KUSANYA NA UJIFUNZE � KADI ZA WAHUSIKA KATIKA BIBLIA
PotifasPakua nakala hiiya PDF kwenyewww.jw.org
PO
TIF
AK
AD
IY
AB
IBL
IA
29
P O T I F A
MAMBO MACHACHE KUMHUSU Potifa, ofisawa makao ya mfalme wa Misri na mkuu wa wa-linzi wa Farao, alikuwa bwana mkubwa waYosefu. Baada ya Potifa kumchagua Yosefu asi-mamie mali yake yote, Yehova aliibariki nyumbaya Potifa. (Mwanzo 39:5) Hata hivyo, mke waPotifa aliposema uwongo kumhusu Yosefu, Poti-fa aliagiza Yosefu afungwe gerezani.—Mwanzo39:19, 20.
MASWALI
A. Potifa alimnunua Yosefu kutoka kwa nani iliawe mtumwa wake?—Mwanzo 37:36; 39:1.
B. Kweli au la? Potifa alimchagua Yosefu asi-mamie karibu kila kitu ndani ya nyumba yake.—Mwanzo 39:8, 9.
C. Mke wake alipomwambia uwongo kuhusu Yo-sefu “����� [ya Potifa] ikawaka.”—Mwanzo 39:19.
MAJIBU
A. Wamidiani au Waishmaeli.
B. Kweli.
C. hasira.
40
26
K.W
.K.
Adam
uaum
bw
aAlii
shik
aribu
17
50
K.W
.K.
1W
.K.
Karibu
98
W.K
.
Kitabu
cha
mw
isho
cha
Bib
liach
aandik
wa
Safari ya Yosefukutoka Dothani kwenda
kwa nyumba ya Potifailichukua siku kadhaa
Dothani
Yerusalemu(Salemu)
KAN
AAN
I
MISRI
CHAPISHA KATA
KUNJA KATIKATI
NA UHIFADHI
www.jw.org ˘ 2013 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania