1
Vina ufanisi na unaweza kupata mimba mara moja baada ya kuacha kuvitumia. Meza kidonge kimoja kila siku na anza pakiti mpya kwa wakati ili kupata mafanikio makubwa zaidi. Hedhi isiyotarajiwa au ya matone inaweza kutokea, hasa mwanzoni. Havina madhara. Damu ya hedhi inakuwa nyepesi na mara nyingi hukoma baada ya miezi michache. Baadhi ya wanawake hupata maumivu kidogo ya kichwa, mabadiliko ya uzito, tumbo kuvurugika, hasa mwanzoni. Haya kawaida huisha. Ni salama kwa karibu kila mwanamke. Madhara makubwa hutokea kwa nadra sana. Vinaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama mwanamke ameshazaa au hajazaa watoto. Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi, wingi wa damu ya hedhi, anemia (damu yenye madini kidogo ya chuma), na hali nyingine. Imekusudiwa kuwa ya kudumu. Inawafaa wanawake ambao wana uhakika kuwa hawatahitaji watoto zaidi. Fikiri kwa makini kabla ya kufanya uamuzi. Inafanya kazi kwa ufanisi (lakini ufanisi wake haufiki 100%). Inajumuisha kukaguliwa afya na upasuaji ni salama na rahisi. Kwa kawaida hufanyika mwanamke akiwa macho. Hupewa dawa ya kuzuia maumivu. Maumivu na uvimbe unaweza kuendelea kwa siku chache baada ya upasuaji. Madhara makubwa hutokea kwa nadra. Haina madhara ya muda mrefu. Haiathiri uwezo na hamu ya kujamiiana. Inaweza kufanyika muda tu baada ya kupata mtoto, kama vile wakati mwingine. Hii ni mbinu ya kufunga kizazi moja kwa moja. Inawafaa wanaume ambao wana uhakika kuwa hawatahitaji watoto zaidi. Fikiri kwa makini kabla ya kufanya uamuzi. Tumia mbinu nyingine kwa miezi mingine mitatu, mpaka vasektomi ianze kufanya kazi. Inafanya kazi vizuri sana baada ya miezi mitatu (lakini ufanisi wake haufiki 100%). Upasuaji ni salama, rahisi na usio na usumbufu. Hufanywa kwa dakika chache. Maumivu huzuiwa. Maumivu, uvimbe au mchubuko unaweza kuwepo kwa siku chache.Wanaume wachache hupata maumivu ya muda mrefu. Haiathiri uwezo au hamu ya ngono. Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili Kufunga Kizazi Wanawake Kipandikizi Njia ya kunyonyesha Vidonge vyenye Kichocheo Kimoja Kiwambo chenye Dawa ya Povu na Jeli Mbinu za Kubaini Siku Hatari za Kushika Mimba Vidonge Vya Dharura vya Kuzuia Mimba Vasektomi Mbinu ya Kuzuia Mimba kwa * Sindano Kondomu Kitanzi chenye Madini ya Shaba Je, Unajua Chaguo lako la Mbinu za Kupanga Uzazi? Mtoa huduma wako wa mpango wa uzazi anaweza kukusaidia. Tafadhali uliza! Inafanya kazi kwa ufanisi na kwa usalama. Sindano za DMPA huchomwa mara moja kila miezi mitatu (wiki 13), NETEN kila miezi miwili. Rudi hata kama umechelewa wiki 4 kwa DMPA au wiki 2 kwa NET-EN bado unaweza kuchoma sindano inayofuata. Unaweza kuchomwa sindano nje ya zahanati, katika jamii. Kupata hedhi ya matone au isiyotabirika hutokea mara nyingi katika miezi michache ya mwanzo, na kisha mara nyingi hutokea kukosa hedhi. Kuongezeka uzito kwa haraka, maumivu kidogo ya kichwa. Haina madhara. Ni mbinu yenye usiri. Watu wengine hawawezi kujua kama mwanamke anatumia mbinu