Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Mimi, Ndugu zangu, natangaza rasmi sasa, kuwa ninatia nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015.

Citation preview

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    TAMKO LA NIASHUGHULI: KUTANGAZA NIA YA

    KUGOMBEA URAIS MHE. DR. HAMISKIGWANGALLAMAHALI: HYATT REGENCY HOTEL THEKILIMANJARO, DAR ES SALAAM.TAREHE: 7/9/20!MUDA: !:"0ASB 2:00MCH

    Ndugu viongozi mlioko hapa, wageni waalikwa, wanahabari nawatanzania wenzangu mnaonisikiliza;

    Ni heshima kubwa sana kwangu kupata fursa hii. Ni katika nchichache sana duniani, mtoto wa maskini kama mimi, aliyewahikutembea mitaani akiuza karanga, Big G, maandazi, jerebi na samakiili kusaidia wazazi kupata chochote kwa ajili ya kulisha familiaanaweza kuota kuwa ais wa nchi yake. !wamba, mtoto aliyeendashule bila viatu anaweza kuwa "aktari. #ii inamaanisha misingi ya

    haki na usawa kwa wote iliyowekwa na waasisi wa $aifa hili haikuwandoto za alinacha, bali ukweli na uhalisia, na inafanya kazi. !wamba,siyo lazima uwe mtoto wa tajiri ndiyo uoneshe kipaji chako.

    #ili peke yake linanipa sababu ya ziada ya kwa nini nitamani kuotakuwa ais % nataka niwe mfano hai wa mafanikio ya Ndoto ya waasisi

    wa $aifa letu, kuwa sote ndani ya &amhuri ya 'uungano wa$anzania, tuna haki na fursa sawa bila kujali nani anatokea familiaipi. #ii ni $anzania ya ndoto za waliotutangulia. Ni lazima atokeekiongozi wa kizazi hiki anayetamani kuiongoza $anzania

    itakayodumu kwenye misingi hii( kwamba sisi sote ni ndugu, na tunafursa sawa. !wamba, kuendelea kimaisha na kibinafsi ni haki ya

    binadamu na si hisani. !wamba, mtoto wa mama ntilie kamanilivyokuwa mimi hapa, ana haki na fursa ya kuwa mbunge ama ais

    wa nchi, sawa kabisa na mtoto wa 'bunge.

    !wa namna ya kipekee nichukue fursa hii kuwashukuru na

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    kuwapongeza waasisi wa $aifa letu kwa kusimamia tunu hizi.Niwashukuru pia viongozi wote walionitangulia kwa kuzilinda, naniahidi nitakuwa wa mwisho kuisaliti nchi yangu kwenye mambohaya.

    )eo nimefika hapa kwa sababu chama change kina mfumo mzuriulioasisiwa na 'wl. Nyerere na umelindwa na *enyeviti

    waliomfuatia mpaka na sisi tumeukuta. )eo nimefika hapa kwasababu ais &akaya !ikwete na wajumbe wenzake wa !amati !uu na#almashauri !uu walitumia misingi imara iliyowekwa na waasisi wa+hama changu kuamua kuwa nami nina haki ya kuwa 'bunge. )eonazungumza hapa nikiamini kuwa ni misingi hiyo hiyo itatoa uongozi

    wa $aifa letu katika awamu ijayo.

    Babu yangu !izaa Baba aliishi !ijijini Goweko, 'limani, na alikuwamfugaji mkubwa wa ngombe na mrina asali mashuhuri. -eye namkewe waliishi maisha ya heshima sana pale kijijini. #awakuwahikusoma wala kuajiriwa japokuwa Babu yangu aliwahi kushikanyadhifa mbalimbali ndani ya +hama +ha $N/ na baadaye ++'katika ngazi ya !ata.

    Babu yangu na Bibi yangu kizaa mama waliishi Nzega, na ndiyowalionilea baada ya ndoa ya mama yangu na baba yangu kuvunjika.*alinifundisha mambo mengi, kubwa likiwa ni kujiamini, piakufanya mambo yangu kwa bidii, uadilifu, umakini na kwa nidhamu

    ya hali ya juu. Bibi yangu huyu hakusoma shule ya kizungu japokuwaalijifunza kusoma na kuandika. Babu yangu alikuwa mjukuu wa +hifuna hivyo alipata fursa ya kusoma $abora 0chool miaka miwili mbele

    ya Baba wa $aifa, 'walimu &ulius Nyerere. lifanya kazi mbalimbalichini ya serikali ya wakoloni, na alishiriki harakati za kuanzishwa nakusambaa kwa chama cha $ na baadaye $N/. Babu yangu

    aliamini kuwa binadamu wote ni sawa na kwamba kila mtuanastahili kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake1, nakwamba ukoloni haukuwa kitu cha sawa, na hivyo kujitawala

    wenyewe dhidi ya wazungu ilikuwa ni haki yetu; pia aliamini katikaelimu, na hivyo alifanya juhudi kusomesha mabinti zake watatu,mama yangu aliishia kwenye ualimu kabla ya kuingia kwenye ndoa.Babu aliamini kuwa $anzania ya mabinti zake itahitaji wasomi, ndoto

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    ambayo ninaishi kuitekeleza kwa ajili ya mabinti zangu wawili na!aka yao, #! &r.

    &apokuwa bibi na babu yangu wameishatangulia mbele ya haki,

    naamini wananitazama na kutabasamu huko waliko.

    Ninaishi nikiamini kuwa hadithi ya maisha yangu ni mfano hai kwamaisha ya watanzania wengi. Na kwamba, nina deni la kulipa kwa

    vizazi vijavyo kwa kuwa mimi ninafaidi matunda ya mti uliopandwana vizazi vilivyonitangulia. Naliona jukumu la kuhakikisha vizazi

    vijavyo vinafaidi urithi wa $anzania kuwa ni la kwangu na wenzanguwa kizazi hiki.

    !azi yangu imenifikisha sehemu nyingi sana za nchi yetu % vijijini na

    kwenye majiji, imenikutanisha na watu wa kila aina % matajiri kwamaskini, wazee kwa vijana % hakuna hata mmoja kati ya watu hawaanayetegemea 0erikali itamtatulia kero zake zote. *anajua

    wanapaswa kufanya kazi kwa bidii ili wasonge mbele % na wana niaya kufanya hivyo.

    Nenda kwa wafanyabiashara wakubwa kule 2ugu oad viwandani,kwa watumishi pale hospitali ya $aifa 'uhimbili, ama pale sokoni!ariakoo kwa wafanyabiashara, wote watakuambia hawapendi kuona

    kodi zao zikitafunwa na wachache pale $, ama kulipa posho zabure kwa wabunge na mawaziri kule Bungeni, kulipia mashangingi yaviongozi na watendaji, kulipia tiketi za ndege daraja la kwanza kwaajili ya safari za viongozi na wataalamu wetu kwenda kujifunzakupambana na umaskini wakati wakirudi wanauacha uzoefu uwanja

    wa ndege, ama kulipia semina, warsha na makongamano yawataalamu ya kuandika sera za '!/!/$, '!/B3$ nakuandaa bajeti zisizotekelezwa kila mwaka.

    *atanzania wanataka kupata huduma bora za afya, elimu, maji,

    miundombinu.

    Nenda kule kwa watani zangu, Nanyumbu, ama $andahimba, amakwa ndugu zangu kule Nduli, !yela, wazee kule watakuambiahawategemei 0erikali itawaletea ubwabwa kwenye sahani za fedha,

    wanajua 0erikali haitowafanyia kila kitu, lakini wanajua kabisa kuwawanapaswa kufanya kazi kwa bidii na wamekuwa wakifanya hivyo

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    siku zote. *anachohitaji wao ni kujengewa mazingira wezeshikushiriki shughuli zao za kilimo ama biashara, waelekezwe namna yakuongeza uzalishaji kwa kutumia njia za kisasa za kilimo chenye tijana ufanisi, waelekezwe wanapataje pembejeo, wanapataje mikopo

    yenye riba nafuu, wanahitaji, mwisho wa siku, wajue wapi watauzamazao yao kwa uhakika na bila kudhulumiwa wala kucheleweshewamalipo.

