View
15
Download
0
Category
Preview:
Citation preview
™
MASHUJAA WALETA MABADILIKOMASHUJAA WALETA MABADILIKOMASHUJAA WALETA MABADILIKOMASHUJAA WALETA MABADILIKO
Tafsiri zimetolewa na Translation By Design Mtafsiri wa Kiswahili - Boniface Kyalo
Katuni Zaunganisha Mataifa: Heroes for Change copyright © 2015 by Project Everyone, PCI Media Impact and Reading With Pictures.
Maelezo haya yanasambazwa bila malipo chini ya Leseni ya Kimataifa ya Creative Commons ya Sifa ya
Attribution-NonCommercial-NoDerivatives 4.0. Kwa maelezo zaidi:
https://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/4.0
Katuni Zaunganisha Mataifa: Mashujaa Waleta Mabadiliko
Sifa:
Hadithi - Josh Elder, Natabara Rollosson na Sean Southey
Sanaa - Grace Allison na Karl Kesel
Mchoraji wa picha - Type One International, Inc. - Amy Tookey
Tahariri - Josh ElderUsanifu wa Kitabu - Ed Roeder
Jinsi ya Kusoma Kijitabu cha Katuni
Paneli ni fremu ambazo kila moja ina sehemu moja ya hatua. Soma paneli kuanzia kushoto hadi kulia, juu hadi chini.
Pambizo ni nafasi kati ya paneli. Hapa ndipo msomaji lazima afikirie hatua kutoka paneli moja hadi paneli nyingine.
Puto za Maneno zina maneno ya mhusika. Mkia wa puto huelekeza kwa msemaji. Wakati mwingine rangi, maumbo, au fonti tofauti hutumiwa kuonyesha uutu wa mhusika.
Polepole! Soma maandishi na picha kwa pamoja. Fikiria kuhusu kinachofanyika kati ya paneli.
Maelezo mafupi kwa kawaida huwa na masimulizi na wakati mwingine maandiko au maelezo mengine.
Swahili (Kiswahili)
Recommended