Transcript
Page 1: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

KANUNI ZA ULAJI NA UNYWAJI BORA

Page 2: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Ubora na ukuaji wa miili yetu na akili zetu hutegemea AINA ya vyakula tunachokula na vinywaji tunavyokunywa,

Chakula tuchaguacho kula husaidia kuifanya miiliChakula tuchaguacho kula husaidia kuifanya miiliyetu kuwa na Afya njema yetu kuwa na Afya njema auaukusababisha kusababisha

udumavuudumavu,,ulemavuulemavuau au vifo visivyo vya lazimavifo visivyo vya lazima..

•Pia hutegemea NAMNA tunavyovitumia.

Page 3: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Mchanganyiko wa vyakula katika kiwango kinachotakiwa ni vya lazima ili mwili upate lishe kamili inayotakiwa.

Page 4: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Badilisha chakula chako kila mlo. Usile aina moja tu ya vyakula kila siku au

kila mlo, badili badili mara kwa mara. Usile katikati ya mlo. Ule wakati ule ule

uliowekwa kwa milo kila siku, acha angalau masaa 4-5 katika mlo na mlo.

Page 5: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Kula milo miwili au mitatu kwa siku.

Kama ukichagua kula milo miwili zingatia kiasi cha chakula kulingana.

Page 6: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Kama utachagua kule milo mitatu milo miwili ya kwanza ilingane, na ule mlo wa tatu au wa mwisho uwe nusu tu ya mlo wa kwanza au wa pili yaani asubuhi 2/5 ya mlo wote wa siku mchana 2/5 ya mlo wote wa usiku, jioni 1/5 ya mlo wote wa siku.

Mabadiliko madogo hayawezi kuleta athari kubwa.

Page 7: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Usile chakula kingi sana, hupumbaza akili. Ule chakula cha kutosha asubuhi. kama ikiwezekana chakula kisiliwe kabisa

usiku kwa hiyo jitahidi kupata mlo wa jioni mapema ili tumbo lipate kupumzika vyema wakati wa kulala.

Page 8: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Punguza ulaji wa vyakula vitamu sana kwa wingi ukiepuka vingine vidogo vidogo katikati ya milo vikiwemo soda, biskuti, keki, pipi, juisi tamu, maandazi n.k.

Tafuna chakula –usimeze tu !

Page 9: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Usinywe maji mengi sana pamoja na chakula - unywe kiasi kidogo tu cha kusukumia chakula.

Page 10: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Kunywa maji mengi katikati ya mlo mmoja na mwingine ukizingatia kunywa zaidi sehemu zenye joto kali pamoja na unapofanya mazoezi au kazi ngumu,unashauriwa kwa kawaida kutumia glasi 6-10 za maji kila siku.

Page 11: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji
Page 12: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Aina tano za vyakula

ni muhimu kwa afya na maisha yetu ya kila siku.

Page 13: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vyakula vya wanga: - Hivi ni vyakula vinavyotia nguvu mwilini-vinavyotokana na nafaka, k.v. mahindi, mchele,viazi, ngano, n.k.

Page 14: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vyakula vya Protini: - Vyakula vyakujenga mwili kama vile mbegu, mboga

mboga,nyama, mayai, maziwa n.k

Page 15: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vyakula vya vitamin: - Vyakula vya kulinda mwili, kama vile matunda ya aina mbalimbali na mboga za aina mbalimbali.

Page 16: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vyakula vya mafuta: - Hivi hutia joto mwilini na kutia nguvu mwilini.

Mafuta ya mimea ni bora zaidi kuliko mafuta yatokanayo na wanyama.

Page 17: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vyakula vyenye Madini ya aina mbalimbali.

Page 18: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

KwaKwakuwakuwamiilimiiliyetuyetuhujijengahujijengaupyaupyakilakilasikusikukatikakatikamaumbilemaumbileyoteyote, , urejeshaji wa urejeshaji wa chembechembe za chembechembe za mwili hufanyika kwa mwili hufanyika kwa uhakikauhakika. . Chembechembe za Chembechembe za zamani zikbadilishwa zamani zikbadilishwa na mpyana mpya. . ––Mtu huwa Mtu huwa mpya akiwa na mwili mpya akiwa na mwili mpyampya..