    Watu hawatarajii serikali itabeba mizigo yao yote. )akiniwanaamini kabisa, kwamba tukibadili kidogo tu vipaumbele vyetu,tukibadili namna tunavyoendesha serikali, tukibadili kidogo namnatunavyoendesha uchumi wetu, tutaweza, kwa kiasi kikubwa, kubadilimuelekeo mzima wa maisha ya baadaye ya watoto na wajukuu zetu.$utatoa uhakika wa kuiondoa nchi yetu kutoka miongoni mwa nchi

    maskini kabisa duniani.

    Na mimi, kama watanzania wenzangu wengi, nina imani kubwakabisa, kwamba tunaweza kubadili mustakabali wa $aifa letu.$unaweza kufungua milango ya maisha bora zaidi kwa watanzania.$utatoa fursa sawa kwa kila mtanzania kuishi kwa matumaini,kwamba atabadili maisha yake wakati wowote ule kuanzia leo.$utaweza kuamsha ari ya kila mtanzania kuongeza bidii kwenye kaziakitumaini na kuamini kuwa kesho yake itakuwa bora kuliko jana

    yake, kuwa naye ataishi kwa heshima, raha na starehe ndani yanyumba yake.

    Ninaamini, kutokea ndani kabisa ya mifupa yangu, kuwa tukifanyauchaguzi sahihi wa vipaumbele vyetu, tukibadili namnatunavyoendesha serikali yetu, haya ninayoyasema si ndoto zamchana. Ni mambo yanayowezekana.

    *atanzania wengi wanaamini, kuwa tukifanya uchaguzi sahihi wavipaumbele vyetu, mabadiliko makubwa, na ya haraka yatatokea

    kwenye uchumi wetu. *anaamini tukichagua kiongozi sahihimwakani, anayejua mahitaji ya nchi yetu kwa sasa na baadaye,tutafanikiwa.

    Nyote mliopo hapa na wanaotusikiliza kutokea nje ya hapa mnajukumu la kututazama kwa ukaribu sana, kututathmini na kutupimasote; tuliojitokeza hadharani, walioanza safari za matumaini,

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    wanaotajwa tajwa, na wale wanaosubiri kuoteshwa ili wakati muafakaukifika muwape taarifa sahihi watanzania, kuwa kati yetu sote, ninani anafaa kutuongoza kuelekea $anzania ya ndoto zetu4

    !uwa, ni nani kati yetu ataweza kuwa miri5jeshi5mkuu, siyo kwauanajeshi wake bali kwa uwezo na utayari wake wa kuwashirikishawataalamu wa majeshi na kuamua kwa busara kutumia nguvu zakijeshi pale inapolazimika baada ya kupima na kuchambua ainanyingine zote za kutafuta suluhu za migogoro kabla ya kuamua vita.

    !uwa, ni nani kati yetu anayeamini katika uhuru, haki na usawa nawajibu wa watu wote, kama unavyolindwa na !atiba, anayeaminikatika haki ya kuabudu lakini asiyekuwa tayari kuitumia haki hiyokuwagawa watanzania kutokana na dini zao.

    !uwa, ni nani kati yetu anayeamini katika #aki ya kupata hudumabora za afya, elimu, maji, kama wanavyopata wabunge na mawaziriwetu, kama wanavyopata mahakimu na majaji wetu, kamawanavyopata wafanyabiashara na wakurugenzi wetu.

    !uwa, ni nani kati yetu ataweza kuhakikisha kuwa watanzania wotewanapata haki hizi bila kutazama hali zao kiuchumi ama daraja zaokijamii.