hii. Inaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama mwanamke alishazaa au hajazaa watoto. Sindano ikiacha kutumiwa, mwanamke anaweza kupata mimba. Baada ya kutumia DMPA inaweza kuchukua miezi michache kabla mwanamke kurudia uwezo wa kuzaa. Njia hii ni salama wakati wa kunyonyesha maziwa mama, kuanzia miezi sita tangu ajifungue. Sindano za kila mwezi zinapatikana. Kwa kutumia sindano za kila mwezi kama vile Cyclo-fen hedhi hutoka kidogo na hutoka kwa kipindi kifupi au mara chache zaidi. Hedhi inaweza kuwa ya matone na isiyotabirika. Chaguo bora kwa kinamama wanaonyonyesha ambao wanataka kutumia vidonge, kuanzia wiki sita baada ya kujifungua mtoto. Vina ufanisi mkubwa wakati wa kunyonyesha na anaweza kupata mimba bila kuchelewa kama ataacha kuvimeza. Meza kidonge kimoja kila siku ili viwe na ufanisi mkubwa. Kama hanyonyeshi, kuna uwezekano wa kupata hedhi kidogo na isiyotabirika. Havina madhara mabaya. Huwekwa ndani ya uke kila mara kabla ya kujamiiana. Anaweza kukiweka mapema kabla ya tendo. Kinafanya kazi kwa ufanisi kama kitatumiwa kwa usahihi kila mara. Mwanamke lazima afanyiwe uchunguzi ili aweze kupata mpira unaomwenea. Mara nyingi husababisha maambukizo ya kibofu. Kijiti kimoja au kadhaa vya plastiki au kapsuli vinavyoingizwa chini ya ngozi ya mkono wa mwanamke. Hatahitaji kufanya lolote akishawekewa vipandikizi. Vinafanya kazi kwa ufanisi kwa miaka 3 hadi 7, kulingana na aina ya vipandikizi. Vinaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama mwanamke ameshawahi kuzaa au hajawahi kuzaa watoto. Mwanamke anaweza kumwendea mtoa huduma za afya mwenye utaalamu amtoe vipandikizi wakati wowote. Baadaye anaweza kupata mimba bila kuchelewa. Anaweza kupata hedhi kidogo isiyotabirika, au hedhi ya matone au anaweza kukosa hedhi. Havina madhara. Salama wakati wa kunyonyesha maziwa ya mama kuanzia wiki sita baada ya kujifungua. Husaidia kuzuia mimba na magonjwa mengine ya ngono, pamoja na VVU/UKIMWI, kama itatumika kwa usahihi kila mara. Ili kupata kinga dhidi ya VVU/UKIMWI, baadhi ya wenza hutumia kondomu pamoja na mbinu nyingine ya kupanga uzazi. Rahisi kutumia kwa uzoefu kidogo. Inafanya kazi vizuri kama itatumiwa kwa usahihi kila wakati. Kawaida ufanisi wake ni wa kiwango fulani kwa kuwa haitumiwi kila wakati. Baadhi ya watu wanapinga kwa kusema kuwa kondomu inavuruga tendo la ngono, inapunguza hisia, au inawaaibisha. Kuzungumza na mwenza wako kunaweza kusaidia. Kiplastiki kidogo kilicho na madini ya shaba au homoni, huwekwa ndani ya kizazi. cha Mwanamke. Kina ufanisi mkubwa, unaweza kubadili kwa mbinu nyingine, na ni mbinu ya muda mrefu. Kitanzi aina ya "TCu-380A hufanya kazi kwa kipindi cha miaka 12. Kitanzi cha madini shaba chaweza kuingizwa muda tu baada ya kujifungua kama wakati mwingine wowote. Kuna uwezekano wa kuongezeka kwa kiwango cha hedhi na siku, hasa mwanzoni. Kwa kitanzi chenye homoni, kiwango cha hedhi hupuguka na husaidia kuzuia upungufu wa damu. Husababisha maumivu kidogo wakati wa kukiingiza. Matatizo makubwa hutokea kwa nadra. Ugonjwa wa nyonga hutokea mara chache kama mwanamke alikuwa na ugonjwa wa ngono wakati wa kuwekwa kitanzi. Kinaweza kujitoa chenyewe, hasa mwanzoni. Mwanamke anaweza kupata mimba mara moja baada ya kutoa kitanzi. Mwanamke hujifunza kubashiri wakati ambao anaweza kushika mimba katika mzunguko wake wa hedhi. Wakati ambao una hatari ya kushika mimba wapenzi huepuka kujamiiana, au hutumia mbinu nyingine kama vile kondomu. Inaweza kuwa na ufanisi kama itatumiwa kwa usahihi. Hata hivyo, kwa kawaida ufanisi wake ni wa wastani. Inahitaji wenza kuwa na ushirikiano wa karibu. Haina madhara ya kimwili. Mbinu fulani zinaweza kuwa na ugumu kutumia wakati mama ana homa au maambukizi ya njia ya kizazi, baada ya kujifungua mtoto au wakati akinyonyesha Mbinu ya Mpango wa uzazi inayohusu kunyonyesha maziwa ya mama, kwa kipindi kizichopungua miezi sita baada ya kujifungua. Mwanamke anayenyonyesha hutumia mbinu hii wakati: - Mtoto wake anapata chakula kidogo au hapati chakula au kinywaji isipokuwa maziwa ya mama, na hunyonyesha mara kwa mara usiku na mchana, na - Bado mzunguko wa kawaida wa hedhi haujarudi, na - Mtoto wake ana umri chini ya miezi sita. Mwanamke apange kutumia mbinu nyingine kabla ya muda wa kutumia mbinu ya kunyonyesha haujapita. husaidia kuzuia mimba kama vitamezwa ndani ya siku 5 baada ya ngono isiyo salama auukifanya makosa katika mbinu za mpango wa uzazi. Ni salama kwa wanawake wote. Haviharibu mimba au kumdhuru mtoto kama mwanamke tayari ana mimba. Mbinu za kupanga uzazi za mara kwa mara huwa na ufanisi zaidi. Tafadhari fikiria kuhusu mbinu ya mara kwa mara. Baadhi ya Mbinu Hazishauriwi Kutumiwa Kama Una Hall Fulani ya Klafya Kuvuta sigara na umri wa miaka 35 na zaidi Vidonge Vyenye vichocheo Viwili. Kama unavuta sigara sana tumia sindano za kila mwezi. Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili, sindano za kila mwezi. Kama una shinikizo kubwa la damu tumia sindano za kila miezi miwili au mitatu Shinikizo kubwa la damu Vidonge vya kuzuia mimba, sindano za kila mwezi kuzuia mimba Kama unanyonyesha maziwa ya mama muda wote au kiasi kikubwa kwa miezi sita ya kwanza Sindano za kila miezi 2 au 3, vipandikizi, vidonge vyenye projestinl tu Kama unanyonyesha maziwa ya mama kwa wiki sita za kwanza Vidonge vyenye vichocheo viwili, sindano za kila mwezi. Subiri mpaka wiki sita baada ya kujifungua mtoto ili daframu ikae vizuri Siku 21 za mwanzo baada ya kuzaa, hunyonyeshi Baadhi ya magonjwa makubwa yasiyo ya kawaida ya moyo, mishipa ya damu, au ini, au saratani ya matiti Vidonge vyenye vichocheo viwili, Sindano, Vidonge vyenye kichocheo kimoja,Vipandikizi. Muulize mtoa huduma za afya Kipandauso (kichwa kuuma sana) na pia umri wa miaka 35 au zaidi Vidonge vyenye vichocheo viwili na sindano za kila mwezi. Muulize mtoa huduma za afya Kipandauso chenye kuleta kifafa (wakati fulani utaona mwanga mkali kwenye jicho moja), katika umri wowote Vidonge vya kumeza kuzuia mimba na sindano za kila mwezi. Muulize mtoa huduma za afya Hali fulani isiyo ya kawaida kwa viungo vya mwanamke. Kitanzi. Muulize mtoa huduma za afya Magonjwa ya seviksi ya ngono, hatari kubwa ya mhusika kupata maambukizo ya magonjwa haya, ugonjwa wa uvimbe wa nyonga, au UKIMWI usiotibika. Kitanzi.Tumia kondomu hata kama unatumia mbinu nyingine. Wanawake wenye VVU, pamoja na wanawake wenye UKIMWI na wale wanaotumia dawa za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi, wana weza kutumia kwa kawaida mbinu yoyote ya kupanga uzazi. (Hizi ni pamoja na Kitanzi, kwa mwanamke mwenye UKIMWI, lakini kama tu anaende- lea na matibabu na anaendelea vizuri). Ugonjwa wa kibofu cha nyongo Vidonge vyenye vichocheo viwili. Muulize mtoa huduma za afya Hakuna haja ya kutumia mbinu yoyote Ujauzito unaotambulika Kulinganisha Ufanisi wa Mbinu za Kupanga Uzazi Hall Mbinu Ambazo Haziruhusiwi Zenye ufanisi zaidi Kunatokea chini ya mimba moja kwa kila wanawake 100 katika mwaka moja Kondomu za Kiume Viwambo Kondomu za Kike Kusoma kalenda Zenye ufanisi mdogo zaidi Kunatokea karibu mimba 30 kwa kila wanawake 100 katika mwaka mmoja Jinsi ya kufanya mbinu unayotumia iwe na ufanisi zaidi Vipandikizi, Kitanzi, Kufunga kizazi mwanamke: Baada ya upasuaji, huhitajiwi kufanya au kukumbuka lolote. Vasektomi: Tumia mbinu nyingine kwa miezi mitatu ya mwanzo. Sindano: Choma sindano ya kurudia kwa wakati. Vidonge: Meza vidonge kila siku. Mbinu ya kunyonyesha (kwa miezi 6): Nyonyesha mara kwa mara, mchana na usiku. Kibandiko, Pete: Weka inapotakiwa, kumbuka kubadili kwa wakati. Kondomu, kiwambo: Tumia kwa usahihi kila wakati unapofanya ngono. Kushusha kando, dawa ya povu na jell: Tumia kwa usahihi kila wakati unapofanya ngono. Mbinu za kubaini siku hatari kushika mimba: Jizuie kufanya ngono au tumia kondomu katika wakati ambao unaweza kushika mimba kwenye mzunguko wako wa hedhi. Mbinu mpya zaidi (Mbinu ya kuhesabu siku na mbinu ya Ute) zinaweza kuwa rahisi kutumia. Vipandikizi Kitanzi Vibandiko Vidonge Kunyonyesha Sindano Vasektomi Kufunga kizazi mwanamke Pete ndani uke Kushusha kando Dawa ya povu na jeli Kumbuka: Pia tafuta ushauri wa shirika la viwango la kitaifa kwa ajili ya mwongozo zaidi Kwa maelezo zaidi kuhusu mbinu za Kupanga Uzazi watoa huduma za afya wanaweza kusoma kitabu cha Mpango wa Uzazi: Mwongozo kwa Watoa Huduma za Afya Duniani. Watoa huduma za afya wanaweza kupata Mwongozo huu pamoja na nakala zaidi za chati hii kutoka kwa "the INFO project, Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health/Center for Communications Programs, 111 Market Place, Suite 310, Baltimore, Maryland 21202, USA; barua pepe: [email protected]. Chati hii imerekebishwa na kuchukua nafasi ya matoleo yaliyotangulia yaliyochapishwa. Chati hii imeweza kutengenezwa kwa msaada kutoka kwa United State Agency for International Development, Global GH/PRH/PEC. chini ya masharti ya Msaada Namba GPH-A-00-02-00003-00.© 2007 Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health/Center for Communication Programs.

