40
Agano ya Mungu kwa Ibrahimu Bibilia ya watoto Inaleta

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

  • Upload
    others

  • View
    9

  • Download
    1

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu

Bibilia ya watotoInaleta

Page 2: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Kimeandikwa na: Edward Hughes

Kimeorodheshwa na: Byron Unger; Lazarus

Imerekebishwa na: M. Maillot; Tammy S.

Kimetafsiriwa na: Grace Chepkoech

Kimedhibitishwa na: Bible for Childrenwww.M1914.org

©2010 Bible for Children, Inc.License: Kuna ruhusa ya kuchapa hadithi

hii, lakini bila ya kuuza.

Page 3: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Kitambo baada ya mafuriko, watu

duniani walipanga mpango.

Page 4: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

“Tutajenga mjina kilele chake

kifike mbinguni,”wakasema.

Page 5: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

“Halafu tuishi sote pamoja kila siku.”

Wote walizungumza lugha moja.

Page 6: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mungu aliwataka watu waishikote duniani alimoumba.

Sasa, akatenda jambola kipekee.

Page 7: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mara tu, vikundi tofautiwakaanza kuzungumzalugha tofauti. Mungu

aliwapa lugha mpya.

Page 8: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Wale ambao walizungumza lugha sawa wakaenenda pamoja. Kwa sababu ya

haya watu

wakaanza kuogo-pana.

Page 9: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Katika jinsi hii, Mungu akaweza kufanya watu kuishi katika nchi

tofauti.

Page 10: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mji ule ambao walikuwa wameanza kujenga uliitwa Babeli, …

Page 11: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

… inayomaanisha kuchanganyikiwa.

Page 12: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Miaka ilipopita, mahali palipoitwa Uru wa Wakaldayo, Mungu alizungumza na mtu aliyeitwa Abramu.

Page 13: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

“Toka nchini mwako,” Mungu akaamuru. “Nenda nchini nitakapow-aonyesha.”

Page 14: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Abramu akatii. Mungu alimwongoza hadi Kanaani. Mkewe Sarai na mwana wa nduguye Lutu wakaenda naye pia.

Page 15: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Kule Kanaani Abramu na Lutu wakawa tajiri. Walikuwa na mifugo lakini hakukuwa na malisho ya kutosha kwa wanyama

wengi vile.

Page 16: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Wachungaji wa Lutu wakawa na ugomvi na wachungaji wa Abramu. “Basi, kusiwepo ugomvi,” Abramu akasema.

Page 17: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

“Tutatengana. Lutu, chagua unapotaka.”

Page 18: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Lutu akachagua nchi yenye nyasi tele ikiwa na miji na vijiji. Kulionekana kuzuri

lakini miji ile

ilijaa maovu.

Page 19: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Baada ya Lutu kuondoka,Mungu alizungumza tena

na Abramu. “Nitawapamji wa Kanaani wewe na

watoto wako

milele.”

Page 20: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Abramu na Sarai hawakuwa na watoto. Mungu angetimiza aje agano yake?

Page 21: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Watu watatu kutoka kwa Mungu wakawajia Abramu na Sarai.

Page 22: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

“Mtaweza kupata mtoto hivi karibuni,” wakasema. Sarai alicheka sana. Hakuamini neno la Mungu.

Page 23: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Yeye alikuwa wa miaka tisini. Mungu akamwambia Abramu kuwa ataitwa Ibrahimu na Sarai ataitwa Sara.

Page 24: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mungu pia akamwambia

Ibrahimu kuwa angeangamiza

miji miwiliyenye

uovuya

Sodoma na Gomora.

Page 25: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mwanawa nduguye

Ibrahimu, Lutu aliishi Sodoma

pamoja na

familia yake.

Page 26: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Lutu aliamini hadhari ya Mungu ilipokuja, lakini mabwana wa binti zake walikataa kutoka Sodoma.

Page 27: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Ilikuwa mbaya aje! Hawakuamini neno la Mungu

Page 28: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Lutu na Binti wake ndio walioponea. Kiberiti na moto ikanyesha katika

miji ile yenye maovu.

Page 29: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Kwa bahati mbaya mkewe Lutu akakosa kumtii Mungu …

Page 30: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

… na akatazama nyuma alipokuwa akitoroka.

Page 31: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Akabadilika na kuwa nguzo la chumvi.

Page 32: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mungu akatimiza ahadi yake kwa Ibrahimu na Sara. Walizaa mtoto katika uzee wao, jinsi Mungu alikuwa amesema.

Page 33: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Walisherehekea sana Isaka alipozaliwa!

Page 34: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Pengine Ibrahimu pia alifikiria kuhusu agano ya …

Page 35: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

… Mungu ya kuwapa yeye na watoto wake mji wa Kanaani milele.

Page 36: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mungu angetimiza ahadi ile pia. Mungu hutimiza

ahadi zake.

Page 37: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Agano ya Mungu kwa Ibrahimu

Hadithi kutoka kwa Neno la Mungu, Bibilia,

inapatikana katika

Mwanzo 11-21

"Kufafanusha maneno yako kwatia nuru." Zaburi 119:130

Page 38: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Mwisho

Page 39: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Hii hadithi ya bibilia inatueleza kumhusu Mungu wetu wa ajabu aliyetuumba na

anayetaka tumjue.

Mungu anajua tumetenda mambo mabaya, anayoyaita dhambi. Adhabu ya dhambi ni mauti, lakini Mungu anakupenda sana hata akamtuma mwana wake wa pekee, Yesu, Ili afe msalabani na aadhibiwe kwa dhambi yako. Alafu Yesu akafufuka na kuenda

nyumbani mbinguni! Ukimwamini Yesu na kumwomba msamaha kwa dhambi yako,

Atakusamehe! Yesu atkuja na kuishi ndani yako, na utaishi naye milele.

Page 40: Agano ya Mungu kwa Ibrahimu - Bible for Childrenbibleforchildren.org/PDFs/swahili/Gods_Promise_to... · Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha

Kama unaamini huu ni ukweli, Sema haya kwa Mungu:

Mpendwa Yesu, ninaamini kuwa wewe ni Mungu, na ulifanyika mtu ili ufe kwa ajili ya dhambi zangu, ili niwe na maisha mapya, na

siku moja nitaenda kuwa nawe millele. Nisaidie nikutii na niishi kwa ajili yako kama

mtoto wako. Amina.

Soma bibilia na uzungumze na Mungu kila siku! Yohana 3:16