Transcript

Maswali ya Sayansi Darasa la VI

Maswali ya Sayansi Darasa la VIIssa S. Kanguni [email protected]+255 75724296012/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)11Kati ya viumbe wafuatao kiumbe yupi ana uti wa mgongo __________JongooKonokonoKaaNyoka

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)2Kati ya mimea ifuatayo upi siyo monokotiledoni __________MpungaKarangaMtamaNgano

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)3Aina ipi ya ubongo inahusika na matendo yasiyo ya hiari __________Medula oblongataCelebramuCelebelamuUgwe mgongo

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)4Ili mbegu iote inahitaji maji, hewa na __________MboleaUdongoJotoMvua

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)5Katika nyenzo daraja la kwanza kipi huwa katikati __________JitihadaMzigoEgemeoMashine

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)6Mtambo wa bayogesi hutoa gesi ambayo hutumika kupikia, je malighafi ipi inahitajika katika uzalishaji wa gesi hiyo __________MajiMafutaKinyesi cha wanyamaUdongo

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)7Yupi kati ya viumbe vifuatavyo siyo reptilia __________KobeKinyongaSamakiMamba

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)8Tezi muhimu inayoratibu kazi za tezi nyingine huitwaje __________PituitariAdrenaliniThairoidiKongosho

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)9Unyafuzi hutokana na mwili kukosa virutubisho vya aina ya __________VitaminiFatiProtiniMadini

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)10Ipi ni mashine tata kati ya hizi __________MkasiNgaziKisuBaiskeli

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)11Katika uandishi wa jaribio la kisayansi, jambo la pili ni __________MatokeoVifaaKusudiHitimisho

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)12Kifaa kipi hutumia umeme mkondo mnyoofu __________JokofuFeniTochiPasi ya umeme

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)13Chakula kinachoupa mwili virutubisho vyote katika uwiano sahihi ni __________Mlo kamiliMlo wa vitaminiMlo wa protiniMlo wa wanga

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)14Unajimu ni elimu inayohusu mambo ya __________MiambaAnga MadiniMazingira

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)15Tafuta thamani ya X katika wenzo hii

X = 7X = 6X = 9X = 5

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)

16Fundi makanika aliinua injini ya gari yenye kani ya newton 6 katika umbali wa meta 8. tafuta kiasi cha kazi kilichofanywa na fundi.Joule 48Newton 4Joule 15Newton 14

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)17Ikiwa mkondo wa umeme wa ampia 1.5 ulipita katika sakiti na voltimeta ilisomeka volti 3. Tafuta kiasi cha ukinzani __________Ohm 3Ohm 2Ampia 2Volti 2

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)18Sehemu inayohisi sauti itokanayo na mitetemo kwa kutumia neva ya akaustika inaitwa __________KokleaKikukuMiatiFuawe

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)19Ugonjwa wa kifua kikuu huambukiza kwa njia ya __________Maji Hewa KurithiKugusana

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)20Mimea hutoa hewa gani wakati wa usiku? KabonidayoksaidiOksijeniNaitrojeniKaboni

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)21Ndoano ya kuvulia samaki ni nyenzo daraja la ngapi? __________Daraja la kwanzaDaraja la tatuDaraja la piliSi nyenzo.

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)22Kongosho hutoa homoni inayodhibiti kiasi cha sukari mwilini ijulikanayo kama __________HadubiniAdrenaliniInsuliniEstrojeni

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)23Ni ogani inayopambana na sumu zinazoingia mwilini __________FigoMapafuMoyoIni

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)24__________ ni mzunguko kamili wa umeme.AmpiaSakitiHaigrometaBalbu

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)25Uchavushaji katika ua upo katika aina ngapi? __________MbiliNneTatuMoja

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)26Mishipa midogo midogo ya damu __________VilasiKlorofiliKikukuKapilari

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)27Dutu ya kijani inayopatikana kwenye kloroplasti __________VilasiSaitoplazimuKlorofiliKapilari

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)28Kampaundi nyekundu iliyoko kwenye damu inaitwa __________SaitoplazmuKloroplastiHaimoglobinInsulini

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)29Aina mojawapo ya roda __________JongeoFuaweMbonyeoVilasi

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)30amfibiaMjusiChuraNyokaSungura

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)31Maji Kaboni na haidrojeniOksijeni na kabohaidretiKloroplasti na oksijeniHaidrojeni na oksijeni

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)32Vimelea vinavyosharabu chakula katika utumbo mwembamba __________VilasiKokleaKlorofiliKongosho

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)33Maada imeundwa na __________AtomiAmpiaUdongoMolekyuli

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)34Umbiliko huunganisha kijusi na __________NyongaUtumboPlasentaOvari

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)35Ogani gani kati ya zifuatazo hufanya kazi ya kuchuja mkojo katika mwili wa binadamu.IniKongoshoMapafuFigo

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)36Kuna aina ngapi za sakiti?NneTatuMbiliMoja

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)37Kuna aina mbili za roda ambazo ni;Roda sambamba na roda mfuatanoRoda ngumu na roda rahisiRoda nusu na roda kamiliRoda tuli na roda jongeo

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)[email protected] 0757242960 & 06552429603838Ugonjwa unaotokana na mwili kukosa virutubisho vya kutosha vya aina ya protini.UnyafuziKiribatumboRovuNyongea

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)39Tezi ambayo wanawake wanayo wanaume hawana ni; __________Tezi ya thairoidiTezi ya korodaniTezi ya adrenaliTezi ya ovari

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)40Tezi ambayo wanaume wanayo wanawake hawana ni; __________Tezi ya thairoidiTezi ya korodaniTezi ya adrenaliTezi ya ovari

12/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)41KWA HISANI YA TITC

TANZANIA INVENTORS AND TECHNO-THINKERS CONSORTIUMP.O Box 60392Dar es Salaam, TanzaniaTel; +255 757 242 960Email; [email protected]/20/2013Tanzania Inventors and Techno-Thinkers Consortium (TITC)


Recommended