19
www.alhidaaya.com 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah ( ﺳﺒﺤﺎﻧﻪ وﺗﻌﺎﱃ) Alipomuamrisha Nabiy Ibraahiym ( ﻋﻠﻴﻪ اﻟﺴﻼم) ahamie huko pamoja na mkewe wa pili Haajar na mwanawe Ismaa’iyl. Wakati huo Makkah ilikuwa ni bonde tu ambalo hapakuwa na chochote wala wakazi wowote. ø ø ø øŒÎ Î Î Î)u ρ t Α$s % Þ Þ Þ ÞΟ↵Ï Ï Ï Ïδ≡t ö ö ö ö/Î Î Î Î) É É É É b b b b>u ö ö ö öy èô ô ô ô_$ $ $ $# #x y δ #µ µ µ µ$s #t / $Y Y Y YΖÏ Ï Ï ÏΒ#u ø ø ø øã ã ã ãö ö ö ö$ $ $ $#u ρ ã ã ã ã&s #÷ ÷ ÷ ÷δr & z Ï Ï Ï ÏΒ Ï Ï Ï ÏNt y ϑ¨ ¨ ¨ ¨V9$ $ $ $# ô ô ô ôt Β z t Β#u Νå å å åκ÷ ÷ ÷ ÷] Ï Ï Ï ÏΒ « « « «!$ $ $ $$Î Î Î Î/ Ï Ï Ï ÏΘö ö ö öθu ø ø ø ø9 $ $ $ $#u ρ Ì Ì Ì ÌÅ Å Å ÅzF F F Fψ$ $ $ $# ( ((Na (taja) aliposema Ibraahiym: “Rabb wangu Ufanye mji huu kuwa wa amani na Waruzuku watu wake katika matunda atakayemwamini Allaah miongoni mwao na Siku ya Mwisho)) 1 Al-Ka’bah Anasema Allaah ( ﺳﺒﺤﺎﻧﻪ وﺗﻌﺎﱃ): ¨ ¨ ¨ ¨βÎ Î Î Î) t Α¨ ¨ ¨ ¨ρr & ; ; ; ;Mø ø ø øŠt / y ìÅ Å Å ÅÊã ã ã ãρ Ä Ä Ä Ä¨$¨ ¨ ¨ ¨Ψ= Ï Ï Ï Ï9 Ï Ï Ï Ï%© © © ©#s 9 s π© © © ©3t 6 Î Î Î Î/ % Z Z Z Z.u ‘$t 7ã ã ã ãΒ Y Y Y Yè è è èδu ρ t Ï Ï Ï Ïϑn =≈y èù ù ù ù= Ï Ï Ï Ï j j j j9 ∩∉∪ ((Hakika nyumba ya awali iliyowekwa kwa ajili ya watu (kufanya ‘ibaadah) ni ile ambayo iko Bakkah (Makkah), yenye barakah na mwongozo kwa walimwengu.)) 2 Twawaaf Nayo pia imeanza wakati huo huo wa Nabiy Ibraahiym ( ﻋﻠﻴﻪ اﻟﺴﻼم) pale Allaah ( ﺳﺒﺤﺎﻧﻪ وﺗﻌﺎﱃ) Anaposema: 1 Al-Baqarah (2: 126). 2 Aal-‘Imraan (3: 96).

02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

  • Upload
    others

  • View
    17

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah

Makkah

Imeanza pale Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Alipomuamrisha Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه )

ahamie huko pamoja na mkewe wa pili Haajar na mwanawe Ismaa’iyl.

Wakati huo Makkah ilikuwa ni bonde tu ambalo hapakuwa na chochote

wala wakazi wowote.

øø øøŒŒŒŒ ÎÎ ÎÎ)))) uu uuρρρρ tt ttΑΑΑΑ$$$$ ss ss%%%% ÞÞ ÞÞΟΟΟΟ↵↵↵↵ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ)))) ÉÉ ÉÉ bb bb>>>> uu uu‘‘‘‘ öö öö≅≅≅≅ yy yyèèèè ôô ôô____ $$ $$#### #### xx xx‹‹‹‹≈≈≈≈ yy yyδδδδ #### µµ µµ$$$$ ss ss#### tt tt//// $$$$ YY YYΖΖΖΖ ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ#### uu uu øø øø−−−− ãã ãã———— öö öö‘‘‘‘ $$ $$#### uu uuρρρρ ………… ãã ãã&&&& ss ss#### ÷÷ ÷÷δδδδ rr rr&&&& zz zz ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ÏÏ ÏÏNNNN≡≡≡≡ tt tt���� yy yyϑϑϑϑ ¨¨ ¨¨VVVV9999 $$ $$#### ôô ôô tt ttΒΒΒΒ zz zz tt ttΒΒΒΒ#### uu uu ΝΝΝΝ åå ååκκκκ ÷÷ ÷÷]]]] ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ «« ««!!!! $$ $$$$$$ ÎÎ ÎÎ//// ÏÏ ÏÏΘΘΘΘ öö ööθθθθ uu uu‹‹‹‹ øø øø9999 $$ $$#### uu uuρρρρ

ÌÌ ÌÌ���� ÅÅ ÅÅzzzz FF FFψψψψ $$ $$#### (( (( ⟨⟨⟨⟨

((Na (taja) aliposema Ibraahiym: “Rabb wangu Ufanye mji huu kuwa wa

amani na Waruzuku watu wake katika matunda atakayemwamini Allaah

miongoni mwao na Siku ya Mwisho”))1

Al-Ka’bah

Anasema Allaah ( وتعاىل سبحانه ):

¨¨ ¨¨ββββ ÎÎ ÎÎ)))) tt ttΑΑΑΑ ¨¨ ¨¨ρρρρ rr rr&&&& ;; ;;MMMM øø øøŠŠŠŠ tt tt//// yy yyìììì ÅÅ ÅÅÊÊÊÊ ãã ããρρρρ ÄÄ ÄĨ$$$$ ¨¨ ¨¨ΨΨΨΨ==== ÏÏ ÏÏ9999 ““““ ÏÏ ÏÏ%%%% ©© ©©#### ss ss9999 ss ssππππ ©© ©©3333 tt tt6666 ÎÎ ÎÎ//// %%%% ZZ ZZ.... uu uu‘‘‘‘$$$$ tt tt7777 ãã ããΒΒΒΒ ““““ YY YY‰‰‰‰ èè èèδδδδ uu uuρρρρ tt tt ÏÏ ÏÏϑϑϑϑ nn nn====≈≈≈≈ yy yyèèèè ùù ùù==== ÏÏ ÏÏ jj jj9999 ∩∩∩∩∉∉∉∉∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

((Hakika nyumba ya awali iliyowekwa kwa ajili ya watu (kufanya ‘ibaadah)

ni ile ambayo iko Bakkah (Makkah), yenye barakah na mwongozo kwa

walimwengu.))2

Twawaaf

Nayo pia imeanza wakati huo huo wa Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) pale Allaah

( وتعاىل سبحانه ) Anaposema:

1Al-Baqarah (2: 126). 2Aal-‘Imraan (3: 96).

Page 2: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

øø øøŒŒŒŒ ÎÎ ÎÎ)))) uu uuρρρρ $$$$ uu uuΖΖΖΖ ùù ùù==== yy yyèèèè yy yy____ || ||MMMM øø øøŠŠŠŠ tt tt7777 øø øø9999 $$ $$#### ZZ ZZππππ tt tt////$$$$ ss ssWWWW tt ttΒΒΒΒ ÄÄ ÄĨ$$$$ ¨¨ ¨¨ΖΖΖΖ==== ÏÏ ÏÏ jj jj9999 $$$$ YY YYΖΖΖΖ øø øøΒΒΒΒ rr rr&&&& uu uuρρρρ (( ((####ρρρρ ää ää‹‹‹‹ ÏÏ Ï󃃃 ªª ªªBBBB $$ $$#### uu uuρρρρ ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ÏÏ ÏÏΘΘΘΘ$$$$ ss ss)))) ¨¨ ¨¨ΒΒΒΒ zz zzΟΟΟΟ↵↵↵↵ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ)))) ’’’’ ~~ ~~???? || ||ÁÁÁÁ ãã ããΒΒΒΒ (( (( !! !!$$$$ tt ttΡΡΡΡ ôô ôô‰‰‰‰ ÎÎ ÎÎγγγγ tt ttãããã uu uuρρρρ ## ##’’’’ nn nn<<<< ÎÎ ÎÎ)))) zz zzΟΟΟΟ↵↵↵↵ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ))))

ŸŸ ŸŸ≅≅≅≅‹‹‹‹ ÏÏ ÏÏèèèè≈≈≈≈ yy yyϑϑϑϑ óó óó™™™™ ÎÎ ÎÎ)))) uu uuρρρρ ββββ rr rr&&&& #### tt tt���� ÎÎ ÎÎ dd ddγγγγ ss ssÛÛÛÛ zz zz ÉÉ ÉÉLLLL øø øø‹‹‹‹ tt tt//// tt tt ÏÏ ÏÏ"""" ÍÍ ÍÍ←←←← !! !!$$$$ ©© ©©ÜÜÜÜ==== ÏÏ ÏÏ9999 šš šš ÏÏ ÏÏ"""" ÅÅ ÅÅ3333≈≈≈≈ yy yyèèèè øø øø9999 $$ $$#### uu uuρρρρ ÆÆ ÆÆìììì āā āā2222 ”” ””����9999 $$ $$#### uu uuρρρρ ÏÏ ÏÏŠŠŠŠθθθθ àà ààffff �� ��¡¡¡¡9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊄⊄⊄⊄∈∈∈∈∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

((Na (taja) Tulipoifanya Nyumba kuwa ni mahali pa kurejewa na watu na

(mahali pa) amani, na chukueni kutoka mahali pa kusimama Ibraahiym

kuwa ni pahala pa kuswalia. Na Tulichukua ahadi kwa Ibraahiym na

Ismaa’iyl kwamba: “Itakaseni Nyumba Yangu kwa wanaotufu na

wanaokaa i’tikaaf, na wanaorukuu na kusujudu”))3

Ar-Raml

Ar-Raml ni kuenda mwendo wa mbio mbio kwa hatua fupi fupi. Ni Sunnah

inayotakiwa kutekelezwa katika Twawaaful-Quduwm. Sunnah hii

haitekelezwi na wanawake wala watoto bali wanaume pekee. Ilianza

Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) alipowaamrisha Maswahaba watufu Al-Ka’bah kwa

mwendo wa haraka katika Twawaaf tatu za mwanzo kwa sababu ya

kudhihirisha nguvu mbele ya makafiri ili isidhaniwe kuwa hali yao bado ni

dhaifu kutokana na ugonjwa waliopata kabla ya kuingia kufanya ‘Umrah

mara ya kwanza kabisa baada ya Hijrah:

: كون المشر فقال وأصحابه، وسلم عليه هللا صلى هللا رسول قدم: " قال) عنهما هللا رضي( عباس ابن عنهم قد قـوم عليكم يـقدم إنه " األشواط رملوايـ أن ) وسلم عليه هللا صلى( النيب فأمرهم ". يـثرب محى وهنـتـ

))قـوتكم المشركون ليـرى ارملوا((: قال): زNدة رواية ويف( الثالثةImetoka kwa Ibn ‘Abbaas )عنهما هللا رضي ( kwamba alifika Rasuli wa Allaah ( صلى

وسلم وآله عليه هللا ) na Maswahaba zake (Makkah) washirikina wakasema:

“Wamekufikieni watu ambao wamedhoofika kutokana na homa ya

Yathrib”. Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) akawaamrisha wafanye Ar-Raml mizunguko

mitatu” (ya Twawaaf) na katika riwaaya nyingine imezidi: ((Fanyeni Ar-

Raml ili washirikina waone nguvu zenu))4

3Al-Baqarah (2: 125). 4 Al-Bukhaariy na Muslim.

Page 3: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

Fadhila za Twawaaf

Imepokelewa toka kwa Ibn ‘Umar ( عنهما هللا رضي ) kwamba amemsikia Rasuli wa

Allaah ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) akisema:

بة كعتق كان فأحصاه سبوعا البـيت ذا طاف من (( الرتمذي صحيح )) رقـ((Atakayetufu Nyumba hii, mara saba, akazihesabu barabara atapata

fadhila za kuacha huru mtumwa))5

Na pia kamsikia akisema:

))حسنة ا له وكتب خطيئة عنه ا: حط إال أخرى يـرفع وال قدما يضع ال ((

((Hakanyagi mtu mguu wala haunyanyui mwengine isipokuwa Allaah

Humfutia dhambi na Humuandikia jema moja))6

Rukn Al-Yamaaniy

Imesemekana imejengwa na mtu kutoka Yemen7. Pia tokea ‘Abdullaahi

bin Zubayr (رضي هللا عنه) alipojenga Al-Ka’bah akaiweka ikabakia hadi leo8.

Inapendekeza kugusa tu kama alivyofanya Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) bila ya

kubusu au kuleta takbiyr.

Fadhila za Rukn Al-Yamaaniy

Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) amesema:

5 Swahiyh At-Tirmidhiy. 6 Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Umar - Sunan At-Tirmidhiy (959) na katika Swahiyh At-

Targhiyb (1139). 7 Mu’jam Al-Buldaan (3/64) – Yaaquwt Al-Hamwy. 8 At-Taariykh Al-Qadiym li-Makkah wa-Bayt Allaahil-Kariym – Muhammad Twaahir Al-

Kurdiy Al-Makkiy (3/256).

Page 4: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

بـني ما اءM ألضــ نورمها يطمس مل ولو نورمها ا: طمس اجلنة Dقوت من Dقوتـتان والمقام الركن إن (( ))والمغرب المشرق

((Hakika Ar-Rukn na Al-Maqaam ni yaquti mbili katika yaquti za Jannah,

Allaah Amezima mwanga wake, na lau kama Hakuzima mwanga wake,

ungeliangaza yaliyoko baina ya Mashariki na Magharibi))9

Al-Hajar Al-As-wad

Al-Hajar Al-As-wad liko pembe ya Mashariki ya Al-Ka’bah kutoka Rukn Al-

Yamaaniy ambayo iko Kusini Mashariki mwa Al-Ka’bah. Ni jiwe tukufu

kabisa duniani na pia ni tukufu kabisa katika Al-Ka’bah Jiwe ni kubwa mno

ila limeingizwa ndani zaidi ya Al-Ka’bah hivyo sehemu inayoonekana ni

sehemu ndogo kabisa kulingana na iliyoingizwa ndani. Al-Hajar Al-As-wad

limeteremshwa kutoka Jannah akalipokea Ismaa’iyl kutoka kwa Jibriyl

kumalizia kujenga Al-Ka’bah.

Al-Hajar Al-As-wad ni alama ya pahali pa kuanzia na kumalizia Twawaaf

na linabusiwa panapokuwa na uwezekano.

Imepokelewa toka kwa Ibn ‘Umar )عنهما هللا رضي ( akisema: “Rasuli ( وآله عليه هللا صلى-alifanya Ar-Raml kuanzia Al-Hajar Al-As-wad (jiwe) mpaka Al-Hajar Al (وسلم

As-wad mara tatu kisha akatembea (kikawaida katika kutufu Al-Ka’bah)

mara nne”10

Pia imetoka kwa Jaabir bin ‘Abdullaah )عنه هللا رضي ( kwamba: “Tulitoka pamoja

na Nabiy ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) katika Hajjat Al-Widaa’ hadi tulipofika katika

Nyumba (Al-Ka’bah) alilibusu Al-Hajar Al-As-wad kisha akatufu mizunguko

mitatu kwa Ar-Raml na (Twawaaf) nne kwa mwendo wa kawaida”11

Fadhila Za Al-Hajar Al-As-wad

9 Hadiyth ya ‘Abdullaah bin ‘Amru - Swahiyh At-Tirmidhiy (878), Ibn Khuzaymah

(4/220), Ahmad (1/207-229-373). 10 Muslim katika Kitaab Al-Hajj (2213). 11 Muslim 1218.

Page 5: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

))اجلنة من األسود احلجر ((

((Al-Hajar Al-As-wad linatoka Jannah))12

من األسود احلجر نـزل (( لم وس عليه اU صلى اU رسول قال : قال ) عنهما هللا رضي( عباس ابن عن )) آدم بين خطاD فسودته اللنب من بـياضا أشد وهو اجلنة

Imepokelewa toka kwa ibn ‘Abbaas ) عنهما هللا رضي( kwamba Rasuli wa Allaah ( صلى

وسلم وآله عليه هللا ) amesema: ((Al-Hajar Al-As-wad limeteremka kutoka Jannah

likiwa jeupe kuliko maziwa, likasawijika (kuwa jeusi) kwa dhambi za bin

Aadam))13

عثـنه وا: (( :احلجر يف وسلم عليه اU صلى اU رسول قال : قال عباس ابن عن له القيامة يـوم ا: ليـبـنان ))حبق استـلمه من على يشهد به يـنطق ولسان ما يـبصر عيـ

Imepokelewa toka kwa Ibn ‘Abbaas ) عنهما هللا رضي( kwamba Rasuli wa Allaah ( صلى

وسلم وآله عليه هللا ) amesema: ((Naapa kwa Allaah! Allaah Atalileta Siku ya

Qiyaamah likiwa na macho mawili ambayo litaweza kuona na ulimi

utakaosema, na litashuhudia kwa kila aliyeligusa kwa haki))14

، والركن ، إن مسح احلجر األسود (( ))حطiا اخلطاD حيطان اليماين

((Kugusa Al-Hajar Al-As-wad na Ar-Rukn al-Yamaaniy ni kufutiwa

madhambi))15

Maqaam Ibraahiym

Ni mahali aliposimama Ibraahiym ( السالم عليه ) kumalizia kujenga kuta za juu za

Al-Ka’bah. Anasema Allaah ( وتعاىل سبحانه ):

12 Hadiyth ya Anas katika Swahiyh Al-Jaami’ (3175). 13 Ibn Maajah katika Swahiyh Al-Jaami’ (6756), Swahiyh At-Tirmidhiy (877). 14 Swahiyh At-Tirmidhiy (961), Ibn Maajah (2944). 15 Hadiyth ya Ibn ‘Umar katika Swahiyh Al-Jaami’ (2194).

Page 6: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

¨¨ ¨¨ββββ ÎÎ ÎÎ)))) tt ttΑΑΑΑ ¨¨ ¨¨ρρρρ rr rr&&&& ;; ;;MMMM øø øøŠŠŠŠ tt tt//// yy yyìììì ÅÅ ÅÅÊÊÊÊ ãã ããρρρρ ÄÄ ÄĨ$$$$ ¨¨ ¨¨ΨΨΨΨ==== ÏÏ ÏÏ9999 ““““ ÏÏ ÏÏ%%%% ©© ©©#### ss ss9999 ss ssππππ ©© ©©3333 tt tt6666 ÎÎ ÎÎ//// %%%% ZZ ZZ.... uu uu‘‘‘‘$$$$ tt tt7777 ãã ããΒΒΒΒ ““““ YY YY‰‰‰‰ èè èèδδδδ uu uuρρρρ tt tt ÏÏ ÏÏϑϑϑϑ nn nn====≈≈≈≈ yy yyèèèè ùù ùù==== ÏÏ ÏÏ jj jj9999 ∩∩∩∩∉∉∉∉∪∪∪∪ ÏÏ ÏϵµµµŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏùùùù 77 77MMMM≈≈≈≈ tt ttƒƒƒƒ#### uu uu ×× ××MMMM≈≈≈≈ uu uuΖΖΖΖ ÉÉ ÉÉ ii ii���� tt tt//// ãã ããΠΠΠΠ$$$$ ss ss)))) ¨¨ ¨¨ΒΒΒΒ zz zzΟΟΟΟŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ)))) (( (( ⟨⟨⟨⟨

((Hakika nyumba ya awali iliyowekwa kwa ajili ya watu (kufanya ‘ibaadah)

ni ile ambayo iko Bakkah (Makkah), yenye barakah na mwongozo kwa

walimwengu. Ndani yake kuna Aayaat (ishara, dalili) zilizo wazi; mahali pa

kisimamo cha Ibraahiym.))16

Inasemekana pia ni mahali aliposimama Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه )

kuwatangazia watu kuja kutekeleza ‘Ibaadah ya Hajj.

Mahujaji wanapomaliza kutufu Al-Ka’bah wanatakiwa waende hapo na

kuswali rakaa mbili:

(( ((####ρρρρ ää ää‹‹‹‹ ÏÏ Ï󃃃 ªª ªªBBBB $$ $$#### uu uuρρρρ ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ÏÏ ÏÏΘΘΘΘ$$$$ ss ss)))) ¨¨ ¨¨ΒΒΒΒ zz zzΟΟΟΟ↵↵↵↵ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ)))) ’’’’ ~~ ~~???? || ||ÁÁÁÁ ãã ããΒΒΒΒ (( (( ⟨⟨⟨⟨

((Na chukueni kutoka mahali pa kusimama Ibraahiym kuwa ni pahala pa

kuswalia))17

Hijr

Inadhaniwa na wengi kuwa ni ‘Hijr Ismaa’iyl’ (chumba cha Ismaa’iyl) na

kwamba ni chumba alichozikiwa pamoja na mama yake Haajar ndio

maana pakaitwa hivyo. Hakuna uthibitisho wa hilo, na si kweli kwa sababu

ingelikuwa ni hivyo mahali hapo pasingelifaa kuswaliwa kwani haifai

kuswalia mbele ya kaburi. Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) ameitambulisha sehemu

hiyo kuwa ni ‘Hijr’ pekee. Sehemu hiyo imetajwa katika usimulizi ufuatao

pale Al-Ka’bah lilipoharibiwa na kujengwa tena:

))نـعم ((: قال هو؟ البـيت أمن :اجلدر عن م وسل عليه اU صلى اU رسول سألت : قالت عائشة عن مرتفعا؟ _به شأن فما: قـلت ) )قة النـف م قصرت قـومك إن ((: قال البـيت؟ يف يدخلوه مل فلم : قـلت

16 Aal-‘Imraan (3: 96-97). 17 Al-Baqarah (2: 125).

Page 7: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

يف عهدهم حديث ومك قـ أن ولوال , شاءوا من ومينـعوا شاءوا من ليدخلوا قـومك ذلك فـعل ((: قال ))sألرض sبه ألزق وأن يت البـ يف اجلدر أدخل أن لنظرت , قـلوبـهم تـنكر أن فأخاف , اجلاهلية

Imetoka kwa ‘Aaishah )عنها هللا رضي ( amesema: “Nilimuuliza Rasuli wa Allaah

( وسلم وآله عليه هللا صلى ) kuhusu ukuta (upande wa Hijr). Je huo ni sehemu ya Nyumba

(yaani Al-Ka’bah?)” Akajibu: ((Ndio)) Nikasema: “Kwa nini basi usiingizwe

ndani ya Nyumba?” Akajibu: ((Watu wako walipungukiwa na uwezo wa

fedha)). Nikasema: “Kwa nini basi mlango wake umeinuka juu?” Akajibu:

((Watu wako wamefanya hivyo ili wamuingize wamtakaye na wamzuie

wamtakae. Na ingelikuwa watu wako si waliotoka kubadili Dini na si khofu

kuwa itawachukiza nyoyo zao, ningeliungiza ukuta ndani ya Nyumba na

ningeliuteremsha mlango wake usawa na ardhi))18

Maji ya Zamzam, Asw-Swafaa na Al-Mar-wah

Historia yake imeanza pale Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) alipomwacha Makkah

mkewe wa pili Haajar na mwanawe Ismaa’iyl akiwa ni mtoto mchanga wa

kunyonya. Wakati huo Makkah kulikuwa hakuna chochote. Imepokelewa

toka kwa ibn ‘Abbaas kama ifuatavyo:

“Ibraahiym ( السالم عليه ) alikuja na Haajar na mwanawe Ismaa’iyl akiwa

anamnyonyesha mpaka alipowasili Makkah penye bonde baina ya Asw-

Swafaa na Al-Mar-wah mahali kilipo kisima cha maji ya Zamzam hivi sasa,

na wakati huo nyumba ya Allaah ( وتعاىل سبحانه ) (Al-Ka’bah) ilikuwa ni sehemu

iliyonyanyuka tu juu ya ardhi, ikishambuliwa na upepo mkali pamoja na

mikondo ya maji ya mvua iliyokuwa ikizikwanguwa pembe nne za nyumba

hiyo. Hapakuwa na mtu anayeishi mahali hapo wala nyumba wala maji

isipokuwa mti mmoja alipowaacha mkewe na mwanawe chini yake,

akawawekea birika la maji pamoja na chombo alichowatilia tende ndani

yake, kisha akageuka na kuianza safari ndefu ya kurudi Shaam.

Mama yake Ismaa’iyl alipomuona mumewe akirudi na kuwaacha mahali

hapo walipopafikia baada ya safari ndefu iliyowachukuwa siku nyingi

njiani, mahali pasipo na mji wala kijiji. Hapakuwa na hata dalili ya kuwepo

mtu mahali popote karibu na hapo, akamfuata mumewe na kumuuliza:

18 Muslim 1333.

Page 8: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

“Unatuachia nani mahali hapa pasipo na mtu yeyote?” Akamuuliza hivyo

mara nyingi lakini Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) hakumjibu.

Mwisho Mama yake Ismaa’iyl akamuuliza: “Allaah Ndiye Aliyekuamrisha?”

Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) akamjibu: “Naam, ndiyo.”

Kwa iymaan iliyothibiti, kwa utiifu mkubwa na kwa moyo uliosalimu amri,

Bibi Haajar akamwambia: “Kwa hivyo Hatotupoteza”.

Hapo ndipo Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) alipogeuka na kuianza safari ndefu

ya kurudi Palestina (Shaam) akimuacha nyuma mkewe na mwanawe wa

mwanzo na wa pekee wakati ule, na baada ya kutembea muda kidogo

mahali ambapo mkewe hakuweza kumuona, Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه )

akageuka nyuma na kuomba du’aa ifuatayo:

!! !!$$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// §§ §§‘‘‘‘ þþ þþ’’’’ ÎÎ ÎÎ oo ooΤΤΤΤ ÎÎ ÎÎ)))) àà ààMMMMΖΖΖΖ ss ss3333 óó óó™™™™ rr rr&&&& ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ÉÉ ÉÉLLLL −− −−ƒƒƒƒ ÍÍ ÍÍ hh hh‘‘‘‘ èè è茌ŒŒ >> >>ŠŠŠŠ#### uu uuθθθθ ÎÎ ÎÎ//// ÎÎ ÎÎ���� öö öö���� xx xxîîîî ““““ ÏÏ ÏÏŒŒŒŒ ?? ??íííí öö öö‘‘‘‘ yy yy———— yy yy‰‰‰‰ΨΨΨΨ ÏÏ ÏÏãããã yy yy7777 ÏÏ ÏÏFFFF ÷÷ ÷÷���� tt tt//// ÇÇ ÇÇΠΠΠΠ §§ §§���� yy yyssss ßß ßßϑϑϑϑ øø øø9999 $$ $$#### $$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// uu uu‘‘‘‘ (( ((####θθθθ ßß ßßϑϑϑϑ‹‹‹‹ ÉÉ ÉÉ)))) ãã ãã‹‹‹‹ ÏÏ ÏÏ9999 nn nnοοοο 44 44θθθθ nn nn==== ¢¢ ¢¢ÁÁÁÁ9999 $$ $$#### öö öö≅≅≅≅ yy yyèèèè ôô ôô____ $$ $$$$$$ ss ssùùùù

ZZ ZZοοοο yy yy‰‰‰‰ ÏÏ ÏÏ↔↔↔↔ øø øøùùùù rr rr&&&& šš šš∅∅∅∅ ÏÏ ÏÏ ii iiΒΒΒΒ ÄÄ ÄĨ$$$$ ¨¨ ¨¨ΖΖΖΖ9999 $$ $$#### üü üü““““ ÈÈ ÈÈθθθθ öö ööκκκκ ss ssEEEE öö ööΝΝΝΝ ÍÍ ÍÍκκκκ öö öö���� ss ss9999 ÎÎ ÎÎ)))) ΝΝΝΝ ßß ßßγγγγ øø øø%%%% ãã ãã———— öö öö‘‘‘‘ $$ $$#### uu uuρρρρ zz zz ÏÏ ÏÏ ii iiΒΒΒΒ ÏÏ ÏÏNNNN≡≡≡≡ tt tt���� yy yyϑϑϑϑ ¨¨ ¨¨WWWW9999 $$ $$#### óó óóΟΟΟΟ ßß ßßγγγγ ¯¯ ¯¯==== yy yyèèèè ss ss9999 tt ttββββρρρρ ãã ãã���� ää ää3333 ôô ôô±±±± oo oo„„„„ ∩∩∩∩⊂⊂⊂⊂∠∠∠∠∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

