4
MWAMBAO yawezesha utekelezaji wa usimamizi shirikishi wa uvuvi Kisiwa panza na Kukuu. Kwa kushirikiana na Mashirika ya kimataifa ya Smart Fish na Fauna and Flora International, Mtandao wa Mwambao Tanzania, uliendelea kuwezesha usimamizi shirikishi wa Uvuvi katika Shehia za Kisiwa Panza na Kukuu Wilaya ya Kusini Pemba. Katika kuwezesha jitihada hizo watendaji wa Mwambao walisaidia masuala makuu yafuatayo: -Kujenga uwezo wa kamati za Uvuvi za Shehia za Kisiwa Panza na Kukuu pamoja na - Kuwezesha uanzishaji na usimamizi wa maeneo tengefu ya usimamiz endelevu wa uvuvi wa pweza. Kiujumla katika utekelezaji wa masuala hayo makuu, watendaji walisaidia; kutambua mipaka ya maeneo, kubaini rasilimali ziliopo ambazo zinahitaji kusimamiwa, kuandaa mikakati ya doria, kuteua maeneo tengefu kwa ajili ya uhifadhi wa pweza, uwekaji maboya ya maeneo tengefu na ujenzi a vibanda vya ulinzi. Aidha watendaji waliwezesha uandaaji wa sheria ndogo za kusimamia maeneo yao pamoja na kusaidia utafiti wa kibaiolojia wa raslimali za pwani latika maeneo tengefu Upayukaji na kufa kwa matumbawe baharini hutokea wakati matumbawe yanapokosa sehemu muhimu ya aina ya mimea midogo sana lakini imefanana na mwani ambayo ni sehemu ya tumbawe lenyewe, ni aina ya mwani ambao umo ndani ya chembe hai ndogo ndogo zenye hutengeneza chakula cha tumbawe lenyewe. Ina maana kuna uhusiano wa kutegemeana kati ya tumbawe na chembe hai ndogo ndogo za mwani huu, kwa upamoja wao kitaalamu inaitwa zooxanthillae. Kufa kwa matumbawe, kutatuathirije? Kwa hivyo hapo tunajifunza kuwa matumbawe ni viumbe vinavyoishi na sio mawe tu kama wanavyodhani baadhi ya watu. Baada ya tukio hilo la kudhoofika kwa zooxanthillae hatimae matumbawe hupayuka na hufa. Athari za kufa kwa matumbawe ni kubwa katika mfumo wa maisha ya viumbe. Katika hali hii samaki ambao hupata chakula chao na kuishi katika matumawe hayo nao huanza kupungua kwa kasi kubwa na bila shaka kipato na maisha ya wavuvi ambao huitegemea bahari kimaisha nayo hushuka sana. Pia matumbawe na miamba ya matumbawe baharini huwa ni kama kuta zinazosaidia kupunguza kasi ya mawimbi makubwa yanayoweza kuleta mmongónyoko wa fukwe na pwani yetu. Tanzania hutembelewa sana na watalii kwa sababu ya vivutio vyake ikiwa ni pamoja na fukwe nzuri na bustani za matumbawe baharini. Fedha zinazokusanywa husaidia katika uchumi mkuu wa nchi na pia baadhi ya wakaazi wa pwani hujishughulisha na kazi za utalii ili kujipatia kipato chao. Kupayuka na hatimae kufa kwa matumbawe hupelekea kupungua kwa watalii kila msimu unapofika, bila shaka hadhi na kipato cha nchi nacho hupungua kwa kasi kubwa na bila shaka kipato na maisha ya wavuvi ambao huitegemea bahari kimaisha nayo hushuka sana. Pia matumbawe na miamba ya matumbawe baharini huwa ni kama kuta zinazosaidia kupunguza kasi ya mawimbi inaendelea uk 3. TISHIO LA KUCHAKAA NA KUFA KWA MATUMBAWE Wanakamati kijiji cha Kukuu katika majadiliano ya utekelezaji wa kazi za utekelezaji wa sheria Matumbawe yaliyochakaa Matumbawe yaliyochakaa

