Upload
others
View
5
Download
0
Embed Size (px)
Citation preview
Hatua 9 za Kuzuia wafanyakazi kuambukizwa COVID-19 kwenye kiwanda cha kutengenezea na kupakia nyama, Kuku na NguruweZingatia usalama wako na watu wanaofanya kazi karibu nawe. Chukua hatua hizi hata kama huna dalili za COVID-19.
OSHA
4088
-09 20
20 —
9 Step
s to R
educ
ing W
orke
r Ex
posu
re to
COVID
-19 in
Mea
t, Pou
ltry,
and P
ork
Proce
ssing
and P
acka
ging F
acilit
ies (S
wahil
i)
Kaa nyumbani ikiwa u mgonjwa.
➊
Valia vifaa vya kinga kwa usalama wako ili kuzuia kuenea kwa virusi.
➐
Epukana na mikusanyiko ya vikundi wakati wa mapumziko ya kazi, hata ikiwa ni nje.
➌ Weka vizuizi kwenye laini ya uzalishaji ili kudumisha umbali uliotengwa.
➍
➎ Epukana na kushirikiana vifaa na zana. Mara kwa mara safisha zana na vifaa vyote vinavyotumika na watu wengi.
Ripoti wasiwasi wowote kuhusu usalama na afya kwa msimamizi wako au kwa OSHA.
➑
➏ Tumia sabuni na maji kunawia mikono.
➋ Zingatia kudumisha umbali wa futi sita kati ya wafanyikazi wenzako.
1-800-321-OSHA (6742) TTY 1-877-889-5627
www.osha.gov
Idara ya Usalama wa kazi na Utawala wa Afya Marekani
Ikiwezekana epukana na usafiri wa pamoja wakati wa kwenda na kutoka kazini.
➒ Jifahamishe kuhusu mapendekezo ya afya ya umma. Kwa habari zaidi, tembelea www. osha.gov/coronavirus au piga simu 1-800-321-OSHA (6742).
http://www.osha.govhttp://www.osha.gov/coronavirus