33
TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHI “Mada: Changamoto ya Haki ya Makazi na namna Shirika la Nyumba linavyoikabili” MADA ILIYOWASILISHWA KATIKA SEMINA ZA KILA MWEZI HAKIARDHI UKUMBI WA HAKIARDHI 27 th Jan. 2012 1/27/2012 1 National Housing Corporation

TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

  • Upload
    others

  • View
    5

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHI

“Mada: Changamoto ya Haki ya Makazi na namna Shirika la Nyumba

linavyoikabili”

MADA ILIYOWASILISHWA KATIKA SEMINA ZA KILA MWEZI HAKIARDHI

UKUMBI WA HAKIARDHI

27th Jan. 2012

1/27/2012 1National Housing Corporation

Page 2: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Madokezo

1. Kumbukumbu2. Historia fupi3. Ufafanuzi wa haki ya makazi4. Uainisho wa haki ya makazi5. Changamoto za haki ya makazi Tanzania

– Serikali• Nyumba/Viwanja binafsi• Nyumba za kupanga

– Shirika la Nyumba• Nyumba za kupangisha• Nyumba za kuuza

6. Makabiliano na Haki za Makazi– Mpango mkakati 2010-2015– Sheria zilizopo na utaratibu wa utendaji wa Shirika

1/29/2012 National Housing Corporation 2

Page 3: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Lini? Wapi? Nini? Kwa Nini?

1/29/2012 National Housing Corporation 3

Page 4: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Lini? Wapi? Nini? Kwa Nini?

1/29/2012 National Housing Corporation 4

Page 5: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

2005, France, Riots, Housing

1/29/2012 National Housing Corporation 5

Page 6: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Historia Fupi ya Haki za Makazi

• Habitat 1996 Instanbul: “Instanbul Agreement and Habitat Agenda”

• Aya ya 61 ya makubaliano hayo: Hatua zinazostahili kuchukuliwa na Serikali katika kukuza, kulinda na kuhakikisha kukamilika na kuendelea kwa haki za makazi kamili (adequate housing)

1/29/2012 6National Housing Corporation

Page 7: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Historia Fupi ya Haki za Makazi

• Haki za Makazi = Haki za Kibinadamu

• Article 25 ya “Universal Decralation of Human Rights” inatambua kwamba haki ya makazi ni haki ya kibinadamu

• Article 11 ya “International Convenant on Economic, Social and Cultural Rights” inatoa uhakika kwamba haki ya makazi ni kama haki ya kiwango cha maisha timilifu

1/29/2012 7National Housing Corporation

Page 8: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Nini Haki ya Makazi?Haki ya Makazi si kuwa na Makazi peke yake, bali ni pamoja na

• Haki ya Binadamu kuwa na makazi kamili

– Security of tenure

– Adeqaute services, materials, infrastructure

– Affordability

– Habitability

– Location

– Cultural adequacy

• Haki ya kibinadamu ya kuwa na kiwango boracha maisha

1/29/2012 National Housing Corporation 8

Page 9: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Nini Haki ya Makazi?Haki ya Makazi si kuwa na Makazi peke yake, bali ni pamoja na

• Haki ya kibinadamu ya kupata maji safi nasalama pamoja na usafi wa mazingira

• Haki ya kibinadamu ya kuwa na hali bora yaafya ya mwili na akili

• Haki ya kibinadamu ya kuwa na usalama namazingira yenye afya njema

1/29/2012 National Housing Corporation 9

Page 10: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Nini Haki ya Makazi?Haki ya Makazi si kuwa na Makazi peke yake, bali ni pamoja na

• Haki ya kibinadamu ya watoto kuwa katikamazingira yanayofaa na kuwawezesha kukuakimwili na kiakili

• Haki ya kibinadamu ya kupata mali ikiwa nipamoja na nishati ya kupikia, kuchoma nakuwasha

