6
HAYA NDO MAISHA YA WABONGO WA KIZAZI KIPYA. MALAYA HUYU MALAYA HUYU

Haya ndo maisha ya wabongo wa kizazi kipya

Embed Size (px)

Citation preview

1. utamaduni uliotukuza na kutulea ,utamaduni tuliourithi kutoka kwa mababu zetu,sasa tumelewa na tamaduni za kimaghUtandawazi ndo umetufikisha hapa tulipo,wabongo tumepoteza aribi wapi tunakenda?? 2. .Kwa hili ni lazima tujiulize swali.je hali hii inatokea kwasababu gani,je ni ukosefu wa elimu ya kutosha juu ya Utandawazi hasa kwa vijana?au ndo mwisho wa dunia umewadia? 3. .Wasanii wetu ndo wamekuwa kipaumbele kwa utunzi wao unaochochea kuharibu utamaduni wetu wa kiafrika kwa mfano utunzi ufuatao hauna maana kwa utamaduni wetu. 4. Kwa yote haya kweli tutafika,vijana walio wengi wamekwisha athirika kutokana na matumizi mabaya ya utandawazi..je wewe kwa upande wako unalionaje hili..?