TISHIO LA KUCHAKAA KWA MATUMBAWE w a u s i m a … na Kapteni Kudra Mvumba. Kisiwa cha Makatube ni moja kati ya maeneo ya hifadhi za bahari za taifa. Kisiwa hichi ni muhimu sana kutokana

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: TISHIO LA KUCHAKAA KWA MATUMBAWE w a u s i m a … na Kapteni Kudra Mvumba. Kisiwa cha Makatube ni moja kati ya maeneo ya hifadhi za bahari za taifa. Kisiwa hichi ni muhimu sana kutokana

M W A M B A O yawezesha utekelezaji w a u s i m a m i z i shirikishi wa uvuvi Kis iwa panza na Kukuu. Kwa kushirikiana na Mashirika ya kimataifa ya Smart Fish na Fauna and Flora International, Mtandao wa Mwambao Tanzania, uliendelea kuwezesha usimamizi shirikishi wa Uvuvi katika Shehia za Kisiwa Panza na Kukuu Wilaya ya Kusini Pemba. Katika kuwezesha jitihada hizo watendaji wa Mwambao wa l i s a i d i a ma sua l a makuu yafuatayo: -Kujenga uwezo wa kamati za Uvuvi za Shehia za Kisiwa Panza na Kukuu pamoja na - Kuwezesha uanzishaji na usimamizi wa maeneo tengefu ya usimamiz endelevu wa uvuvi wa pweza. Kiujumla katika utekelezaji wa masuala hayo makuu, watendaji walisaidia; kutambua mipaka ya maeneo, kubaini rasilimali ziliopo ambazo zinahitaji kusimamiwa, kuandaa mikakati ya doria, kuteua maeneo tengefu kwa ajili ya uhifadhi wa pweza, uwekaji maboya ya maeneo tengefu na ujenzi a vibanda vya u l i n z i . A i d h a w a t e n d a j i waliwezesha uandaaji wa sheria ndogo za kusimamia maeneo yao pamoja na kusaidia utafiti wa kibaiolojia wa raslimali za pwani latika maeneo tengefu

U p a y u k a j i n a k u f a k w a matumbawe baharini hutokea wakati matumbawe yanapokosa sehemu muhimu ya aina ya mimea midogo sana lakini imefanana na mwani ambayo ni sehemu ya tumbawe lenyewe, ni aina ya mwani ambao umo ndani ya chembe hai n d o g o n d o g o z e n y e hutengeneza chakula cha tumbawe lenyewe. Ina maana kuna uhusiano wa ku t egemeana ka t i y a tumbawe na chembe hai ndogo ndogo za mwani huu, kwa upamoja wao k i t a a l a m u i n a i t w a zooxanthillae.

Kufa kwa matumbawe, kutatuathirije? Kwa hivyo hapo tunajifunza kuwa matumbawe ni viumbe vinavyoishi

na s io mawe tu kama wanavyodhani baadhi ya watu. Baada ya tukio hilo la kudhoofika kwa zooxanthillae h a t i m a e m a t u m b a w e hupayuka na hufa. Athari za kufa kwa matumbawe ni kubwa katika mfumo wa maisha ya viumbe. Katika hali hii samaki ambao hupata chakula chao na kuishi katika matumawe hayo nao huanza kupungua

kwa kasi kubwa na bila shaka kipato na maisha ya wavuvi ambao huitegemea bahar i k imai sha nayo h u s h u k a s a n a . P i a matumbawe na miamba ya matumbawe baharini huwa ni kama kuta zinazosaidia kupunguza kasi ya mawimbi makubwa yanayoweza kuleta mmongónyoko wa fukwe na pwan i ye tu . Tanzan i a hu t embe l ewa s ana na watali i kwa sababu ya

vivutio vyake ikiwa ni pamoja na fukwe nzuri na bustani za matumbawe baharini. Fedha zinazokusanywa husaidia katika uchumi mkuu wa nchi na pia

baadhi ya wakaazi wa pwani hujishughulisha na kazi za utalii ili kujipatia kipato chao. Kupayuka na hatimae kufa kwa matumbawe hupelekea kupungua kwa watalii kila msimu unapofika, bila shaka hadhi na kipato cha nchi nacho hupungua kwa kasi kubwa na bila shaka kipato na maisha ya wavuvi a m b a o h u i t e g e m e a b a h a r i kimaisha nayo hushuka sana. Pia ma tumbawe na miamba ya matumbawe baharini huwa ni kama kuta zinazosaidia kupunguza kasi ya mawimbi inaendelea uk 3.

