3
Livestock Training Agency- Admission Office JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING AGENCY ) KATIKA MWAKA WA MASOMO 2014/15 1. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za mafunzo katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kama ifuatavyo: Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Mifugo (Diploma in Anima l Health and Production - DAHP )  Astashahada ya Afya na Uzalishaji Mifugo (Animal Health and Production Certificate - CAHP )  Astashahada ya Ufundi Sanifu wa Maabara (Cer tific ate in Vete rinary Labo rator y Technology - CVLT ) 2. Katika mwaka wa fedha wa 2014/2015, Serikali kupitia Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) itatoa mafunzo kwenye Kampasi zake sita na vituo vyake viwili Tengeru, Mpwapwa, Morogoro, Buhuri, Madaba, Temeke, Vituo vya Mabuki na Kikulula. Kampasi ya Teme ke hai na mala zi hivy o wata kaoj iung a itabi di waj iteg emee kwa mala zi. Pia kati ka Kampasi zetu kutakuwa na nafasi chache kwa wanafunzi watakaopenda kukaa nje ya Chuo (Private day students). 3. Waka la inak arib isha maombi kuto ka kwa vija na wal ioma liza kida to cha Nne wan aota ka kujiunga na mafunzo ngazi ya Astashahada. Pia vijana waliomaliza Kidato cha Sita na wale wenye Astashahada katika fani zinazohusia na na kozi wanazoomba kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ngazi ya Stashahada. 4. Kampasi zitakazohusika na mafunzo hayo ni kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapa chini: Na KAMPASI / KITUO  ANUANI KOZI ZITOLEWAZO 1. TENGERU S.L.P 3101 Arusha DAHP & CAHP(Bweni na kutwa) 2. MPWAPWA S.L.P 51 Mpwapwa DAHP & CAHP(Bweni na kutwa) 3. MOROGORO S.L.P 603 Morogoro DAHP& CAHP ( Bweni n a kutwa) 4. BUHURI S.L.P 1483 Tanga CAHP(Bweni na kutwa) 5. MADABA S.L.P 568 Songea DAHP & CAHP(Bweni na kutwa) 6. TEMEKE S.L.P 39866 DSM CVLT (Kutwa) 7. MABUKI S.L.P 352 Mwanza CAHP (Bweni na kutwa) 8. KIKULULA S.L.P 147 Karagwe CAHP (Bweni) For further information contact: Tel / +255 222 863 479 e-mail: [email protected] or [email protected] Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142 Temeke Veterinari, Barabara ya Mandela, S. L. P. 9152, DAR ES SALAAM Telegram: “Mifugo” Simu: 255 022 2861910 Fax: 255 022 2861908 E-mail: litahq@yah oo.com Tovuti:  http://www.mifugouvuvi.go.tz

Tangazo-La-Kujiunga-Na-Mafunzo-Vyuo-vya-mifugo-2014-15

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Mwisho wa kuomba ni june 30

Citation preview

  • Livestock Training Agency- Admission Office

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

    WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA

    TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA KATIKA WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LIVESTOCK TRAINING AGENCY) KATIKA

    MWAKA WA MASOMO 2014/15

    1. Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) inatangaza nafasi za mafunzo katika ngazi ya Astashahada na Stashahada kama ifuatavyo: Stashahada ya Afya na Uzalishaji wa Mifugo (Diploma in Animal Health and Production -

    DAHP) Astashahada ya Afya na Uzalishaji Mifugo (Animal Health and Production Certificate -

    CAHP) Astashahada ya Ufundi Sanifu wa Maabara (Certificate in Veterinary Laboratory

    Technology - CVLT)

    2. Katika mwaka wa fedha wa 2014/2015, Serikali kupitia Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) itatoa mafunzo kwenye Kampasi zake sita na vituo vyake viwili Tengeru, Mpwapwa, Morogoro, Buhuri, Madaba, Temeke, Vituo vya Mabuki na Kikulula. Kampasi ya Temeke haina malazi hivyo watakaojiunga itabidi wajitegemee kwa malazi. Pia katika Kampasi zetu kutakuwa na nafasi chache kwa wanafunzi watakaopenda kukaa nje ya Chuo (Private day students).

    3. Wakala inakaribisha maombi kutoka kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne wanaotaka kujiunga na mafunzo ngazi ya Astashahada. Pia vijana waliomaliza Kidato cha Sita na wale wenye Astashahada katika fani zinazohusiana na kozi wanazoomba kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ngazi ya Stashahada.

