5
KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA- DAYOSISI YA KUSINI CHUO CHA UUGUZI ILEMBULA, S.L.P. 01, ILEMBULA - MAKAMBAJ):O Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 NdUgU ~~ Kwa niaba ya Baraza la elimu na ufundi (NACTE) pamoja na wizara ya afya na ustawi wajamii napenda kukujulisha kuwa umechaguliwa kujiunga na mafunzo ya Uuguzi kwa ngazi ya Cheti/Stashahada katika Chuo cha uuguzi na ukunga Ilembula. Aidha utatakiwa kuwasili chuoni kuanzia siku ya jumamosi ya tarehe 28/03/2015. Kwa ajili ya usajili na kupewa maelekezo na taratibu nyingine zihusuzo taaluma pindi uwapo chuoni. Masomo yataanza rasmi tarehe 30103/2015. Kwa mwanafunzi yeyote atakayechelewa zaidi ya siku ishirini toka kuanza kwa masomo hatapokelewa kabisa. Hata hivyo kama utachelewa kwa siku chake ndani ya siku ishirini utatakiwa kutoa taarifa kwa Barna siyo kwa simu kupitia anuani iliyopo hapo juu. Kama unakubali kujiunga na chuo chetu tujulishe kwa kutuma fedha isiyorudishwa kiasi cha SIDLLINGI LAKI MOJA (100,000.00) ZA KITANZANIA , ambayo itakuwa sehemu ya malipo ya ada. Fedha hiyo ilipwe kabla ya tarehe 14/03/2015 kwenye akaunti ya chuo, NMB AKAUNTI NAMBA 60303500117,jina la akaunti ILEMBULA NURSES AND MIDWIVES TRAINING SCHOOL au CRDB AKAUNTI NAMBA 0150472869400 jina la akaunti ELCT. SD-ILEMBULA SCHOOL OF NURSING. Tutumie "Pay in Slip" kupitia anuani iliyopo hapo JUU. Maelezo mengine juu ya muda wa mafunzo, malipo ya ada, michango mingine, sheri a za shule na mambo/mahitaji muhimu unayo takiwa kuwa nayo unapokuja angalia viambatanisho. Karibu sana '+-~c\, Katika Utumishi. ,v-.'" '>~ t'\c.;.. •.•• .•. ~ ~~'I:. ~,'V I ~,,~,,\f.~ ........ W.' \'y~+:Ol~<C~"~ Anipher J. Nyunza \Y Kaimu Mkuu wa Chuo Tel.No. 026-2730320, 0768803725 the principal, 0688266551 the secretary, Email: [email protected]. [email protected], Web: http:www.ilemmbulanursing.ac.tz 1

Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 - Ilembulailembulanursing.ac.tz/application form for 2014.2015.pdfCheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip" lV. Cheti

  • Upload
    others

  • View
    12

  • Download
    0

Embed Size (px)

Citation preview

Page 1: Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 - Ilembulailembulanursing.ac.tz/application form for 2014.2015.pdfCheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip" lV. Cheti

KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA- DAYOSISI YA KUSINI

CHUO CHA UUGUZI ILEMBULA, S.L.P. 01, ILEMBULA - MAKAMBAJ):O

Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015

NdUgU ~~

Kwa niaba ya Baraza la elimu na ufundi (NACTE) pamoja na wizara ya afya na ustawi wajamiinapenda kukujulisha kuwa umechaguliwa kujiunga na mafunzo ya Uuguzi kwa ngazi yaCheti/Stashahada katika Chuo cha uuguzi na ukunga Ilembula. Aidha utatakiwa kuwasili chuonikuanzia siku ya jumamosi ya tarehe 28/03/2015. Kwa ajili ya usajili na kupewa maelekezo nataratibu nyingine zihusuzo taaluma pindi uwapo chuoni. Masomo yataanza rasmi tarehe30103/2015. Kwa mwanafunzi yeyote atakayechelewa zaidi ya siku ishirini toka kuanza kwamasomo hatapokelewa kabisa. Hata hivyo kama utachelewa kwa siku chake ndani ya sikuishirini utatakiwa kutoa taarifa kwa Barna siyo kwa simu kupitia anuani iliyopo hapo juu.

Kama unakubali kujiunga na chuo chetu tujulishe kwa kutuma fedha isiyorudishwa kiasi chaSIDLLINGI LAKI MOJA (100,000.00) ZA KITANZANIA , ambayo itakuwa sehemu yamalipo ya ada. Fedha hiyo ilipwe kabla ya tarehe 14/03/2015 kwenye akaunti ya chuo, NMBAKAUNTI NAMBA 60303500117,jina la akaunti ILEMBULA NURSES AND MIDWIVESTRAINING SCHOOL au CRDB AKAUNTI NAMBA 0150472869400 jina la akaunti ELCT.SD-ILEMBULA SCHOOL OF NURSING. Tutumie "Pay in Slip" kupitia anuani iliyopo hapoJUU.

Maelezo mengine juu ya muda wa mafunzo, malipo ya ada, michango mingine, sheri a za shulena mambo/mahitaji muhimu unayo takiwa kuwa nayo unapokuja angalia viambatanisho.

Karibu sana'+-~c\,

Katika Utumishi. ,v-.'" '>~t'\c.;.. •.••.•.~~~'I:. ~,'V

I ~,,~,,\f.~

........W.' \'y~+:Ol~<C~"~Anipher J. Nyunza \YKaimu Mkuu wa Chuo

Tel.No. 026-2730320, 0768803725 the principal, 0688266551 the secretary, Email: [email protected]@ilembulanursinq.ac.tz, Web: http:www.ilemmbulanursing.ac.tz

1

Page 2: Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 - Ilembulailembulanursing.ac.tz/application form for 2014.2015.pdfCheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip" lV. Cheti

MAELEZO YANA YO HUSU MUD A WA MAFUNZO ,SHERIA ZA SHULE ,ADA,MICHANGO MINGINE YA FEDHA PAMOJA NA MAHITAJI MENGINE UWAPO

CHUONI

1. MUD A WAMAFUNZOIMIHULA YAMASOMO

Kwa mujibu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii utaratibu wa muda wa mafunzo yauuguzi kwa ngazi ya Stashahada ni miaka mitatu (3) na ngazi ya cheti miaka miwili(2) ~

Kwa Mujibu WA Mtaala WA Mafunzo Ya Uuguzi Mwaka wa masomo umegawanyika katikamihula miwili.

~ Muhula wa kwanza unaoanza Septemba - Februari kila mwaka~ Muhula wa pili unaoanza Machi - Agosti kila mwaka

2. SHERIA ZA CHUOUtasomewa na kupewa mara ufikapo chuoni.

3. ADA NA MICHANGO MINGINE YA SHULE NA NAMNA YA ULIPAJIa) Mchanganuo wa ada na michango mingine

NA MAELEZO KIASICHAFEDHA(KWA KIASICHAFEDHA(KWAWATANZANIA TU) WANAO TOKA NJE YA NCHI)

I. ADA1.1 STASHAHADA Tshs. 1,500,000. = US$I,500

1.2 CHETITshs. 1,210,000.= US$I,200

2. MICHANGO MINGINE 540,000.= kila mwaka 450$2.1 Fedha ya Chakula

2.2 Fedha ya Malazi 180,000.= kila mwaka 150$2.3 Fedha za Matengenezo 85,000.= kila mwaka 80$2.4 Fedha ya usajili 20,000.= mwaka wa kwanza 40$

2.5 Fedha ya kitambulisho 5,000.= anapoanza tu 5$2.6 Kitabu cha mazoezi ya vitendo 50,000.= mwaka wa 1 25$

mahali pa mazoezi"Procedure tubook"

2.7 Mitihani ya Mihula 50,000.= kila mwaka 50$2.8 Sare

- Sare za Mafunzo 50,000.= mwaka wa kwanza 50$- Sare za nje ya chuo 15,000.= mwaka wa kwanza 25$

2.9 Fedha ya tahadhari 20,000.= mwaka wa kwanza 40$JUMLA YA MICHANGO 1,015,000/= 810$JUMLA KUU KW A NGAZI YASTASHAHADA

2,515,000.00 2310.00$JUMLA KUU KWA NGAZI YACHETI 2,225,000.00 2010.00$

2

Page 3: Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 - Ilembulailembulanursing.ac.tz/application form for 2014.2015.pdfCheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip" lV. Cheti

b) Namna Ya Ulipaji Wa Ada Na Michango Mingine Ya ShuleMzazilMlezi/Mfadhili unashauriwa kulipa ada na michango kama ilivyooyeshwa kwenyejedwali (kwa awamu tatu) kiwango cha chini ni theluthi ya jumla ya ada na michango iliyoonyeshwa, chini ya kiwango tajwa mwanafunzi hatapokelewa kabisa.

i. Ada Kwa Ngazi Ya Stashahada

MUDA KIASI CHA MALIPOADA 1,500,000Septemba 2014-30 Desemba, 2014 840,000.= 770$30 Januari 2015-30 April, 2015 840,000.= 770$30 Mei 2015-30 Agosti, 2015 835,000.= 770$

ii. Ada Kwa Ngazi Ya Cheti

MUDA KIASI CHA MALIPOADA 1,210,000Septemba 2014-30 Desemba, 2014 745,000.= 670$30 Januari 2015-30 April, 2015 745,000.= 670$30 Mei 2015-30 Agosti, 2015 735,000.= 670$

NB: Kama Mzazi/MleziIMfadhili una uwezo wa kulipa ada kwa mwaka mzimaunaruhusiwa.

Malipo yote yalipwe kupitia Akaunti ya chuo inayojulikana kwa jina Ilembula nurses andmidwives training school Akaunti Na 60303500117-NMB au ELCT. SD. IlembulaSchool of Nursing Akaunti Na. 0150472869400 - CRDB.