Page 19: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

R a d h aR a d h a -- U ta m uU ta m u U mbile

Rangi

M ta w a n y ik o w a v ya k u la v ya m a tu n d a M ta w a n y ik o w a v ya k u la v ya m a tu n d a –– Z in g a ti ya fu a ta yoZ in g a ti ya fu a ta yo ::

Page 20: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vyakula vilivyokobolewa sana- havina vitu vinavyoitwa Fiber ambavyo husaidia kuzuia cancer(Saratani).

Chumvi – Kula chumvi nyingi huleta magonjwa ya mishipa ya damu na hata ugonjwa wa moyo.

Kula sukari nyingi husababisha matatizo ya unene.

Page 21: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Kula bila utaratibu maalum.

Page 22: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Mafuta ya wanyama yana kiasi kikubwa cha cholesterol (mafuta mabaya) nyingi na hufupisha maisha ya mtu.

Page 23: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vinywaji: Soda, chai, beer, juice hivi vimejaa sukari, caffeine vileo, huleta hatari kubwa mwilini.

Page 24: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Vitafunwa: Vyakula vidogovidogo vinavyoliwa kila wakati huharibu uyeyushwaji wa mfumo wa chakula.

Page 25: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji
Page 26: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 26

• Chagua vipimo 5 mpaka 10 kutoka

• mazao ya maziwa, mbegumbegu, karanga,

na mafuta muhimu.

Page 27: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Kipimo kimoja cha kitaalamu ni sawa na

½ kikombe ya chakula kilichopikwa au-

Fill your life with Celebrations

27

½ cup

1 cup

•Kikombe1 chakula kisichopikwa .

Page 28: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Chakula cha-mimea hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya Chakula cha-mimea hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo(CHD).moyo(CHD). Tindikali muhimu (Omega-3 fatty acids), nafaka Tindikali muhimu (Omega-3 fatty acids), nafaka zisizokobolewa na matunda kwa wingi , na zisizokobolewa na matunda kwa wingi , na mbogamboga,mbogamboga,hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo hupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo CHD.CHD.

Fill your life with Celebrations 28

Page 29: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Mazoezi ya mara kwa mara, Kutokuvuta sigareti,

kuzuia unene, kutapunguza uwezekano

wa kupata magonjwa mengi ya mioyo.

Fill your life with Celebrations 29

Page 30: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Karanga karanga na nafaka isiyokobolewa huzuia kwa kiasi Karanga karanga na nafaka isiyokobolewa huzuia kwa kiasi kikubwa uwezekano wa kupata magonjwa ya kuziba kwa kikubwa uwezekano wa kupata magonjwa ya kuziba kwa

mioyo mioyo (IHD). Vipimo 5 kila wiki hupunguza uwezekano wa (IHD). Vipimo 5 kila wiki hupunguza uwezekano wa CHD kwa asilimia 50.CHD kwa asilimia 50.

Fill your life with Celebrations 30

Page 31: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 31

• Kula maharage mara 3 au zaidi kwa wiki kunapunguza

uwezekano wa kupata kansa ya utumbo mkubwa kwa asilimia

50.

Page 32: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 32

Wala mbogamboga wana Wala mbogamboga wana uwezekano mara 6 wa kula uwezekano mara 6 wa kula

nafaka zisizokobolewa!nafaka zisizokobolewa!

• Wala mbogamboga hula vipimo 2 au zaidi ya viini lishe sawasawa na

wala nyama kwa wiki, vipimo 1.5 vya karanga karanga na kipimo 1 zaidi

cha mbegumbegu.

Page 33: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 33

• Kansa ya utumbo mkubwa, matiti, mapafu, na tumbo la uzazi ni chache

kwa wale wasiokula nyama ukilinganisha na wale wanaokula

kwa wingi.

Page 34: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 34

• Walaji wa nyama kwa

wingi (ikiwa ni pamoja na

wale wanaokula

kipimo 1/wiki) asilimia 80

walionekana na uwezekano

wa kupata kansa ya matumbo zaidi ya

wasiokula nyama kabisa.

Page 35: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 35

Ulaji wa nyama nyekundu na kansa!

Ulaji wa nyama nyekunduUlaji wa nyama nyekundu Uwezekano(kansa).Uwezekano(kansa).

