1
Huduma za Tohara ya Mwanaume zinatolewa na vituo vifuatavyo kuanzia tarehe 8 Julai - 3 Agosti 2013 ni huduma BILA MALIPO ni huduma BILA MALIPO TOHARA YA MWANAUME IRINGA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI Zahanati ya Mapanda Zahanati ya Vikula Zahanati ya Mdabulo Zahanati ya Sawala Zahanati ya Idunda Zahanati ya Igombavanu Kituo cha Afya Ihongole HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI Zahanati ya Lupembelwasenga Zahanati ya Kihanga Zahanati ya Ilambilole Zahanati ya Nyang’oro Zahanati ya Usolanga Tohara ya mwanaume ina faida nyingi kijamii, kiafya na kwa usafi. Inaweza kupunguza uwezekano wa mwanaume kuambukizwa VVU kwa hadi asilimia 60. Ili kujua zaidi kuhusu Tohara na faida zake tuma neno TOHARA kwenda 15014 Ili kujua vituo vitoavyo huduma tuma neno IRINGA kwenda 15014 Kwa walio chini ya umri wa miaka 18 ni lazima waambatane na wazazi au walezi wao. Wanaume wenye umri wa miaka 20 na kuendelea watapewa kipaumbele. Maisha ni Sasa! Wahi Tohara! Kuwa Msafi. Pata Kinga.

TOHARA IRINGA YA MWANAUME - Circumcision...Tohara ya mwanaume ina faida nyingi kijamii, kiafya na kwa usafi. Inaweza kupunguza uwezekano wa mwanaume kuambukizwa VVU kwa hadi asilimia

  • Upload
    others

  • View
    28

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: TOHARA IRINGA YA MWANAUME - Circumcision...Tohara ya mwanaume ina faida nyingi kijamii, kiafya na kwa usafi. Inaweza kupunguza uwezekano wa mwanaume kuambukizwa VVU kwa hadi asilimia

Huduma za Tohara yaMwanaume zinatolewa navituo vifuatavyo kuanzia tarehe8 Julai - 3 Agosti 2013

ni huduma

BILA

MALIPOni huduma

BILA

MALIPO

TOHARAYA MWANAUME IRINGA

HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI

Zahanati ya Mapanda

Zahanati ya Vikula

Zahanati ya Mdabulo

Zahanati ya Sawala

Zahanati ya Idunda

Zahanati ya Igombavanu

Kituo cha Afya Ihongole

HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA VIJIJINI

Zahanati ya Lupembelwasenga

Zahanati ya Kihanga

Zahanati ya Ilambilole

Zahanati ya Nyang’oro

Zahanati ya Usolanga

Tohara ya mwanaume ina faida nyingi kijamii, kiafya na kwa usafi. Inaweza kupunguza uwezekano wa mwanaume kuambukizwa VVU kwa hadi asilimia 60.

Ili kujua zaidi kuhusu Tohara na faida zake tuma neno TOHARA kwenda 15014Ili kujua vituo vitoavyo huduma tuma neno IRINGA kwenda 15014

Kwa walio chini ya umri wa miaka 18 ni lazima waambatane na wazazi au walezi wao.Wanaume wenye umri wa miaka 20 na kuendelea watapewa kipaumbele.

Maisha ni Sasa! Wahi Tohara!Kuwa Msafi. Pata Kinga.