Je, Unajua Chaguo lako la Mbinu za Kupanga Uzazi? · Kipandauso (kichwa kuuma sana) na pia umri wa miaka 35 au zaidi Vidonge vyenye vichocheo viwili na sindano za kila mwezi. Muulize

  • Upload
    others

  • View
    11

  • Download
    3

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Je, Unajua Chaguo lako la Mbinu za Kupanga Uzazi? · Kipandauso (kichwa kuuma sana) na pia umri wa miaka 35 au zaidi Vidonge vyenye vichocheo viwili na sindano za kila mwezi. Muulize

• Vina ufanisi na unaweza kupata mimba mara moja baada ya kuacha kuvitumia.

• Meza kidonge kimoja kila siku na anza pakiti mpya kwa wakati ili kupata mafanikio makubwa zaidi.

• Hedhi isiyotarajiwa au ya matone inaweza kutokea, hasa mwanzoni. Havina madhara. Damu ya hedhi inakuwa nyepesi na mara nyingi hukoma baada ya miezi michache.

• Baadhi ya wanawake hupata maumivu kidogo ya kichwa, mabadiliko ya uzito, tumbo kuvurugika, hasa mwanzoni. Haya kawaida huisha.

• Ni salama kwa karibu kila mwanamke. Madhara makubwa hutokea kwa nadra sana.

• Vinaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama mwanamke ameshazaa au hajazaa watoto.

• Husaidia kupunguza maumivu ya tumbo wakati wa hedhi, wingi wa damu ya hedhi, anemia (damu yenye madini kidogo ya chuma), na hali nyingine.

• Imekusudiwa kuwa ya kudumu. Inawafaa wanawake ambao wana uhakika kuwa hawatahitaji watoto zaidi. Fikiri kwa makini kabla ya kufanya uamuzi.

• Inafanya kazi kwa ufanisi (lakini ufanisi wake hau�ki 100%).

• Inajumuisha kukaguliwa afya na upasuaji ni salama na rahisi. Kwa kawaida hufanyika mwanamke akiwa macho. Hupewa dawa ya kuzuia maumivu.

• Maumivu na uvimbe unaweza kuendelea kwa siku chache baada ya upasuaji. Madhara makubwa hutokea kwa nadra.

• Haina madhara ya muda mrefu. Haiathiri uwezo na hamu ya kujamiiana.

• Inaweza kufanyika muda tu baada ya kupata mtoto, kama vile wakati mwingine.

• Hii ni mbinu ya kufunga kizazi moja kwa moja. Inawafaa wanaume ambao wana uhakika kuwa hawatahitaji watoto zaidi. Fikiri kwa makini kabla ya kufanya uamuzi.

• Tumia mbinu nyingine kwa miezi mingine mitatu, mpaka vasektomi ianze kufanya kazi.

• Inafanya kazi vizuri sana baada ya miezi mitatu (lakini ufanisi wake hau�ki 100%).

• Upasuaji ni salama, rahisi na usio na usumbufu. Hufanywa kwa dakika chache. Maumivu huzuiwa.

• Maumivu, uvimbe au mchubuko unaweza kuwepo kwa siku chache.Wanaume wachache hupata maumivu ya muda mrefu.

• Haiathiri uwezo au hamu ya ngono.

Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili

Kufunga Kizazi Wanawake

Kipandikizi

Njia ya kunyonyesha

Vidonge vyenye Kichocheo Kimoja

Kiwambo chenye Dawa ya Povu na Jeli

Mbinu za Kubaini Siku Hatari za Kushika Mimba Vidonge Vya Dharura vya Kuzuia Mimba

Vasektomi

Mbinu ya KuzuiaMimba kwa * Sindano Kondomu

Kitanzi chenye Madini ya Shaba

Je, Unajua Chaguo lako la Mbinu za Kupanga Uzazi? Mtoa huduma wako wa mpango wa uzazi anaweza kukusaidia. Tafadhali uliza!

• Inafanya kazi kwa ufanisi na kwa usalama.

• Sindano za DMPA huchomwa mara moja kila miezi mitatu (wiki 13), NETEN kila miezi miwili. Rudi hata kama umechelewa wiki 4 kwa DMPA au wiki 2 kwa NET-EN bado unaweza kuchoma sindano inayofuata.

• Unaweza kuchomwa sindano nje ya zahanati, katika jamii.

• Kupata hedhi ya matone au isiyotabirika hutokea mara nyingi katika miezi michache ya mwanzo, na kisha mara nyingi hutokea kukosa hedhi. Kuongezeka uzito kwa haraka, maumivu kidogo ya kichwa. Haina madhara.

• Ni mbinu yenye usiri. Watu wengine hawawezi kujua kama mwanamke anatumia mbinu hii.

• Inaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama mwanamke alishazaa au hajazaa watoto.

• Sindano ikiacha kutumiwa, mwanamke anaweza kupata mimba. Baada ya kutumia DMPA inaweza kuchukua miezi michache kabla mwanamke kurudia uwezo wa kuzaa.

• Njia hii ni salama wakati wa kunyonyesha maziwa mama, kuanzia miezi sita tangu ajifungue.

• Sindano za kila mwezi zinapatikana. Kwa kutumia sindano za kila mwezi kama vile Cyclo-fen hedhi hutoka kidogo na hutoka kwa kipindi kifupi au mara chache zaidi. Hedhi inaweza kuwa ya matone na isiyotabirika.

• Chaguo bora kwa kinamama wanaonyonyesha ambao wanataka kutumia vidonge, kuanzia wiki sita baada ya kujifungua mtoto.

• Vina ufanisi mkubwa wakati wa kunyonyesha na anaweza kupata mimba bila kuchelewa kama ataacha kuvimeza.

• Meza kidonge kimoja kila siku ili viwe na ufanisi mkubwa.

• Kama hanyonyeshi, kuna uwezekano wa kupata hedhi kidogo na isiyotabirika. Havina madhara mabaya.

• Huwekwa ndani ya uke kila mara kabla ya kujamiiana. Anaweza kukiweka mapema kabla ya tendo.

• Kinafanya kazi kwa ufanisi kama kitatumiwa kwa usahihi kila mara.

• Mwanamke lazima afanyiwe uchunguzi ili aweze kupata mpira unaomwenea.

• Mara nyingi husababisha maambukizo ya kibofu.

• Kijiti kimoja au kadhaa vya plastiki au kapsuli vinavyoingizwa chini ya ngozi ya mkono wa mwanamke. Hatahitaji kufanya lolote akishawekewa vipandikizi.

• Vinafanya kazi kwa ufanisi kwa miaka 3 hadi 7, kulingana na aina ya vipandikizi.

• Vinaweza kutumiwa katika umri wowote hata kama mwanamke ameshawahi kuzaa au hajawahi kuzaa watoto.

• Mwanamke anaweza kumwendea mtoa huduma za afya mwenye utaalamu amtoe vipandikizi wakati wowote. Baadaye anaweza kupata mimba bila kuchelewa.

• Anaweza kupata hedhi kidogo isiyotabirika, au hedhi ya matone au anaweza kukosa hedhi. Havina madhara.

• Salama wakati wa kunyonyesha maziwa ya mama kuanzia wiki sita baada ya kujifungua.

• Husaidia kuzuia mimba na magonjwa mengine ya ngono, pamoja na VVU/UKIMWI, kama itatumika kwa usahihi kila mara.

• Ili kupata kinga dhidi ya VVU/UKIMWI, baadhi ya wenza hutumia kondomu pamoja na mbinu nyingine ya kupanga uzazi.

• Rahisi kutumia kwa uzoefu kidogo.

• Inafanya kazi vizuri kama itatumiwa kwa usahihi kila wakati. Kawaida ufanisi wake ni wa kiwango fulani kwa kuwa haitumiwi kila wakati.

• Baadhi ya watu wanapinga kwa kusema kuwa kondomu inavuruga tendo la ngono, inapunguza hisia, au inawaaibisha. Kuzungumza na mwenza wako kunaweza kusaidia.

• Kiplastiki kidogo kilicho na madini ya shaba au homoni, huwekwa ndani ya kizazi. cha Mwanamke.

• Kina ufanisi mkubwa, unaweza kubadili kwa mbinu nyingine, na ni mbinu ya muda mrefu. Kitanzi aina ya "TCu-380A hufanya kazi kwa kipindi cha miaka 12.

• Kitanzi cha madini shaba chaweza kuingizwa muda tu baada ya kujifungua kama wakati mwingine wowote.

• Kuna uwezekano wa kuongezeka kwa kiwango cha hedhi na siku, hasa mwanzoni. Kwa kitanzi chenye homoni, kiwango cha hedhi hupuguka na husaidia kuzuia upungufu wa damu. Husababisha maumivu kidogo wakati wa kukiingiza.

