8
MRADI WA KIKANDA WA KUZALISHA NISHATI YA UMEME KUTOKA MAPOROMOKO YA MAJI YA RUSUMO NILE BASIN INITIATIVE Initiative du Bassin du Nil www.nilebasin.org MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI (BURUNDI, RWANDA NA TANZANIA) BURUNDI RWANDA TANZANIA www.rusumoproject.org

MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

  • Upload
    others

  • View
    15

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

MRADI WA KIKANDA WA KUZALISHA NISHATI YA UMEME KUTOKA MAPOROMOKO YA MAjI YA RUSUMO

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

www.nilebasin.org

MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

(BURUNDI, RWANDA NA TANZANIA)

BURUNDI RWANDA TANZANIA

www.rusumoproject.org

Page 2: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

Keza

Heru

Fizi

Ngara

Kyaka

Kafua

Itari

Ndoma

Gitwe

Uvira

Idjwi

Resha

Ndora

Kinoni

Kibale

Gayaza

Kinoni

Kigezi

Kibale

Gayaza

Katoke

Kasulu

Kanazi

Buhoro

Runazi

Ruhuma

Rubare

Rubafu

Nyange

Musasa

Muleba

Makere

Kizivu

Kimisi

Kator

Katoke

Kasulu

Kanazi

Kalema

Kaisho

Ibwera

Bwanga

Bunazi

Buhoro

Bugene

Nyanza

Kitabi

Kigina

Kabaya

Gabiro

Kalehe

Kabare

Masisi

Rutana

Murehe

Muliza

Mugina

MugeraKarusi

Kabezi

Ijenda

Gihofi

Butara

Buriri

Bukeye

Kafunzo

Kanungu

Kafunzo

Kabwohe

Kasanda

BRulenge

Nshamba

Murongo

Muhutwe

Mugunzu

Mugombe

Mubunda

Mbirira

Marungu

Manyovu

Mabogwe

Kituntu

Kibondo

Kasanda

Karambi

Karagwe

Kakonko

Kabwoba

Kabanga

Ilemera

Bwanjai

Businde

B

Bu

Kayonza

Gatsibo

Kibimba

Rusengo

Rumonge

Mubanga

Mabanda

Kyriama

Buganda

KalisizoBushenyi

Ntungamo

Nsongezi

Kikagati

Kalisizo

Bwambara

Busungwe

Kigarama

Rwabwere

Nyarugug

Nkurungu

Missenyi

Kimsambi

Kigarama

Chikonji

Rutshuru

Ruhororo

Kinyinya

Bugarama

Nyantwiga

Nyakisogo

Nyakanazi

Nyakahura

Nyaishozi

Lusahanga

Kitungole

Kamachumu

Diobahika

Rwamagana

Mugambazi

Kawangire

Kakitumba

Mutambara

Cendajuru

Mwirasandu

Nyamirembe

NyamgalikaNyakitonto

Nyakanyasi

Komonanira

Katoro (2)

Nyanza-Lac

Muhutwe (2)