((“Rabb wetu! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuria wangu katika

bonde (la Makkah) lisilokuwa na mmea wowote, kwenye Nyumba Yako

Tukufu. Rabb wetu, ili wasimamishe Swalaah na Ujaalie nyoyo za watu

zielekee kwao na Uwaruzuku mazao ili wapate kushukuru))19

Bibi Haajar akawa anakula zile tende alizowekewa na mumewe huku

akimnyonyesha mwanawe, lakini haukupita muda mrefu maji yakaanza

kupunguwa na hatimaye kumalizika, na mwanawe alipoanza kuona kiu,

Bibi Haajar akaanza kuhangaika huku na kule akimtafutia maji. Akaliendea

jabali lililokuwa karibu yake. ‘Jabal Asw-Swafaa’ na kulipanda, na alipofika

kileleni akaanza kutizama huku na kule akitafuta maji au msafara wa watu

watakaokuwa na maji, lakini hakuona kitu. Akateremka na kuanza

kutembea taratibu penye bonde lililopo baina ya jabali Asw-Swafaa na

jabali Al-Mar-wah, na alipofika kati kati ya bonde akaanza kukazana huku

akiliendea jabali Al-Mar-wah na kulipanda, na alipofika kileleni akaanza

kutizama huku na kule, lakini bila mafanikio yoyote.

Anasema Ibn ‘Abbaas kuwa Rasuli wa Allaah ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) amesema:

((Hiyo ndiyo As-Sa’-y mnayotembea baina ya Asw-Swafaa na Al-Mar-

wah)).

19 Ibraahiym (14: 37).

Page 9: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

Bibi Haajar aliendelea kufanya hivyo mara saba, na alipokuwa akiliendea

jabali Al-Mar-wah akasikia sauti ngeni ikimsemesha. Alinyamaza kimya ili

aisikie vizuri huku akitazama mahali alipo mwanawe, akamuona Malaika

amesimama mahali kilipo kisima cha Zamzam hivi sasa, huku akichimba

kwa ubawa wake mpaka maji yalipofurika, ndipo mamake Ismaa’iyl

alipoyaendea na kuanza kuyachota kwa mikono yake huku akimnywesha

mwanawe na kunywa yeye mwenyewe. Alipokuwa akinywa na

kumnywesha mwanawe, Malaika akamwambia: “Usiogope, hutopotea,

kwani hapa ndipo ilipo nyumba ya Allaah itakayojengwa na mtoto huyu

na baba yake."20

Minaa

Minaa iko kilo mita tano kutoka Makkah. Ni mahali ambako shaytwaan

alimfuata Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) kumshawishi asitekeleze ndoto yake ya

kumchinja mwanawe Ismaa’iyl. Alimfuata mahali patatu; Jamaraat Al-

Kubraa, Al-Wuswtwaa na Asw-Swughraa.

Mahujaji huanzia taratibu zao za Hajj Minaa wanapokuja kutoka Makkah

tarehe 8 Dhul-Hijja wakiwa wameingia katika Ihraam. Makazi yao kwa

wakati huo ni katika mahema na hubakia hapo hadi tarehe 12 au 13 Dhul-

Hijjah ili wapate kumalizia ‘Ibaadah za kurusha vijiwe katika minara ya

Jamaraat. Tarehe 9 Dhul-Hijjah Alfajiri huelekea ‘Arafah, halafu huelekea

Muzdalifah, baadae hurudi Minaa na kubakia hapo mpaka

Wanapomaliza kurusha vijiwe ambayo huwa ni tarehe 12 au 13 Dhul-Hijjah

hurudi tena Makkah na kubakia hapo au kufanya Twawaaf Al-Wadaa’i.

Wanapobakia Minaa wanapaswa kumdhukuru sana Allaah (سبحانه وتعاىل)21

‘Arafah

Inasemekana kuwa ni mahali ambapo Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) alisimama

pia kuwatangazia watu kuja kuhiji kama alivyoamrishwa na Allaah ( سبحانه:Alipofika alisema .(وتعاىل .(nimepajua) عرفت

20 Al-Bukhaariy. 21 Al-Baqarah (2: 203).

Page 10: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

Jabali la ‘Arafah ndipo wanaposimama Mahujaji na ndio kilele cha

‘Ibaadah hii tukufu kama alivyosema Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ):

))عرفة احلج ((

((Hajj ni ‘Arafah))22

Jina la ‘Arafah limetajwa pia katika Aayah23

Imesimuliwa toka kwa Yaziyd bin Shaybaan kwamba: “Tulikuwa

tumesimama ‘Arafah mahali mbali na mawqif (sehemu aliyosimama Rasuli

( وسلم وآله عليه هللا صلى ). Ibn Mirba’ Al-Answaariy akaja kutuambia: “Mimi ni mjumbe

wa Rasuli wa Allaah ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) amenituma nikuambieni: ((Simameni

mlipo (kwani hapo pia ni mahali pa wuquwf) kwani hapo ndipo mahali

aliposimama baba yenu Ibraahiym (عليه السالم)))24

Jabali hilo alisimama Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) kuwakhutubia Maswahaba

katika Hajjatul-Wadaa’i yake ambayo alitoa khutbah yenye nasaha

kadhaa na mwishowe kuwataka Maswahaba wafikishe ujumbe kwa kila

aliyekuwa hakufika siku hiyo na kuendeleza kizazi baada ya kizazi.

Fadhila Za Siku ya ‘Arafah

Siku hii ni tukufu mno na fadhila zake zimetajwa katika Hadiyth kadhaa

kama ifuatavyo:

� Siku iliyokamilika Dini yetu:

نا أن لو المؤمنني أمري N : لعمر اليـهود من رجل قال : قال شهاب بن طارق عن هذه نـزلت عليـ tt: اآلية ttΠΠΠΠ öö ööθθθθ uu uu‹‹‹‹ øø øø9999 $$ $$#### àà ààMMMM ùù ùù==== yy yyϑϑϑϑ øø øø.... rr rr&&&& öö ööΝΝΝΝ ää ää3333 ss ss9999 öö ööΝΝΝΝ ää ää3333 oo ooΨΨΨΨƒƒƒƒ ÏÏ ÏÏŠŠŠŠ àà ààMMMM ôô ôôϑϑϑϑ oo ooÿÿÿÿ øø øøCCCC rr rr&&&& uu uuρρρρ öö ööΝΝΝΝ ää ää3333 øø øø‹‹‹‹ nn nn==== tt ttææææ ÉÉ ÉÉLLLL yy yyϑϑϑϑ ÷÷ ÷÷èèèè ÏÏ ÏÏΡΡΡΡ àà ààMMMMŠŠŠŠ ÅÅ ÅÅÊÊÊÊ uu uu‘‘‘‘ uu uuρρρρ ãã ããΝΝΝΝ ää ää3333 ss ss9999 zz zzΝΝΝΝ≈≈≈≈ nn nn==== óó óó™™™™ MM MM}}}} $$ $$#### $$$$ YY YYΨΨΨΨƒƒƒƒ ÏÏ ÏÏŠŠŠŠ 44 44 ⟨ kالختذ

22 At-Tirmidhiy 2975). 23 Tazama chini ya Muzdalifah (Al-Baqarah 2: 198). 24 Abu Daawuwd na At-Tirmidhiy na imerekodiwa katika Swahiyh Abi Daawuwd

(1688) ya Al-Albaaniy.

Page 11: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

يـوم يف عرفة يـوم نـزلت , اآلية هذه نـزلت يـوم أي ألعلم إين : عمر فـقال . عيدا اليـوم ذلك .مجعة

Imepokelewa kutoka kwa Twaariq bin Shihaab )عنه هللا رضي( amesema: Myahudi mmoja alimwambia: ‘Umar: “Ewe Amiyr wa Waumini, lau

ingeliteremka kwetu sisi Aayah hii ((Leo Nimekukamilishieni Dini

(yenu), na Nimekutimizieni neema Yangu, na Nimekuridhieni kwenu

Uislamu uwe (ndio) Dini yenu))25, tungeliifanya ‘Iyd siku hiyo. Akasema

‘Umar: “Hakika naijua siku gani imeteremka Aayah hii. Imeteremka

Siku ya ‘Arafah siku ya Ijumaa”26

Na kukamilika Dini yao ni kukamilisha nguzo zote za Kiislamu.

� Siku Ambayo Allaah Amechukua fungamano (ahadi) kutoka kizazi

cha Aadam.