    4. Kampasi zitakazohusika na mafunzo hayo ni kama inavyooneshwa kwenye jedwali hapa chini:

    Na KAMPASI / KITUO

    ANUANI KOZI ZITOLEWAZO

    1. TENGERU S.L.P 3101 Arusha DAHP & CAHP(Bweni na kutwa)2. MPWAPWA S.L.P 51 Mpwapwa DAHP & CAHP(Bweni na kutwa)3. MOROGORO S.L.P 603 Morogoro DAHP& CAHP (Bweni na kutwa)4. BUHURI S.L.P 1483 Tanga CAHP(Bweni na kutwa)5. MADABA S.L.P 568 Songea DAHP & CAHP(Bweni na kutwa)6. TEMEKE S.L.P 39866 DSM CVLT (Kutwa)7. MABUKI S.L.P 352 Mwanza CAHP (Bweni na kutwa)8. KIKULULA S.L.P 147 Karagwe CAHP (Bweni)

    For further information contact:Tel / +255 222 863 479 e-mail: [email protected] or [email protected] Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142

    Temeke Veterinari,Barabara ya Mandela,S. L. P. 9152,DAR ES SALAAM

    Telegram: MifugoSimu: 255 022 2861910 Fax: 255 022 2861908E-mail: [email protected]: http://www.mifugouvuvi.go.tz

  • Livestock Training Agency- Admission Office

    5. Sifa za mwombajii) Stashahada (Diploma)

    Awe amemaliza elimu ya Kidato cha Sita kufaulu masomo matatu ya Sayansi kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia, Hisabati, Jiografia na Kilimo. Kiwango cha chini cha ufaulu kitakachomwezesha muombaji kukubaliwa ni cha subsidiaries mbili kwenye masomo ya sayansi. AU

    Awe amemaliza mafunzo ya Astashahada (Certificate) katika fani ya Animal Health and Production (AHPC), Agrovet au Certificate in Agriculture and Livestock Production (CALP) ambayo ni sawa na NTA Level 5 kwenye vyuo vilivyosajiliwa na NACTE

    ii) Astashahada (Certificate)

    Awe amemaliza Kidato cha Nne na kufaulu masomo matatu ya sayansi kati ya Baiolojia, Kemia, Fizikia, Hisabati, jiografia na Kilimo. Kiwango cha chini cha ufaulu kitakachomwezesha muombaji kukubaliwa ni cha alama ya D kwenye masomo ya sayansi.

    6. Masharti ya Uombaji Mwombaji atume fomu za maombi ya kozi anayotaka kusomea kwa kujaza fomu

    akiambatanisha nakala (photocopies) za vyeti vyake vya elimu, pamoja na cheti cha kuzaliwa.

    Fomu inapatikana kwenye Kampasi zetu, vituo vyetu vyote na Tuvuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz /organization /Agencies/LITA

    Fomu irudishwe na Bank pay-in slip ya Tshs 20,000/= iliyolipwa LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142

    Fomu zote zitumwe Makao Makuu ya Wakala na siyo kwenye Kampasi za Mafunzo kwa kutumia anuani au barua pepe ya hapo chini.

    Waombaji watakaoomba nafasi za kutwa itabidi wajiandae kutafuta sehemu za malazi na kuonyesha Kampasi atakayopenda kusomea.

    7. Gharama za MafunzoGharama za mafunzo zimeonyeshwa kwenye fomu ya maombi ambayo inapatikana kwenye Kampasi, vituo vya Wakala na tovuti ya Wizara Website: www.mifugouvuvi.go.tz /organization /Agencies/LITA

    8. Mwisho wa kupokea maombiMwisho wa kupokea fomu za kujiunga na masomo ni tarehe 30/06/2014.

    9. Taarifa kwa watakaochaguliwaMajina ya watakaochaguliwa yatatangazwa kwenye magazeti ya Daily News na Habari Leo, kwenye mbao za matangazo za Wizara, Kampasi, vtuo vyake vyote na kwenye tovuti: www.mifugouvuvi.go.tz /organization /Agencies/LITA

    10.Utaratibu wa kutuma fomu za maombiFomu za maombi zitumwe kwa:

    MTENDAJI MKUU,WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA,S.L.P. 9152,

    For further information contact:Tel / +255 222 863 479 e-mail: [email protected] or [email protected] Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142

  • Livestock Training Agency- Admission Office

    DAR ES SALAAM

    For further information contact:Tel / +255 222 863 479 e-mail: [email protected] or [email protected] Payment: LITA Revenue Account, NMB Morogoro, Acc. No. 22110003142