• Matatizo makubwa hutokea kwa nadra. Ugonjwa wa nyonga hutokea mara chache kama mwanamke alikuwa na ugonjwa wa ngono wakati wa kuwekwa kitanzi.

• Kinaweza kujitoa chenyewe, hasa mwanzoni.

• Mwanamke anaweza kupata mimba mara moja baada ya kutoa kitanzi.

• Mwanamke hujifunza kubashiri wakati ambao anaweza kushika mimba katika mzunguko wake wa hedhi.

• Wakati ambao una hatari ya kushika mimba wapenzi huepuka kujamiiana, au hutumia mbinu nyingine kama vile kondomu.

• Inaweza kuwa na ufanisi kama itatumiwa kwa usahihi. Hata hivyo, kwa kawaida ufanisi wake ni wa wastani.

• Inahitaji wenza kuwa na ushirikiano wa karibu.

• Haina madhara ya kimwili.

• Mbinu fulani zinaweza kuwa na ugumu kutumia wakati mama ana homa au maambukizi ya njia ya kizazi, baada ya kujifungua mtoto au wakati akinyonyesha

• Mbinu ya Mpango wa uzazi inayohusu kunyonyesha maziwa ya mama, kwa kipindi kizichopungua miezi sita baada ya kujifungua.

• Mwanamke anayenyonyesha hutumia mbinu hii wakati:

- Mtoto wake anapata chakula kidogo au hapati chakula au kinywaji isipokuwa maziwa ya mama, na hunyonyesha mara kwa mara usiku na mchana, na

- Bado mzunguko wa kawaida wa hedhi haujarudi, na

- Mtoto wake ana umri chini ya miezi sita.• Mwanamke apange kutumia mbinu nyingine

kabla ya muda wa kutumia mbinu ya kunyonyesha haujapita.

• husaidia kuzuia mimba kama vitamezwa ndani ya siku 5 baada ya ngono isiyo salama auukifanya makosa katika mbinu za mpango wa uzazi.

• Ni salama kwa wanawake wote.

• Haviharibu mimba au kumdhuru mtoto kama mwanamke tayari ana mimba.

• Mbinu za kupanga uzazi za mara kwa mara huwa na ufanisi zaidi. Tafadhari �kiria kuhusu mbinu ya mara kwa mara.

Baadhi ya Mbinu Hazishauriwi Kutumiwa Kama Una Hall Fulani ya Klafya

Kuvuta sigara na umri wa miaka 35 na zaidi Vidonge Vyenye vichocheo Viwili. Kama unavuta sigara sana tumia sindano za kila mwezi.

Vidonge Vyenye Vichocheo Viwili, sindano za kila mwezi. Kama una shinikizo kubwa la damu tumia sindano za kila miezi miwili au mitatu

Shinikizo kubwa la damu

Vidonge vya kuzuia mimba, sindano za kila mwezi kuzuia mimba

Kama unanyonyesha maziwa ya mama muda wote au kiasi kikubwa kwa miezi sita ya kwanza

Sindano za kila miezi 2 au 3, vipandikizi, vidonge vyenye projestinl tu

Kama unanyonyesha maziwa ya mama kwa wiki sita za kwanza

Vidonge vyenye vichocheo viwili, sindano za kila mwezi. Subiri mpaka wiki sita baada ya kujifungua mtoto ili daframu ikae vizuri

Siku 21 za mwanzo baada ya kuzaa, hunyonyeshi

Baadhi ya magonjwa makubwa yasiyo ya kawaida ya moyo, mishipa ya damu, au ini, au saratani ya matiti

Vidonge vyenye vichocheo viwili, Sindano, Vidonge vyenye kichocheo kimoja,Vipandikizi. Muulize mtoa huduma za afya

Kipandauso (kichwa kuuma sana) na pia umri wa miaka 35 au zaidi

Vidonge vyenye vichocheo viwili na sindano za kila mwezi. Muulize mtoa huduma za afya

Kipandauso chenye kuleta kifafa (wakati fulani utaona mwanga mkali kwenye jicho moja), katika umri wowote

Vidonge vya kumeza kuzuia mimba na sindano za kila mwezi. Muulize mtoa huduma za afya

Hali fulani isiyo ya kawaida kwa viungo vya mwanamke.