Kemondo Bay

Busirayombo

Mu Rusagamba

Kiziramuyaga

Rubangabanga

Nyaka Kangaga

Mule 34

Jiji 03

Siguvyaye

MuyingaNgozi

Ruhororo

Ijenda

Bukeye

Bubanza

Muramvya

Gitera

Karuzi

Ngara

Ruyigi

Bururi

Nyanza-Lac

Mutambara

Kabezi

Kasulu

Kibondo

Nyanza

Rwegura

Kafua

Ndoma

Gabiro

Kayonza

Kabarondo

Muleba

Karambi

Kigarama

Biharamulo

Lusabanga

Nyakanazi

Chato

Nyakahura

Rusengo

Ruhengeri

Gisenyi

Goma

Kibuye

Gitarama

Gitwe

CyanguguGikongoro

Butare

Byumba

Kibungo

Bukoba

Kabale

Kanungu

Kisoro

Rukungiri

Rutshuru

Ntungamo

Mbarara

Kibale

Rakai

Busungwe

Rubafu

Bunazi

Kyaka

Muhutwe

Kalehe

Idjwi

BUJUMBURA

KIGALI

U G A N D A

T A N Z A N I A

R W A N D A

B U R U N D I

D E M . R E P.O F

C O N G O

D E M . R E P.O F

C O N G O

Kirundo

Kagitumba

LakeCyohoha

South

LakeCyohoha

North

LakeIhema

LakeCyambwe

LakeNasho

LakeBulera

LakeLuhondo

LakeTanganyika

LakeVictoria

LakeKivu

LakeRwanyakizinga

LakeNakival

LakeMihindi

LakeMuhazi

LakeHago

LakeBunyoni

LakeKiyumba

LakeRwampanga

LakeMugesera

LakeRweru

LakeBurigi

Makavda

MuyingaNgozi

Ruhororo

Kirundo

Ijenda

Bukeye

Bubanza

Muramvya

Gitera

Karuzi

Ngara

Ruyigi

Bururi

Nyanza-Lac

Mutambara

Kabezi

Kasulu

Kibondo

Nyanza

Rwegura

Kafua

Ndoma

Gabiro

Kayonza

Kabarondo

Muleba

Karambi

Kigarama

Biharamulo

Lusabanga

Nyakanazi

Chato

Nyakahura

Rusengo

Ruhengeri

Gisenyi

Goma

Kibuye

Gitarama

Gitwe

CyanguguGikongoro

Butare

Byumba

Kibungo

Bukoba

Kabale

Kanungu

Kisoro

Rukungiri

Rutshuru

Ntungamo

Kagitumba

Mbarara

Kibale

Rakai

Busungwe

Rubafu

Bunazi

Kyaka

Muhutwe

Kalehe

Idjwi

BUJUMBURA

KIGALI

U G A N D A

T A N Z A N I A

R W A N D A

B U R U N D I

D E M . R E P.O F

C O N G O

D E M . R E P.O F

C O N G O

MinzinoForestReserves

UpstreamRusumu Falls

KanyaruValley

Lake Rwihinda Area

RuvubuWetland

Area

NyamuswagaWetland Area

Minzino-Sango BaySwamp Forest

MinzinoForestReserves

UpstreamRusumu Falls

KanyaruValley

Lake Rwihinda Area

RuvubuWetland

Area

NyamuswagaWetland Area

Minzino-Sango BaySwamp Forest

Rusumo Fallsfor detail, see mapbelow.

.R ubuvuR

Kanyaru

Akanyaru

Ruvubu R.

Ruvubu R.

Ruvy

ironza R.

.R aregakA

. R ar egaK

MalagarasiR.

Moyowosi R.

R

Rukarara R.

.R a

suS

Satinsyi R.

N yabarongo R.

LakeCyohoha

South

LakeCyohoha

North

LakeIhema

LakeCyambwe

LakeNasho

LakeBulera

LakeLuhondo

LakeTanganyika

LakeVictoria

LakeKivu

LakeRwanyakizinga

LakeNakival

LakeMihindi

LakeMuhazi

LakeHago

LakeBunyoni

LakeKiyumba

LakeRwampanga

LakeBurigi

LakeMugesera

LakeRweru

RuvubuNational

Park

VolcanoNational

Park

MgahingaNational Park

AkageraNational Park

IbandaGame

Reserve

RumanyikaGameReserve

Lake RwihindaNaturalReserve

NyungweNational Park

KibiraNational

Park

VirungaNational

Park

VirungaNational

Park

Lake MburoNational Park

MoyowosiGame

Reserve

Kigoosi GameReserve

KigosiGame

Reserve

BurigiGame

Reserve

KimisiGame

Reserve

BiharamuloGameReserve

Rubondo Is.National Park

GombeStream

Kabu 16

Kagunuzia

Mpanda

Rusizi I

Rusizi III

Nyabarongo

Kishanda

Kakono

Kabu 16

Mule 34

Jiji 03

Siguvyaye

Kagunuzia

Mpanda

Rusizi I

Rusizi III

Nyabarongo

Kishanda

Kakono

29°E 30°E 31°E

29°E 30°E 31°E

1°S

2°S

3°S

4°S

2°S

3°S

4°S

To Bulyanjulu

To Geita

To Kigoma

0 10 20 30 40 50

KILOMETERS

BURUNDI, RWANDA, AND TANZANIA

REGIONAL RUSUMO FALLS HYDROELECTRIC PROJECT

PROPOSED HYDRO STATIONS

PROPOSED SUBSTATIONS

PROPOSED TRANSMISSION LINES

EXISTING TRANSMISSION LINES

EXISTING HYDRO STATIONS

EXISTING DIESEL POWER STATION

PROJECT HYDROPOWER FACILITY

PROJECT TRANSMISSION LINES

IMPORTANT WETLAND AREAS

NATIONAL PARKS, WILDLIFE RESERVESAND PROTECTED AREAS

MAIN ROADS

CITIES

NATIONAL CAPITALS

INTERNATIONAL BOUNDARIES

2310

4 DR

BI

3102

YLU

J

This map was produced by the Map Design Unit of The World Bank.The boundaries, colors, denominations and any other informationshown on this map do not imply, on the part of The World BankGroup, any judgment on the legal status of any territory, or anyendorsement or acceptance of such boundaries.

GSDPMMap Design Unit

A F R I C A

Area ofMap

Area ofMap

Great LakesRegionGreat LakesRegion

Rusumo Falls

Page 3: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

Nile Basin Initiative

3

UTANGULIZI

Mradi wa kikanda wa kuzalisha nishati ya umeme kutoka maporomoko ya maji Rusumo (The Regional Rusumo Hydroelectric Project) ni msingi wa maisha bora kwa mamia na maelfu ya wakazinaraia wa nchi tatu washirika za: Burundi, Rwanda na Tanzania.

Mradi huu wa uzalishaji wa nishati ya umeme kutoka maporomoko ya maji ya Rusumo, tayari umekamilisha hatua zake kadhaa za awali za utekelezwaji ikiwa ni pamoja na uchunguzi na utafiti wa awali (feasibility studies) kuona pamoja na mambo mengine athari za utekelezwaji wa mradi kwa jamii pamoja na mazingira (Environment and Social Impact Assessment), na pia taratibu za malipo ya fidia kwa waathirika wanaotakiwa kuhamishiwa makazi au shughuli zao (Resettlement Action Plan). Taratibu zote mbili iwe utafiti au mipango ya fidia (ESIA & RAP) zilipangwa kwa kuzingatia vigezo na taratibu stahiki ikiwa ni pamoja na majadiliano na wakazi wa maeneo husika. Nyaraka zinazofafanua matokeo ya uchunguzi wa hali halisi ya eneo na mipango ya fidia zilizingatia na kuheshimu sheria za nchi husika na pia kukidhi viwango vinavyozingatiwa kimataifa. Nyaraka zenye maelezo hayo zimesambazwa na kuwekwa bayana katika nchi zote tatu washirika zinazohusika na mradi huu yaani Tanzania, Burundi na Rwanda, sambamba na vitengo vya ueneza habari vya Benki ya dunia na Benki ya maendeleo ya bara la Afrika.