• Haki ya kibinadamu ya kupata huduma za msingi, shule, usafiri na hiari ya ajira

1/29/2012 National Housing Corporation 10

Page 11: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Nini Haki ya Makazi?Haki ya Makazi si kuwa na Makazi peke yake, bali ni pamoja na

• Haki ya kibinadamu ya gharama zinazowezwakumudiwa bila kuathiri mahitaji mengine yamsingi

• Haki ya kibinadamu ya uhuru wa kutokubaguliwakupata makazi na huduma zinazoambatana kwakuzingatia jinsia, rangi, dini au namna nyingineyoyote

• Haki ya kibinadamu ya kuchagua sehemu yakufanya makazi na namna ya kuishi na uhuru wakuhama

1/29/2012 National Housing Corporation 11

Page 12: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Nini Haki ya Makazi?Haki ya Makazi si kuwa na Makazi peke yake, bali ni pamoja na

• Haki ya kibinadamu ya kutoingiliwa bila sababukwenye mambo binafsi ya familia au nyumbani

• Haki ya kibinadamu ya usalama ikiwa ni pamojana uhakika wa kisheria wa upangaji.

• Haki ya kibinadamu ya usawa wa kulindwakisheria na kufidiwa na mahakama kwa ukiukwajiwa haki za makazi

1/29/2012 National Housing Corporation 12

Page 13: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Nini Haki ya Makazi?Haki ya Makazi si kuwa na Makazi peke yake, bali ni pamoja na

• Haki ya kibinadamu ya kulindwa kutokana na “forced evictions”, kubomolewa au/na kuharibiwa kwa makazi ikiwa ni pamoja na kukaliwa kijeshi, vita vya kimataifa na vita vya wenyewe kwa wenyewe, kuanzishwa kwa makazi mapya ya wageni, kuhamisha wakazi na miradi ya maendeleo.

1/29/2012 National Housing Corporation 13

Page 14: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi

• Upatikanaji wa Viwanja

• Ujenzi wa (Nyumba) Makazi

• Upatikanaji wa Fedha za Ujenzi/Kununua

nyumba

• Vipato vya Wananchi

1/29/2012 National Housing Corporation 14

Page 15: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Upatikanaji wa Viwanja

• Bei ya serikali kuuza viwanja tupu ipo juu (kwa mfanokwa sasa Kigamboni ni Sh 7,000 – 10,000 kwa kilamita ya mraba, Tegeta ni Sh 15,000 – 19,000 Bei yaserikali kuuza viwanja tupu (Ni sehemu ndogo ya Watanzania wenye vipato

vya kuwawezesha kununua viwanja rasmi vinavyopimwa na serikali katika maeneo mbalimbali. (Rejea matangazo ya Manispaa kuwahimiza waombaji waliolipia kwa awamu kukamilisha malipo –Morogoro)

• Idadi ndogo ya viwanja vinavyopimwa na usimamizimdogo wa uendelezaji viwanja hivyo unasababishakuwepo na “speculation”. Speculation inasababishakuhodhi kwa ardhi na kupanda kwa bei

1/29/2012 National Housing Corporation 15

Page 16: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Upatikanaji wa Viwanja

• Kukosekana kwa Miundombinu (umeme, maji, simu, mfumo wa majitaka n.k.) Pamoja na serikali kuuza viwanja kwa bei za juu, serikali haiweki miundombinu yoyote kuyafanya maeneo hayo yawe na gharama zilizojificha.

• Kujenga maeneo holela na hatarishi: Serikali imeshindwa kuandaa mpango kabambe kuzuia ukuaji wa makazi holela pembezoni mwa miji. Wananchi wanajitwalia jukumu la kupanga makazi.