Kitanzi. Muulize mtoa huduma za afya

Magonjwa ya seviksi ya ngono, hatari kubwa ya mhusika kupata maambukizo ya magonjwa haya, ugonjwa wa uvimbe wa nyonga, au UKIMWI usiotibika.

Kitanzi.Tumia kondomu hata kama unatumia mbinu nyingine.Wanawake wenye VVU, pamoja na wanawake wenye UKIMWI na wale wanaotumia dawa za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi, wana weza kutumia kwa kawaida mbinu yoyote ya kupanga uzazi. (Hizi ni pamoja na Kitanzi, kwa mwanamke mwenye UKIMWI, lakini kama tu anaende-lea na matibabu na anaendelea vizuri).

Ugonjwa wa kibofu cha nyongo Vidonge vyenye vichocheo viwili. Muulize mtoa huduma za afya

Hakuna haja ya kutumia mbinu yoyoteUjauzito unaotambulika

Kulinganisha Ufanisi wa Mbinu za Kupanga UzaziHall Mbinu Ambazo Haziruhusiwi

Zenye ufanisi zaidiKunatokea chini ya mimba moja kwa kila wanawake 100 katika mwaka moja

Kondomu za Kiume

Viwambo Kondomu za Kike

Kusoma kalenda

Zenye ufanisimdogo zaidi

Kunatokea karibu mimba 30 kwa kila wanawake 100 katika mwaka mmoja

Jinsi ya kufanya mbinu unayotumia iwe na ufanisi zaidi

Vipandikizi, Kitanzi, Kufunga kizazi mwanamke: Baada ya upasuaji, huhitajiwi kufanya au kukumbuka lolote.

Vasektomi: Tumia mbinu nyingine kwa miezi mitatu ya mwanzo.

Sindano: Choma sindano ya kurudia kwa wakati.

Vidonge: Meza vidonge kila siku.

Mbinu ya kunyonyesha (kwa miezi 6): Nyonyesha mara kwa mara, mchana na usiku.

Kibandiko, Pete: Weka inapotakiwa, kumbuka kubadili kwa wakati.

Kondomu, kiwambo: Tumia kwa usahihi kila wakati unapofanya ngono.

Kushusha kando, dawa ya povu na jell: Tumia kwa usahihi kila wakati unapofanya ngono.

Mbinu za kubaini siku hatari kushika mimba: Jizuie kufanya ngono au tumia kondomu katika wakati ambao unaweza kushika mimba kwenye mzunguko wako wa hedhi. Mbinu mpya zaidi (Mbinu ya kuhesabu siku na mbinu ya Ute) zinaweza kuwa rahisi kutumia.

Vipandikizi Kitanzi

VibandikoVidongeKunyonyeshaSindano

Vasektomi Kufunga kizazi mwanamke

Pete ndaniuke

Kushushakando

Dawa ya povuna jeli

Kumbuka: Pia tafuta ushauri wa shirika la viwango la kitaifa kwa ajili ya mwongozo zaidiKwa maelezo zaidi kuhusu mbinu za Kupanga Uzazi watoa huduma za afya wanaweza kusoma kitabu cha Mpango wa Uzazi: Mwongozo kwa Watoa Huduma za Afya Duniani. Watoa huduma za afya wanaweza kupata Mwongozo huu pamoja na nakala zaidi za chati hii kutoka kwa "the INFO project, Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health/Center for Communications Programs, 111 Market Place, Suite 310, Baltimore, Maryland 21202, USA; barua pepe: [email protected]. Chati hii imerekebishwa na kuchukua nafasi ya matoleo yaliyotangulia yaliyochapishwa. Chati hii imeweza kutengenezwa kwa msaada kutoka kwa United State Agency for International Development, Global GH/PRH/PEC. chini ya masharti ya Msaada Namba GPH-A-00-02-00003-00.© 2007 Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health/Center for Communication Programs.