RRHPP ni kati ya miradi mikubwa yaumeme eneo la Afrika Mashariki. Maandalizi makubwa na ya kutosha yaliyofanywa yakihusisha hatua za awali za uchunguzi na uhakiki wa uwezekano wa kutekelezwa kwa mradi huu ni kithibitisho tosha cha tahadhari zilizochukuliwa kuulinda mradi huu na hatari yoyote pamoja na kupunguza au kudhibiti vikwazo vinavyoweza kuukwamisha mradi huu wakati wa hatua ya utekelezwaji wake.

Mradi umepitia hatua tatu muhimu za usanifu ukianza na hatua ya ufanisi kwa ujumla (Full Development Scheme-FDS), ukamilishaji mradi kwa awamu (Intermediate Development Scheme-IDS) na hivi karibuni mapitio ya mkondo wa mtiririko wa mto (Run of River Development Scheme-RoRDS) jambo lililopendekezwa kama mpango unaofaa kutokana na unafuu wake kiuchumi na hatari ya uwepo wa vikwazo vya kiufundi vinavyoweza kukwamisha mradi (iwe athari kwa jamii au mazingira). Wakati huohuo mataifa washirika yanakamilisha taratibu na mipango yote ya kiserikali kabla ya kuanza kwa mchakato mzima wa ujenzi wa mradi mnamo mwaka 2015.

Shughuli za ujenzi zitaathiri kwa kiasi kidogo mtiririko wa maji na maeneo nyevu kwenye mto Kagera. Kilimo katika mabonde ndani ya kilomita 5 kutoka kwenye mitambo ya uzalishaji Nishati katika wilaya za Ngara nchini Tanzania na Kirehe kwa upande wa Rwanda kitaathiriwa. Ujenzi na shughuli nyingine zinazohusiana na ujenzi wa mradi shirikishi wa uzalishaji wa Nishati ya umeme katika ukanda huu utaathiri kiasi cha kaya 664 kutoka wilaya zote mbili sambamba na eneo la kiasi cha ekari 248 za ardhi ya eneo la bonde ambacho zitafurika muda wote. Sehemu ya eneo litakalofurika moja kwa moja kuzunguka eneo la mradi inahusisha eneo litakalojengwa bwawa, mimea asilia na majengo na mali za wakazi wa eneo husika.

Keza

Heru

Fizi

Ngara

Kyaka

Kafua

Itari

Ndoma

Gitwe

Uvira

Idjwi

Resha

Ndora

Kinoni

Kibale

Gayaza

Kinoni

Kigezi

Kibale

Gayaza

Katoke

Kasulu

Kanazi

Buhoro

Runazi

Ruhuma

Rubare

Rubafu

Nyange

Musasa

Muleba

Makere

Kizivu

Kimisi

Kator

Katoke

Kasulu

Kanazi

Kalema

Kaisho

Ibwera

Bwanga

Bunazi

Buhoro

Bugene

Nyanza

Kitabi

Kigina

Kabaya

Gabiro

Kalehe

Kabare

Masisi

Rutana

Murehe

Muliza

Mugina

MugeraKarusi

Kabezi

Ijenda

Gihofi

Butara

Buriri

Bukeye

Kafunzo

Kanungu

Kafunzo

Kabwohe

Kasanda

BRulenge

Nshamba

Murongo

Muhutwe

Mugunzu

Mugombe

Mubunda

Mbirira

Marungu

Manyovu

Mabogwe

Kituntu

Kibondo

Kasanda

Karambi

Karagwe

Kakonko

Kabwoba

Kabanga

Ilemera

Bwanjai

Businde

B

Bu

Kayonza

Gatsibo

Kibimba

Rusengo

Rumonge

Mubanga

Mabanda

Kyriama

Buganda

KalisizoBushenyi

Ntungamo

Nsongezi

Kikagati

Kalisizo

Bwambara

Busungwe

Kigarama

Rwabwere

Nyarugug

Nkurungu

Missenyi

Kimsambi

Kigarama

Chikonji

Rutshuru

Ruhororo

Kinyinya

Bugarama

Nyantwiga

Nyakisogo

Nyakanazi

Nyakahura

Nyaishozi

Lusahanga

Kitungole

Kamachumu

Diobahika

Rwamagana

Mugambazi

Kawangire

Kakitumba

Mutambara

Cendajuru

Mwirasandu

Nyamirembe

NyamgalikaNyakitonto

Nyakanyasi

Komonanira

Katoro (2)

Nyanza-Lac

Muhutwe (2)

