Upload
well-told-story
View
270
Download
5
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 15- Maria Kim: Nyama nyama nyama (Rabbit meat)
Citation preview
sasa bryo? habari ya ma-days?
poa sana. eh, maze
unasikia hiyo harufu?
nadhani kuna msee ana-make
mishikaki. twende tucheki.
cheki... ni chuxx na roba na dan wana-roast na
kuuza.
i hope uko na coins kadhaa
unibuy-ie. twende tupange line.
aaaah! hehe! tutakuwa masonko!
dan, fanya chap chap ma-customer wasichoke kungoja.
chuxx niliku-show hii story huwezi harakisha. lazima hizi vitu
zichomwe ziive poa! golden brown!
j.k. i hope una dooh enough. hizo vitu zina-smell
poaa!
Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
» Nyama nyama nyama?!
19
baadaye...
haiya! roba, nyama inaisha!
saa hizi tutatoa nyama ingine wapi?
after masaa kadhaa...
eh! bryo! nini mbaya?
ni m-sick.
kwani alikula nini?
tuli-buy nyama kina chuxx
wanauza huko.
taraaaaaa!! nimeleta NYAMA!
eeeeh... tegeeni kidogo... narudi.
20
wewe mbona ulimpeleka huko?
mpeleke home alale.chuxx, hii
nyama mnauza ni poa kweli?
msuper, hii nyama ni first class! five
star!
maria kim acha hizo maswali. utatupotezea
ma-customer
hebu nione hii damu inaenda mpaka wapi.
inaenda nyuma ya hizo
boxes
wanauzia watu nyama ya mbwa!
what!!
mnauziwa nyama ya mbwa!
hiyo ni damu?
21
aki maria kim unaezaje sema hivo? hii si nyama ya mbwa, ni ya ngombe. roba, chuxx,
si mumwambie?
kwani...kwani...?
eh!
dan...
aki siamini! naezaje kaa na watu wanalisha wasee mbwa?!
iza dan. haukujua.
sasa nita-do? hiyo ilikuwa job poa. mi
sitaki kushinda niki-idle mtaani.
you know what? najua mtu
anaeza kupa ma-ideas. twende!
22
Nilianza kufuga sungura last year na tayari
zimefika 50! Hizi ndio zinanipatia pesa ya kusomesha
watoto wangu.
Sungura mmoja anazaa watoto kama 32 kwa mwaka, na sungura ya miezi 2 utamwuza kwa
Kshs 1,500.
Na bado! Mbolea ya sungura inatumika sana kwa
shamba, hautanunua fertilizer tena.
Niwaambie! Nyama ya sungura
ni tamu kwelikweli, kilo 1
ni Kshs 300, na huyu sungura ana
kilo 3. Hebu imagine!
Unakimbia wapi?
Haiya! Najipanga nianze hii bizna mara
hiyo hiyo.
ala!
Maria Kim wewe ni hero
wa mine! Baadaye…
23
Kutokana na hiyo risto ya Maria Kim, pia nime-get text kutoka kwa fan wangu Levi ambae anafuga sungura na imemuinua sana.
Skieni experience yake!
kwenda huko! utaona! wee!
NA UTAACHA HIZI GAME
ZAKO CHUXX!
AT LEAST UNAPONA BRYO. AKI NILIKUWA
WORRIED!
24
Unaweza kuuza sungura moja kwa Kshs 600 na ukiuza sungura
karibu 4 kwa mwezi, utapata Kshs 2400
[ 4 x 600 = 2,400 ]
Unaweza kuuza sungura moja kwa Kshs 600 na ukiuza sungura
Unaweza kuuza sungura
DJB, sungura ni source poa sana ya food na dooh, ambia
mafans waanzishe hii mradi.
LEVY MIDAMBO FLORENCE AYUMA 30 years - Kakurosi village - Sabatia
na mother yake
“Hizi dooh zinanisaidia kujitegemea na kulisha familia!”
“Nilinunua sungura mbili kwa Kshs 400 miaka
3 iliyopita. Sasa nina sungura 14 na wana watoto wengi sana.”