TISHIO LA KUCHAKAA NA KUFA KWA MATUMBAWE

Wanakamati kijiji cha Kukuu  katika majadiliano ya utekelezaji wa kazi za utekelezaji wa sheria

Matumbawe yaliyochakaa

Matumbawe yaliyochakaa

Page 2: TISHIO LA KUCHAKAA KWA MATUMBAWE w a u s i m a … na Kapteni Kudra Mvumba. Kisiwa cha Makatube ni moja kati ya maeneo ya hifadhi za bahari za taifa. Kisiwa hichi ni muhimu sana kutokana

Inasimuliwa na Kapteni Kudra Mvumba. Kisiwa cha Makatube ni moja kati ya maeneo ya hifadhi za bahari za taifa. Kisiwa hichi ni muhimu sana kutokana na kuwepo viumbe vya aina nyingi katika maeneo ya bahari ya karibu yake na pia juu katika kisiwa chenyewe kuna mimea na ndege wa aina kadhaa wanaoishi na kujihifadhi hapo. Makatube imezungukwa na visiwa vyengine vidogo vidogo vyenye miamba mingi ambayo ni chanzo kikubwa cha uzalishaji wa samaki. Yaani miamba ya Makatube ni kama maabara inayotengeneza samaki na viumbe vyengine vya bahari.

Bw. Kudra ni mzaliwa wa Kigamboni na mwanamazingira wa k u j i t o l e a k a t i k a kisiwa cha Makatube . K a t i k a m a i s h a y a n g u k u i s h i Kigamboni nimegundua u p u n g u f u mkubwa wa samaki na uharibifu m k u b w a w a m a z i n g i r a , kilichosababisha hicho haswa ni uvuvi haramu wa mabomu. Taifa linahofu zaidi kuhusu majangili wa tembo msituni, lakini ukweli ni kuwa unaporipua mripuko mmoja katika bahari unatela athari mbaya mara zaidi

ya 100 ukilinganisha ya msituni kwenye akina tembo, unaweza k u u w a t e m b o m m o j a n a u k auwa ch a m s i t u b i l a y a kuuathiri, lakini mripuko mmoja baharini unauwa samaki zaidi ya 100 na viumbe zaidi ya milioni moja ambayo vyengine hata hatuvioni kwa macho, na zaidi ni kuwa eneo ambalo limeripuliwa na kuharibu matumbawe yake huchukua takribani miaka 50 hadi kujirudi katika hali yake ya zamani. Inasikitisha kuona kisiwa cha Makatube kipo kama uso wa jiji la Dar es salaam, yaani sio mbali na ikulu ya rais, mbele kuna mahoteli makubwa ya kifahari nchini na bandari kuu ya Feri na pia karibu sana na njia kuu zinazopita meli

za abiria na za k i t a l i i l a k i n i inasikitisha sana kuona kila siku kunasikika idadi kubwa ya mabomu a m b a p o h a t a wavuvi wenye boti ndogo-ndogo nao ni miongoni mwa w a t u m i a j i w a

uvuvi huu hatari sana kwa taifa letu. Wataalamu wanaamini kuwa uvuvi wa mabomu Tanzania upo katika kiwango cha juu mno, hii ni kwa sababu ya urahisi wa u p a t i k a n a j i w a v i f a a v y a kutengeneza mabomu yenyewe kwa kutumia mbolea, mafuta na

chupa. Kwa sasa Tanzania ni nchi pekee katika bara la Afrika a m b a p o u v u v i h u u b a d o unaendelea kwa kiwango kikubwa sana. A n g a l i a f i l a m u n d og o y a Makatube katika mtandao huu https://www.youtube.com/watch?v=kzTJj6AynUc Wenyeji wa Kisiwa Panza wanafanya u t a f i t i k u h u s u maeneo yao ya uvuvi

Mwezi wa Febuari wanajamii 6 kutoka Kisiwa Panza (kusini ya Pemba, Zanzibar) waliungana na wanamtandao wengine 2 kutoka vijiji vya Ushongo na Kigombe (Tanga) katika mafunzo maalum yaliyoendeshwa kwa ushirikiano wa jumuiya ya MWAMBAO na CORDIO.