Kemondo Bay

Busirayombo

Mu Rusagamba

Kiziramuyaga

Rubangabanga

Nyaka Kangaga

Mule 34

Jiji 03

Siguvyaye

MuyingaNgozi

Ruhororo

Ijenda

Bukeye

Bubanza

Muramvya

Gitera

Karuzi

Ngara

Ruyigi

Bururi

Nyanza-Lac

Mutambara

Kabezi

Kasulu

Kibondo

Nyanza

Rwegura

Kafua

Ndoma

Gabiro

Kayonza

Kabarondo

Muleba

Karambi

Kigarama

Biharamulo

Lusabanga

Nyakanazi

Chato

Nyakahura

Rusengo

Ruhengeri

Gisenyi

Goma

Kibuye

Gitarama

Gitwe

CyanguguGikongoro

Butare

Byumba

Kibungo

Bukoba

Kabale

Kanungu

Kisoro

Rukungiri

Rutshuru

Ntungamo

Mbarara

Kibale

Rakai

Busungwe

Rubafu

Bunazi

Kyaka

Muhutwe

Kalehe

Idjwi

BUJUMBURA

KIGALI

U G A N D A

T A N Z A N I A

R W A N D A

B U R U N D I

D E M . R E P.O F

C O N G O

D E M . R E P.O F

C O N G O

Kirundo

Kagitumba

LakeCyohoha

South

LakeCyohoha

North

LakeIhema

LakeCyambwe

LakeNasho

LakeBulera

LakeLuhondo

LakeTanganyika

LakeVictoria

LakeKivu

LakeRwanyakizinga

LakeNakival

LakeMihindi

LakeMuhazi

LakeHago

LakeBunyoni

LakeKiyumba

LakeRwampanga

LakeMugesera

LakeRweru

LakeBurigi

Makavda

MuyingaNgozi

Ruhororo

Kirundo

Ijenda

Bukeye

Bubanza

Muramvya

Gitera

Karuzi

Ngara

Ruyigi

Bururi

Nyanza-Lac

Mutambara

Kabezi

Kasulu

Kibondo

Nyanza

Rwegura

Kafua

Ndoma

Gabiro

Kayonza

Kabarondo

Muleba

Karambi

Kigarama

Biharamulo

Lusabanga

Nyakanazi

Chato

Nyakahura

Rusengo

Ruhengeri

Gisenyi

Goma

Kibuye

Gitarama

Gitwe

CyanguguGikongoro

Butare

Byumba

Kibungo

Bukoba

Kabale

Kanungu

Kisoro

Rukungiri

Rutshuru

Ntungamo

Kagitumba

Mbarara

Kibale

Rakai

Busungwe

Rubafu

Bunazi

Kyaka

Muhutwe

Kalehe

Idjwi

BUJUMBURA

KIGALI

U G A N D A

T A N Z A N I A

R W A N D A

B U R U N D I

D E M . R E P.O F

C O N G O

D E M . R E P.O F

C O N G O

MinzinoForestReserves

UpstreamRusumu Falls

KanyaruValley

Lake Rwihinda Area

RuvubuWetland

Area

NyamuswagaWetland Area

Minzino-Sango BaySwamp Forest

MinzinoForestReserves

UpstreamRusumu Falls

KanyaruValley

Lake Rwihinda Area

RuvubuWetland

Area

NyamuswagaWetland Area

Minzino-Sango BaySwamp Forest

Rusumo Fallsfor detail, see mapbelow.

.R ubuvuR

Kanyaru

Akanyaru

Ruvubu R.

Ruvubu R.

Ruvy

ironza R.

.R aregakA

. R ar egaK

MalagarasiR.

Moyowosi R.

R

Rukarara R.

.R a

suS

Satinsyi R.

N yabarongo R.

LakeCyohoha

South

LakeCyohoha

North

LakeIhema

LakeCyambwe

LakeNasho

LakeBulera

LakeLuhondo

LakeTanganyika

LakeVictoria

LakeKivu

LakeRwanyakizinga

LakeNakival

LakeMihindi

LakeMuhazi

LakeHago

LakeBunyoni

LakeKiyumba

LakeRwampanga

LakeBurigi

LakeMugesera

LakeRweru

RuvubuNational

Park

VolcanoNational

Park

MgahingaNational Park

AkageraNational Park

IbandaGame

Reserve

RumanyikaGameReserve

Lake RwihindaNaturalReserve

NyungweNational Park

KibiraNational

Park

VirungaNational

Park

VirungaNational

Park

Lake MburoNational Park

MoyowosiGame

Reserve

Kigoosi GameReserve

KigosiGame

Reserve

BurigiGame

Reserve

KimisiGame

Reserve

BiharamuloGameReserve

Rubondo Is.National Park

GombeStream

Kabu 16

Kagunuzia

Mpanda

Rusizi I

Rusizi III

Nyabarongo

Kishanda

Kakono

Kabu 16

Mule 34

Jiji 03

Siguvyaye

Kagunuzia

Mpanda

Rusizi I

Rusizi III

Nyabarongo

Kishanda

Kakono

29°E 30°E 31°E

29°E 30°E 31°E

1°S

2°S

3°S

4°S

2°S

3°S

4°S

To Bulyanjulu

To Geita

To Kigoma

0 10 20 30 40 50

KILOMETERS

BURUNDI, RWANDA, AND TANZANIA

REGIONAL RUSUMO FALLS HYDROELECTRIC PROJECT

PROPOSED HYDRO STATIONS

PROPOSED SUBSTATIONS

PROPOSED TRANSMISSION LINES

EXISTING TRANSMISSION LINES

EXISTING HYDRO STATIONS

EXISTING DIESEL POWER STATION

PROJECT HYDROPOWER FACILITY

PROJECT TRANSMISSION LINES

IMPORTANT WETLAND AREAS

NATIONAL PARKS, WILDLIFE RESERVESAND PROTECTED AREAS

MAIN ROADS

CITIES

NATIONAL CAPITALS

INTERNATIONAL BOUNDARIES

2310

4 DR

BI

3102

YLU

J

This map was produced by the Map Design Unit of The World Bank.The boundaries, colors, denominations and any other informationshown on this map do not imply, on the part of The World BankGroup, any judgment on the legal status of any territory, or anyendorsement or acceptance of such boundaries.