Imesimuliwa kwamba Ibn ‘Abbaas )عنهما هللا رضي ( amesema: Rasuli ( هللا صلىوسلم وآله عليه ) amesema: ((Allaah Amechukua fungamano kutoka

mgongo wa Aadam katika Na’maan yaani ‘Arafah. Akatoa

mgongoni mwake kizazi chake chote na Akawatandaza mbele

Yake. Kisha Akawakabili kuwauliza:

àà ààMMMM óó óó¡¡¡¡ ss ss9999 rr rr&&&& öö ööΝΝΝΝ ää ää3333 ÎÎ ÎÎ nn nn//// tt tt���� ÎÎ ÎÎ//// (( (( (( ((####θθθθ ää ää9999$$$$ ss ss%%%% 44 44’’’’ nn nn???? tt tt//// ¡¡ ¡¡ !! !!$$$$ tt ttΡΡΡΡ ôô ôô‰‰‰‰ ÎÎ ÎÎγγγγ xx xx©©©© ¡¡ ¡¡ χχχχ rr rr&&&& (( ((####θθθθ ää ää9999θθθθ àà àà)))) ss ss???? tt ttΠΠΠΠ öö ööθθθθ tt ttƒƒƒƒ ÏÏ ÏÏππππ yy yyϑϑϑϑ≈≈≈≈ uu uuŠŠŠŠ ÉÉ ÉÉ)))) øø øø9999 $$ $$#### $$$$ ¯¯ ¯¯ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ)))) $$$$ ¨¨ ¨¨ΖΖΖΖ àà àà2222 ôô ôô tt ttãããã #### xx xx‹‹‹‹≈≈≈≈ yy yyδδδδ tt tt,,,, ÎÎ ÎÎ#### ÏÏ ÏÏ""""≈≈≈≈ xx xxîîîî ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇∠∠∠∠⊄⊄⊄⊄∪∪∪∪ ÷÷ ÷÷ρρρρ rr rr&&&&

(( ((#### þþ þþθθθθ ää ää9999θθθθ àà àà)))) ss ss???? !! !!$$$$ oo ooÿÿÿÿ ©© ©©ςςςς ÎÎ ÎÎ)))) xx xx8888 ss ss���� õõ õõ°°°° rr rr&&&& $$$$ tt ttΡΡΡΡ ää ääττττ !! !!$$$$ tt tt////#### uu uu ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ãã ãã≅≅≅≅ öö öö7777 ss ss%%%% $$$$ ¨¨ ¨¨ΖΖΖΖ àà àà2222 uu uuρρρρ ZZ ZZππππ −− −−ƒƒƒƒ ÍÍ ÍÍ hh hh‘‘‘‘ èè è茌ŒŒ .. .. ÏÏ ÏÏ ii iiΒΒΒΒ öö ööΝΝΝΝ ÏÏ ÏÏδδδδ ÏÏ Ïω‰‰‰ ÷÷ ÷÷èèèè tt tt//// (( (( $$$$ uu uuΖΖΖΖ ää ää3333 ÎÎ ÎÎ==== öö ööκκκκ çç ççJJJJ ss ssùùùù rr rr&&&& $$$$ oo ooÿÿÿÿ ÏÏ ÏÏ3333 ŸŸ ŸŸ≅≅≅≅ yy yyèèèè ss ssùùùù tt ttββββθθθθ èè èè==== ÏÏ ÏÏÜÜÜÜ öö öö7777 ßß ßßϑϑϑϑ øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇∠∠∠∠⊂⊂⊂⊂∪∪∪∪

((“Je, Mimi siye Rabb wenu?” Wakasema: “Ndiye, tunashuhudia!”

(Allaah Akawaambia): “Msije kusema Siku ya Qiyaamah (kwamba)

hakika sisi tulikuwa tumeghafilika nayo haya. Au mkasema: Hakika

baba zetu ndio walioshirikisha kabla, nasi tulikuwa kizazi baada yao.

Basi Utatuangamiza kwa yale waliyoyafanya wabatilifu”27)) Hadiyth28

� Siku Ambayo Allaah Ameiapia

25 Al-Maaidah (5: 3). 26 Al-Bukhaariy. 27 Al-A’raaf (7: 172-173). 28 Imesimuliwa na Ahmad ameisahihisha Al-Albaaniy.

Page 12: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

ÏÏ ÏÏ !! !!$$$$ uu uuΚΚΚΚ ¡¡ ¡¡¡¡¡¡9999 $$ $$#### uu uuρρρρ ÏÏ ÏÏNNNN#### ss ssŒŒŒŒ ÆÆ ÆÆllllρρρρ çç çç���� ãã ãã9999 øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇∪∪∪∪ ÏÏ ÏÏΘΘΘΘ öö ööθθθθ uu uu‹‹‹‹ øø øø9999 $$ $$#### uu uuρρρρ ÏÏ ÏÏŠŠŠŠθθθθ ãã ãããããã öö ööθθθθ pp ppRRRR ùù ùùQQQQ $$ $$#### ∩∩∩∩⊄⊄⊄⊄∪∪∪∪ 77 77‰‰‰‰ ÏÏ ÏÏδδδδ$$$$ xx xx©©©© uu uuρρρρ 77 77ŠŠŠŠθθθθ åå ååκκκκ ôô ôô¶¶¶¶ tt ttΒΒΒΒ uu uuρρρρ ∩⊂∪ ⟨

((Naapa kwa mbingu zenye buruji. Na siku iliyoahidiwa (Qiyaamah).

Na shahidi na kinachoshuhudiwa))29 Imepokelewa toka kwa Abu

Hurayrah )عنه هللا رضي ( amesema: “Siku ya kuahidiwa ni siku ya kufufuliwa.

Siku ya kushuhudiwa ni siku ya ‘Arafah, na Siku ya kinachoshuhudiwa

ni Siku ya Ijumaa))30.

� Ni Siku Bora Kabisa Ambayo Wataokolewa Waja Kutokana Na Moto.

أن من أكثـر يـوم من ما((: ال ق وسلم عليه اU صلى اU رسول إن ) عنها هللا رضي( عائشة عن يـقول المالئكة م يـباهي مث ليدنو وإنه عرفة يـوم من النار من عبدا فيه ا: يـعتق أراد ما فـ ))هلم غفرت قد أين اشهدوا(( :رواية ويف) )هؤالء

Imepokelewa toka kwa ‘Aaishah )عنها هللا رضي( kuwa Rasuli wa Allaah ( هللا صلىوسلم وآله عليه ) amesema: ((Hakuna siku Anayoacha Allaah huru waja kwa

wingi kutokana na moto kama siku ya ‘Arafah. Na huwa karibu kisha

Anajigamba kwao kwa Malaika na Husema: Wametaka nini hawa?))31

Na katika riwaayah nyingine ((Shuhudieni Malaika wangu kwamba

hakika Nimewaghufuria))32

� Siku Ya Kutakabaliwa Du’aa:

Imepokelewa toka kwa babu yake ‘Amru bin Shu’ayb )عنه هللا رضي ( kwamba

Rasuli ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) amesema:

ر (( ر , عرفة يـوم دعاء الدعاء خيـ ال وحده ا: إال إله ال : بليقـ من والنبيون أ� قـلت ما وخيـ ))قدير شيء كل على وهو احلمد وله الملك له له شريك

((Du’aa bora kabisa ni du’aa katika siku ya ‘Arafah, na yaliyo bora

kabisa niliyosema mimi na Mitume kabla yangu ni: 'Laa Ilaaha Illa

Allaah Wahdahu laa shariyka Lahu, Lahul-Mulku wa-Lahul-hamdu wa

29 Al-Buruwj (85: 1-3). 30 At-Tirmidhiy na ameisahihisha Al-Albaaniy. 31 Muslim. 32 Swahiyh At-Targhiyb ya Al-Albaaniy (1154).

Page 13: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

Huwa 'alaa kulli shay-in Qadiyr – Hapana mwabudiwa wa haki

isipokuwa Allaah Peke Yake, Hana mshirika. Yeye Ndiye Mwenye

Ufalme na Ndiye Mwenye kuhimidiwa, Naye ni Muweza wa kila

kitu))33

Muzdalifah

Muzdalifah ni mahali ambako Mahujaji wanafikia baada ya kutoka

‘Arafah, huingia hapo Magharibi na huswali kwa kujumuisha Swalah mbili

za Maghrib na ‘Ishaa. Hupumzika na kukesha usiku wake hadi asubuhi

wanapokwenda kutekeleza taratibu nyinginezo zilizobakia; Muzdalifah ni

bonde takatifu na hapo wanapaswa Mahujaji kumdhukuru Allaah ( سبحانه .kwa wingi kama Anavyoamrisha34 (وتعاىل

Jamaraat na Kuchinja

Jamaraat ni mahali pa kurushwa vijiwe kwa ajili ya kufuata Sunnah ya baba

yetu Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ), pale alipokuwa akimrushia vijiwe shaytwaan

kumfukuza, alipokuwa akija kumshawishi asimchinje mwanawe baada ya

kuota kuwa kapewa amri hiyo. Shaytwaan huyo alimfuata sehemu tatu na

kila sehemu Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) alimfukuzilia mbali kwa kumpiga

vijiwe. Sehemu hizo ni Jamrat Al-Kubra, Al-Wuswtwaa na Asw-Swughraa.

Kisa chake kinaanza pale Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) alipokwenda Makkah

kumzuru mkewe na mwanawe, baada ya kuoteshwa amchinje mwanawe

Ismaa’iyl ( السالم عليه ). Alipomuelezea mwanawe kuhudu ndoto yake,

mwanawe alikubali kutii amri hiyo. Alimlaza mwanawe kifudifudi ili asiuone

uso wake na ili asije kumhurumia akashindwa kutekeleza amri hiyo.