1/29/2012 National Housing Corporation 16

Page 17: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Upatikanaji wa Viwanja

Makazi Holela/Hatarishi

1/29/2012 National Housing Corporation 17

Page 18: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Upatikanaji wa Viwanja

Makazi Holela/Hatarishi

1/29/2012 National Housing Corporation 18

Page 19: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Ujenzi wa Nyumba/Makazi

• Kukosekana kwa ubora wa kazi (poor workmanship)

• Kutumia malighafi za ujenzi zisizo na ubora (substandard building materials)

• Kutozingatia ushauri wa kitaalamu

• Kukosekana kwa usimamizi mzuri wa Serikali za mitaa kwenye ujenzi

• Kukosekana kwa mwamko wa kuzingatia taaluma kwa wananchi wanaojenga

1/29/2012 National Housing Corporation 19

Page 20: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Ukosefu wa Fedha

• Kwa muda mrefu Watanzania wametegemea akiba yao kujenga ama kununua nyumba za makazi baada ya benki ya nyumba kufilisika 1995 Kwa sasa, Sheria mpya (The Mortgage Financing Act, 2008) inatoa fursa kwa mabenki kukopesha fedha kwa ajili ya ujenzi/ununuzi wa nyumba kwa muda mrefu (Kuanzia miaka kumi na kuendelea)

1/29/2012 National Housing Corporation 20

Page 21: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Ukosefu wa Fedha

• Vipato duni vya watanzania. Kwa ujumla vipato vya watanzania walio wengi bado ni vidogo sana ambapo mpaka 2010 ilikuwa ni karibu sawa na US $ 1,400 kwa mwaka (PPP). Ili kupata picha linganisha vipato vya watanzania na wananchi wa nchi nyingine duniani kwenye kiambatanisho mfululizo unaofuata.

1/29/2012 National Housing Corporation 21

Page 22: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Ukosefu wa Fedha

1/29/2012 National Housing Corporation 22

Page 23: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Umiliki wa Makazi- Ukosefu wa Fedha

1/29/2012 National Housing Corporation 23

194 Lesotho 1,700

195 Bangladesh 1,700

196 Chad 1,600

197 Kenya 1,600

198 Benin 1,500

199 Zambia 1,500

200 Tanzania 1,400

201 Burma 1,400

202 Uganda 1,300

203 Burkina Faso 1,200

204 Nepal 1,200

205 Haiti 1,200

206 Mali 1,200

207 Guinea-Bissau 1,100

208 Rwanda 1,100

209 Tokelau 1,000

210 Mozambique 1,000

211 Guinea 1,000

212 Ethiopia 1,000

Burundi

226

Page 24: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziSerikali: Makazi ya Kupanga

• Kukosekana kwa mfumo wa ufuatiliaji nyumbazinazopangishwa

• Sheria hafifu zinazotoa nafasi kwa wawekezajiwenye tamaa

• Usimamizi duni wa sheria zilizopo (Eviction kwenye

nyumba za watu binafsi)

• Uchache wa Mahakama za Ardhi na Nyumbazikiandamwa na ufinyu wa bajeti

1/29/2012 National Housing Corporation 24

Page 25: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Misingi ya Uendeshaji wa Shirika

• Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa 1990 kwa pamoja na

• Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa, 2005 kuhusu uendeshaji wa Shirika

1/29/2012 National Housing Corporation 25

Page 26: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Mchango wa Shirika katika Sekta yaNyumba - Tanzania

1/29/2012 National Housing Corporation 26

Makazi(Housing)

Makazi yaKupangaji(Renting)

Nyumba za NHC< 1% of all

Wenye NyumbaTofauti na NHC

>99%

Umiliki(Ownership)

Kuuza/Kununua

Kuuzwa na Shirika

<0.5%

Kuuzwa Binafsi

>99.5%

Kujenga

Kujengwa naShirika

<0.5%

Kujengwa Binafsi

>99.5%

Page 27: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziShirika: Umiliki wa Makazi

• Kufutwa kwa Ruzuku za aina yoyote katikamambo yafuatayo;– Ununuzi wa viwanja (Mfano: Kigamboni, Lindi, Babati n.k.)

