3
SHIRIKA LA KUHUDUMIA VIWANDA VIDOGO OFISI YA SIDO MANYARA (SIDO) RIPOTI YA WIKI (FLASH REPORT) MKOA: MANYARA A: MASUALA YALIYOJITOKEZA Tarehe 12-19 /08/2010 NA. SUALA LILILOJITOKEZA HATUA ZILIZOCHUKULIWA MAELEZO/FAIDA 1. Huduma za Ugani Mchakato wa kuendesha warsha ya uhamasishaji wa programu ya MUVI unaendelea Uandaaji wa warsha ya kujinadi kwa wadau wa programu wa BDG umekamilika Kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa {RSMEAC} kilifanyika siku ya ijumaa tarehe 13 Aug 2010 Wajasiriamali na Wadau wa programu ya BDG kwa awamu zote mbili walitembelea na walihamasishwa kuhudhuria kikao cha tarehe 23 Aug 2010 2. Huduma za mikopo Makusanyo kwa RRF ilikuwa 1,057,000 na kwa mfuko wa NEDF

Frash Report

Embed Size (px)

DESCRIPTION

repo

Citation preview

Page 1: Frash Report

SHIRIKA LA KUHUDUMIA VIWANDA VIDOGO

OFISI YA SIDO MANYARA

(SIDO)

RIPOTI YA WIKI (FLASH REPORT)

MKOA: MANYARA

A: MASUALA YALIYOJITOKEZA

Tarehe 12-19 /08/2010

NA. SUALA LILILOJITOKEZA

HATUA ZILIZOCHUKULIWA

MAELEZO/FAIDA

1. Huduma za Ugani Mchakato wa kuendesha warsha ya uhamasishaji wa programu ya MUVI unaendelea

Uandaaji wa warsha ya kujinadi kwa wadau wa programu wa BDG umekamilika

Kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa {RSMEAC} kilifanyika siku ya ijumaa tarehe 13 Aug 2010

Wajasiriamali na Wadau wa programu ya BDG kwa awamu zote mbili walitembelea na walihamasishwa kuhudhuria kikao cha tarehe 23 Aug 2010

2. Huduma za mikopo Makusanyo kwa RRF ilikuwa 1,057,000 na kwa mfuko wa NEDF ilikuwa 4,048,500

3. Huduma za mafunzo kwa wajasiriamali

Mafunzo juu ya usimamizi wa mikopo kwa vikundi vya VICOBA vya Minjingu yamefanyika na jumla ya wanawake 35 wameshiriki mafunzo hayo

Mafunzo ya uchakataji wa Asali na utengenezaji wa Nta yalifanyika Wilayani Simanjiro jumla ya washiriki 35 walihudhulia

Elimu waliyopata itawasaidia kusimamia vizuri mikopo watakayopewa na kufanya biashara kwa faida

4. Usambazaji wa Teknolojia Vijijini.

Vikundi vya mafundi bati kata ya Gallapo vilivyopata vifaa

SIDO itaendelea kutoa ushauri kwa vikundi

Page 2: Frash Report

kutoka TFSR vimetembelewa na kushauriwa kutengeneza bidhaa zenye ubora na ushindani katika soko

hivyo na huduma za mikopo pale itakapoona kuna tija

B. MASUALA YANAYOTARAJIWA

Tarehe 20-26/08/2010

NA. MASUALA LINALOTARAJIWA MAELEZO

1. Huduma za Ugani Taratibu za kutoa mikopo kwa vikundi vya VICOBA vya Minjingu zitaendelea baada ya kupata mafunzo

2. Huduma za mikopo Maandalizi ya vikao vya kamati za mikopo LAC na CMC yatafanyika sambamba na kukusanya malimbikizo ya mikopo

3. Huduma za mafunzo kwa wajasiriamali Kutakuwa na warsha ya BDG tarehe 23 Aug 2010 pia kutakuwa na maandalizi ya warsha ya kuhasisha mradi wa MUVI kwa mkoa wa Manyara

4. Usambazaji wa teknolojia vijijini Mafunzo juu ya kutengeneza mizinga ya kisasa ya ufugaji wa nyuki yatafanyika mjini Babati na mkufunzi aliyepata utaalamu wa kutengeneza mizinga hiyo.Jumla ya washiriki 5 watashiriki mafunzo hayo