Upload
well-told-story
View
256
Download
5
Embed Size (px)
DESCRIPTION
Chapta 19- Charlie Pele: Mchango (Blood donation)
Citation preview
ah, baba charlie,
mahindi za hii season imemea mzuri!
...nikupe za
ngapi?
ala! ni nini
sasa?
nisaidieni!
24
Mchango!
Kuna nini?
msichana wangu
amelazwa hospitali...
...aligongwa na gari!
...sasa anahitaji kuongezwa
damu, na hakuna damu kwa hiyo
hospitali.
Nimeomba watu wafanye
blood donation...
...lakini wapi!
pole sana,
mathe...
Tuzunguke hapa
sokoni tubonge na wasee
wa-donate.
...asante sana,
kijana...
wawawa! sasa
tuanzie wapi?
25
Ati niliskia niki-donate blood
nita-test-iwa H.I.V na sitaki kupimwa saa
hizi.
wah, sindano
zinanitisha...
lakini si damu yangu itatumiwa kwa uchawi?!!?!?
lakini Sitaki
ku-lose weight!
unajua, damu yangu
hu-coagulate iki-demonstrate
hizo ma-substrates, so yenyewe siwezi
kukusaidia, pole,
msee...
siwezi changanya damu yangu
na kabila tofauti!
aii! hizo ni vaco!
26
unasemaje??? ati mimi ni mwoga?!?!
jirani! unajua kabila yangu ni kabila ya
mandume?!!?
ala! ni nini leo, baba charlie? kila siku stori
ingin...
mwenye anaogopa
sindano akule maembe!
aki, mbuyu, hiyo si kweli...
lakini sawa, tu,
nitauliza uncle wa rosie,
haogopangi!
27
ah, mniwache!
baba charlie! ngoja! sindano
haiumizi!
...eh?...
haiya! haiumizi!
jirani, nyamazia
hiyo maneno!
hata sikuwa naogopa!
aki, mbuyu!
28
charlie, tulitaka
kuwashukuru sana,
mliokoa mtoto wangu!
hakuna shida!
kujeni msalimie babangu, alisaidia
sana!
ni wewe ulini-save?
ehm... uhm...
nilisaidia, tu...
29
Msee akiwa m-sick ama kukiwa na accident, mara mob, anahitaji damuAdult yeyote anaweza donate blood hata mara 5 kwa mwaka.
ku-donate blood ni ku-save life ya msee!!
Hawa wasee pia wana info mob juu ya ku-donate damu:Bloodlink FoundationTel: (020) 2738418/26
Name:
Age:Blood
Group: RH
RH
Msee akiwa m-sick ama
kukiwa na accident, mara mob,
anahitaji damu
Adult yeyote anaweza donate
blood hata mara 5 kwa
mwaka.
Ina-take karibu 1 hour
ku-donate, na hauta-feel weak.
Mwili ina-replace hiyo damu
within 24 hours!
ku-donate blood ni
ku-save life ya msee!!
donate
3008To:
Text:
Walinipima kucheki kama niko na damu enough, wakapata niko poa
ku-donate. Pia kulikuwa na counselor mwenye
alini-encourage. October 2010 ilikuwa
my first time ku-donate.
Nimeamua ku-donate blood
kila 4 months. Sasa I am a proud donor,
nime-overcome fears zangu za ku-donate
blood!
bonga na mapero wako juu ya
ku-donate damu.
Skia risto ya fan wa
Shujaaz.FM, Linda Wayua
Wacha ni-show DJ B hii risto!
Sikudhani naweza donate damu, huwa
naogopa hata kuicheki! Lakini kuna beshte
yangu aliniambia twende nayeye siku moja.