Kwa siku 5 walijifunza njia za kiutafi za kutambua aina na ukubwa wa viumbe kadhaa vya baharini. Utafiti uliweza kubaini ni kwa kiasi gani eneo la mwamba limenawiri. Taarifa zilikusanywa kutoka maeneo 4 ya uvuvi ambayo w a v u v i w e n y e w e n d i o waliyoyapendekeza. Aidha utafiti ulifanyika pia katika bahari ya kijiji cha Kukuu. Eneo hili tunategea kuanzishwa mradi wa ufungaji bahari kwa uvuvi wa pweza hivi karibuni. Matokeo ya utafi t i huu ni muhimu sana kwani yatatujuvya kuhusu hali ya afya ya maeneo ya uvuvi. Sasa wenyeji na wavuvi hawa wamekuwa ni watafiti. Bahari ndio tegemeo kubwa la m a i s h a y a o . M WA M B A O inategemea kwamba hapo siku za mbeleni wataweza kufanya utafiti kama huu wa kisayansi wao wenyewe bila ya msaada wowote.

Jinsi uvuvi wa BARUTI unavyoimaliza TanzaniaNa kisiwa cha Makatube kiko hatarini

z

Kwa ushirikiano mkubwa na BMU, Polisi wa Kigamboni wamtia nguvuni mvuvi wa mabomu

Page 3: TISHIO LA KUCHAKAA KWA MATUMBAWE w a u s i m a … na Kapteni Kudra Mvumba. Kisiwa cha Makatube ni moja kati ya maeneo ya hifadhi za bahari za taifa. Kisiwa hichi ni muhimu sana kutokana

kutoka uk 1. makubwa yanayoweza kuleta mmongónyoko wa fukwe na p w a n i y e t u . T a n z a n i a hutembelewa s a n a n a watalii kwa s a b a b u y a vivutio vyake i k i w a n i p a m o j a n a fukwe nzuri na bustani za ma tumbawe b a h a r i n i . F e d h a

zinazokusanywa husaidia katika uchumi mkuu wa nchi na pia baadhi ya wakaazi wa pwani hujishughulisha na kazi za utalii ili kujipatia kipato chao. Kupayuka na hatimae kufa kwa matumbawe hupelekea kupungua k w a w a t a l i i k i l a m s i m u unapofika, bila shaka hadhi na kipato cha nchi nacho hupungua kwa kasi kubwa.

Bahari ya Tanzania bila ya matumbawe ni tishio. Pwani ya Tanzania ina urefu wa zaidi ya kilomita 800 na eneo hili linakisiwa kuwa na wakaazi zaidi si chini ya milioni 8 ambapo ni takriban robo ya watu wanaishi Tanzania yote. Wakaazi hawa kwa sehemu kubwa ya maisha yao ya kila siku huitegemea bahari. M i a k a y a h i v i k a r i b u n i tumeshuhudia matumbawe

mengi yametoweka, iwe ni kutokana na kuchakaa na kupayuka kwake kama sehemu ya kibaologia, kuongezeka au kupungua kwa hali ya ujoyo katika bahari (kama tulivyoeleza katika toleo lililopita) ama kuvunjwa kutokana na shughuli za uvuvi mbaya hasa wa kutumia mabomu. Hatimae kipato cha s amak i k imepungua mno . Ina semekana Tanzan ia n i miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa uvuvi wa kutumia mabomu katika bara la Afrika.

