3

Click here to load reader

VPL Contract Kiswahili

Embed Size (px)

DESCRIPTION

VPL contract-kiswahili

Citation preview

Vodacom na TFF zasaini mkataba wa udhamini wa ligi kuu kwa miaka mitatu.Dar es Salaam, 12 August 201! Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF)leo limeingia katika mkataba wa udhamini na mdhamini Mkuu wa ligi hiyo Vodacom Tanzania, wakati maandaliziya ligi kuu yakiendelea.ampuni ya Vodacom Tanzania inayoongoza hapa nchini kwa huduma za mawasiliano imekuwa mdhamini wa ligi kuu kwa miaka minane iliyopita, na sasa imeingia mkataba mpya wa udhamini kwa miaka mitatu na TFF, mkataba utakao liwezesha shirikisho hilo kupokea !edha za udhamini kwa miaka mitatu."igi kuu ya Vodacom #$%&'%( inayotara)iwa kaunzakatika siku za karibuni itachezwa katika *iwan)a mbalimbali na kushirikisha timu %(, zikiwemo timu za Mwadui na +!rica Sports ambazo zimepanda dara)a msimu huu. Mkuu wa Mawasiliano na Masoko wa kampunihiyo el*in Twissa, amesema kuwa kampuniyaVodacom iko katika mstari wa mbele katika kuunga mkono maendeleo na shughuli mbalimbali zakimichezo ndani ya nchi.,-anamichezo wote ni mabalozi wazuri katika nchi. .i wa)ibu wetu kuhakikisha kuwa tunawaungamkono katika kutambua na kukuza *ipa)i *yao kadri tutaka*yo weza,/ alisema Twissa na kuongezakuwa, ,ama )ina lina*yo)ulikana ligi kuu ya Vodacom, ligihiini maaru!u nchini na n)e ya nchi naina!uatiliwa na mamilioni ya washabiki wa soka nchini ./Twissa ame)i*unia kampunihiyo kuwa wadhaminiwa ligi kuukwa kipindi kingine, na ku!a!anuakuwa mpira wa miguu ndio unaongoza kitai!a na unapendwa na -atanzania wengi.Mkatabahuuumehusishapandezoteambazoni kampuni yaVodacom Tanzania, ShirikisholaMpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kamati ya ligi.waupandewake0aiswaTFF, 1amali Malinzi, ameipongezakampuni yaVodacomTanzaniaakisemakuwaanaamini kuwamaendeleoyasasayatalengazaidi katikakuungamkono*ipa)i*ipya na *ili*yopo ndani ya nchi.,wa niaba ya TFF, napenda kuwashukuru Vodacom Tanzania kwa kuonyesha nia na kuendeleakuunga mkono mpira wa miguu nchini. .asitunaahidikuendelea kuthamini*ipa)i*ya wacheza)iwetu na kuhakikisha tunapata ma!anikio zaidi,/ alisema Malinzi. "wisho