    !uwa, ni nani kati yetu anaamini zaidi katika uhuru na kujitegemeakwenye masoko na malighafi ili kudhibiti uchumi wetu mpana wandani, kujitegemea kwenye masoko ya pamba na nguo, kwenyemafuta ya kula, kwenye chakula cha uhakika kwa ajili ya watu wetu,kwenye mafuta na gesi ili tukwepe mtego wa kuwa sehemu yauchumi, masoko na biashara za hasara na faida za makampunimakubwa ya kimataifa nje ya mipaka yetu. 3li tulinde thamani yafedha yetu, ili tuwe na uhakika wa ustawi wa maisha ya watu wetundani ya nchi bila athari kubwa kutoka nje ya nchi yetu.

    !uwa, ni nani miongoni mwetu anaakisi taswira sahihi zaidi yawatanzania walio wengi, historia yake, rekodi yake, wajihi wake,mtazamo wake, ndoto zake, zinaakisi 6utanzania halisi. !uwa, yeye nihitaji sahihi la watanzania.

    *akati ukifika, muwaeleze watanzania ukweli, wafanye uamuzi

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    unaotokana na taarifa sahihi, wachague mtu sahihi.

    'imi, Ndugu zangu, natangaza rasmi sasa, kuwa ninatia nia yakugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    mwaka 2015.

    Na nimefikia uamuzi huu bila kuelekezwa, kusukumwa,kushawishiwa, kupangiwa ama kupanga na mtu ama na kikundi cha

    watu, bali kwa utashi na utayari wangu. Na ninayasema haya, haswabaada ya kutafakari mambo mengi kwa kina( mahitaji ya sasa nabaadaye ya $anzania ya ndoto zangu, uwepo wa fursa ya kugombeana kushinda uchaguzi ujao, uwezo wangu wa kuchambua mambo,kutafakari, kufanya maamuzi sahihi, kuchukua hatua za utekelezajina kusimamia utekelezaji, uadilifu na uzalendo wangu, na zaidi nia

    yangu ya kuwa sehemu ya watanzania wengi tunaotaka kuonamapinduzi ya kifikra katika nchi yetu % mapinduzi ambayo yatatiachachu ya mabadiliko ya namna tunavyochagua vipaumbele vyetukama $aifa na namna tunavyosimamia utekelezaji wa mambo mazuritunayojipangia kama $aifa.

    Ninatangaza nia ya kugombea /rais nikiwapa fursa watanzaniawanipime na kunitazama mwenendo na uwezo wangu, nikiaminikabisa nitapimwa na kuungwa mkono ama kutoungwa mkono si kwarangi ya ngozi yangu, si kwa jinsi yangu, si kwa umri wangu, na walasi kwa daraja langu kwenye jamii, dini yangu, ama kabila langu.Ninaamini nitapimwa kwa sifa na uwezo wangu, kama mtanzania.

    *atanzania tuna sifa moja kubwa; kwenye mambo ya msingi yakitaifa, tunakubaliana kuwa maslahi ya $anzania hupanda juu yamaslahi yetu binafsi. $udumishe utanzania wetu.

    Ninaamini katika Ndoto ya $anzania. !uwa leo miaka 78 ya kuwa&amhuri ya $anzania tuna kila sababu ya kuwa $aifa la dunia ya

    kwanza, viongozi waliotutangulia wameandaa misingi ya kuifikisha$anzania kwenye matamanio yetu. !izazi chetu cha kina jukumu na

    wajibu wa kuikimbiza $anzania kufikia kwenye ahadi inayotokana nandoto za wazee na waasisi wa $aifa letu. Binafsi, niko tayari kulibeba

    jukumu hilo bila woga wala wasiwasi, maana naamini tusipojitokezawatu kama mimi, tutajikuta tunaongozwa na watu wasiostahili. Ninasuluhu ya changamoto kubwa za leo na kesho( kupigana na njaa na

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    kuhakikisha usalama wa chakula kwa watu wetu, tatizo la ajira kwavijana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi ni miongoni mwamambo ambayo kizazi chetu kitapaswa kuyafanyia kazi kwa harakana umakini wa hali ya juu.

