1
June 28-Julai o4 | 2019 M CHEZO wa kwanza tu wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ambao Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilicheza dhidi ya Senegal, ulionyesha sura halisi za Watanzania.... CAIRO, MISRI >> INAENDELEA UK 19 TAIFA STARS GUMZO KILA KONA Afcon 2019… vs Bongo Fleva FC leo L EO Ijumaa, kutakuwa na mchezo wa kirafiki wenye ushindani mkubwa ambapo Bongo Fleva FC itapambana na Global FC kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Vikawe, Kibaha, Pwani. Mechi hiyo ni ya kwanza kwa timu hizo kukutana ambapo Bongo Fleva wanatarajia kushusha mziki wao wote akiwemo Stamina, M2 The P, T.I.D, Rich One, Abdu Kiba na Tunda Man. Nahodha wa Bongo Fleva FC, Rich One, alisema kuwa wataishushia Global FC kipigo kama cha Ujerumani dhidi ya Brazil mwaka 2014. "Unakumbuka mwaka 2014 Brazil alifungwa mabao saba, sasa tutayahamishia kwa Global FC ambao sisi tunawaita mabisho wa Sinza Mori," alisema nahodha huyo. Naye Nahodha wa Global FC, Wilbert Molandi, alisema wamejipanga vizuri kuelekea mchezo huo na wanatarajiwa kumkosa mshambuliaji wao matata, Saleh Ally ambaye yupo nje ya nchi. MARCO MZUMBE Ni Global K IUNGO wa Manc- hester City, David Silva, amesema ana msimu mmoja ndani ya klabu hiyo kabla ya kuachana nayo. Silva mwenye miaka 33, alijiunga na timu hiyo mwaka 2010 akitokea Valencia ya Hispania ambapo ameshinda mataji manne ya Ligi Kuu England na Kombe la FA mara mbili kama ilivyo Kombe la Ligi, huku akicheza mechi 395. Alipoulizwa kama ana mpango wa kuendelea kuichezea zaidi Man City, alisema: "Hapana, huu ni msimu wangu wa mwisho." Akimaanisha kwamba baada ya msimu wa 2019/20 ataachana na timu hiyo. "Miaka kumi kuwa hapa, inatosha. Nimekuwa na muda mzuri. "Klabu yangu inataka niongeze miaka miwili, lakini nimechagua kusaini mkataba wa mwaka mmoja.” MANCHESTER, ENGLAND Silva aaga Man City

June 28-Julai o4 | 2019 Afcon 2019… Ni Global

  • Upload
    others

  • View
    0

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: June 28-Julai o4 | 2019 Afcon 2019… Ni Global

June 28-Julai o4 | 2019

MCHEZO wa kwanza tu wa michuano ya Kombe la Mataifa Afrika ambao Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ilicheza dhidi ya Senegal, ulionyesha sura halisi za Watanzania....

CAIRO, MISRI

>> INAENDELEA UK 19

TAIFA STARS GUMZO KILA KONA

Afcon 2019…

vs Bongo Fleva FC leo

LEO Ijumaa,

kutakuwa na mchezo wa kirafiki wenye ushindani mkubwa ambapo Bongo Fleva FC itapambana na Global FC kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Vikawe, Kibaha, Pwani.

Mechi hiyo ni ya kwanza kwa timu hizo kukutana ambapo Bongo Fleva wanatarajia kushusha mziki wao wote akiwemo Stamina, M2 The P, T.I.D, Rich One, Abdu Kiba na Tunda

Man.Nahodha wa

Bongo Fleva FC, Rich One, alisema kuwa wataishushia Global FC kipigo kama cha Ujerumani dhidi ya Brazil mwaka 2014.

"Unakumbuka mwaka 2014 Brazil alifungwa mabao saba, sasa tutayahamishia kwa Global FC ambao sisi tunawaita mabisho wa Sinza Mori," alisema nahodha huyo.

Naye Nahodha wa Global FC, Wilbert Molandi, alisema wamejipanga vizuri kuelekea mchezo huo na wanatarajiwa kumkosa mshambuliaji wao matata, Saleh Ally ambaye yupo nje ya nchi.

MARCO MZUMBE

Ni Global

KIUNGO wa Manc-hester City, David Silva, amesema ana msimu mmoja

ndani ya klabu hiyo kabla ya kuachana nayo.

Silva mwenye miaka

33, alijiunga na timu hiyo mwaka 2010 akitokea Valencia ya Hispania ambapo ameshinda mataji manne ya Ligi Kuu England na Kombe la FA mara mbili kama ilivyo Kombe la Ligi, huku akicheza mechi 395.

Alipoulizwa kama ana mpango wa kuendelea kuichezea zaidi Man City, alisema: "Hapana, huu ni

msimu wangu wa mwisho." Akimaanisha kwamba baada ya msimu wa 2019/20 ataachana na timu hiyo.

"Miaka kumi kuwa hapa, inatosha. Nimekuwa na muda mzuri.

"Klabu yangu inataka niongeze miaka miwili, lakini nimechagua kusaini mkataba wa mwaka mmoja.”

MANCHESTER, ENGLAND

Silva aaga Man City