GSDPMMap Design Unit

A F R I C A

Area ofMap

Area ofMap

Great LakesRegionGreat LakesRegion

Rusumo Falls

Page 4: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

Nile Basin Initiative

4

Mahala Mradi wa RRFP upo kusini mashariki mwa Rwanda, panapopakanisha upande wa kasikazini magharibi mwa Tanzania panapo mto Kagera.

Gharama Makadirio ya gharama za mradi ni dola za Kimarekani milioni 470 ambazo sehemu yake ya kiasi cha dola milioni 340 zitatumika kukamilisha shughuli zinazowezesha ujenzi wa mitambo ya uzalishaji ilihali dola milioni 130 zitatumika kujenga mikondo ya usafirishaji umeme.

Wafadhiri Mitambo ya uzalishaji na ujenzi wa mikondo ya uchukuzi wa umeme katika nchi zote tatu washirika katika mradi huu itafadhiriwa kwa pamoja na Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika, sambamba na wadau wengine kama serikali ya Uholanzi na Ujerumani.

Usanifu na muundo wa bwawa la mitambo

Mitambo ya uzalishaji nishati itajengwa kwa kufuata muundo na mtiririko wa maji pakitumika mfumo uitwao “Run of River (RoR) Development Scheme”, katika kima cha mita 1,320 juu ya usawa wa bahari.

Michepuo ya mabwawa ya maji (Reservoir)

Kutokana na mbinu za ujenzi zinazofuata mfumo wa “Run of River” ambao hutengeneza ukinzani katika mtiririko, hapatarajiwi kuwepo na michepuo mipya ya madimbwi yanayochanua kutoka mtiririko wa mto huo (Reservoir).

Mikondo ya nyaya za umeme

Mikondo ya nyaya yenye uwezo wa kusafirisha kiasi cha kilovolti 220 za nishati kwa mfumo wa sakiti tasa itawekwa kupitisha nishati ya umeme kwa umbali wa kilomita 161 kutoka shina la uzalishaji hadi katika vituo vya usambazaji nchini Burundi, zenye urefu wa kilomita 119 zikiwa na sakiti mbili moja kwa njia ya mwambatanisho zitapeleka umeme upande wa Rwanda na nyaya zenye urefu wa 98.2km zikiwa pia na sakiti mbili moja ikiwa imeambatanishwa zitapeleka umeme katika vituo vya ugavi nchini Tanzania kutoka shina la uzalishaji. Mikondo hii ya nyaya itakayokuwa na muundo wa herufi T itaunganishwa moja kwa moja kwenye gridi za mataifa hayo washirika.

Athari za Mradi Nchini Rwanda, kiasi cha familia 462 zitaathirika moja kwa moja ilihali kwa upande wa taifa la Tanzania, familia 202 zinakisiwa kuathirika na uendeshwaji wa mradi huu, ikifanya jumla ya familia athirika zote pamoja kuwa 664.

Umeme Megawati 80 (448GWh/kwa mwaka). Ongezeko la wastani wa 5.4% (watu 520,000), watapata huduma ya umeme nchini Burundi, 4% (sawa na watu 467,000) nchini Rwanda na 0.34% (sawa na watu 159,000) nchini Tanzania.

Hatua za utekelezwaji wa mradi

Mawaziri wa nishati waliweka saini makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja kujenga na kusimamia mradi huu mnamo mwaka 2006. Taarifa za uchunguzi juu ya uwezekano wa ufanisi wa mradi huu zilitolewa rasmi mnamo mwezi Aprili, 2012. Inatarajiwa kwamba ujenzi utaanza mwanzoni kabisa mwa mwaka 2015 na kukamilika mnamo mwaka 2018.

Umiliki wa mradi Mamraka ya pamoja itakayohusika na usimamizi wa wa uzaliishaji nishati na uuzwaji wake kwa mashirika ya kitaifa ya ugavi wa umeme imeanzishwa ikijulikana kama shirika la Rusumo Power Company /Special Purpose Vehicle (SPV) ambayo litaendeshwa na kugharimiwa kama shirika la umma kusimamia shughuli zote zilizoainishwa hapo juu.

Mawakala watakaohusika na utekelezwaji wa mradi.

Nile Basin Initiative kupitia Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program (NELSAP), ndio wakala anayetekeleza majukumu hayo kwa niaba ya Rusumo Power Company Limited (RPCL).