4. MAHITAJII MAMBO MUHIMU UJAPO CHUONI

i. Hati ya malipo ya ada ya Bank (pay in slip) kupitia akaunti tajwa. (hutapokelewa kabisaendapo utakuja na kiasi pungufu ya kiwango kama i1ivyo ainishwa kwenye jedwalihapo juu)

H. Fika na cheti halisi cha kuondokea shuleni (leaving certificate).

HI. Cheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip"

lV. Cheti halisi cha kuzaliwa.

V. Mashuka ya bluu mawili, mto, taulo, na neti.

VI. Kijiko, sahani na kikombe cha chai.

3

Page 4: Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 - Ilembulailembulanursing.ac.tz/application form for 2014.2015.pdfCheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip" lV. Cheti

vu. Viatu vya ngozi vyeusi au vyeupe jozi mbili na soksi nyeupe.

Vlll. Funguo, ndoo, jembe 1 na fyekeo.

ix. Saa ya mkononi.

x. Sweta nyeupelbluu yenye vifungo mbele kwa wasichana, kwa wavulana sweta nyeupeyenye shingo.

Xl. Mwamvuli na koti la mvua.

XU. Nguo za michezo kama raba, "Tracksuits" na bukta n.k.

Xlll. Rimu mbili za karatasi. moja 1 ( kwa ajili ya "copy/printing" na rimu nyingine moja(1) yenye mistari.

xiv. Kila mwanafunzi inabidi anunue baadhi ya vitabu kama "Fundamental of Nursing",Anatomy and Physiology", Kamusi ya kingereza na kamusi ya uuguzi n.k .. baadhi yavitabu vinapatikana katika librari ya chuo.

xv. Vifaa utakavyo tumia ukiwa mazoezi kwa vitendo wodini na penginepo

A. BP Machine pamoja na stethoscscope

B. Thermometer (kipimajoto la mwili)

C. Tape measure (ambazo hutumika pia kupimia nguo)

D. Saa ya mkononi siyo simu (yenye mshale)

5. ONGEZEKO LA MICHANGO KWA MW AKA WA PILI NA WA TATUIT AKA YO LIPWA CHUONI KUPITIA AKAUNTI YA CHUO.

SIN MAELEZO KIASI CHA DARASAFEDHA

1. Mitihani ya majaribio (mock Mwaka wa piliexamination) pamoja na mitihani ya 150,000/= (wahitimu) na watatukuhitimu

2. Mwaka wa pili60,000/= (ngazi ya cheti

Usajili wa mitihani (TNMC)Mwaka wa tatu kwa

80,000/= Ngazi ya stashahada

3. Cheti cha kuhitimu mafunzo(Leaving Mwaka wa2 & 3certificate) pamoja na mafunzo ya 30,000/=computer

4. Wahitimu (mwakaAdayaNACTE 50,000/= wa2 & 3)

4

Page 5: Kumb.Na.INSIMOH/5a/408 03/02/2015 - Ilembulailembulanursing.ac.tz/application form for 2014.2015.pdfCheti halisi cha matokeo ya kidato cha nne au kidato cha sita"Result slip" lV. Cheti

6. FEDHA A.l'lAYOPEW A MW ANAFUNZI MOJA KWA MOJA NAMZAZIIMLEZI

SIN MAELEZO KlASI CHA FEDHA DARASAl. Community field work (mazoezi 250,0001= Mwaka wa pili

vijijini)2. Research (utafiti) 150,0001= Mwaka wa tatu .3. Fedha ya kujikimu wakati wa mazoezi 250,0001= Mwaka wa pili na

ya vitendo(Mental health nursmg watatu( wahitimu)practice)

NB: kiwango cha fedha tajwa ni makadirio tu kwa ajili ya matumizi ya mwanafunzi tu nasio chuo isipo kuwa ya utafiti ambayo atatakiwa kumlipa msimamizi wake sehemu yakiasi hicho.

7. Fedha anayopewa mwanafunzi na Mzazi/mlezi inayolipwa moja kwa moja kwenyeakaunti ya wizara (namba ya akaunti atapewa na chuo) kwa ajili ya utunzi wamitihani ya wizara pamoja na usahihishaji ni shilingi laki moja na nusu(150,0001=)hii ni kila mwaka (kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu) malipo yatafanyikakunzia mwezi wa pili kila mwaka kwenye akaunti namba 20110007946 jina laakaunti ni "Application & Examination Fee account" kupitia bank ya NMB.

8. Fedha ambayo mwanafunzi atatakiwa kumkabidhi mhasibu mara atakapofika chuonikwa ajili ya bima ya matibabu kwa wale ambao hawana bima ni 50,4001- na kamauna kadi ya matibabu ya bima hutatakiwa kulipa (kwa wanafunzi wote kuanziamwaka wa kwanza hadi wa tatu)

9. Fedha ya chanjo ya homa ya Ini shilingi sabini na sita elfu tu ambayo italipwa kwaajili ya chanjo tatu (76,000.=)

5