    'imi ninaamini kwamba, kama hata mimi nimefika hapa, basi kilamtanzania anaweza, na ana haki ya kufika hapa na kwenda mbelezaidi yangu. 'afanikio siyo haki ya wachache, ni tunu ya'wenyezimungu kwa kila mtu. Ninaamini ni haki ya kila mtanzaniakuota ndoto yake, kuifanyia kazi na kuifikia. &amhuri ya 'uungano

    wa $anzania ina wajibu wa kutoa fursa kwa watu wake kuota ndotozao na kufikia mafanikio bila kukwama.

    a n!ugu watanzania wenzangu, amini nawaambia, kuwa,

    mbele yetu tuna kazi ya zia!a ya ku"anya. !azi ambayoninaamini tunaiweza tukiamua; uwezo tunao, sababu tunazo na niatunayo % sema tuna mapungufu makubwa kwenye kuchukua hatua zakutenda.

    'imi naamini kwamba; E Pluribus unum. Baina ya wengi,mmoja!

    #wamba$ 'imi ni mmoja kati ya uwingi wetu. 0iwezi kuwa salama

    kama wengine hawako salama, siwezi kuwa na raha kama wenginewanateseka. Ninaongozwa na ile dhana kwamba, matatizo yamwenzangu, ni ya kwangu, na si yangu peke yangu, ni yetu sote kama

    jamii moja.

    #ivyo(

    5 kitisho cha njaa ya familia fulani maskini kule 0akasaka,wilayani 'eatu, ni kitisho changu na familia yangu, hata kamasiyo familia yangu.

    5 !ucheleweshewa haki ya kuhukumiwa kwa mtuhumiwa wamauaji ya kule 0ombetini, ni kitisho kwangu pia, hata kama kesisiyo yangu.

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    5 'zee 'akame wa kule *ete, 2emba, aliyefiwa na watoto wakeakakosa msaada na yeye hana nguvu za kuzalisha tena,anavyokula mlo mmoja kwa siku ili asukume siku, inaniumizana kunigusa moyoni, hata kama yeye siyo babu yangu.

    5 'ama &ohn ni mpishi mzuri wa wali nazi kwa maharage, na anawateja wengi mtaani kwake maeneo ya 'taa wa 0ikukuu,0okoni !ariakoo; akifukuzwa, akapigwa virungu,akanyanganywa pesa zake, akadhalilishwa na kumwagiwachakula chake na mgambo wa jiji la "ar es salaam kwa kuwaanafanya biashara mahala pasiporuhusiwa, inaniumiza nakunigusa moyoni, hata kama yeye si mama yangu.

    5 !ama kuna mtoto asiyejua kusoma na kuandika kule 'rijo+hini kwa watani zangu warangi, hiyo inaniuma na kunigusasana moyoni, hata kama yeye si mwanangu.

    5 Bwana !alumanzila ni mmachinga nguo za mitumba mitaani.-eye huchukua nguo zake kumi kwa kuaminiwa na mwenye

    belo kutokea soko la !arume, akiuza anachukua kifaida kidogocha juu kinachozidi hapo juu na kurudisha pesa ya mwenyemali !arume jioni ya siku hiyo. 9lfu mbili ama tatu anayopatainamfanya aishi yeye na mkewe na watoto wake. kifukuzwa

    barabarani na akanyanganywa mali, anakosa kazi ya kufanyana analazimika kumtumikia bosi mwenye mali mpakaatakapofidia mali iliyopotea bila kupata cha juu. 0hida namadhila anayoyapata bwana !alumanzila zinaniumiza nakunigusa sana moyoni, hata kama yeye si mjomba wangu.

    $arehe :, gosti 8

  • 5/20/2018 Tamko La Nia Ya Dkt-2. Hamisi Kigwangalla (MB) Kugombea Urais 2015

    http:///reader/full/tamko-la-nia-ya-dkt-2-hamisi-kigwangalla-mb-kugombea-urais-2

    utajiri#$ 'imi nasema hivi( nataka na natamani kuwa ais wakwanza wa $anzania kuongoza nchi $ajiri. !ama nitafanikiwa kuwaais, nitatumia miaka ya awali ya uongozi wangu kuikimbiza$anzania kuelekea kwenye ndoto hii.

    'ungu awabariki. 'ungu ibariki $anzania. 'ungu ibariki frika.