Ismaa’iyl ( السالم عليه ) akasalimu amri na Ibraahiym ( السالم عليه ) akijitayarisha

kumchinja mwanawe. Hapo Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Akamfunulia Wahyi Nabiy

Ibraahiym ( السالم عليه ) kuwa asimchinje mwanawe na badala yake

akamkomboa kwa kondoo. Maelezo yamekuja katika Qur-aan:

33 At-Tirmidhiy na ameisahihisha Al-Albaaniy katika Swahiyh At-Tirmidhiy 3585. 34 Al-Baqarah (2: 198-199).

Page 14: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

$$$$ ¬¬ ¬¬ΗΗΗΗ ss ss>>>> ss ssùùùù xx xx9999 nn nn==== tt tt//// çç ççµµµµ yy yyèèèè tt ttΒΒΒΒ zz zz ÷÷ ÷÷ëëëë ¡¡ ¡¡¡¡¡¡9999 $$ $$#### tt ttΑΑΑΑ$$$$ ss ss%%%% ¢¢ ¢¢ oo oo____ çç çç6666≈≈≈≈ tt ttƒƒƒƒ þþ þþ’’’’ ÎÎ ÎÎ oo ooΤΤΤΤ ÎÎ ÎÎ)))) 33 33““““ uu uu‘‘‘‘ rr rr&&&& ’’’’ ÎÎ ÎÎûûûû ÏÏ ÏÏΘΘΘΘ$$$$ uu uuΖΖΖΖ yy yyϑϑϑϑ øø øø9999 $$ $$#### þþ þþ’’’’ ÎÎ ÎÎ oo ooΤΤΤΤ rr rr&&&& yy yy7777 çç ççtttt rr rr2222 øø øøŒŒŒŒ rr rr&&&& öö öö���� ÝÝ ÝÝààààΡΡΡΡ $$ $$$$$$ ss ssùùùù #### ss ssŒŒŒŒ$$$$ tt ttΒΒΒΒ 22 22”””” tt tt���� ss ss???? 44 44 tt ttΑΑΑΑ$$$$ ss ss%%%% ÏÏ ÏÏMMMM tt tt//// rr rr'''' ¯¯ ¯¯≈≈≈≈ tt ttƒƒƒƒ öö öö≅≅≅≅ yy yyèèèè øø øøùùùù $$ $$#### $$$$ tt ttΒΒΒΒ

ãã ãã���� tt ttΒΒΒΒ ÷÷ ÷÷σσσσ èè èè???? (( (( þþ þþ’’’’ ÎÎ ÎÎΤΤΤΤ ßß ß߉‰‰‰ ÉÉ ÉÉffff tt ttFFFF yy yy™™™™ ββββ ÎÎ ÎÎ)))) uu uu !! !!$$$$ xx xx©©©© ªª ªª!!!! $$ $$#### zz zz ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ tt tt ÎÎ ÎÎ���� ÉÉ ÉÉ9999≈≈≈≈ ¢¢ ¢¢ÁÁÁÁ9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊃⊃⊃⊃⊄⊄⊄⊄∪∪∪∪ !! !!$$$$ ££ ££ϑϑϑϑ nn nn==== ss ssùùùù $$$$ yy yyϑϑϑϑ nn nn==== óó óó™™™™ rr rr&&&& ………… ãã ãã&&&& ©© ©©#### ss ss???? uu uuρρρρ ÈÈ ÈÈ ÎÎ ÎÎ7777 yy yyffff ùù ùù==== ÏÏ ÏÏ9999 ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊃⊃⊃⊃⊂⊂⊂⊂∪∪∪∪ çç ççµµµµ≈≈≈≈ oo ooΨΨΨΨ ÷÷ ÷÷ƒƒƒƒ yy yy‰‰‰‰≈≈≈≈ tt ttΡΡΡΡ uu uuρρρρ ββββ rr rr&&&& ÞÞ ÞÞΟΟΟΟŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ**** ¯¯ ¯¯≈≈≈≈ tt ttƒƒƒƒ ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊃⊃⊃⊃⊆⊆⊆⊆∪∪∪∪

ôô ôô‰‰‰‰ ss ss%%%% || ||MMMM øø øø%%%% ££ ££‰‰‰‰ || ||¹¹¹¹ !! !!$$$$ tt ttƒƒƒƒ öö öö ”” ””����9999 $$ $$#### 44 44 $$$$ ¯¯ ¯¯ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ)))) yy yy7777 ÏÏ ÏÏ9999≡≡≡≡ xx xx‹‹‹‹ xx xx.... ““““ ÌÌ ÌÌ““““ øø øøgggg ww wwΥΥΥΥ tt tt ÏÏ ÏÏΖΖΖΖ ÅÅ ÅÅ¡¡¡¡ óó óóssss ßß ßßϑϑϑϑ øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊃⊃⊃⊃∈∈∈∈∪∪∪∪ āā āāχχχχ ÎÎ ÎÎ)))) #### xx xx‹‹‹‹≈≈≈≈ yy yyδδδδ uu uuθθθθ çç ççλλλλ mm mm;;;; (( ((#### àà ààσσσσ ¯¯ ¯¯≈≈≈≈ nn nn==== tt tt7777 øø øø9999 $$ $$#### ßß ßß ÎÎ ÎÎ7777 ßß ßßϑϑϑϑ øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊃⊃⊃⊃∉∉∉∉∪∪∪∪ çç ççµµµµ≈≈≈≈ oo ooΨΨΨΨ ÷÷ ÷÷ƒƒƒƒ yy yy‰‰‰‰ ss ssùùùù uu uuρρρρ ?? ??xxxx öö öö//// ÉÉ ÉÉ‹‹‹‹ ÎÎ ÎÎ////

55 55ΟΟΟΟŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏàààà tt ttãããã ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊃⊃⊃⊃∠∠∠∠∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

((Alipofikia (makamo ya) kwenda na kurudi pamoja naye; akasema: “Ee

mwanangu! Hakika mimi nimeona ndoto usingizini kwamba mimi

nakuchinja, basi tazama unaonaje?” (Ismaa’iyl) Akasema: “Ee baba

yangu! Fanya yale uliyoamrishwa, utanikuta In Shaa Allaah miongoni mwa

wanaosubiri.” Basi wote wawili walipojisalimisha, na akamlaza juu ya kipaji

(ili amchinje) Tukamwita: “Ee Ibraahiym! Umekwisha sadikisha ndoto!

Hakika Sisi hivyo ndivyo Tunavyowalipa watendao ihsaan. Hakika hii bila

shaka ni jaribio bayana”. Na Tukamfidia kwa dhabihu adhimu))35

Hajj

Hajj Maana yake kilugha: Kukusudia

Maana yake kishariy’ah: Kukusudia kwenda Baytul-Haraam Makkah kwa

ajili ya kutekeleza taratibu za ‘ibaadah makhsusi katika kipindi makhsusi.

Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) na mwanawe Ismaa’iyl ( السالم عليه ) walipomaliza

kujenga Al-Ka’bah wakaomba Du’aa:

øø øøŒŒŒŒ ÎÎ ÎÎ)))) uu uuρρρρ ßß ßßìììì ss ssùùùù öö öö���� tt ttƒƒƒƒ ÞÞ ÞÞΟΟΟΟ↵↵↵↵ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// ÎÎ ÎÎ)))) yy yy‰‰‰‰ ÏÏ ÏÏãããã#### uu uuθθθθ ss ss)))) øø øø9999 $$ $$#### zz zz ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ÏÏ ÏÏMMMM øø øø���� tt tt7777 øø øø9999 $$ $$#### ãã ãã≅≅≅≅ŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏèèèè≈≈≈≈ yy yyϑϑϑϑ óó óó™™™™ ÎÎ ÎÎ)))) uu uuρρρρ $$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// uu uu‘‘‘‘ öö öö≅≅≅≅ ¬¬ ¬¬7777 ss ss)))) ss ss???? !! !!$$$$ ¨¨ ¨¨ΨΨΨΨ ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ (( (( yy yy7777 ¨¨ ¨¨ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ)))) || ||MMMMΡΡΡΡ rr rr&&&& ßß ßßììì슊ŠŠ ÏÏ ÏÏϑϑϑϑ ¡¡ ¡¡¡¡¡¡9999 $$ $$#### ÞÞ ÞÞΟΟΟΟŠŠŠŠ ÎÎ ÎÎ==== yy yyèèèè øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊄⊄⊄⊄∠∠∠∠∪∪∪∪ $$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// uu uu‘‘‘‘

$$$$ uu uuΖΖΖΖ ùù ùù==== yy yyèèèè ôô ôô____ $$ $$#### uu uuρρρρ ÈÈ ÈÈ ÷÷ ÷÷ yy yyϑϑϑϑ ÎÎ ÎÎ==== óó óó¡¡¡¡ ãã ããΒΒΒΒ yy yy7777 ss ss9999 ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ uu uuρρρρ !! !!$$$$ uu uuΖΖΖΖ ÏÏ ÏÏFFFF −− −−ƒƒƒƒ ÍÍ ÍÍ hh hh‘‘‘‘ èè è茌ŒŒ ZZ ZZπππ𠨨 ¨¨ΒΒΒΒ éé éé&&&& ZZ ZZππππ yy yyϑϑϑϑ ÎÎ ÎÎ==== óó óó¡¡¡¡ •• ••ΒΒΒΒ yy yy7777 ©© ©©9999 $$$$ tt ttΡΡΡΡ ÍÍ ÍÍ‘‘‘‘ rr rr&&&& uu uuρρρρ $$$$ oo ooΨΨΨΨ ss ss3333 ÅÅ ÅÅ™™™™$$$$ uu uuΖΖΖΖ tt ttΒΒΒΒ óó óó==== èè èè???? uu uuρρρρ !! !!$$$$ oo ooΨΨΨΨ øø øø‹‹‹‹ nn nn==== tt ttãããã (( (( yy yy7777 ¨¨ ¨¨ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ)))) || ||MMMMΡΡΡΡ rr rr&&&& ÜÜ ÜÜ>>>>#### §§ §§θθθθ −− −−GGGG9999 $$ $$#### ÞÞ ÞÞΟΟΟΟŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏmmmm §§ §§����9999 $$ $$####

∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊄⊄⊄⊄∇∇∇∇∪∪∪∪ $$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// uu uu‘‘‘‘ ôô ôô]]]] yy yyèèèè öö öö//// $$ $$#### uu uuρρρρ öö ööΝΝΝΝ ÎÎ ÎÎγγγγ‹‹‹‹ ÏÏ ÏÏùùùù ZZ ZZωωωωθθθθ ßß ßß™™™™ uu uu‘‘‘‘ öö ööΝΝΝΝ åå ååκκκκ ÷÷ ÷÷]]]] ÏÏ ÏÏ ii iiΒΒΒΒ (( ((####θθθθ èè èè==== ÷÷ ÷÷GGGG tt ttƒƒƒƒ öö ööΝΝΝΝ ÍÍ ÍÍκκκκ öö öö���� nn nn==== tt ttææææ yy yy7777 ÏÏ ÏÏGGGG≈≈≈≈ tt ttƒƒƒƒ#### uu uu ÞÞ ÞÞΟΟΟΟ ßß ßßγγγγ ßß ßßϑϑϑϑ ÏÏ ÏÏ kk kk==== yy yyèèèè ãã ãッƒƒ uu uuρρρρ || ||====≈≈≈≈ tt ttGGGG ÅÅ ÅÅ3333 øø øø9999 $$ $$#### ss ssππππ yy yyϑϑϑϑ õõ õõ3333 ÏÏ ÏÏtttt øø øø:::: $$ $$#### uu uuρρρρ öö ööΝΝΝΝ ÍÍ ÍÍκκκκ���� ÏÏ ÏÏ jj jj.... tt tt““““ ãã ãッƒƒ uu uuρρρρ 44 44 yy yy7777 ¨¨ ¨¨ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ)))) || ||MMMMΡΡΡΡ rr rr&&&&

ââ ââ““““ƒƒƒƒ ÍÍ ÍÍ•••• yy yyèèèè øø øø9999 $$ $$#### ÞÞ ÞÞΟΟΟΟŠŠŠŠ ÅÅ ÅÅ3333 yy yyssss øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊄⊄⊄⊄∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

35 Asw-Swaffaat (37: 102-107).

Page 15: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

((Na (taja) aliponyanyua Ibraahiym na Ismaa’iyl msingi wa Nyumba (Al-

Ka’bah): “Rabb wetu, Tutakabalie, hakika Wewe ni as-Samiy’ul-’Aliym

(Mwenye kusikia yote - Mjuzi wa yote). “Rabb wetu, Tujaalie tuwe wenye

kujisalimisha Kwako pamoja na kizazi chetu wawe ummah wenye

kujisalimisha Kwako na Tuonyeshe taratibu za ‘ibaadah zetu na Pokea

tawbah zetu, hakika Wewe ni at-Tawwaabur-Rahiym (Mwingi wa kupokea

tawbah - Mwenye kurehemu) “Rabb wetu, wapelekee Rasuli miongoni

mwao ataewasomea Aayaat Zako na ataewafunza Kitabu na Hikmah na

atakayewatakasa. Hakika Wewe ni Al-’Aziyzul-Hakiym (Mwenye enzi ya

nguvu Asiyeshindika - Mwenye hikmah wa yote))36

Kisha Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Akaamrisha iwe nyumba ya kutekelezwa ‘ibaadah

bila kumshirikisha na chochote.

øø øøŒŒŒŒ ÎÎ ÎÎ)))) uu uuρρρρ $$$$ tt ttΡΡΡΡ ùù ùù&&&& §§ §§θθθθ tt tt//// zz zzΟΟΟΟŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏδδδδ≡≡≡≡ tt tt���� öö öö//// \\ \\}}}} šš ššχχχχ%%%% ss ss3333 tt ttΒΒΒΒ ÏÏ ÏÏMMMM øø øø���� tt tt7777 øø øø9999 $$ $$#### ββββ rr rr&&&& āā āāωωωω ññ ññ‚‚‚‚ ÎÎ ÎÎ���� ôô ôô³³³³ èè èè@@@@ ’’’’ ÎÎ ÎÎ1111 $$$$ \\ \\↔↔↔↔ øø øø‹‹‹‹ xx xx©©©© öö öö���� ÎÎ ÎÎ dd ddγγγγ ss ssÛÛÛÛ uu uuρρρρ zz zz ÉÉ ÉÉLLLL ÷÷ ÷÷���� tt tt//// šš šš ÏÏ ÏÏ"""" ÍÍ ÍÍ←←←← !! !!$$$$ ©© ©©ÜÜÜÜ==== ÏÏ ÏÏ9999 šš šš ÏÏ ÏÏϑϑϑϑ ÍÍ ÍÍ←←←← !! !!$$$$ ss ss)))) øø øø9999 $$ $$#### uu uuρρρρ

ÆÆ ÆÆìììì āā āā2222 ”” ””����9999 $$ $$#### uu uuρρρρ ÏÏ ÏÏŠŠŠŠθθθθ àà ààffff �� ��¡¡¡¡9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊄⊄⊄⊄∉∉∉∉∪∪∪∪ ⟨

((Na (taja) Tulipomwonyesha Ibraahiym mahali pa Nyumba (Al-Ka’bah

Tukamwambia): kwamba: “Usinishirikishe na chochote; na twaharisha

Nyumba Yangu kwa wafanyao Twawaaf, na wanaosimama (kuswali) na

wanaorukuu (na) kusujudu.))37

Kisha Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Akamuamrisha Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه )

ββββ ÏÏ ÏÏ ii iiŒŒŒŒ rr rr&&&& uu uuρρρρ ’’’’ ÎÎ ÎÎûûûû ÄÄ ÄĨ$$$$ ¨¨ ¨¨ΨΨΨΨ9999 $$ $$#### ÆÆ ÆÆ dd ddkkkk pp pptttt øø øø:::: $$ $$$$$$ ÎÎ ÎÎ//// šš šš‚‚‚‚θθθθ èè èè???? ùù ùù'''' tt ttƒƒƒƒ ZZ ZZωωωω%%%% yy yy` ÍÍ ÍÍ‘‘‘‘ 44 44’’’’ nn nn???? tt ttãããã uu uuρρρρ ÈÈ ÈÈ ee ee≅≅≅≅ àà àà2222 99 99���� ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ$$$$ || ||ÊÊÊÊ šš šš ÏÏ ÏÏ???? ùù ùù'''' tt ttƒƒƒƒ ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ ÈÈ ÈÈ ee ee≅≅≅≅ ää ää.... ?? ?? dd ddkkkk ss ssùùùù 99 99,,,,ŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏϑϑϑϑ tt ttãããã ∩∩∩∩⊄⊄⊄⊄∠∠∠∠∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

((Na tangaza kwa watu Hajj; watakufikia kwa miguu na juu ya kila ngamia

aliyekonda, watakuja kutoka katika kila njia pana za milima zilioko mbali

kabisa))38

Alipoamrishwa hivyo, Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) alisema: “Ee Mola wangu

nitawatangaziaje watu na hali sauti yangu haitaweza kuwafikia watu

wote?” Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Akamjibu: “Wewe tangaza kisha ni juu Yetu

36 Al-Baqarah (2: 127-129). 37 Al-Hajj (22: 26). 38 Al-Hajj (22: 27).

Page 16: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

kufikisha”. Akasimama mahali panapojulikana ‘Maqaam Ibraahiym’ na

kauli nyingine inasemekana kuwa alisimama juu ya jabali la Asw-Swafaa

au jabali la Abu Qubays, (Allaah Anajua zaidi) akaita: “Enyi watu! Mola

wenu Ameifanya Nyumba (Al-Ka’bah kuwa nyumba ya ‘Ibaadah) basi

njooni muhiji”. Inasemekana kwamba milima yote ilijiinamisha ili sauti yake

ifikie sehemu zote za dunia (na wakazi wake) hata ikawafikia walioko

matumboni au ambao hawakuzaliwa bado. Akaitikiwa na kila kilichosikia

sauti yake miongoni mwa miji, mawe, miti na kila kiumbe ambacho Allaah

( وتعاىل سبحانه ) Ameandika (katika Lawh Al-Mahfuwdhw), majaaliwa ya

kutekeleza Hajj mpaka Siku ya Qiyaamah. Na vyote vikaitikia kwa kusema:

“Labbayka Alllaahumma Labbayka”.39

‘Ibaadah hiyo ikaendelea kutekelezwa na Nabiy Ibraahiym ( مالسال عليه ) kila

mwaka alipokwenda Makkah na baada ya kifo chake ikaendelezwa na

mwanawe Nabiy Ismaa’iyl na kuendelea kizazi hadi kizazi.

Lakini ‘Ibaadah ya masanamu ikakithiri Bara Arabu na ‘Ibaadah ya Hajj

ikaingizwa upotofu ndani yake kwa kumshirikisha Allaah ( وتعاىل سبحانه ) ikawa

inatekelezwa kwa itikadi potofu na ma’asi. Masanamu yakatundikwa

katika Al-Ka’bah, kuta zikajaa mashairi na picha za viumbe zikatundikwa

kwenye Al-Ka’bah. Maovu yalikithiri hadi kwamba wanawake walitufu Al-

Ka’bah wakiwa uchi kama walivyozaliwa wakiitakidi kwamba wanapaswa

kumkabili Allaah ( وتعاىل سبحانه ). Machafu ya kila aina yalitendwa wakati wa Hajj,

kunywa pombe, kuimba, dansi za wanawake n.k. Mashindano ya kila aina

ya uovu; kamari, nyimbo, mashairi yalikuwa na nafasi kubwa wakati huo

wa Hajj. Pia walishindana kuhusu nani mbora wa ukarimu wa

kuwahudumia Mahujaji mpaka akawa anachaguliwa mkuu wa kabila kwa

ukarimu wake wa kugawa chakula na maji. Kaffaarah zao za kuchinja

zilikuwa za kumshirikisha Allaah ( وتعاىل سبحانه ) kwa kuimwaga damu katika kuta

za Al-Ka’bah na kutundika nyama katika nguzo zake wakiitakidi kuwa

Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Amekusudia kutaka nyama na damu za wanyama.

