6
BOYIE ASHIKWA 3

05.a - Boyie

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 5 - Boyie: Ashikwa! (Role of Police)

Citation preview

Page 1: 05.a - Boyie

BOYIEASHIKWA

3

Page 2: 05.a - Boyie

A UAA UUUIII. . . !!

NI KADEs AMEUMIZWA!

WHAT?!

na polisi wako? hawaja-come.

sasa hii inamaanisha nini?

ndio yule polisi.

nani anakaa suspicious?

HALI YAKE NI MBAYA!

nini kimefanyika?

kades AMEPIGWA.

NINI KIMEFANYIKA? HEBU TUMPELEKE

HOSI!

PENGINE WALE VIJANAWANAJUA. TULIWAPATA HAPA.

NIPATIENI SUSPECT.

ALIYEPIGA KADEs ALIKUWA NA SABABU GANI?

SISI PIA TUNASHIDWA. HATUKUWA INVOLVED.

KUNA MEZESHA.

NINI?

MBONA MNAKIMBIA?

KIJANA KUJA NAMIMI! YOU ARE UNDER ARREST!

CHOCHOTE UtakaCHOsema KITATUMIWA KOTINI.

MBONA UMEMSHIKA AFANDE? SIKUPIGA KADEs, AFANDE!

KWA NINI HAOMAJAMAA WALI- KIMBIA?

PENGINE WALIKU- OGOPA AFANDE.

UNAONA VILE NAFANYA KAZI FASTA FASTA? NILIPATA HUYU IN MINUTES.

SAWA, NITARUDI...

4

Page 3: 05.a - Boyie

A UAA UUUIII. . . !!

NI KADEs AMEUMIZWA!

WHAT?!

na polisi wako? hawaja-come.

sasa hii inamaanisha nini?

ndio yule polisi.

nani anakaa suspicious?

HALI YAKE NI MBAYA!

nini kimefanyika?

kades AMEPIGWA.

NINI KIMEFANYIKA? HEBU TUMPELEKE

HOSI!

PENGINE WALE VIJANAWANAJUA. TULIWAPATA HAPA.

NIPATIENI SUSPECT.

ALIYEPIGA KADEs ALIKUWA NA SABABU GANI?

SISI PIA TUNASHIDWA. HATUKUWA INVOLVED.

KUNA MEZESHA.

NINI?

MBONA MNAKIMBIA?

KIJANA KUJA NAMIMI! YOU ARE UNDER ARREST!

CHOCHOTE UtakaCHOsema KITATUMIWA KOTINI.

MBONA UMEMSHIKA AFANDE? SIKUPIGA KADEs, AFANDE!

KWA NINI HAOMAJAMAA WALI- KIMBIA?

PENGINE WALIKU- OGOPA AFANDE.

UNAONA VILE NAFANYA KAZI FASTA FASTA? NILIPATA HUYU IN MINUTES.

SAWA, NITARUDI...

5

Page 4: 05.a - Boyie

HABARI ZENU?

MMEFANYA NININA MTOTO WANGU BOYIE?

NINI KITAFANYIKA? NIliKUWA KWA STATION NA SIKU- KUBALIWA KUMUONA

TUNAFANYA UCHUNGUZI, MAMA. HAUNA SABABU YA KUOGOPA. MAMBO iko SAWA.kijana wangu ni mzuri sana.

hajawai iba hata shilingi!

kile unaweza fanyani kungoja mkono wa sheria ufanye kazi.

SHIKA HII, NI YA CHAI.NIMEWEZA KUCHANGA KIDOGO TU.

samahani, mama. sichukui hongo.unajua ninaweza kuku-arrest?

kama mnavyojua, boyie yukopolice station. anatusaidia na investigation.

huyo polisi alishika boyie hata bilaku-investigate!

kushikwa na polisi haimaanishi uko guilty!

lakini haikuenda hivyo wakati boyie ali-arrestiwa!

6

Page 5: 05.a - Boyie

HABARI ZENU?

MMEFANYA NININA MTOTO WANGU BOYIE?

