6
Msupa Mtaani! Ili ku-help ma-youth wa-improve lives zao, Boyie, ambaye hu-spend life yake akiunda ma-electronics, alijenga a pirate radio station - Shujaaz.FM. Akijiita DJ B, anaendelea ku-empower vijanaa huku anajificha from Chief na ma-gangs. 3

11.a - Boyie

Embed Size (px)

DESCRIPTION

Chapta 11 - Boyie: Msupa Mtaani!

Citation preview

Page 1: 11.a - Boyie

Msupa Mtaani!

Ili ku-help ma-youth wa-improve lives zao, Boyie, ambaye hu-spend life yake akiunda ma-electronics, alijenga a pirate radio station - Shujaaz.FM. Akijiita DJ B, anaendelea ku-empower vijanaa huku anajificha from Chief na ma-gangs.

3

Page 2: 11.a - Boyie

4

Page 3: 11.a - Boyie

5

Page 4: 11.a - Boyie

6

Page 5: 11.a - Boyie

7

Page 6: 11.a - Boyie

Deepti anataka sana kujua DJ B ni nani. Lakini DJB ako na secret identity so anakataaga kum-meet.

Lakini…Deepti ata-discover ati Boyie ni DJ B? Na Boyie atafanyaje ndio aendelee ku-keep identity yake secret? Endelea ku-chop Shujaaz ujue!

Najua Deepti anaweza kuni-help ku-

connect na mafans vipoa sana. So nita-work na

yeye; ata-call ma-fans na kusaka info zaidi. LAKINI siwezi kum-show ati mimi

ndio DJB!

Nitapatia Deepti messages zenu

zingine ndio awa-call. Anaweza call

time yoyote!

Jina: DEEPTI DIVANI A.k.a: Dee Dee Age: 18

Ambition: Kuwa investigative journalist

Qualities poa: Ako determined, m-independent, mwerevu.

Qualities zii: M-stubborn jo!

Ma-hobby: Photography, ku-chop

Ma-talent: kuandika, ku-find out ukweli, kuhoji wasee

8