Nia na madhumuni sambamba na faida za mradi

Mradi huu wa uzalishaji nishati utachangia kwa kiasi kikubwa kutatua tatizo la uhaba wa huduma hii katika maeneo yanayozuunguka ukanda wa Kagera katika nchi za Rwanda, Burundi na Tanzania jambo ambalo pia limekuwa likikwamisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa wakazi wa nchi hizi.Mradi wa RRFP utafanya umeme unaoweza kuzalishwa bila kikomo kwa mfumo unaojirudia na mikondo ya nyaya ndio utakuwa msingi wa kuunganisha maeneo mengi na kuruhusu kuungana kwa ukanda huu wa maziwa makuu na gridi la nishati la DR Congo kwa faida ya wakazi wa jumuiya ya Afrika mashariki na baadae mpango huu unaweza kushamiri hadi kufikia mabwawa ya uzalishaji nishati ya kusini mwa Afrika.

Watakaonufaika na mradi

Megawati 80 za nishati ya umeme zitakazozalishwa kutokana na mradi huu wa RRFP zitagawanywa sawa kwa nchi washirika na kuunganishwa moja kwa moja kwa kutumia mikondo ya nyaya hadi kwenye gridi za kila taifa zitakazosambaza kwa wananchi wake.

Jedwari 1: MUHTASARI WA HALI HALISI

Page 5: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

Nile Basin Initiative

5

Hali halisi ya usambazaji umeme ndani katika kila nchi Ukanda wa Afrika mashariki; hasa nchi tatu washirika zinazohusishwa na mradi huu ni miongoni mwa nchi zenye kiwango kidogo cha kuenea kwa umeme miongoni mwa wakazi wake katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara. Hadi sasa kuenezwa kwa huduma za umeme kwa Watanzania kumefanikiwa kwa 21%, Rwanda ikiwa katika kiwango cha 16% na Burundi 10%. Hali hii haitofautiani sana na inayojidhihirisha katika nchi dada katika ukanda huu kama Kenya iliyosambaza umeme kwa kiwango cha asilimia 15 za kaya katika nchi hiyo na Uganda iliyofikia kiwango cha 10%.

Ni muhimu kuzingatia pia kwamba Tanzania ina idadi kubwa ya kaya ambazo hazijafikiwa na huduma ya umeme ambapo zaidi ya kaya milioni 7.2 ikifuatiwa na Kenya ambayo ina kaya milioni 6.2 zisizo na umeme, Uganda ina kaya milioni 5.5 zisizo na umeme, Rwanda ikiwa na kaya milioni 1.7 zisizo na umeme na Burundi ina kaya milioni 1.4 kama ambavyo takwimu zilizowekwa bayana na The Lighting Africa Program-ya benki ya Dunia mnamo mwaka 2013).

Waendesha mradi pamoja na wataalamu wake wamesema mradi huu wa uzalishaji nishati ya umeme kutoka maporomoko ya maji ya Rusumo utasaidia kupunguza kwa kiasi kikubwa matumizi ya kuni katika maeneo ya vijiji katika nchi hizi tatu ambazo wananchi wake wameendelea kutegemea kuni kama chanzo cha nishati kwa muda mrefu sasa hata kama kuna huduma ya umeme.

WAHUSIKA WAKUU KATIKA MRADI WA KIKANDA WA UZALISHAJI NISHATI KUTOKA MAPOROMOKO YA MAJI YA RUSUMO Shirika la Rusumo Power Company Limited (RPCL/SPV): Mradi wa uzalishaji nishati ya umeme kutoka maporomoko ya maji ya Rusumo unamilikiwa na nchi tatu washirika. Rusumo Power Company Limited (RPCL) ni shirika la umma linalomilikiwa kwa hisa na nchi Tatu washirika ambalo ingawa linafadhiliwa na nchi hizo tatu, linaendeshwa kama shirika binafsi. Shirika la RPCL lina majukumu ya kuendeleza na kukuza mradi wa uzalishaji nishati ya umeme ikiwa ni pamoja na ujenzi wa mitambo na taratibu nyingine zinazoendana na ufanisi wa mradi kwa ujumla.

Taasisi zinazosimamia masuala yanayohusiana na uzalishaji na usambazaji nishati katika nchi husika zitakuwa na majukumu ya usambazaji ujenzi na usimamizi wa mipango inayoendana na uhamishaji wa wakazi mahala hitajika (Resettlement Action Plan-RAP).

Benki ya Dunia (World Bank-WB): Benki ya Dunia itafadhili gharama za ujenzi wa bwawa la uzalishaji (Power Plant) kwa kiasi cha Dola za marekani milioni 340m. kiasi hiki kinatosha kwa ujenzi na kitagawiwa sawa kwa nchi washirika kila nchi ikipokea kiasi cha $113.30m kuchangia ujenzi wa mitambo ya uzalishaji nishati. Burundi itapokea pesa zote kama msaada, Rwanda itapokea pesa hizo nusu ikiwa deni na nusu ikiwa msaada wakati Tanzania itatapokea pesa hizo huku zikiwa deni kwa 100%. Mradi umekidhi matakwa yote ya benki kulingana na viwango vya kimataifa ikiwa ni pamoja na kuhakiki athari kwa jamii na mazingira (Environmental and Social Impact Assessments-ESIA) na Mipango na taratibu za fidia na uhamishwaji wa makazi kwa wanaoishi katika maeneo athiriwa na mradi (Resettlement Action Plan-RAP). Tayari benki imeweka bayana kwenye mitandao yake nyaraka hizo za ESIA na RAP na pia katika tovuti ya NELSAP ambayo ni: http://www.nilebasin.org/newnelsap/index.php?option=com_content&view=article&id=62&Itemid=99&lang=en