Hajawahi 1 – 1.00 < 1 x/wk 1.37 (0.85 – 2.20) > 1 x/wk 1.86 (1.15 – 3.02)

Page 36: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 36

Kansa ya utumbo mkubwa na ulaji wa nyama nyekundu na

nyeupe.< 1 x/wiki nyekundu 1.37< 1 x/wiki nyeupe& nyekundu 1.67 (0.94-2.41)> 1 x wiki nyeupe& nyekundu 3.80 (1.45-6.20) Wasiokula nyama kabisa 1.00

Page 37: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 37

• Chakula cha mboga mboga, husaidia kupunguza Chakula cha mboga mboga, husaidia kupunguza shinikizo la damu.shinikizo la damu. ipo tofauti ya vipimo 13

mpaka 15 vya Presha katika moyo(Systolic BP) kati ya mlaji na

asiyekula nyama pamoja na vipimo 6 mpaka 8 vya presha katika

mishipa(Diastolic BP) chini zaidi kwa asiyekula nyama.

Page 38: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 38

• Katika utafiti kuhusu shinikizo la damushinikizo la damu uliofanyika kati ya waadentista walao na wasiokula nyama,waonyesha kuwa

ulaji wa nyama wasababisha uwezekano mara 2 wa kupata shinikizo la damu.

Systolic / Diastolic

Wasiokula nyama kabisa 112.5 / 63.3Wanaotumia maziwa na mayai 111.8 / 68.8Wanaokula nyama (E Boston) 120.8 / 76.4 Wanaokula nyama (Framingham) 118.9 / 79.0

Page 39: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 39

• Tafiti nyingi zaonyesha kwamba vyakula vya mimea vyakula vya mimea vina uwezo wa kupunguza vina uwezo wa kupunguza

uwezekano wa kupata kiharusi uwezekano wa kupata kiharusi na kupooza ghafla.na kupooza ghafla.

Page 40: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 40

•Mwanaume Mwanaume anayekula anayekula

nyama mwenye nyama mwenye umri wa kati ya umri wa kati ya miaka 40 mpaka miaka 40 mpaka

65 65 mwenye urefu 5’10” anakuwa na

uzito wa kiasi cha kilo 6-7(14 pounds)zaidi ya yule asiyekula

nyama;kwa mwanamke

akiwa na kilo 5-6(12

pounds)zaidi.

Page 41: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 41

• Wasiokula nyama wanapunguza uwezekano wa kuugua magonjwa mengi sana hasa yale yanayohusiana na ulaji wa nyama, pia kuongeza ulaji wa matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa pamoja na karanga karanga ambazo ni kinga kubwa ya magonjwa mbalimbali.

Page 42: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 42

• katika utafiti uliofanyika katika chuo cha Lomalinda kule marekani, vipimo vya

unene vilionyesha kwamba watu wasiokula nyama wanao unene pungufu

kwa pointi 2 ukilinganisha na wale wanaokula nyama.unene (kipimo cha B.M.I.)

wasiokula wanaokula

wanawake 23.73 25.88

wanaume 24.26 26.24

Page 43: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

•BMI ndicho kipimo hakika zaidi cha kupima unenendicho kipimo hakika zaidi cha kupima unene. BMI ni uzito wa mtu katika kg kugawanya kwa urefu

katika kipeo cha pili( Mita). (BMI=kg/m2).

Fill your life with Celebrations 43

Page 44: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 44

• Utafiti wa sasa unaonyesha kwamba kuna ongezeko kubwa la magonjwa ya

viungio na mifupa kwa wala nyama.

Uhusiano wa chakula cha mimea na magonjwa ya mifupa

Ugonjwa wa joint- Wanawake 1.00 1.57 Wanaume 1.00 1.50

Chakula (mimea) - (nyama)

Page 45: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 45

Page 46: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 46

• Chakula cha mimea

hupunguza uwezekano wa kupata kisukari.

Matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa, Matunda na mbogamboga, nafaka zisizokobolewa, na vitamin za kutosha hurekebisha mwenendo wa na vitamin za kutosha hurekebisha mwenendo wa

sukari mwilini ukilinganisha na chakula sukari mwilini ukilinganisha na chakula kilichokobolewa na mafuta mengi.kilichokobolewa na mafuta mengi.

