Posta 9203,Telex : 41051DAR ESSALAAM, 21Julai, 2015.Tele Fax : 2153426Baruapepe : [email protected] : www.tpdf.mil.tzTaarifa ya kifo kwa Vyombo vya HabariJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) kilichotokea tarehe19 Julai, 2015 katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo Dar es Salaam.Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu (mstaafu) alizaliwatarehe 24 September 1938 katika kijiji cha Mlolo, Kata ya Tanangozi, Wilaya ya Iringa Vijijini, Mkoani Iringa. Alijiunga na masomo ya Shule ya msingi na Sekondari na kuhitimu mwaka 1959.Marehemu Brigedia Jenerali Dismas Stanslaus Msilu alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 Julai 1975. Alistaafu utumishi Jeshini tarehe 23 September 1993.Marehemu Brigedia Dismas Stanslaus Msilu ameacha mke na watoto. Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa rasmi tarehe 22 Julai 2015 kuanzia saa 1:30 hadi 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika Mkoani Iringa tarehe 23 Julai 2015.MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMUBRIGEDIA JENERALI DISMAS STANSLAUS MSILU (MSTAAFU)AMINA

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na MahusianoMakao Makuu ya Jeshi, UpangaS.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.Kwa Mawasiliano zaidi: 0756 342279