Benki ya Dunia pia hutaka mradi kuwa na vibali vyote na hati za uhakiki na ulinzi wa mazingira kutoka kila taifa husika. Mamlaka husika za nchi zote tatu tayari zimetoa kibali cha mradi kwendelea kujenga mtambo wa uzalishaji umeme. Juhudi zinaendelea kupata idhini ya njia za kupitisha nyaya za umeme.Benki ya Dunia pia hutaka mradi uwe unafahamika kwa nchi zote zinazoguswa na mtiririko wa maji husika na hilo limefanywa tayari huku kukiwa hakuna upinzani wowote ulioonekana kujitokeza kutoka nchi nne za Misri, Sudan, Sudan ya kusini na Kenya.

Mtaalamu wa uhandisi na mkandarasi (Owners Engineers and Contractor): Mchakato wa kuajiri wataalamu wa mradi (Owners Engineer-OE) umekamilika makampuni sita ya kimataifa yamejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi hiyo. Mhandisi wa mradi anatarijiwa kuandaa ripoti ya awali ndani ya mwezi septemba 2014. Makampuni hayo ni: Energy INFRATECH - India, SWECO/MOTT MACDONALD ya Uingereza, EDF/Lahmeyer ya Ujerumani, TRACTEBEL/SOFRECO ya Ufaransa, FICHNER GMBH CO & KG kutoka Ujerumani na AECOM/ARTELIA ya yenye makao yake nchini Canada na Ufaransa.

Page 6: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

Nile Basin Initiative

6

Mkataba wa ajira kwa mkandalasi wa utapendekezwa na mtaalamu atakayechukua nafasi baada ya matokeo kutangazwa. Wataalamu (OE) na mkandalasi watafanya kwa pamoja mapitio ya usanifu uliopo wa ujenzi wa bwawa la uzalishaji kwa mfumo wa kasi ya mtiririko wa maji ya mto au Run-of River development scheme.

Benki ya maendeleo ya Afrika (African Development Bank-AfDB): Mnamo tarehe 27/11/2013, Bodi ya wakurugenzi wa Benki ya maendeleo ya Afrika walipitisha kiasi cha dola za marekani milioni 113 kwa ajili ya ujenzi wa mikondo na nyaya zake katika mradi wa uzalishaji wa nishali ya umeme kwenye maporomoko ya maji Rusumo. Mradi wa RRFP umekidhi matakwa na sera za AfDB ambayo inatarajiwa kugharimia uwekwaji wa mikondo ya nyaya za uchukuzi wa nishati ya umeme kutoka katika mitambo mikuu ya uzalishaji hadi nchi husika ambazo ni Tanzania kwa umbali wa kilomita 98.2, Burundi umbali wa kilomita 161 na Rwanda umbali wa kilomita 119. Gharama pia zitahusisha ujenzi wa vituo vidogo vya ugavi vitakavyosambaza umeme vinaoupokea kutoka kituo kikuu cha uzalishaji cha Rusumo. Hii ni katika kila nchi. AfDB imebandika hadharani ripoti za ESIA na RAP zinazohusiana na utandikwaji wa mikondo hiyo ya nyaya kama taratibu zake za ugharimiaji mradi zinavyosema. http://www.afdb.org/fileadmin/uploads/afdb/Documents/Project-and-Operations/Rwanda%20-%20Scaling%20Up%20Energy%20Access%20Project%20-%20Appraisal%20Report.pdf

Wadau wengine wa maendeleo walioonesha nia yao katika mradi wa Rusumo ni pamoja na: Serikali ya Ujerumani (KfW), Benki ya uwekezaji ya umoja wa ulaya, na Shirika la Maendeleo la ufaransa (AFD).

Shirika la kimarekani linalotoa misaada ya maendeleo ya kimataifa (United States Agency for International Development-USAID): Taasisi ya USAID imeonyesha utashi wa kuchangia katika ufanisi wa mradi huu wa ambapo pia walishiriki katika suala la uchunguzi wa awali kwa ushirikiano na Benki ya Dunia. Taasisi hiyo inaonyesha matumaini ya kuwa miongoni mwa washirika wazuri kutokana na ukweli kwamba mradi huu unahusisha taratibu salama za uzalishaji nishati bila kuathiri mazingira wala hali ya hewa. Endapo mpango wa ushiriki wa USAID utapitishwa, wanatarajiwa kushiriki zaidi katika suala la mafunzo na kuongeza ujuzi kwa wafanyakazi watakaotekeleza mradi huo.

Serikali za Burundi, Rwanda na Tanzania: serikali hizi tatu zitapokea kila moja kiasi cha dola za kimarekani milioni 113 kutoka benki ya dunia kama msaada au mkopo kulingana na makubaliano kama ilivyoainishwa hapo awali. Pesa hizo ndizo zitakazokuwa mchango wa kila moja katika ujenzi wa mitambo ya uzalishaji Nishati (Power Plant). Mchakato wa kuajiri mkandarasi wa mradi umekamilika. Makampuni sita ya kimataifa yalijitokeza kuwani kandarasi hii, na kampuni ya AECOM/ARTELIA za kanada na Ufaransa zilishinda kandarasi.

