2
NAFASI YA KAZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA Barua zote zitumwe kwa: Mkurugenzi wa Jiji, 20 Barabara ya Boma, Simu: Nukus hi: +255 27 2548072/2503494 (Director) +255 27 2544330 (General) +255 27 2545768 S. L. P. 3013, 23101 ARUSHA. Barua Pepe: [email protected] Tovuti: www.arushacc.go.tz Unapojibu tafadhali taja: Kumb. Na. CD/CA.30/2/57 Tarehe: 28 Desemba, 2018 MWENYEKITI WA BODI YA KAMPUNI YA NYAMA (ARUSHA MEAT COMPANY) HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KWA KIPINDI CHA MWAKA 2018 HADI 2021 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia wananchi wote kuwa kuna nafasi wazi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Nyama (Arusha Meat Kampuni) kwa kipindi cha mwaka 2018/2021. SIFA ZA MWOMBAJI a) Awe Raia wa Tanzania, Mkazi wa Jiji la Arusha mwenye umri kati ya miaka 45-65. b) Awe mwadilifu. c) Awe na Taaluma katika mojawapo ya faini zifuatazo (Shahada ya kwanza na kuendelea):- Utaalam katika masuala ya Mifugo Uchumi Biashara na Fedha Sheria (Law). d) Awe na uzoefu mkubwa katika masuala ya Uendeshaji wa Kampuni 1

 · Web viewBarua ya utambulisho toka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa ikiwa na picha ndogo ya hivi karibuni. Wasifu binafsi (CV). Barua toka kwa wadhamini wawili (2) zikiwa na

  • Upload
    others

  • View
    1.275

  • Download
    132

Embed Size (px)

Citation preview

NAFASI YA KAZI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS

TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

Barua zote zitumwe kwa: Mkurugenzi wa Jiji,20 Barabara ya Boma,

Simu:

Nukushi:

+255 27 2548072/2503494 (Director)+255 27 2544330 (General)+255 27 2545768

S. L. P. 3013,23101 ARUSHA.

Barua Pepe: [email protected]: www.arushacc.go.tzUnapojibu tafadhali taja:

Kumb. Na. CD/CA.30/2/57 Tarehe: 28 Desemba, 2018MWENYEKITI WA BODI YA KAMPUNI YA NYAMA (ARUSHA MEAT COMPANY) HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA KWA

KIPINDI CHA MWAKA 2018 HADI 2021Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha anawatangazia wananchi wote kuwa kuna nafasi wazi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Nyama (Arusha Meat Kampuni) kwa kipindi cha mwaka 2018/2021.

SIFA ZA MWOMBAJIa) Awe Raia wa Tanzania, Mkazi wa Jiji la Arusha mwenye umri kati ya

miaka 45-65.b) Awe mwadilifu.c) Awe na Taaluma katika mojawapo ya faini zifuatazo (Shahada ya

kwanza na kuendelea):- Utaalam katika masuala ya Mifugo Uchumi Biashara na Fedha Sheria (Law).

d) Awe na uzoefu mkubwa katika masuala ya Uendeshaji wa Kampunie) Kazi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Nyama haina mshahara

bali Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni atalipwa posho za vikao vya Bodi ya Kampuni kadri vitakapojitokeza au kadri atakavyohudhuria.

f) Kipaumbele kitatolewa kwa wakazi wa Halmashauri ya Jiji.

MAELEKEZO

1

1. Waombaji wote watume barua za maombi zikiwa na viambatisho vifuatavyo:-i) Cheti cha kuzaliwaii) Vivuli vya vyeti vya masomo na Taaluma (Certified)iii) Barua ya utambulisho toka kwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa

ikiwa na picha ndogo ya hivi karibuni.iv) Wasifu binafsi (CV).

2. Barua toka kwa wadhamini wawili (2) zikiwa na anuani kamili na Namba ya simu.

3. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 10/01/2019 saa tisa na nusu (9:30)

4. Barua zote za maombi zitumwe kwa anuani ifuatavyo:-

Mkurugenzi wa Jiji,Halmashauri ya Jiji La Arusha,S.L.P. 3013,ARUSHA.

2