Hifadhi ya Kisiwa cha Chumbe ipo kusini-magharibi ya Unguja. Kwa muda mrefu sasa kisiwa

hichi ni hifadhi ya bahari ambapo shughuli za uvuvi wa aina yoyote hauruhusiwi karibu na kisiwa hichi chenye ghaiba ya kuvutia.

Aina zaidi y a 4 0 0 t o f au t i z a samaki na v i u m b e v y e n g i n e vinapatkana b a h a r i y a kisiwa hichi,

mamia ya w a t a l i i k u t o k a d u n i a n z i m a

kufika kwa kuzamia na kuona maajabu ya Chumbe. Pamoja na ukuta mkubwa wenye bustani za matumbawe wenye ghaiba ya k i p e k e e , C h u m b e haikusalimiwa na uchakavu wa hali ya juu wa matumbawe yake. Idadi ya (asi l imia) 80%-90% ya matumbawe magumu katika eneo la hifadhi ya bahari yake yamechakaa.

U t a f i t i w a i k o l o g i a utakaofanyika Chumbe hivi karibuni unalenga kubaini ni matumbawe gani yanaweza kuendelea kuishi na kupona na kiasi gani cha matumbawe yatakufa na kutoweka kutokana n a t o k i o h i l i k u b w a l a kusikitisha la uchakavu wa matumbawe yake kutokana na kubadilika hali ya ujoto wa bahari. Utawala wa hifadhi ya Chumbe wametoa ombi la kupatiwa taarifa zozote za uchakavu wa matumbwe sehemu yoyote katika bahari ya Magharibi ya bahari ya Hindi. Unaweza kuwasiliana nao kwa anuani iliyopo ukarasa wa mwisho.

Maendeleo ya kazi za MITANDAO Katika kipindi kilichopita kitengo cha ´mtandao´ kimeweza kufanya ziara katika maeneo yote ya m t a n d a o k w a l e n g o l a kuutambulisha mtandao wa MWAMBAO na shughuli zake kwa vikundi 9 vya mtandao baada ya kufanyiwa mapitio kwa vikundi hivyo. Aidha, Afisa mtandao alifanya mijadala na wanamtandao k u a n g a l i a m c h a k a t o w a kutayarisha katiba ya mitandao yote ili kuweza kutafuta usajili wa mitandao yetu. Wanamtandao walishauriwa kuharakisha zoezi na kufanya mapitio ya katiba ili kuendana na muda.

Kwa kipindi kinachofata kitengo cha mtandao kimelenga kuwajenga uwezo wanamtandao ili waweze kusimamia majukumu yao kwa mujibu wa katiba yao. Maeneo ya kipaumbele katika kuwajenga uwezo wanamtandao ni pamoja na uongozi na utawala, uwekaji wa kumbukumbu na utunzaji wa fedha, utatuzi wa migogoro. Mafunzo hayo yatatolewa kwa wanamtandao katika awamu mbili kuu ambapo awamu ya kwanza itahusisha wanamtandao wa vijjij vinne na awamu nyengine ni kumalizia vijiji vilivyobakia. Sambamba na hayo mtandao umeweza kutayarisha rasimu ya awali ya vitini vya mafunzo ambavyo vitaongoza uendeshaji wa mafunzo hayo.

Wana-Mtandao wakijadiliana

Fads ni matofali ya kufugia kamba katika kijiji cha Kigombe, Tanga.

Page 4: TISHIO LA KUCHAKAA KWA MATUMBAWE w a u s i m a … na Kapteni Kudra Mvumba. Kisiwa cha Makatube ni moja kati ya maeneo ya hifadhi za bahari za taifa. Kisiwa hichi ni muhimu sana kutokana

Shirika la Maliasili Initiatives na MWAMBAO Shirika la Maliasili Initiatives si la kiserekali na linajishughulisha zaidi katika kuzikuza, kuziendeleza na pia kuziboresha taasisi za kiraia ambazo zinafanya kazi za kuziendeleza maliasili ili ziwe endelevu katika bara la Afrika. Kwa sasa Maliasili inafanya shughuli

zaidi katika nchi za Namibia, Kenya na hapa Tanzania. Ushirikiano baina ya MWAMBAO na shirika l a M a l i a s i l i umeendelea kuimarika hasa katika kujenga uwezo wa ki taas is i ambapo wa taa lamu kutoka Maliasili walitoa mafunzo kwa watendaji w a M W A M B A O yakiwemo….

