8
Mgeni manispaa ya Hässleholm Haya maelezo nimambo muhimu kujua ikiwa umehamia manispaa ya Hässleholm. Swahili

IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

  • Upload
    others

  • View
    4

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Mgeni manispaa ya Hässleholm

Haya maelezo nimambo muhimu kujua ikiwa umehamia manispaa ya Hässleholm.

Swahili

Page 2: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Anuani ya tovuti:Anuani: Simu:Muda ya kazi:

Ofisi ya uhamiaji

www.migrationsverket.seBjörkhemsvägen 15 F, 291 25 Kristianstad0771 – 235 235Juma tatu – Ijumaa 09:00 – 15:00

Ni Migrationsverket ambao wana amua kuhusu Permanent/ kibali chakuishi nani wenyewe wanaokuitakukupa jibu la uamuzi wao.

Ukipata permanent/ kibali chakuishi Migrationsverket wanakupa kadi yako.

Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji.

Nikwa Migrationsverket unaomba mahali pakuishi.

Ikiwa ukipata nyumba yako mwenyewe ya kupanga unatakiwa kuwaambi Migrationsverket na kuwaonyesha nakala ya mkataba.

Ukipata anuani mpya nilazima kuwaambia Migrationsverket moja kwa moja.

Unatakiwa kuwaambia Migrationsverket ukipata mabadiriko ya mapato.

Foto: Tomislav Stjepic/Migrationsverket

Page 3: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Anuani ya tovuti:Anuani: Simu:Muda ya kazi:

Mamlaka ya mapato

www.skatteverket.seFörsta Avenyn 14 C, 281 32 Hässleholm0771 – 567 567Juma tatu – Ijumaa 10:00 – 12:30 na 13:30 – 16:00

Unatakiwa kujiandikisha Skatteverket.

Unapo hama unatakiwa kuwaambia Skatteverket anuani yako mpya.

Ni skatteverket unapotakiwa kuomba kitambulisho (ID).

Unatakiwa kuwaambia Skatteverket unapo owa/olewa/tarakana au ukiwa mjane au ukipata mtoto nje ya nchi unatakiwa kusajili.

Page 4: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Ofisi ya kusaidia kutafuta kazi

www.arbetsformedlingen.seVallgatan 13, 281 23 Hässleholm0771 – 60 00 00Juma tatu – Ijumaa 08:00 – 16:30

Msaada wa moja kwamoja unazishwaji: Juma tatu – Ijumaa 10:00 – 13:00 Namba ya simu ya lugha tofauti: Juma tatu – Ijumaa 10:00 – 16:00

Kiarabu: tfn 0771 – 86 01 01Kiajemi: tfn 0771 – 86 01 02Kisomali: tfn 0771 – 86 01 03Kitigrinya: tfn 0771 – 86 01 04Kirusi: tfn 0771 – 86 01 05

Anuani ya tovuti:Anuani: Simu:Muda ya kazi:

Ikiwa haunakazi unatakiwa kujiandikisha Arbetsförmedlingen.

Arbetsförmedlingen unaomba mpango wa uanzishwaji na mapato ya uanzishwaji.

Ni kwa Arbetsförmedlingen unaomba mkopo wa vifaa vya nyumbani.

Foto: Camilla Veide/Arbetsförmedlingen

Page 5: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

www.arbetsformedlingen.seVallgatan 13, 281 23 Hässleholm0771 – 60 00 00Juma tatu – Ijumaa 08:00 – 16:30

Ofisi ya bima ya kijami

www.forsakringskassan.seFörsta Avenyn 14 C, 281 32 Hässleholm0771 – 524 524Juma tatu – Ijumaa 10:00 – 16:00

Anuani ya tovuti:Anuani: Simu:Muda ya kazi:

Unapo fika jisajili Föräkringskassan.

Ni kwa Försäkringskassan unaomba kuongezwa uanzishwaji/ kodi ya nyumba.

Ikiwa una mtoto/watoto unatakiwa kuwataarifu Försäkringskassan mimzasi yupi atapata pesa ya watoto.

Unatakiwa kuwapa Försäkringskassan namba yako ya benki kwaajilli ya malipo.

Kwenye Försäkringskassan unajulisha na kuomba mapato ya watoto.

Nikwenye Försäkringskassan unaomba mchango wa kodi ya nyumba.

Nikwenye Försäkringskassan unaomba mapato ya kulea watoto kama wazazi hawaishi pamoja.

Foto: Försäkringskassan

Page 6: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Mamlaka ya pensheni

www.pensionsmyndigheten.seFörsta Avenyn 14 C, 281 32 Hässleholm0771 – 766 766Juma tatu – Ijumaa 10:00 – 12:30 na 13:30 – 16:00

Anuani ya tovuti:Anuani: Simu:Muda ya kazi:

Unaomba pensheni kwenye Pensionsmyndigheten.

Ikiwa wewe ni mtoto na mzazi moja amefariki unatakiwa kuomba pensheni ya watoto/ na msaada wa wajane.

Foto: Pensionsmyndigheten

Page 7: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Manispaa ya Hässleholm

www.pensionsmyndigheten.seFörsta Avenyn 14 C, 281 32 Hässleholm0771 – 766 766Juma tatu – Ijumaa 10:00 – 12:30 na 13:30 – 16:00

www.hassleholm.seStadshuset, 281 80 Hässleholm0451 – 26 70 00Juma tatu – Ijumaa 07:45 – 17:00

Anuani ya tovuti:Anuani: Simu:Muda ya kazi:

Unapo tafuta nyumba unatakiwa kujiandikisha kwenye kampuni linalo itwa Hässlehem.

Kama unawatoto unatakiwa kuwaandikisha shuleni au huduma ya watoto.

Ni manispaa unaomba shule ya awali, vituo vya burudani, kituo cha kulea watoto.

Manispaa unaomba masomo ya watu wazima. (SFI, Grundvux, komvux)

Unaomba msaada wa kipato kwenye SocialförvaltningenSimu: 0451 – 26 87 00 na 0451 – 26 88 22Anuani: Tingshusgatan 1, HässleholmMuda ya kazi: Juma tatu – Alhamis 08:00 – 12:00 na 13:00 – 17:00 Ijumaa 08:00 – 12:00 na 13:00 – 16:00

Page 8: IH bilaga Swahili - hassleholm.se...Unapo kaa kwenye majengo ya Migrationsverket naunapo pata sehemu ingine yakukaa Migratonsverket wana kuita kuongea kuhusu uhamiaji. Nikwa Migrationsverket

Haya maelezo yana toka

Pamoja na

MigrationsverketSkatteverket

FörsäkringskassanArbetsförmedlingen

Pensionsmyndigheten