Page 7: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

Nile Basin Initiative

7

Table 2: MUHTASARI WA NYARAKA ZILIZOPO ZA ZINAZOHUSU MRADI

NYARAKA ZA MRADI WA RUSUMO IMEANDALIWA NA Mapitio ya athari kwa jamii na mazingira (Environmental and Social Impact Assessment-ESIA)

Artelia Eau and Environment Ltd - Canada/France

Taratibu za kuhamisha makazi (Resettlement Action Plan-RAP) Artelia Eau and Environment Ltd - France

Mkakati wa mashauriano na umma na matokeo yake (Public Consultation & Disclosure Plan-PCDP)

NBI/Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program (NELSAP)

Udhibiti wa athari/usumbufu (Pest Management Plan-PMP) NBI/Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program (NELSAP)

Nyaya za shirika la RRFP zenye uwezo wa kubeba 220kv kwa urefu wa Kilomita 98.2 kwenda Tanzania

FICHNER Consultants - Germany

Nyaya za shirika la RRFP zenye uwezo wa kubeba 220kv kwa urefu wa Kilomita 161 kwenda Burundi

FICHNER Consultants - Germany

Nyaya za shirika la RRFP zenye uwezo wa kubeba 220kv kwa urefu wa Kilomita 119 kwenda Rwanda

FICHNER Consultants - Germany

Uhamishwaji wa makazi katika maeneo yatakayokatiza mikondo ya nyaya za uchukuzi wa umeme (Resettlement Action Plan-RAP)

FICHNER Consultants - Germany

Mikakati ya kuendeleza wakazi wa eneo husika (Local Area Development Plan -LADP)

NBI/Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program (NELSAP)

Utafiti wa ziada kuhusu matokeo yanayoweza kuathirimtiririko wa maji. NBI/Nile Equatorial Lakes Subsidiary Action Program (NELSAP)

Mapitio ya athari zinazoweza kukabili jamii na mazingira-Environmental and Social Impact Assessment (ESIA) na mkakati wa fidia na uhamishaji wa makazi katika maeneo husika yanayoguswa na ujenzi au pitishwaji wa mradi (Resettlement Action Plan-RAP) vimehusisha mapitio na uchunguzi wa kisayansi na vigezo vinavyohusisha ushahidi wa kutosha. Ripoti hizi mbili zinaonyesha baadhi ya matokeo yanayoweza kujitokeza kutokana na utekelezwaji wa mradi kama ilivyoainishwa kwenye jedwali na. 1, hapo juu. Hata hivyo ripoti hizi pia zinatoa mapendekezo ya suruhisho yanayoweza kupatikana kudhibiti athari hizo ikiwa ni pamoja na kufidia jamii athirika.

Muhtasari wa ripoti hizo za ESIA na RAP kama ilivyotajwa hapo juu zimetafsiriwa kutoka lugha ya kiingereza kwenda lugha za kifaransa na Kiswahili kama lugha zinazotumika katika eneo husika la mradi ili kurahisishia jamii husika kuelewa vyema yaliyomo. (Kiswahili ni kwa ajiri ya Tanzania ilihali kifaransa ni mahsusi kwa ajiri ya watu wa Rwanda na Burundi.

Mashauriano na watu wanaoguswa au kuathiriwa na mradiWatu wote watakaoathiriwa na mradi huo ambao ni 664 kulingana na taswira ya sasa ya mtiririko wa mto au Run of River wapo kando ya mchepuo wa juu wa karibu na patakapojengwa mitambo ya uzalishaji kwenye ukingo wa mto Kagera. Kwa mujibu wa mpango wa mashauriano na umma na matokeo yake (Public Consultation and Disclosure Plan-PCDP), zaidi ya watu wapatao 9,000 watakaoguswa kwa namna moja ama nyingine na mradi na utekelezwaji wake walifanyiwa usaili na mashauriano katika kipindi cha kati ya mwezi Julai mwaka 2011 na mwezi Februari mwaka 2012. Ata hivyo hii ilikuwa ngwe ya uchunguzi kuhusu mradi wote na na mapitio ya awamu za utekelezwaji wake (Full Development Scheme-FDS na Intermediate Development Scheme-IDS). Kutokana na ngwe hizo ikiwa ni pamoja na mabadiliko hadi ngwe ya sasa ya kuangalia mfumo wa utiririkaji wa mto ama Run of River scheme madhara yameonekana dhahiri kupungua. Kaya zote 664 kwa upande wa Rwanda na ule wa Tanzania zimekuwa zikishauriana na kupewa taarifa za hapa na pale kuhusu mabadiliko siku hadi siku. Mashauriano haya yataendelea kuwepo hadi pale shughuli za ujenzi zitakapoanza jambo ambalo linakidhi pia viwango bora vya kimataifa na matakwa ya benki ya dunia katika kanuni zake zilizoambatanishwa kwenye vifungu kadhaa ikiwa ni pamoja na OP 4.12 kuhusu uhamishwaji wa makazi usiotokana na hiyari ya mtu.

Page 8: MAELEZO YA KINA KUHUSU HALI HALISI

© NELSAP-RUSUMOJulai, 2014

NILE BASIN INITIATIVEInitiative du Bassin du Nil

BURUNDI RWANDA TANZANIA

www.rusumoproject.org

www.nilebasin.org