Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari - 4.11.2015

Preview:

DESCRIPTION

Omary Abdallah Kigoda kugombea ubunge Handeni mjini.

Citation preview

CHAMA CHA MAPINDUZI

OFISI NOOGO YA MAKAO MAKUU s. L. P. 9151 OAR ES SALAAM, TANZANIA, FAX: 022 - 2185245 e-mail:katibumkuu@ccmtz.org__________________Barua zote zipelekwe kwa Katibu Mkuu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Omary Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini.

Ndugu Kigoda ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya ubunge baada ya kushinda kura za maoni za marudio zilizofanyika Novemba 03, 2015.

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye,    KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,

ITIKADI NA UENEZI04/11/2015

Recommended