1
CHAMA CHA MAPINDUZI OFISI NOOGO YA MAKAO MAKUU s. L. P. 9151 OAR ES SALAAM, TANZANIA, FAX: 022 - 2185245 e-mail:[email protected] __________________ Barua zote zipelekwe kwa Katibu Mkuu TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Omary Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini. Ndugu Kigoda ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya ubunge baada ya kushinda kura za maoni za marudio zilizofanyika Novemba 03, 2015. Imetolewa na:- Nape Moses Nnauye, KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, ITIKADI NA UENEZI 04/11/2015

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari - 4.11.2015

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Omary Abdallah Kigoda kugombea ubunge Handeni mjini.

Citation preview

Page 1: Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari - 4.11.2015

CHAMA CHA MAPINDUZI

OFISI NOOGO YA MAKAO MAKUU s. L. P. 9151 OAR ES SALAAM, TANZANIA, FAX: 022 - 2185245 e-mail:[email protected]__________________Barua zote zipelekwe kwa Katibu Mkuu

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua Ndugu Omary Abdallah Kigoda kuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Handeni Mjini.

Ndugu Kigoda ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya ubunge baada ya kushinda kura za maoni za marudio zilizofanyika Novemba 03, 2015.

Imetolewa na:-

Nape Moses Nnauye,    KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA,

ITIKADI NA UENEZI04/11/2015