NINI KITAFANYIKA? NIliKUWA KWA STATION NA SIKU- KUBALIWA KUMUONA

TUNAFANYA UCHUNGUZI, MAMA. HAUNA SABABU YA KUOGOPA. MAMBO iko SAWA.kijana wangu ni mzuri sana.

hajawai iba hata shilingi!

kile unaweza fanyani kungoja mkono wa sheria ufanye kazi.

SHIKA HII, NI YA CHAI.NIMEWEZA KUCHANGA KIDOGO TU.

samahani, mama. sichukui hongo.unajua ninaweza kuku-arrest?

kama mnavyojua, boyie yukopolice station. anatusaidia na investigation.

huyo polisi alishika boyie hata bilaku-investigate!

kushikwa na polisi haimaanishi uko guilty!

lakini haikuenda hivyo wakati boyie ali-arrestiwa!

LAZIMA TWENDE TUCHEKI BOYIE!

KAMA MNA-COMPLAINTSJUU YA POLISI YEYOTEMNAWEZA KU-REPORT KWA OCS.

NATAKA KUONA MTOTO WANGU BOYIE!

BOYIE ATAENDA KOTINI LINI?

INVESTIGATIONS zINAENDELEA! KUWENI PATIENT!

POLISI ANA-RIGHT YA KU-ARREST ANY SUSPECT ILI KUFANYA INVESTIGATIONS.

HATA HAUKUINGIA KWA CRIME SCENE NA KU-INVESTIGATE!

TUNATAKA KUONA OCS ilitU-FILE COMPLAINT!

7

Page 6: 05.a - Boyie

HAKUNA HAJA YA KUENDA KWA OCS! HEBU TUTATUE HII SHIDA KWA KU-RELEASE BOYIE!

BAADAYE...

MUM, SIKUWA INVOLVED NA STORY YA KUPIGA KADES.

NAKUAMINI, BOYIE.

unajua rights zako ukiwa ume-arrest-iwa na polisi? nitumieni sms’s zenu on 3008!

tuko gangare kuruka!

MAFANS, MAMBO YAMEKUWA GWAN!

Role of the police:1. Kuhakikisha kuna amani kwa wa-

nanchi2. Kuzuia matendo yalio kinyume

na sheria kutendeka na ku-arrest offenders

3. Wanafanya kazi na community ili a. Kuhakikisha kuna law and or-

derb. Ku-create environment ya

amani na usalamac. Ku-protect haki za wanandamud. Kuona kuwa watu wako-safee. Ku-prevent na ku-detect crimef. Ku-protect maisha na mali ya

wananchi g. Ku-investigate offensesh. Kutia nguvu sheria kwa ma-

tendo yalio kinyume na sheria

Incase uwe arrested, julisha mtu kuwa ume-arrest-iwa na

kule umepelekwa

Una hizi rights unapokuwa arrested na polisi:

1. Mtu aliye-accused of a crime ni innocent until proven guilty kwa koti. Kazi ya polisi ni ku-prove mtu ako guilty

2. Kuona mwana sheria (Solicitor)3. Una-right ya kukataa kujibu maswali kama kuyajibu yataku-incriminate4. Mtu akiwa arrested anatakikana kupelekwa kwa koti within 24 hours of

arrest. Kama kosa yake ni ya murder, anaweza wekwa remand for 2 weeks halafu apelekwe kotini.

5. Polisi anatakikana kupeana info juu ya status ya investigation, wakati aliyefungwa ata-release-iwa na conditions watatakiwa kufuata, na kama kuna wengine ambao wame arrest-iwa

6. Yeyote aliye na complaints anaweza report kwa Officer Commanding station (OCS)

7. Kama unaitishwa bribe, report hio kesi kwa Kenya Anti Corruption Authority au kwa Criminal Investigation Department (CID)

8. Huwezi arrest-iwa kwa sababu ya idling, loitering ama kutobeba ID. Hizi si offences under the law

Tumia DJB Manoni yako juu yah hii storo kwa 3008 ili tuelimishane kama vijana!

8