26

WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

  • Upload
    others

  • View
    5

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …
Page 2: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …
Page 3: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

WAZAZI NIPENDENI

NI MPANGO WA KITAIFA WA

UJUMBE MFUPI WA SIMU NA

VYOMBO VINGINE VYA HABARI

Page 4: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

•Kuboresha afya ya mama, mtoto na familia

SABABU ZA MSINGI ZA KUSHIRIKI

Page 5: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Kuunga mkono mpango wa kitaifa wa eMTCT wa

kuondosha maambukizi ya VVU kutoka kwa

mama kwenda kwa mtoto ifikapo 2015.

Kuwafikia wanawake wote wanaohitaji uzazi wa

mpango

Malengo mahususi

Page 6: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Kuongeza idadi ya akina mama kuhudhuria kliniki mara tu anapojihisi mjamzito (kuanzia wiki ya 12)

Kuongeza idadi ya akina mama wajawazito na wenzi wao kupima maambukizi ya VVU na kupata huduma endelevu.

Kuongeza utumiaji wa huduma za kuzuia malaria kwa akina mama wajawazito.

Page 7: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Kuhamasisha familia matumizi ya lishe bora

Kuongeza idadi ya akina mama wanaojifungua katika vituo vya kutolea huduma.

Kuhamasisha familia kuandaa mpango binafsi wa kujifungua

Kuhamasisha huduma endelevu kwa mtoto.

Page 8: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

UTEKELEZAJI WA MPANGO HUU

Kushirikisha kamati ya afya Mkoa, Wilaya

na watoa huduma katika mpango huu.

Kuwaelekeza watoa huduma wa afya ya uzazi na mtoto ili kuwasaidia akina mama na familia kutumia huduma hii.

Kushirikisha wilaya na mikoa katika kusimamia, kutekeleza na kuendeleza huduma hii.

Page 9: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Huduma ya ujumbe mfupi wa simu kwa Afya ya mama

Huduma ya bure ya ujumbe mfupi wa

simu wenye kuboresha afya ya

mama mjamzito na familia

Page 10: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Kampeni ya Wazazi nipendeni katika matangazo ya vyombo vya habari.

Kuanzia Novemba 2012 hadi Juni 2013

Vyombo vya habari ni pamoja na:

LUNINGA

Matangazo zaidi ya 6,000 ya luninga yatarushwa kupitia

vituo 7 vya habari

Page 11: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

1. Luninga i. Dawa tahadhari ya malaria (SP)

Bofya hapa uone sinema

1 2 3

4 5 6

Page 12: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

1.Luninga ii. Uzazi Salama

Bofya hapa uone sinema

1 2 3

4 5 6

Page 13: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Bofya hapa uone sinema

1.Luninga

iii. Mkakati wa Kuzuia Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto (PMTCT)

1 2 3

6 4 5

Page 14: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Matangazo ya redio zaidi ya 28,000 yatarushwa kupitia vituo 21.

2. RADIO

Bofya hapa kusikiliza redio

Ujauzito

PMTCT

SP

Malaria

Kujifungua

Page 15: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

3. Mabango: Bango la ukutani - Poster Kuna aina 2 ambayo yatagawiwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya. 5 hospitali, 4 Kituo cha Afya, 2 Zahanati kwa kila aina ya bango.

Page 16: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

4. Mabango: 3,000 yanayohamishika yatasambazwa kupitia wadau. 2 kila wilaya na yatawekwa mahali penye mikusanyika ya watu wengi

Page 17: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

5. Vipeperushi

Zaidi ya vipeperushi milioni 1.2 vya mpango binafsi wa kujifungua salama vitagawiwa kwenye vituo vya kutolea huduma za afya. 2,500 hospitali, 500 Kituo

cha Afya na 125 Zahanati

Page 18: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

5. Vipeperushi: Mpango binafsi wa kujifungua salama

• Kipeperushi cha mpango binafsi wa kujifungua salama ni kwa ajili ya mjamzito na mwenzi wake kujaza wakiwa na mhudumu wa afya kwa maandalizi ya kujifungua salama. • Kipeperushi hiki si cha kugawiwa kwa kila mtu bali ni kwa ajili ya walengwa tu ambao ni wajawazito wanaofika kliniki

Page 19: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

6. Gurudumu la ujauzito – pregnancy wheel

•Gurudumu la kukokotoa umri wa ujauzito ni kitendea kazi cha watoa huduma wa afya. Gurudumu hili litakusaidia kukadiria tarehe ya kujifungua kutokana na tarehe ambayo mimba imetungwa. •Mtoa huduma atatumia gurudumu hili kujua taarifa muhimu kama tarehe ya kupata SP, tarehe ya kliniki na lini mtoto ataanza kucheza tumboni nk. Mgawanyo wake ni 2 hospitali, 2 kituo cha afya na zahanati 1

& WheelCalendar months Back

Page 20: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

7. Kadi ya kukumbusha kurudi kliniki kupata dozi ya SP Kadi hii ni kwa ajili ya kuwapatia wajawazito, mtoa huduma huijaza na kumpa mjazito ikionyesha jina na tarehe atakayokuja tena kwa dozi ya pili ya SP. Mgawanyo ni, 2,500 hospital, 500 kituo cha afya na 125 zahanati

Page 21: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

8. Bumper Sticker

• Stickers zinazohamasisha kampeni ya Wazazi Nipendeni zinaweza kugandishwa kwenye magari yakiwemo daladala, malori, mabasi, bajaj, pikipiki, kwenye majengo na sehemu za wazi zenye mikusanyiko ya watu. •Kila mdau atapewa sticker 100 kwa kila wilaya.

Page 22: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

9. Bango la nyuma ya gari

Mabango 3 makubwa na 3 madogo yatagawiwa kwa wadau

Wheel Cover

Tuma SMS neno “mtoto” BURE kwenda

15001 kwa taarifa zaidi

Tuma SMS neno “m toto” BURE kwenda

15001 kwa taarifa za idi

Page 23: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Fomu ya kufuatilia ugawaji wa vitendea kazi

Page 24: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Huduma ya ujumbe mfupi wa simu kwa Afya ya mama

SMS neno “mtoto” kwenda 15001 Huduma hii ni bure kwa mitandaoo yote

Mtumiaji wa huduma hii atapokea ujumbe kumkumbusha kuhusu huduma anazotakiwa kupata kwa wakati huo, dondoo za afya zinazohusu hali yake na muda wa ujauzito. Una weza kujisajili kama:

Mama mjamzito ukizingatia umri wa uja-uzito, kwa miezi au wiki Msaidizi wa mama mjamzito Mama mwenye mtoto mchanga mpaka wiki 16 Msaidizi wa mama mwenye mtoto mchanga Mdau au mtu uliyeguswa kuhusu Afya ya ujauzito na uzazi salama

Page 25: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Usaidizi muda wa kujifungua kwa kupitia ujumbe mfupi wa simu utakaosisitiza umuhimu wa kujifungulia kliniki, unyonyeshaji salama na kadhalika.

Ujumbe mfupi wa simu atakaotumiwa mjamzito utahusu: kumkumbusha muda wa kwenda kliniki; utumiaji sahihi wa dawa; usalama wake na ushauri kuhusu lishe, taarifa zote zikimfikia kwa kuzingatia hatua ya ujauzito aliyoifikia.

Huduma baada ya kujifungua: kutoa taarifa kuhusu uzazi wa mpango, lishe, chanjo, na malezi bora ya kifamilia.

Page 26: WAZAZI NIPENDENI NI MPANGO WA KITAIFA WA UJUMBE …

Ahsanteni