– Ununuzi wa malighafi za ujenzi

– Kutozwa Kodi (VAT) kwenye nyumba mpyazinazouzwa

• Kukosa miundombinu kwenye maeneoyanayonunuliwa na Shirika (Mfano: Boko, Mbweni, Ruangwa)

• Kuingiliwa kwenye kupanga viwango vya kodi

1/29/2012 National Housing Corporation 27

Page 28: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziShirika: Umiliki wa Makazi

• Kuwaaminisha wananchi kwamba jukumu la kuongeza na kuboresha makazi ni la Shirika ili hali hakuna uungwaji mkono kwa vitendo unaofanywa na serikali

• Kutozipa jukumu la kuendeleza makazi serikali za mitaa kwa kuamini jukumu hilo ni la taasisi nyingine

1/29/2012 National Housing Corporation 28

Page 29: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Changamoto za Haki za MakaziShirika: Upangaji wa Makazi

• Idadi Ndogo ya Nyumba za Kupangisha kulikomahitaji (16,429)

• Kupitwa na wakati kwa majengo yake

• Baadhi kukosa huduma za msingi (Kama vile kuunganishwa kwenye mfumo wa maji taka)

• Idadi ndogo ya aina za nyumba mbalimbali

• Wapangaji kuaminishwa na viongozi kwambaShirika lipo kwa ajili ya kutoa huduma na siokufanya biashara kinyume cha matakwa ya sheria

1/29/2012 National Housing Corporation 29

Page 30: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Namna Shirika linavyokabiliana naHaki za Makazi

• Mpango mkakati wa Shirika 15,000 kwa ajili yakuuza (70%) na Kupangisha (30%) ndani yamiaka mitano (5), 2010 – 2015– Nyumba 10,000 za gharama za juu na kati

– Nyumba 5,000 za gharama nafuu

• Kuwa muendelezaji mkuu wa miliki

• Kujenga uhusiano mzuri na mamlaka zaserikali za mitaa, watoa huduma na wadauwengine

1/29/2012 National Housing Corporation 30

Page 31: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Namna Shirika linavyokabiliana naHaki za Makazi

• Kuwa na “landbank” kwa ajili ya ujenzi endelevu. Mpaka sasa shirika liko katika hatua mbalimbaliza kununua Hekari 31,518.62 sehemu mbalimbalinchini.

• Kuwa kiongozi katika kuleta sheria rafiki zauendelezaji makazi bora. Mfano; Mortgage Financing Act, 2008 na Unit Titles Act, 2008.

• Kushirikisha sekta binafsi ambayo ni injini yamaendeleo ili kusaidia kujenga nyumba nyingi nahatimae kupunguza kodi.

1/29/2012 National Housing Corporation 31

Page 32: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Namna Shirika linavyokabiliana naHaki za Makazi

• Kuboresha utaratibu wa kupangisha nyumbazake

• Kuhakikisha matengenezo ya nyumbayanafanyika kwa uhakika na ukamilifu

• Kutoza viwango vya kodi vyenye kumudiwa nawapangaji

• Kupunguza “eviction” kwa wapangaji– Kutoa matangazo ya mara kwa mara

– Kuzingatia sheria zote za upangaji kila wakati

1/29/2012 National Housing Corporation 32

Page 33: TAASISI YA UTAFITI NA UTETEZI WA HAKI ZA ARDHIihi.kazi.pro/wordpress/wp-content/uploads/2017/08/...–Shirika la Nyumba •Nyumba za kupangisha •Nyumba za kuuza 6. Makabiliano na

Thank You !

Presenter: Itika D. Mwangakala

Tenants Relations Manager | National Housing Corporation |P.O. Box 2977

| Dar Es Salaam |Mobile 0784 310994 |Email: [email protected]

1/29/2012 National Housing Corporation 33