Page 47: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 47

wanaume 1.00 1.97

wanawake 1.00 1.93

Vidokezo kwa ugonjwa wa kisukari;

Kisukari

Wasiokula nyama-wanaokula nyama

Page 48: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 48

• Matunda na mbogamboga Matunda na mbogamboga nyakati zote zimejulikana kwa kupunguza uwezekano wa kupata

mtoto wa jicho na upofu wa macho kwa ujumla.

Page 49: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 49

• Maziwa yasiyo na mafuta mengi, mboga za majani, na“chakula chenye madini ya chokaa”“chakula chenye madini ya chokaa” husaidia kuimarisha

mifupa. Chakula chenye protini nyingi hasa ya nyama chenye protini nyingi hasa ya nyama nyekundunyekundu na mayai huongeza uwezekano wa kupata mifupa

milegevu na upungufu wa madini ya chokaa.

Page 50: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 50

Mbogamboga, matunda, Mbogamboga, matunda, nafaka zisizokobolewa, nafaka zisizokobolewa,

mbegumbegu na karanga mbegumbegu na karanga zinakuwa na:zinakuwa na:

Nyuzi nyuzi nyingi.a. Viini vinavyozuia

magonjwa.b. Mafuta bora kwa wingi.

c. Vitamini nyingi za muhimu.

d. Viondoa sumu vingi.e. Vipo viini vya vinavozuia

kansa.

Page 51: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Mambo saba ya kuzingatia katika uchaguziwa vyakula vyetu;

1.Mchanganyiko.2.Ulari.3.Ubora.4.Uwiano.5.Cha kutosha.6.Kiasi gani.7.Cha kuepuka.

Fill your life with Celebrations 51

Page 52: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 52

Angalia mchanganyiko wa vyakula aina sita zifuatazo:(Viwepo katika kila mlo).1. Nafaka zisizokobolewa,2. Mbogamboga,3. Matunda,4. Maziwa, au mazao yake,5. karanga, mbegumbegu, maharage, na

protini za mimea,6. Mafuta na madini mbalimbali.

Page 53: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 53

• Chagua viwango vinavyopendekezwa na

wataalamu.

Page 54: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 54

• Chagua vyakula vya lishe - mchanganyiko kuliko kula chakula vyenye

kutia nguvu mwilini zaidi.

Page 55: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 55

• Angalia uwiano kati ya matumizi ya

chakula (Mazoezi/Kazi) na Ulaji (kiasi cha

chakula) Utapunguza uwezekano wa

kunenepa kupindukia.

Page 56: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Mchanganyiko na kiasi kifaacho wa

chakula ndicho

kitawale milo

yetu(Vyakula kutoka

mashambani).

Page 57: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

•Mafuta,

Vyakula hivi vitumike kwa uangalifu.

• Na chumvi

• Sukari,

Page 58: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Vyakula / vinywaji visivyo na virutubisho,

kama vile pombe, , kahawa na sodakahawa na soda.

• Pia vyakula vilivyokobolewa

sana maana virutubisho

muhimu vitakuwa vimeondolewa.

Page 59: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Mahali popote na wakati inapowezekana kula vyakula vyenye rangi zilizo katika upinde wa mvua,ndiyo siri kuu ya kuvumbia virutubisho bora katika vyakula vyetu.

Page 60: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Mtindo bora Mtindo bora wa maisha wa maisha utakufanya utakufanya

uwe na uwe na maisha bora maisha bora na marefu.na marefu.•Chakula cha kiroho kinapatikana Chakula cha kiroho kinapatikana

katika Neno la Mungukatika Neno la Mungu. Kwa hiyo ni muhimu kwetu kuilisha miili yetu wa kiroho kwa ahadi za kweli za Biblia,

visa, maelekezo na maombi ya dhati.

Page 61: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

• Neno la Mungu ni taa ya miguu yetu na chakula chetu

cha kila siku. Kama vile tunavyosisitiza ulaji wenye

utaratibu, na uhitaji wa kula vyakula vya aina mbali mbali. ladha kamili, na urali katika NENO la Mungu unapatikana kwa kulisoma kwa makini na

kulitafakari kila siku maishani.

Page 62: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 62Mwisho

Page 63: Kanuni BORA Za Ulaji Na Unywaji

Fill your life with Celebrations 63


Recommended