Kutufu kwao pia kulikuwa ni kwa kuimba mashairi na kupiga makofi na

miruzi. Qur-aan imetaja hali hiyo:

39 Tafsiyr Ibn Kathiyr (3/221) kama ilivyopokelewa kutoka kwa Ibn ‘Abbaas, Mujaahid,

‘Ikrimah, Sa’iyd bin Jubayr na wengineo katika Salaf.

Page 17: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

$$$$ tt ttΒΒΒΒ uu uuρρρρ tt ttββββ%%%% xx xx.... öö ööΝΝΝΝ åå ååκκκκ èè èèEEEE ŸŸ ŸŸξξξξ || ||¹¹¹¹ yy yy‰‰‰‰ΨΨΨΨ ÏÏ ÏÏãããã ÏÏ ÏÏMMMM øø øø���� tt tt7777 øø øø9999 $$ $$#### āā āāωωωω ÎÎ ÎÎ)))) [[ [[ !! !!%%%% xx xx6666 ãã ããΒΒΒΒ ZZ ZZππππ tt ttƒƒƒƒ ÏÏ Ïω‰‰‰ óó óóÁÁÁÁ ss ss???? uu uuρρρρ 44 44 ⟨⟨⟨⟨

((Na haikuwa Swalaah zao (makafiri) kwenye Nyumba (Al-Ka’bah)

isipokuwa ni miruzi na kupiga makofi))40 Hata Talbiyah zao ziliongezwa maneno ya kumshirikisha Allaah ( وتعاىل سبحانه )

walikuwa wakisema:

ملك وما متلكه لك، هو شريكا إال لك، شريك ال لبيك

“Nimekuitikia huna mshirika isipokuwa aliyeidhiniwa Nawe, unammiliki

naye ni mwenye kumiliki anavyomiliki!”

Kinyume na Talbiyah ya Tawhiyd:

لك شريك ال , والملك لك , والنعمة , احلمد إن , لبـيك لك شريك ال لبـيك , لبـيك اللهم لبـيك

"Nimekuitikia Ee Allaah nimekuitika, nimekuitika Huna mshirika

nimekuitika, hakika kuhimidiwa na neema na ufalme ni Vyako Huna

mshrika"

Hivyo ndivyo ilivyokuwa hali ya Hajj kabla kutumilizwa kwa Nabiy

Muhammad ( وسلم وآله عليه هللا صلى ). Washirikina waliipotosha kabisa ‘Ibaadah hii

tukufu iliyoanzishwa kwa Tawhiyd ya Allaah ( وتعاىل سبحانه ) na baba yetu Nabiy

Ibraahiym ( السالم عليه ). Hali ikaendelea hivyo hadi Allaah ( وتعاىل سبحانه ) Alipokidhia

du’aa ya Nabiy Ibraahiym ( السالم عليه ) baada ya kujenga Al-Ka’bah

alipoomba:

$$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// uu uu‘‘‘‘ $$$$ uu uuΖΖΖΖ ùù ùù==== yy yyèèèè ôô ôô____ $$ $$#### uu uuρρρρ ÈÈ ÈÈ ÷÷ ÷÷ yy yyϑϑϑϑ ÎÎ ÎÎ==== óó óó¡¡¡¡ ãã ããΒΒΒΒ yy yy7777 ss ss9999 ÏÏ ÏÏΒΒΒΒ uu uuρρρρ !! !!$$$$ uu uuΖΖΖΖ ÏÏ ÏÏFFFF −− −−ƒƒƒƒ ÍÍ ÍÍ hh hh‘‘‘‘ èè è茌ŒŒ ZZ ZZπππ𠨨 ¨¨ΒΒΒΒ éé éé&&&& ZZ ZZππππ yy yyϑϑϑϑ ÎÎ ÎÎ==== óó óó¡¡¡¡ •• ••ΒΒΒΒ yy yy7777 ©© ©©9999 $$$$ tt ttΡΡΡΡ ÍÍ ÍÍ‘‘‘‘ rr rr&&&& uu uuρρρρ $$$$ oo ooΨΨΨΨ ss ss3333 ÅÅ ÅÅ™™™™$$$$ uu uuΖΖΖΖ tt ttΒΒΒΒ óó óó==== èè èè???? uu uuρρρρ !! !!$$$$ oo ooΨΨΨΨ øø øø‹‹‹‹ nn nn==== tt ttãããã (( (( yy yy7777 ¨¨ ¨¨ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ)))) || ||MMMMΡΡΡΡ rr rr&&&& ÜÜ ÜÜ>>>>#### §§ §§θθθθ −− −−GGGG9999 $$ $$####

ÞÞ ÞÞΟΟΟΟŠŠŠŠ ÏÏ ÏÏmmmm §§ §§����9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊄⊄⊄⊄∇∇∇∇∪∪∪∪ $$$$ uu uuΖΖΖΖ −− −−//// uu uu‘‘‘‘ ôô ôô]]]] yy yyèèèè öö öö//// $$ $$#### uu uuρρρρ öö ööΝΝΝΝ ÎÎ ÎÎγγγγ‹‹‹‹ ÏÏ ÏÏùùùù ZZ ZZωωωωθθθθ ßß ßß™™™™ uu uu‘‘‘‘ öö ööΝΝΝΝ åå ååκκκκ ÷÷ ÷÷]]]] ÏÏ ÏÏ ii iiΒΒΒΒ (( ((####θθθθ èè èè==== ÷÷ ÷÷GGGG tt ttƒƒƒƒ öö ööΝΝΝΝ ÍÍ ÍÍκκκκ öö öö���� nn nn==== tt ttææææ yy yy7777 ÏÏ ÏÏGGGG≈≈≈≈ tt ttƒƒƒƒ#### uu uu ÞÞ ÞÞΟΟΟΟ ßß ßßγγγγ ßß ßßϑϑϑϑ ÏÏ ÏÏ kk kk==== yy yyèèèè ãã ãッƒƒ uu uuρρρρ || ||====≈≈≈≈ tt ttGGGG ÅÅ ÅÅ3333 øø øø9999 $$ $$#### ss ssππππ yy yyϑϑϑϑ õõ õõ3333 ÏÏ ÏÏtttt øø øø:::: $$ $$#### uu uuρρρρ öö ööΝΝΝΝ ÍÍ ÍÍκκκκ���� ÏÏ ÏÏ jj jj.... tt tt““““ ãã ãッƒƒ uu uuρρρρ 44 44 yy yy7777 ¨¨ ¨¨ΡΡΡΡ ÎÎ ÎÎ))))

|| ||MMMMΡΡΡΡ rr rr&&&& ââ ââ““““ƒƒƒƒ ÍÍ ÍÍ•••• yy yyèèèè øø øø9999 $$ $$#### ÞÞ ÞÞΟΟΟΟŠŠŠŠ ÅÅ ÅÅ3333 yy yyssss øø øø9999 $$ $$#### ∩∩∩∩⊇⊇⊇⊇⊄⊄⊄⊄∪∪∪∪ ⟨⟨⟨⟨

((“Rabb wetu, Tujaalie tuwe wenye kujisalimisha Kwako pamoja na kizazi

chetu wawe ummah wenye kujisalimisha Kwako na Tuonyeshe taratibu za

‘ibaadah zetu na Pokea tawbah zetu, hakika Wewe ni at-Tawwaabur-

40 Al-Anfaal (8: 35).

Page 18: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

Rahiym (Mwingi wa kupokea tawbah - Mwenye kurehemu. “Rabb wetu,

wapelekee Rasuli miongoni mwao ataewasomea Aayaat Zako na

ataewafunza Kitabu na Hikmah na atakayewatakasa. Hakika Wewe ni Al-

’Aziyzul-Hakiym (Mwenye enzi ya nguvu Asiyeshindika - Mwenye hikmah

wa yote))41

Du’aa ikatakabaliwa kwa kutumwa Nabiy Muhammad ( وسلم وآله عليه هللا صلى ) na

baada ya miaka ya misukosuko ya da’wah yake akaweza kuitakasa

Nyumba ya Allaah ( وتعاىل سبحانه ) na shirki ikatoweka. Abu Hurayrah amesimulia

kuhusu Hajj yao kabla ya Hijjatul-Wadaa’ii:

ديق بكر أبو بـعثين " ها أمره اليت احلجة يف الص , اع الود حجة قـبل ) وسلم عليه اU صلى( اU رسول عليـ " عرNن _لبـيت طوف ي وال مشرك العام بـعد حيج ال : النحر يـوم الناس يف يـؤذنون , رهط يف

Alinituma “Abu Bakr katika Hajj ambayo alichaguliwa na Rasuli wa Allaah

( وسلم وآله عليه هللا صلى ) kuwa Amiri kabla ya Hajjatul-Wadaa’i, pamoja na kundi la

watu wawatangazie watu Siku ya Nahr kwamba: “Hakuna kuhiji baada ya

mwaka huu mshirikiana yeyote wala kufanya Twawaaf katika Nyumba

wakiwa uchi”42

Baada ya hapo Tawhiyd ya Allaah ( وتعاىل سبحانه ) ikathibitika katika ‘Ibaadah hii

tukufu hadi leo.

41 Al-Baqarah (2: 128: 129). 42 Muslim.

Page 19: 02-Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na Umrah)€¦ · 02 - Historia Fupi Ya Makkah Na Kuhusu Hajj Na ‘Umrah Makkah Imeanza pale Allaah (ﱃﺎﻌﺗو ﻪﻧﺎﺤﺒﺳ )

www.alhidaaya.com

Ramani Maeneo ya Hajj