Kupanga mipango na bajeti kwa kuzingatia fedha zinazoingizwa na fawadhili wa aina tofauti. Aidha wataalamu wao waliendelea kutoa taaluma na misaada katika kuimarisha wovuti na jarida la MWAMBAO. Pia Maliaslia wasaidia kwa watendaji wa MWAMBAO kuweza kupata mafunzo maalumu ya utengenezaji bora wa filamu.

Katika kipindi cha miaka 3 Maliasili wameisaidia katika kujenga miundombinu, mtandao wa internet na mengi zaidi. Mwezi wa Febuari tulitembelewa na bi Elizabeth Singleton kutoka Amerika kutufunza njia nzuri jumuia yetu inazoweza kutumia kwa kuomba misaada na kuweka vizuri bajeti yetu. Alisema ´´Bajeti

ni vyombo, vinaweza kuifanya kazi na jumuiya yetu iwe nzuri.. Bajeti nzuri ya kila mwaka ni ufunguo katika uombaji wa misaada ambayo ndio inayohitajika katika kufanikisha unalolitaka´´ MWAMBAO inapenda kuchukua nafas i ya kuwashukuru Maliasili kwa kuendelea kutusaidia.

Ukaguzi wa matumbawe ya kutengenezwa Zaidi kidogo ya mwaka umepita tokea kukamilika kwa mradi wa utengenezaji wa matumbawe bunifu katika kijiji

cha Jambiani kusini ya Unguja. Hivi karibuni timu wa MWAMBAO na wenzao NGO ya Marinecutures iliopo Jambiani walifanya ukaguzi katika eneo yalipozamishwa matumbawe hayo ili kujua maendeleo ya matembawe haya yaliotengenezwa kwa ushirikiano mkubwa wa kamati ya uvivi ya Jambiani na wanajamii wengine. Kutokana na bahari kuwa safi, iliwezesha kufanywa kwa utafiti huu (transect survey) na kuweza kubaini mambo mengi. Utafiti ulionyesha aina kadhaa za samaki na viumbe vyengine mbali mbali vya bahari vimeanza kufanya makaazi yao katika matumbawe hayo. Tumbawe moja limeanza kuwa ni nyumba mpya kwa Ugunduzi ulionyesha pia kuwa samaki aina ya ngebwe (stonefish) wametekanyara tumbawe moja na kufanya makaazi yao ndani yake.

Mahojiano kati ya MWAMBAO na mwenyekiti wa kamati ya uvuvi Jambiani. Suali: Je kuna maendeleo gani katika eneo muliloweka matumbawe ya kutengeneza? Jibu: Hali katika eneo tuliloweka matumbawe imebadilika, yameanza kuota matumbawe halisi. Suali: Je kuna uharibifu yoyote umetokea eneo lile? Jibu: Hakuna uharibifu kwa sababu kuna ulinzi mkali, eneo lenye matumbawe lipo karibu na kijiji chetu, tunapoona watu wameingia katika eneo lile basi tunaambizana na tunaenda katika eneo lile kwa haraka. Lakini pia na jamii inaelewa kuwa ni eneo maalum na inatoa ushirikiano fulani. Suali: Kuna samaki wa aina gani washaoweka makaazi yao katika matumbawe haya? Jibu: Kuna samaki wa aina nyingi kama vile kole kole, makoba, minyimbi, chaa, changu, pono na pia mikunga.

Unapobaini uchakavu ama upayukaji wa matumbawe tafadhali toa taarifa kwa; Jumuiya ya MWAMBAO ama tembelea mtandao;

https://docs.google.com/a/mwambao.or.tz/

Tumbawe lenye afya lilochakaa/ lilopauka limekufa Imetayarishwa na Hifadhi ya Chumbe

Bw. Okala akikagua hali ya

B i E l i s a b e t h k a t i k a kufunza